Jesus Restoration Centre, Mwanza Tanzania. For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa #5252176 #jrcchurch #Tanzania #jrctz
Пікірлер: 81
@user-ym8yy9lc3u11 ай бұрын
Hakika wewe ni mtu sahihi ulieandaliwa na Roho wa Mungu na Mungu akutumie kuufikisha neno Lake masikioni mwetu ubarikiwe sana
@alexismuangerose29774 ай бұрын
Be blessed Ur msg is powerful
@esterijukaine7806Күн бұрын
Ubarikiwe baba kwa somo hili ulilofundisha, namuomba hanisaidie niweze kusimamia nguvu za Mungu kwake.
@user-rh7sb4lo9k5 күн бұрын
Thankyou Jesus for this word, I was weak in my spiritual man but now the word has come to strengthen him.
@magrethsomi43182 жыл бұрын
Wewe ni zaidi ya pastor wewe ni mwalimu hakika. Mungu akibariki sana.From Geita
@apostlezizi Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU,jana nilisoma wafilipi na nilipata mafunuo ya kufunga kwa kutumia neno hilo nililolipata hapo na nikaanza kufunga kavu kabla ya kupita hapa leo na kusikia somo hili nikiwa kwenye mfungo wangu,huu kwangu ni uthibitisho wa ROHO mtakatifu..barikiwa sana mchungaji
@paulinekisalikisali46317 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 siwezi kataa tamaa nitadumu katika imanii
@user-vt4wj1fr2cАй бұрын
Pastor ninakuelewa mpaka najiona nimeshakuwa tajiri na mtu mwenye Nguvu sana katika mambo yote kwa jina la Yesu kristo.
@user-df6ui2yo3h4 ай бұрын
asantie pastor mungu akubariki Sana Hali ZTE umeongea n Nina pitia BT ntavuka kupitia kwake yesu
@rosemaryowory5710 Жыл бұрын
Hakika ninabarikiwa sana tena zaidi nimepata sehemu yangu 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumushi wa Mungu