UKWELI KUHUSU MIMBA YA MAMA DANGOTE, RAFIKI YAKE AFUNGUKA MWANZO MWISHO

  Рет қаралды 46,061

Mwendokasi Tv

Mwendokasi Tv

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia

Пікірлер: 86
@angelinaomare3055
@angelinaomare3055 3 жыл бұрын
No no no mama Dangote Tania yake ya kimaisha hata wezi hata siku moja Ku inspire Mwanamke timamu
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 жыл бұрын
Kuna watu wana dharau hizi kazi zetu ,Mimi wana nikeraaaaaa hongera Linah MC
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 3 жыл бұрын
Mc wa Wilaya
@zainabthimis4025
@zainabthimis4025 3 жыл бұрын
Mtoto ni baraka kama mungu kakupa zaa tu Mtoto siwako usijari maneno ya walimwengi maydangote
@Ontuzu
@Ontuzu 3 жыл бұрын
Zaa mama mpaka doctor aseme Basi Kwani mama diamond anauzee gani jamani mpaka muone maajabu yeye kupata mimba
@umfahad2609
@umfahad2609 3 жыл бұрын
Ma sha allah. Mnashindana kwa sauti nzuri. Fatma na MC. 😍🇴🇲🇹🇿
@yungintavyo4219
@yungintavyo4219 3 жыл бұрын
😘😘
@yytfhh6247
@yytfhh6247 3 жыл бұрын
sema kweri mama unaongeya vizuli🙏❤🤝🏾
@hakiiki1767
@hakiiki1767 3 жыл бұрын
Mama mondi nafuraha sana sana sana anajua kwani niko nafuraha Allah akulinde mke wa Aunle shmute
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 3 жыл бұрын
Mashallah dada nimekupenda sana sana
@sylviesylvieleonardoliveas6138
@sylviesylvieleonardoliveas6138 3 жыл бұрын
I love your voice sister
@ruthelia9289
@ruthelia9289 3 жыл бұрын
Kwani chaajabu Nini kwani mama dangote na yule kijana wanakula maandazi usiku kama wanakula chakula cha usiku na anakula milo miwili au mitatu ache avune nakuombea safari njema mama dangote Mungu akutie nguvu ujifungue salama Tena upate mtoto was kike
@tausimgasa4322
@tausimgasa4322 3 жыл бұрын
Amiina
@iddahmponzi8492
@iddahmponzi8492 3 жыл бұрын
Umeonaee watu Wana wivu sana
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Interview poa kabisa❤️👏👏👏🌞🙏🇰🇪.
@djdj3urj88
@djdj3urj88 3 жыл бұрын
Muacheni jamani azae mbona mnataka kumpingia maisha
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
❤️
@clarananyange3824
@clarananyange3824 3 жыл бұрын
Ngoja tukafanye kazi No. Kudanga
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Kweli wanaomchukua mama Dangote wanamuonea wivu tu
@salafinatanzani2813
@salafinatanzani2813 3 жыл бұрын
Jamani mm kama mm sarafina naomba mungu sasa sasa mtoto hajeee salaam kabis kabis na mm hapa lazima nijeee huko kumupaa zawadi mama yangu kipenzi changu mungu awe pamoja nawe mom
@user-tr2rb7ly2i
@user-tr2rb7ly2i 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana ccter
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Mungu amjalile azae salama yaarabi NA ampe afya njema yaarabi muombeeni kila lakheli na barka 🙏🙏🙏
@nabaodesigner9449
@nabaodesigner9449 3 жыл бұрын
Usiwe unajificha Dada mutangazaji, wenzio wakioji watu uwa tuna waona kwako vipi na kwa nini?
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
😂😂Af kweli
@florencychilango9198
@florencychilango9198 3 жыл бұрын
Sasa mbn wao wanawatenga watoto wao kama wahamisa na tanasha
@stellakatega2033
@stellakatega2033 3 жыл бұрын
Upo vzr mc nakupenda 👏👏🙏
@mlasinyongolo3256
@mlasinyongolo3256 3 жыл бұрын
Jamani Mama Dangote hajawa mtu mkubwa kwa kutokuzaa wengine. Mungu amempa mwacheni azae wengine tu. Mama Dangote hajaheneza miaka 60 ans ya kumzuiya kutokuzaa. Aliye kupa wewe ka ninyima mimi, ko hacheni nongwa kwa Mama Dangote. ZAA WAKO DADA ANCL CHANTEL AJINJOY.
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
