Style yake ya uchezaji ni ipi ukilinganisha na wachezaji wa Ligi ya England, Spain na ufaransa toka mwaka 2018 hadi 2020
@johnjoseph959619 күн бұрын
Asante kwa uchambuzi mzuri
@houmdmajid-ur9dp18 күн бұрын
Kumbe hamn kitu sijuii kwnn tunasajili wachezaj bila kocha ndio ya jobe hy kupewa mkataba mkubwa kumbe hmn kt
@shanmlawa18 күн бұрын
Kwan mgunda Nan
@isikeamani307819 күн бұрын
Safi
@civianipyana491519 күн бұрын
🎉🎉🎉 soccer data
@isikeamani307819 күн бұрын
One vs one anaweza sana fatilia vzr
@SoccerData.19 күн бұрын
1v1 in papatu papatu
@danielngotto565219 күн бұрын
Anaweza bana we ndio hujamfatilia vzr
@user-xk3ve2wo3l19 күн бұрын
Nitadhamini uchambuz wa Debora Fernandes ukifika hapo niambie mkuu
@SoccerData.19 күн бұрын
0627532401 Nicheki
@user-xk3ve2wo3l19 күн бұрын
@@SoccerData. Poa usijali mkuu
@OMARALI-tr3if18 күн бұрын
Tunaomba uchambuzi moja wakisomi wa mchome mapovu
@twalbuhaji18 күн бұрын
😂😂😂😂 utani uwo mjomba
@agripinagilbert105219 күн бұрын
Huna group la watsap bro
@SoccerData.19 күн бұрын
Lipo...0710679388 nicheki
@yusuphkilipa560619 күн бұрын
Kuna gralama ya kujiunga kwenye group
@mwanangusana15 күн бұрын
@@yusuphkilipa5606utajua huko huko 😂😂😂 mbona umeanza kuogopa mapema au ni shabiki wa Ubuntu wewe
@eltonezra124713 күн бұрын
hello
@allymakele207618 күн бұрын
Unajua jamaa
@ElibarikMrema-zv7um16 күн бұрын
Huyu jamaa Wa soccer data ni mnafiki nasio mzalendo anaponda sajili za simba hachambui kwa wema anachambua kinafiki hii page ni unafiki sana afu yanga anaisifia sana nadhani kapewa bahasha huko hii page.
@omarchlistopher55615 күн бұрын
ata usijali uyu ni yanga
@omarchlistopher55615 күн бұрын
ata usijali uyu ni yanga
@mwanangusana15 күн бұрын
@@omarchlistopher556kwann ??
@Ambagaye17 күн бұрын
Kwa Mukwala Simba wanatia mkwara tu; huyu hataleta mabadiliko yoyote kwenye performance ya timu kwani matatizo ya Simba siyo wachezaji bali uongozi. Mpaka sasa Simba ilikuwa na wachezaji wazuri sana ila wanshindwa kuunda timu nzuri