UNATAKA KUWA TAJIRI? ANZISHA KILIMO CHA MATUNDA YA MUDA MFUPI

  Рет қаралды 6,659

Shamba Darasa TV

Shamba Darasa TV

3 жыл бұрын

KILIMO CHA MATUNDA
Kilimo ambacho kinakua kwa kasi sana kwa Tanzania na kwa Dunia kiujumla,Uhuhitaji wa matunda kwa matumizi ya nyumbani na kiwandani huongezeka mara dufu kadri siku zinavyoenda.Hichi kilimo kinahusisha miti ambayo huchukua miaka miwili hadi mitatu mpaka kufikia mavuno.
Kilimo cha matunda kinaumuhimu mkubwa sana kama
i. Kuongeza kipato endelevu kwa mkulima
ii.kuongeza uhakika wa chakula
iii.kupungua hewa ya ukaa,
iv.kupunguza ongezeko la joto, na kuboresha mkusanyiko wa mawingu ya mvua,
v. kuimarisha utunzaji wa maji aridhini katika maeneo ya mashambani
vi. Hakina gharama kubwa katika utunzaji
Hivyo basi elimu ya utunzaji mzuri wa bustani za matunda ni muhimu ili kuweka mazingira mazuri ya uoto wa kijani, kuhifadhi ardhi na kujihami na mabadiliko ya tabia nchi.
kilimo cha papai malkia f1
gharama za kilimo cha papai
kilimo cha papai mbeya
kilimo cha papai sua
kilimo cha papai morogoro
kilimo cha nyanya
faida za papai
soko la papai tanzania
AINA YA MICHE YA MATUNDA
1. Miembe
 Tomyy
 Red India
 Apple Mango
 Dodo
 Bolibo
 Alphonso
 kenti
2.Ndizi
3.Parachichi
4.Topetope
5.Fenesi
6.Pesheni
7.Komamanga
8. Mbilimbi
9. Chenza
10.Ndimu

11.Papai
 Malkia F1
 Calphonia 12. Tende
13. Sherisheri
14. Zaituni
15.Michungwa
16.Limao
17.Tini
18.peasi
19.Pera
NDIMU ZA AJABU ZINALIMWA TANZANIA
Ukulima wa matunda damu
Kilimo cha matunda kinavyoweza kumkomboa kijana
Kilimo cha miembe mifupiNIMEPATA ZAIDI YA MILIONI 450 KWA KILIMO CHA PARACHICHI
JKU yaonyesha mfano katika kuimarisha Kilimo cha Matunda Visiwani Zanzibar
Vijana Waombwa Kujitosa Katika Biashara Ya Kilimo Cha Matunda
KILIMO CHA MATUNDA
Miche bora ya matunda mbalimbali
Kilimo Cha Strawberry Katika Makopo Morogoro
KILIMO BIASHARA CHA MATUNDA YA PESHENI ;NAMNA YA KUTENGENEZA CHANJA
KILIMO CHA HOHO, KINACHO ZINGATIA TECHNOLOJIA BORA ZA UZALISHAJI KWA MKULIMA.Digital farms
Kilimo cha matunda
Jinsi ya kulima kilimo cha matunda na mboga mboga kwa kutumia miche ya kisasa ukiwa nyumbani kwako
Hii Ni Gharama &Faida- Kilimo Cha Parachichi Kwa Ekari|Madawa,Aridhi,Vipimo,Mbolea,Miche,Uvunaji|A-Z
Kilimo Cha Matunda Ya Strawberry
Kuandaa shamba kwa ajili ya kilimo cha Miti ya Matunda
KILIMO CHA MATUNDA YA PASHENI ...
JIFUNZE KUHUSU KILIMO CHA KISASA CHA MATUNDA ...
kilimo cha matunda ya muda mfupi
soko la matunda ya passion
kilimo cha passion
#shambadarasa
#mkulimasmart

Пікірлер: 6
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 жыл бұрын
IKO POA SANA
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 3 жыл бұрын
KARIBU
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 3 жыл бұрын
KARIBU SANA
@rehemaothuman3764
@rehemaothuman3764 2 жыл бұрын
Video aina sauti kiongoz naomba mawasiliano yako
@michaelluoga3279
@michaelluoga3279 2 жыл бұрын
Mtangazaji hana weled kbsa na kaz yake
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 2 жыл бұрын
kweli kabisa.Lakini anajirekebisha.AKSANTE KWA USHAURI
Smart Farming
3:26
KickStart International
Рет қаралды 15 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 27 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 7 МЛН
Rotten Meat to Chicken Feed in 4 days | Black Soldier Fly Farming
17:07
AIM Agriculture Farm
Рет қаралды 152 М.
KILIMO CHA MATUNDA YA MUDA MFUPI:JIFUNZE KILIMO CHA KISASA CHA MATUNDA
8:04
soko la papai la uhakika lipo njoo ujifunze na upate conection ya masoko ya uhakika 0693157510
4:07
How to become a BILLIONNAIRE farming pawpaw
19:08
EXPLORE TV
Рет қаралды 12 М.
Unique technique for Jackfruit Grafting | how to graft jackfruit tree
11:17
Grafting techniques by Chaitanya
Рет қаралды 992 М.
ALIBEBA ZEGE/SASA ANAINGIZA MKWANJA NA KILIMO CHA MAPAPAI
13:55
Mwananchi Digital
Рет қаралды 23 М.
MAZAO 3 YENYE MUDA MFUPI ADI KUVUNWA
9:25
AGALUS TV
Рет қаралды 36 М.