Upo Tanzania na unapenda kujifunza Kiingereza, Kifaransa na lugha zingine? Hii ni habari njema kwako

  Рет қаралды 1,774

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Mwalimu Charles Mwombeki, anatokea Kituo cha Kimataifa cha Kimataifa cha Lugha,Utamaduni na Maendeleo (ICILD) kinachofundisha kozi mbalimbali kama:
-Kingereza
-Kijerumani
-Kitaliano
-Kifaransa
-Kiarabu
-Kisukuma na Kihaya kwa Wageni.
Kituo hjki pia kinatoa huduma za kutafsiri lugha mbalimbali na Ukalimani.
Kipo Mwanza Isamilo karibu na Maji House au piga simu 0754664933

Пікірлер: 8
@romanustv6365
@romanustv6365 2 жыл бұрын
aisee nimemsikiliza vizur naomba number niweze kufika
@shevchenkokilimila8746
@shevchenkokilimila8746 2 жыл бұрын
Mm nataka kusoma lugha nitasomaje
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
nakubaliana nanyi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@naftaliiddi4780
@naftaliiddi4780 2 жыл бұрын
Jamani mimi nataka niliweke hili wazi na nyie wote mjue Kwasababu nimesikia mtu kasema kiswahili ni cha watanzania jamani kiswahili si cha watanzania ama chimbuko la kiswahili sio hata tanzania kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa 🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️ kiswahili chimbuko lake Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@YoanaRashid-fr4mj
@YoanaRashid-fr4mj 4 ай бұрын
Jmn naomba namba zako plz
@KasminaCreation
@KasminaCreation 8 ай бұрын
Naomba email ya icho chuo please
MANENO MUHIMU YANAYOTUMIKA SANA KWA WARABU, jifunze kuongea kiarabu kwa wepesi somo la 20.
15:47
Muhammad Kipanga محمد كبنغ
Рет қаралды 1,3 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 39 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
Somo jepesi dunia nzima kwa anaetaka kujua kiingereza
3:06
Jifunze Kiingereza na Hassan
Рет қаралды 83 М.