Рет қаралды 1,423
Wimbo : PENDANENI NA KUCHUKULIANA
Mtunzi : A.J Myonga
Maisha yetu ni Upendo
Tukahubiri Upendo
Tuuishi Upendo
Pendaneni na kuchukuliana ninyi kwa ninyi maana upendo ndio Amri kuu
Like, Subscribe, Comment share, na tuwe na Upendo Daima na Mungu Akubariki kwa upendo