Maaskofu wa tz tuokoeni kwa maombi.naona muna ushirikiano mwema.God bless tz.
@omoshspeakmouth43714 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki wote wakatoliki wenzangu toka tz mimi mkatoliki damu Kenya
@josphatbayyo19263 жыл бұрын
Itoshe tu kusema, " Kanisa ni moja tu, Takatifu katoliki na la mitume" fullstop.
@aloycmassawe86133 жыл бұрын
Kabisa
@linahsemindu42613 жыл бұрын
@@aloycmassawe8613 🙏🙏
@raylaurent43894 жыл бұрын
Viva my Catholic Church.. Hakika hili n kanisa LA Kristo mwenyewee
@georgelutobola74223 жыл бұрын
Jamn mungu awasadie wote tusiwe km mtumixhi aliyepewa taranta 1 na tajir, naye akasafiri kwenda nchi ya mbali..... Math 25:14...
@shebaminde76564 жыл бұрын
Yani nikiangalia haya maandamano napata hofu ya Mungu!! Wachungaji wetu msichoke kutuchunga na kutupa mafundisho ya kumjua kristo!! Mungu awatangulie
@lennysalny3671 Жыл бұрын
Tanzanian Catholic choirs always spiritually blessing us and bringing us in a prayer mood. May God bless all humanity through your angelic voices.
@Klein233 Жыл бұрын
I agree 👍
@martinmiston44034 жыл бұрын
Umetakaswa kweli safi sana kanisa katoliki najivunia kuwa kwenye kanisa la kweli la Kristo. Bwana wajalie wachungaji wako kuchunga kondoo wako.
@petroniamagera68664 жыл бұрын
Raha sana kuwa mkatoliki jaman,,,hakika ni kanisa moja la mitume💃💃💃
@marthauisso58033 жыл бұрын
Yaan raha hadi machozi yananitoka
@gloryamasi65974 жыл бұрын
hakika kuna raha kumtumikia Mungu amewaweka jaman kwa ajili ya kazi yake mmezeeka na kazi ya mwenye Mbingu na nchi nafurah hakika kuwaona sichoki kuwaangalia
@candimroso59624 жыл бұрын
Mungu wajalie afya njema maaskofu wetu,mapadre wetu pia masista waweze kueneza utume wao Kama inavyopendeza pichan.
@shukuruantipas87124 жыл бұрын
Asante Mungu kwa zawadi hii ya kipekee
@mylifeforchrist84464 жыл бұрын
Hamna kitu kitanifanya niache kumtumikia Mungu wangu,, Kuna raha kumbwa kwenye uu utumishi, hadi machozi ya raha
@patriciahkiio96923 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@adrienneake12973 жыл бұрын
Catholique pour la vie merci seigneur
@neemataris32738 ай бұрын
Ilipendeza, Waimbaji🎉
@bijoukamwanga20103 жыл бұрын
Vive nous les Catholic soyons benis de la facon dont nous sommes Unies only God knows!! J s8 fiere de l etres!! 🙏🙏🙏
@user-zy3sj6wu8h4 жыл бұрын
Shalom, luar biasa kalau yang parade ini semua Imam (Pater).
@jamesgachau256617 күн бұрын
God's greatness is with us
@raymondmushi33104 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda maaskofu wetu siku zote na kuwaimarisha ktk utume wao
@irenekunzekweguta26943 жыл бұрын
Thanks & glory be to our Mighty Lord Jesus Christ for His church
@fedilesfediles21834 жыл бұрын
Ilike Catholics choir ever smart God bless my church 🙏🙏🙏🙏🙏
@marymuthoni15514 жыл бұрын
Wao!!!! Mungu ni mwema kila wakati
@phyillicenyambura55433 жыл бұрын
Na kila wakati MUNGU ni mwema, Amin!!
@EmanuelMakalla-wu1zu Жыл бұрын
Nakupenda sanA kanisa langu katoliki mungu wape nguvu mababa zetu wa kiroho
@christinapeter8104 жыл бұрын
Mungu mweema.awabariki wote nalipenda Sanaa kanisa moja takatifu Catholic la mitume
@baltazarirosie92744 жыл бұрын
Umeonaee mm hadi nahisi utakatifu nikiwaona ivo
@vestinatiba89754 жыл бұрын
Hongera sana watumishiwa bwana kweli inapendeza sana
@kristoa.53174 жыл бұрын
Kutumikia Mungu raha. Hata kanisa katoleki lipigwe aje, hakuna siku itawahi simama.
@guillaumeoridjabho89283 жыл бұрын
Merci mes frères en christ de la république unie de la tanzanie pour cette mélodie.
@meriammbamba81513 жыл бұрын
God bless catholic churches❤
@gislainmastaki10224 жыл бұрын
Mungu abaongezee nguvu yakutimiza kaziyamungu .
@josephmchani9444 жыл бұрын
Jama kuna wimbo mmoja Wa kwaya ya mt donbosco tabata Ila sikumbuki unaimbwaje
@ParokiBundaMariaCirebon3 жыл бұрын
the song is good and the choir is also very good ... 👍🏻👍🏻👍🏻 Greetings of peace and peace in the love of the Lord Jesus Christ With our prayers for our brothers and sisters in Tanzania from the Parish of Our Lady of Cirebon City, West Java Province, Indonesia  
@albertrolandserry43302 жыл бұрын
Am Roland from sierra Leone please pray for me l wanted to be priest of the Catholic church the song's are good
@johnkariuki29072 жыл бұрын
Kinanda kimeweza
@dorcussememba42512 жыл бұрын
Enjoying i wish I could come and see so that i ejoyng the songs i lick Kenyan songs gold bless you good night
@dessystanley55864 жыл бұрын
Mungu awalinde
@nowelaraymond7034 жыл бұрын
Ee Bwana tunaomba utupiganie tuzidi kukujua zaidi!
@wjnfridakatengezya50633 жыл бұрын
Amina.... Kanisa takatifu Katoliki.. tujalie unyenyekevu Bwana
@edwardongori77344 жыл бұрын
Mungu Atuonekanie Ulimwenguni
@AnitaDeku-fx5dv Жыл бұрын
Bwana amanituma
@beatricewanjohi5684 жыл бұрын
My ⛪ luv it.
@edmondkalinde42514 жыл бұрын
Tuunganene wote pamoja na iyi muhandamano y'a ma padri na maaskofu ili tushinde corona. Aleluia
@anyirijustine52772 жыл бұрын
Universal and only apostolic church
@salvatorymogesi64764 жыл бұрын
Mungu wetu aendelee kulibariki Kanisa letu Katoliki
@josephelias60664 жыл бұрын
Duuuu mapadre wengi jamani Kanisa moja katoliki la mitume
@NeemaUpendo8 ай бұрын
Amina❤❤❤
@user-qi3wx3ug7cАй бұрын
Aminaaaa
@AlbertMaduhuАй бұрын
Ukatoliki rahaa sana
@yohanameney70254 жыл бұрын
So nice.ndani ya Kristo ni raha sana
@helenamhagama40204 жыл бұрын
Huwa nakuwa na furaha nikiwaona watumishi wa mungu hivi
@violethbosha87943 жыл бұрын
Balikiwe
@consolathacyprian56653 жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema kila wakati hapa sa ndo huwa najivunia kuwa mkatoliki kwelikweli mungu uwaongoze vyema watumishi wako uliowachagua wakutumikie sawasawa na mapenzi yako pia watuongoze vyema nasi katika njia ilio njema ya kukupendeza wewe kwa yesu ni raha tu
@TEACHER.CLEOPHAS3 жыл бұрын
Wonderful, keep it up!!!
@ernestsogadji67844 жыл бұрын
Wonderfull !!!
@rosemerysuzanne80223 жыл бұрын
Oh mon Dieu que c'est beau !
@neemataris3273 Жыл бұрын
Ululululuiiii Inapendaza sana
@beatusassenger78724 жыл бұрын
Hadi raha jamn
@JennyFelix-uk3ux5 ай бұрын
Kwa kweri wakristu tuishi katika imani jamani inapendeza sana
@jamesgachau25669 күн бұрын
Let us pray for all the CLERGY
@pasilisajerono74093 жыл бұрын
OGod strengthen all catholic believes.
@matswelopelemphela96764 жыл бұрын
Jamani aaaaa acha wanapendeza katika vazi lao
@carolinesalakana10904 жыл бұрын
Sana yani
@user-yr5tx7vt5k9 ай бұрын
Angalia mnavyopendeza lakini mkija uraiani mnakuwa mashetani
@frankmaguire82583 жыл бұрын
Beautiful
@wazawagambochitv72003 жыл бұрын
Napenda kanisa langu
@dorcussememba42512 жыл бұрын
Ilike there songs
@danielotuke91754 жыл бұрын
Very nice choir,
@photunatamakelele69804 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki nimetaswa na kundi asante mungu
@denisladislausbwoti954 Жыл бұрын
goood
@theresiacostantine1322 жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkatoliki
@leonardmgaya3970 Жыл бұрын
proudly Catholic ♥️
@rosadanazary60794 жыл бұрын
Mungu awalinde na kuwatunza daima
@salhaheko34124 жыл бұрын
Mtuombee sana watumishiwetu
@tebemasegwa15813 жыл бұрын
Nafatijika Sana kusikia hii nyimbo
@emanuelmwenda20404 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa, napenda tu kujua haya ni maandamano ya lini, na ilikuwa ni tukio gani, mbona raha sana. Daima huwa napenda sana misa kama hizi
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Hapo ilikua moshi kusimikwa kwa askofu minde march 19
@emanuelmwenda20404 жыл бұрын
Ahsante sana T.E.C
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
@@emanuelmwenda2040 karibu sana
@user-tx9ml1ep9p Жыл бұрын
Power full of God
@josphatbayyo19264 жыл бұрын
Neno langu ni moja tu kwako Ee, Mungu matendo yako yanatisha kama nn, utukuzwe milele, !!!
@laurentsunta51694 жыл бұрын
Mpaka raha
@kamutua63764 жыл бұрын
aki mimi hufurahi sana kuona muungano kama huu. hawa maaskofu na mapadri wengi mno jmn. mtukumbuke ki maombi jmn hili janga la corona latetemesha nchi🙏🙏🙏
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Tahadhari zote zilizingatiwa
@dithepianomaxter...88973 жыл бұрын
@@KANISAKATOLIKITANZANIATEC kwa kweli najivunia Sana ukatoliki wangu hizi nyimbo nikizisikia napataga Amani Tena ya rohoni kabisa