Hongera mama kwa ujawepes hata mm natamani hiyo kitu leo kesho zaaa mama
@saidalshukery2779
@saidalshukery2779 3 жыл бұрын
Unafaa dada upo vizuri sana
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
Duh Kweli Fatma unahoji dakika 44 kisha tusikuoni 🤔 hainogi wallah na sitaki kufatilia yote 😪
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Arusi ilikua ya Mange kimambi..ni rafiki wa mange
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 3 жыл бұрын
Daaa jamani mama Dangote hapo kaharibu kupiga hiyo picha ya kuonyesha tumbo hapo ni kama anashindana na wakwe zake heshima ni kitu cha bure wakati umri ulionao hauruhusu kufanya hivyo si ukae kimya tuu mpaka kujifungua.
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 жыл бұрын
Wamedit
@elizabethkamuga67
@elizabethkamuga67 3 жыл бұрын
@@taturajabukhalfani7953 see mishono va vitenge
@lightnessmakundi1794
@lightnessmakundi1794 3 жыл бұрын
Ndio nini kunadi tumbo??
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 3 жыл бұрын
Duh amakweli mnajua kuedit huyo bibi tifa natumbo lake linavong'ara
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Yaani
@rukiakambo2817
@rukiakambo2817 3 жыл бұрын
Honger mshauli mzur
@blandinakimbe4019
@blandinakimbe4019 3 жыл бұрын
Kama kuna uzazi zaa tu hongera
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
Da Fatma wengi twatamani kukuona 💕 mbona wengine tuna wafaham pls acha tukufaham 😪🙏🏻
@nakualasenzia1582
@nakualasenzia1582 3 жыл бұрын
P
@salhairakoze9072
@salhairakoze9072 3 жыл бұрын
mashallah Allah akuwekeye wepesi insha Allah ajifunguwe Salam
@sylviesylvieleonardoliveas6138
@sylviesylvieleonardoliveas6138 3 жыл бұрын
Sister Fatma please we need to see your face
@bahatiselestin5182
@bahatiselestin5182 3 жыл бұрын
Da fatma eeh mi naona insta mambo yamenoga mbona wanampa sabra hongera mara mungu amkuzie?? Nabado haujatupa uhondo kunanini??
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Jamani hakuna cha mimba hapo kichefuchefu kitupu mimba mchezo ni kiki zao tu kama kawaida
@Ontuzu
@Ontuzu 3 жыл бұрын
Nimependa sauti yako
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 3 жыл бұрын
Mimba ni kawada tu, sialikuwa na mumewe jaman
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Mbona daa Fatma hatukuoni
@fredsabuni8535
@fredsabuni8535 3 жыл бұрын
Huyu mama pesa inamchanganya
@apichitseso3073
@apichitseso3073 3 жыл бұрын
Kuropoka kumkana mzee Abdul kmbe mimba yamsumbua
@salisali3738
@salisali3738 3 жыл бұрын
Akili mgando
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Inategemea
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
Hivi kwanini Fatma unajificha tusikuone?? Unajificha kwanini??
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@senseiamazing1823
@senseiamazing1823 3 жыл бұрын
Aibuuuuuuuu tumewachoka na hilo limama lenu
@christerpact9628
@christerpact9628 3 жыл бұрын
Mbona mwili haufanani na kichwa jaman
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Mmmmmm, eti daimondi anatarajia kupata mdogo wake😁😁😁😁😁
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@missijju1228
@missijju1228 3 жыл бұрын
Aibu Bibi azae badala kulea vijukuu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Pesa hio inaunda mpaka mimba
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 3 жыл бұрын
Camera man vungusha camera
@everineriziki5778
@everineriziki5778 3 жыл бұрын
I’m the first one for Comment and like 👍
@rukiaaly2595
@rukiaaly2595 3 жыл бұрын
