Рет қаралды 31,816
Mungu husema kwa namna nyingi sana na wanadamu.Na kiu ya Mungu kuongea na wewe ni kubwa kuliko wewe unavyotamani.
Karibu ujifunze kutoka kwa Pastor Sunbella Kyando namna ya kuweza kuisikia sauti ya Mungu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Like our Facebook: / therealityofchrist
Follow our Instagram: / realityofchrist_
Subscribe our KZfaq: / @realityofchristchurch
#Realityofchrist#SunbellaKyando#