Kuzaa ni majaaliwa yeye àna mume wake sasa chaajabu kipi kama Allah kamjaalia hilo yanini mpige kelele, kubwa kumuombea Allah afungue salama
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 3 жыл бұрын
Je ni haki kumpiga picha mama huyu akiwa half necked tumbo wazi namna hiyo?
@chainchebby3313
@chainchebby3313 3 жыл бұрын
Katika swala la mapenzi ya mama na Mtoto wa Kiume kweli muyaache
@vennasvennas6358
@vennasvennas6358 3 жыл бұрын
Mama c utulie ulee wajuku jmn mmmh makubwa????
@blandinakimbe4019
@blandinakimbe4019 3 жыл бұрын
Kwa walimwengu yote mabaya mwema yao
@fahmaali8945
@fahmaali8945 3 жыл бұрын
Huyu.mtu.mzima.kwani.mimba ajabu anajitangaza.kwenye.mitandao.daah
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Jamani mbona mnamzalilisha mama wa watu
@aminahasin6711
@aminahasin6711 3 жыл бұрын
Jamani naomba kuuliza kwan kawambiya mtamlea mtoto wake mbn mnafatiliya maisha ya watu ivoo? Mwenyezimungu anasema kabla yakutoa aibu ya mwenzio hanza yakwako kwanza
@rehemamunga6889
@rehemamunga6889 3 жыл бұрын
Hongera Aunt Sandra.Mungu akutangulie kwa kila lilio mbele yako sioni la ajabu🤲
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Acheni usenge
@merrymerry4282
@merrymerry4282 3 жыл бұрын
Hhhhjhhh kaze kazima hovyo ns kasura kakukoma kama mti wa limawe
@heriethmuta2903
@heriethmuta2903 3 жыл бұрын
Wivu tu ulitaka aitoe kisa hupendi
@shadakihwili4197
@shadakihwili4197 3 жыл бұрын
Umri hautakiwi mamaangu kuonyesha mwili wako
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 жыл бұрын
Kila kitu kina muda muwafaka
@faridapatel7584
@faridapatel7584 3 жыл бұрын
Ongea kiswahili wewe
@dinnahhyypollyydinna2346
@dinnahhyypollyydinna2346 3 жыл бұрын
Dada Mzuri wewe
@nabaodesigner9449
@nabaodesigner9449 3 жыл бұрын
Sasa Mama Diamond iyo mimba aitapata Baba mwengine kama Diamond ilivyo pata Baba mwingine?
@lisahhans295
@lisahhans295 3 жыл бұрын
Huyu bibi dai???hivi anaakili kweli???nini hiii anashika tumbo kama kigagula??kwanini awaaibishe wsmama namna hiiii.ivi nyie wadai huoni hata hawa watangazaji nao ni ushuzi tuu??mama na miaka minhi hivi kila siku matukio ya kishenzi tuuu??anakwama wapi huyu bibi jamani??ambae kaumia na kukereka na haya matangazo ya mimba ya huyu bibi agonge like hapa.hebu tufiki mahali wamama tuwe na adabu. AMA KWELI MAFANIKIO HAYAMFANYI MWENDA WAZIMU KUA NA BUSARA FYUUUUUU MBAVUU YEYE.
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 3 жыл бұрын
Apate mimba wapi kizazi kimelegea na mikuki yaani yote aliwapata wa kinaD alivyokua bado ananafu hi k ilikua angalaungalau 🤣
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Wewe mungu
@shantalsungura9361
@shantalsungura9361 3 жыл бұрын
Unashinda wewe
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Huyo lafiki vipi Hana haya . Ivi Hilo litumbo la huyo Bibi mnatuonyesha la Nini kwendeni uko .mbona mnajichetua Sana nawewe lafiki kweli umekaa unaongea utoko huo
@agathaphamis3430
@agathaphamis3430 3 жыл бұрын
Mmwacheni jamani umri unamruhusu sio mzee na anapenda watoto wakuzaa mwenyewe mtoto wa mtu sio wako anataka wake hana hata miaka hamsini Mmwacheni mama wa watu accent wivu wenuxxxx
@linetnekesa8019
@linetnekesa8019 3 жыл бұрын
Waaah mrembo ajabu mc
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 148 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 13 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 15 МЛН
EXCLUSIVE: NYUMBA ZA ZARI SOUTH AFRICA, MAGARI NA MAISHA
14:47
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН