Upungufu wa ilmu ya Muhammad Bachu kwenye funga ya arafa

  Рет қаралды 48,964

Maawy Muhammad

Maawy Muhammad

Жыл бұрын

Пікірлер: 269
@salehothman6144
@salehothman6144 9 ай бұрын
Mwalimu by proffessional ,Sheikh Izzuddin Allah akuhifadhi!
@suleimanjabiri729
@suleimanjabiri729 9 ай бұрын
Acha ushabiki wewe....wote ni wanachuoni...huku kugombana sio dini ni kuupotosha Ummah..
@KassimEdrisa-dd7zh
@KassimEdrisa-dd7zh Ай бұрын
Allah akusamehe Izzu ddin na Makhalafi wenzako
@imranbanda3963
@imranbanda3963 9 ай бұрын
Sh izzuddin may Allah bless you
@user-po7vu1uf2u
@user-po7vu1uf2u 8 ай бұрын
Shekhe wangu bachu nakumisi sana tena nakupenda Allah Akuhifadhi
@AyubuBaruty-of5js
@AyubuBaruty-of5js 8 ай бұрын
Mpend sabab anakupotosha
@user-ns4lc3yg2c
@user-ns4lc3yg2c Ай бұрын
​@@AyubuBaruty-of5jsmfate yule ambae hakupotoshi
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Nyie Maghulafi si wazima munahitaji mupimwe akili!sasa huyu anazungumza nini!
@user-ns4lc3yg2c
@user-ns4lc3yg2c Ай бұрын
@@AliSalim-yu4mo ww kama humuelewi si lazima kumskiliza
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
@@user-ns4lc3yg2c America muhadhara ili watu wasikilize!sasa ikiwa amefanya hivyo aseme lililo Sawa sio utashi wake na kupotosha maana halisi ya dini!kama ana hadithi akawaeleze wajukuu wake sio ktk hadhara!wachenzi ushabiki usio na tija dini sio ushindani wa vyama vya siasa wala mchezo wa mpira
@OmarOmar-zh3rq
@OmarOmar-zh3rq 22 күн бұрын
MashAllah mtoto wa Bachu.
@hassanakida149
@hassanakida149 Ай бұрын
Mashekh wengine tuongezeeni uelewa na hawa mashekh allah awakunjulie upeo ktk maslahi ya dining hii
@idriskinye1190
@idriskinye1190 9 ай бұрын
Bachu ALLAH akuhifadhi
@user-jh3bs3kb2k
@user-jh3bs3kb2k 8 ай бұрын
Mohd machu atumwa na mayahudi Aache ujinga arudishe haki ya palastin
@josephbwire1232
@josephbwire1232 Ай бұрын
Sheikh muhammad Allah akuhifadh
@saidjuma1025
@saidjuma1025 9 ай бұрын
bachu ebu fwata misingi kama aliokuwa nayo babako.utapotea sheikh.your days are numbered bachu
@user-uk1fg6ki7o
@user-uk1fg6ki7o 9 ай бұрын
Allah awe pmoj na waislm wote waliokua hawajapotok Kam bachu lkn pia aache kula pesa ALLAH anamuon na adhab zake ni Kal kuliko uongo wake
@marialumbanga
@marialumbanga Ай бұрын
Masha allah bachu allah azid kukupa pumzi uwafafanulie wasio elewa allah akbar
@AbdulMashanga
@AbdulMashanga Ай бұрын
Ningefulai kama viongozi wa pande mbili mkaitana mkaelekezana vizuri tuna matatizo mengi hamuyawezi mnabaki kulumbana kwenye mitandao mnazingua sana mnajizalilisha niaibu muislamu na muisilamu mnalumbana tunakwenda wapi itaneni mzungumze.
@catchall9364
@catchall9364 10 ай бұрын
Bwana mdogo hata tukijaalia uko sawa katika kukosoa lakini jifunze kuwa na utaratibu mzuri wa kiadabu na heshima na unyenyekevu, si nyinyi ndo huwa kila kitu mnasema Mtume SAW hakufanya, basi hata namna ya kukosoa Mtume SAW hakufanya kwa utaratibu wako huo wa kuwakejeri wapinzani wake.. Kwa hiyo ndio Bid'a yenyewe sasa..
@suleimanbilal3327
@suleimanbilal3327 9 ай бұрын
ni kweli habiby,masheikh wa kianswar hawajafu hawajafundishwa adabu ya kielimu
@abdulkipengele
@abdulkipengele Ай бұрын
Mashaallah hapo nmeelewa siku ni mwez 9 kwa kalenda ya mwez nilipo Mimi nasio kuangalia st Makkah wamesimama Arafa au laah hapo nmeelewa shekhe jazakllah khaila🎉
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Nadhani Mtume (saw)hujamsoma vizuri au hujamsoma kabisa!yy alikuwa mkali pale anapolizungumzia Jambo la dini linapovurugwa Kwa makusudi!na si yeye Tu ha Maswahaba wake
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
@@abdulkipengelehuo ni uzushi!na hata hicho kisimamo kiwe mwezi Tisa lkn hakuna hoja hata moja ambayo umesema Mtume alisema watu wafunge mwezi Tisa!yy alisema tufunge Siku ya kisimamo cha Arafa Kwa wale wasiokwenda hijja ili waungane na wenzako walioko ktk hicho kisimamo ili nao wapate fadhila ya siku hiyo muhimu ktk maisha yetu ambayo inapatikana mara moja Kwa mwaka
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
Hoja ya kila Nchi ina mwezi wake ni Msiba. Maana ikhtilaaf ya matwaalii Nchi Moja zatofautiana zaidi ya masaa Tisa na baadhi ya Nchi hata mwezi hawauoni hata iwe mwezi 6 mwindamo seize mwezi 29 au 30
@isaack100
@isaack100 20 күн бұрын
Binafsi nlikuwa nampenda sana bhachu lakini kwa clip alipuulizwa wamerekani wajapani watapataje kufunga siku mahujjaji wako arafa kwasababu wakiamka marekani uwanja mahujaj hawapo?wallah bhachu alijibu kuwa nchi zingine Allah hajawapa fadhila hizo!jamani Allah anaweza wadhulumu watu flani maisha kwasipate fadhila hzo za arafa na akawapa wengine
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
Sh. Nuzdin Pametajwa Siku na siku NI masaa 24.
@suleimanamour1839
@suleimanamour1839 4 ай бұрын
Mashaallah
@SelemaniMajengo-fg7nv
@SelemaniMajengo-fg7nv Ай бұрын
Ninyi wanazuoni hii ni ikhlafa na nyote mko sahihi; hivyo yeyote kati yenye atakayekazia hoja yake na kuidhoofisha hoja ya mwenzake atakuwa hana ilmu kubwa. Haya Nambo yamebainishwa wazi kwenye qur an kuwa mambo ya miaka na tarehe ni kwa ajili ya watu na matukio yao. Miaka ya akhera haina mahusiano ya moja kwa moja na miaka ya kidunia. Hunched Allah Subhaanahu wa Taala.
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 10 ай бұрын
Kelele mbona kua mpole.Mwangalie Sheikh Mwenzako anavho sema kwa upole.Hiyo ni dalili tosha maneno yako ni urongo
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 9 ай бұрын
Huyu mtoto wa bachoo hana adabu kabisa yaani anatilisha hasira mpaka MTU unatamani umweke sawa kwanza kumchapa kibao au bakora maana hana adabu wala Nidhamu ya kuongea na elimu pia bado sana lakini yeye hataki kusoma wala wanaomfuata pia, someni dini ni kusoma na sio kufuata MTU Fulani kama huyu mtoto wa bachoo na mfano wake
@user-zg8fy2tp1h
@user-zg8fy2tp1h 10 ай бұрын
Mawahabi mbona mnakuwa na hasira someni msitafute umaarufu kwenye midea
@user-bg6ph3jt5j
@user-bg6ph3jt5j 26 күн бұрын
Nasiku na sahaa zapishana
@salimmuhsin9907
@salimmuhsin9907 10 ай бұрын
Umeuona au umepewa taarifa
@zainabusadi6469
@zainabusadi6469 9 ай бұрын
Mawahabi mlicho kisoma ni hasira hamna elimu hata kidogo kwanza hamna hekima mnacho jua ni kuropoka tu..!
@KassimEdrisa-dd7zh
@KassimEdrisa-dd7zh Ай бұрын
Wewe una elimi gani
@zainabshariff114
@zainabshariff114 9 ай бұрын
Allah amusamehe mutoto wa bachu ajui anacho kisema
@user-hk4je2yr3q
@user-hk4je2yr3q 5 ай бұрын
Ww acha kutuna sheikh kwani huyu mwali wa dhefe nibora kuliko bachu duuuuh😊
@SoudShuraim
@SoudShuraim 21 күн бұрын
Bachu kichwa izudin hamna kitu,
@AliKhamis-zm1ki
@AliKhamis-zm1ki 9 ай бұрын
Saud saiv tunasali isha sa 1 :5 je dunia nzima inafaa kufata sheikh upo sahihi Allah atuhifadh mana kuna watu saiv wanatumia dini kama ushindane na mapambano wanasoma kwaajil ya challenge
@MohamedAli-lj2zl
@MohamedAli-lj2zl Ай бұрын
Sema sijuiiy
@AbdallahShekhan-qx3kp
@AbdallahShekhan-qx3kp Ай бұрын
Huyu Bachu ni kichaa na anakula ngada namuuuliza Arafa ni kufunga au kusimama vilima vya Arafa mpumbavu wee hapa watu wafunga sunat l hajj ambayo inafungwa mwezi 9 siyo kusimama Arafa nenda kasome utalaaniwa na Allah kwa uongo wenu Mawahaab
@Hamedmutta
@Hamedmutta 2 ай бұрын
Muhammad Bachu ajue kuwa uislaam mwenyezimungu aliapa kuulinda. Yeye ataangamia yeye uislaam utabaki.
@saadkhamis511
@saadkhamis511 9 ай бұрын
Mashaallah sheikh
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 10 ай бұрын
Alhaj yaumul arafat, sasa sie wa huku hatuhijii et waloambiwa watu wa Arafat, na ufaham wale walokuwepo uko hawafungi tunofunga ni sie tu
@user-qq2mx8hd4d
@user-qq2mx8hd4d 9 ай бұрын
Hi Uganda Kampala
@user-ns4lc3yg2c
@user-ns4lc3yg2c Ай бұрын
Tanzania
@AhmadAbdallah-pp3ij
@AhmadAbdallah-pp3ij 9 ай бұрын
Kwan Bachu una shida gani ww? c urud ten madrasa ukasom ten
@nadeemadams-mr3bs
@nadeemadams-mr3bs Ай бұрын
Muhammad Bucha need to learn more Ilm Fiqh
@abubakarahmed3010
@abubakarahmed3010 9 ай бұрын
Namwambiya hoyo fidhuli bachu kuzungumza kuna adabuyake wewe umeandikiwa katasini unasoma kisha wataka kushindana na wasomi. Nailimu siyo kuwa wajuwa kataba meandika qaraa amesoma ukajiyona tayari wewe nimsomi nenda kasome Kisa uje ushindane nawasomi
@AthumanMohamed-xq1qe
@AthumanMohamed-xq1qe Ай бұрын
Mtoto wa bachu kasome alafu ulewe elimu
@abdulsaid1721
@abdulsaid1721 9 ай бұрын
Mimi. Naona. Watuwengi. Wanafikiri. Dini. Ni. Mazoeya. Au mazoea. Kasomeni. Hatawakiiyona. Haki. Hawaitaki kwSababu. Ya. Mambo. Alioyazoea. Mwashehe wengi wa. Kenya. Inabidi. Watoke. Nje. Wakasome kwa. Mashehe. Tofauti. Ili. Wajue. Tafauti Walivyo ya zoea. Huuni. Mtihani kwenu bachu. Wasomeshe. Mpaka. Waelimike.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 9 ай бұрын
SWALI LA ARAFA MOJA?! Kipindi cha kuanzia kwa Mtume (S.A.W) mpaka kwa makhalifa wote wanne waislam ktk miji ya mbali na Makkah kwa mfano Sham, Madina na kadhalika kote duniani walikuwa wakifunga arafa kwa siku moja? ikiwa wote hawakufunga siku moja na walifata tarehe za muandamo wa mwezi wa maeneo ya miji yao, swali wale wa miji ya mbali ambao hawakufunga sawa na siku ya arafa pale Makkah je walikuwa hawana funga na arafa yao ilikuwa Batwil?!
@abubakarhassan6935
@abubakarhassan6935 9 ай бұрын
Shekh Muhammad bachu anapotoa mawaidha hebu atoe kwa pole pole na makini watu wamuelewe anayo yatoa sio kupiga kelele mpaka unao yasema hayashikiki wala kutoelewesha mtu,,,
@Africa822
@Africa822 9 ай бұрын
Bachu anawapa Waisilamu changamoto, hakatai Maulid yeye anakata wale wanaokata viuno kwenye Maulid😅
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 Ай бұрын
يوم عرفة هو يوم الوقوف على جبل عرفة أو عرفات في التاسع من شهر ذي الحجة. قال النيسابوري: «عرفات جمع عرفة»، وقال الطبرسي: «عرفات: اسمٌ للبقعة المعروفة التي يجب الوقوف بها، ويوم عرفة يوم الوقوف بها».[10] هناك عدة أقوال لتسمية عرفة بهذا الاسم، فقد قيل بأنها سُمِّيَتْ بذلك لأن آدم عرف حواء فيها، وقيل لأن جبريل عرَّف إبراهيم فيها المناسك، وقيل لتعارف الناس فيها، وقيل بأن الكلمة مأخوذة من العَرْف وهو الطيب؛ كونها مُقدَّسة. إلا أن الروايتين الأكثر تأكيدًا هما أن أبو البشر آدم التقى مع حواء وتعارفا بعد خروجهما من الجنة في هذا المكان ولهذا سمي بعرفة،[11] والثانية أن جبريل طاف بالنبي إبراهيم فكان يريه مشاهد ومناسك الحج فيقول له: «أعرفت أعرفت؟» فيقول إبراهيم: «عرفت عرفت» ولهذا سميت عرفة.
@HamadialiAnasi-nd9py
@HamadialiAnasi-nd9py Ай бұрын
Hivi ilipozuiwa hija kilikuwepo kisimamo cha arafa? Watu walifunga siku gani
@mikidadiyusufu5666
@mikidadiyusufu5666 Ай бұрын
Aaaaaaaa masikini jamani Mtoto wa bashuww mweupe kabisa
@Omanzikra-ft5cr
@Omanzikra-ft5cr 11 күн бұрын
Mtume wetu ametuambia tufunge siku ya arafa ndio tunafunga yaan aswaum yaum arafa mm nipo hapa omani waarabu wanaivunja kalenda yao ya tarehe 8 sijui 9 wanafata makka tunafunga siku mahujjaji wamesimama arafa sheikh bachu yuko sahihi ila nyinyi masheikh zetu nimtihani kwetu
@AbausAhmad
@AbausAhmad Ай бұрын
Bachu njoo nikufundishe n aibu hyo nafkiri nilikuwekea namba Yangu unitafute Kwa Fani yeyote utakayo kufundishwa
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
WEWE UNAEJIFANYA MSOMI SANA MBONA KILA SIKU UNAOTOSHA NA MAMBO CHUNGU NZIMAYA B' DAA???
@salmjamal2137
@salmjamal2137 9 ай бұрын
Mwezi wa Kenya na Arabuni kuna tafauti ya masaa mangapi ki ukweli mashekh wengi naona wanachuki tu na arabuni tu mara ngapi tumefungishwa Ramadhani makosa makosa tumeweka lazima tuone mwezi wetu kenya siku ya pili tukiangalia mwezi siku ya pili mwezi wakaa mpka saa mbili iliyobakia hapa kila mtu na akili yake Allah atuhifahdhi
@jelluzrahiim6474
@jelluzrahiim6474 8 ай бұрын
Qiyaama Mtume Wetu Muhammad PBUH Alisema Kitasimama Lini..!??
@FatumaMwaduga
@FatumaMwaduga Ай бұрын
Kodin cku inabadilisha saa 1 uck jaman Hivyo km Saudis ukichomza mwezi saa 12na nusu sisi kwetu bado ck haijabadilka hivyo huwezi kuangalia mwezi saa2 ucku kwa hivyo tutaangalia mwezi kesho yange magharibi , hayo ni makazi yangu bianchi lakin
@norobertmakulu7131
@norobertmakulu7131 Ай бұрын
mwenyiezimungu alijua kua kunawatu watajifanya wajuaji nandio maana yeye alisha ondoa utata kuhusumwezi na funga akasema yakwake yeye fungeni mtakapo uona mwezi na fungueni mtakapo uona mwezi endapo hali yahewa itakua sababu yakushindwa kuonekana inamaana utakapo kuja kuuona ww lazima utakua mkubwa lisikupeshaka jambohilo hata robo maana mwenye funga yake ndie aliesema ww ukatae wenani kumbuka tumeambiwa tunapo itilafiana turudi kwenye kitabu kitukufu quraan tupate hukumu ya hilo jambo maana hapondipo panapo patikana majibu yenye uhakika nduguyangu
@khamisomar889
@khamisomar889 Ай бұрын
Kwahiyo majina ya mwajuma na fatuma hayaana maana kwa mujibu wa bachu, basi mtume alikosea kumwita mwanawe fatuma
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
KAONGEZE ELIMU NA WEWE NDO UANZE KUKOSOA!! ALAFU CHA AJABU MBONA NYIE MATWARIQA MNAMZUNGUMZIAI IMAMU SHAFI PEKEE NA HAMUWAGUSI WENGINE??
@user-fw6qd1mh4y
@user-fw6qd1mh4y 9 ай бұрын
nyie mnao sema bacho hajasoma hamjui km baba yke alikua nimwalim?bachu Allah akuhifadh maan umewatetemesha w2 wazima hlf ww mtot nampka waseme😊
@gozbethedwinlupogo1018
@gozbethedwinlupogo1018 5 ай бұрын
Ww uliesoma tuambie
@SafiniaChande
@SafiniaChande Ай бұрын
Kweli hatambulikani
@abdulsaid1721
@abdulsaid1721 9 ай бұрын
Bachu hakuna kuwaona haya wasomeshe. Mpaka. Waelimike.
@AmCool_
@AmCool_ 9 ай бұрын
Kwenye Dini hakuna ushabiki
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 9 ай бұрын
Atawasomesha wajinga wenziwe
@HemedSerious
@HemedSerious 3 ай бұрын
Asomeshe kupitia kuropoka?
@hamidaawadh9024
@hamidaawadh9024 Ай бұрын
​@@rashidsuleiman9253huo ni mtazamo wako
@mwavamwambarkissensi7586
@mwavamwambarkissensi7586 9 ай бұрын
Naona nilicho kielewa hapa bachu yupo sahihi kabisa inamaana mwalimu mwezi ukionekana Dubai atufungi jamani kweli dah bachu yupo sahihi kabisaaaaaa maana Dunia ni moja tu tunatofautiana masaa tu.
@AbdallahShekhan-qx3kp
@AbdallahShekhan-qx3kp Ай бұрын
Asilimia kubwa ya Mawahaabu ni walevi na ndio maana wanapotoa mihadhara lazima watumie lugha chafu
@aminabakar9248
@aminabakar9248 Ай бұрын
Wew bachu nd wa kwanza kumpata uyo mwatima😂😂😂
@IbrahimNtirenganya
@IbrahimNtirenganya Ай бұрын
Nyinyi ni wapingzani waliongombeya ulimwengu unawajuwa Allah awaongowe
@user-dg8dt5bg7q
@user-dg8dt5bg7q Ай бұрын
Tatizo bachu we kelele tuu!! Huna ilimu bro!!! Ibn hutheimi pia amekataa hayo maneno yako bachu hebu Kaa chini usome!!!
@RahiaHamisi
@RahiaHamisi Ай бұрын
Kabisa yani
@AliKhamis-zm1ki
@AliKhamis-zm1ki 9 ай бұрын
Mm naishi saud saudi wanafata calendar sio kuangalia mwezi
@user-mw6nv4vc1x
@user-mw6nv4vc1x Ай бұрын
Amefukuzwa Zanzibar haruhusiwi kufanya daawa ndio mawahabi wa Kenya wamempokea asitirike Zanzibar amepigwa marufuku kutoa khutba ya aina yyte mahali popote tosheka na Hilo tu kuwa mtu amefukuzwa kwao
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Ай бұрын
Sheikh bachu nakuelewa saw wakiondosha uboshi na kukusikiliza watakuelewa
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 10 ай бұрын
Istaghfifullah ana maanisha Nini arafa kuifananisha na majina ya Wana wake?waislaamu huyu kijana tumwangalie Kwa jicho la tatu atapotosha uma.marhemu babaako alikuja mstaarabu lkn yy amekuwa fedhuli.
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 10 ай бұрын
Kweli
@user-xn5je7uv3e
@user-xn5je7uv3e 9 ай бұрын
Mukiambiwa ukweli mwasema mwapotolewa ukweli unauma
@user-xn5je7uv3e
@user-xn5je7uv3e 9 ай бұрын
ifikie wakati muujue ukwel
@amohammed3390
@amohammed3390 9 ай бұрын
Kusema ukweli hakutaki elimu kubwa Kama anachokisema ni sahihi
@mwinyiashaka
@mwinyiashaka 9 ай бұрын
Duh.
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 9 ай бұрын
huyu bachu Hana elimu ndiomana hata hekima nabusala kakosa pia
@Hamedmutta
@Hamedmutta 2 ай бұрын
Muhammad Bachu ni kichaa
@NuwayraHamidu
@NuwayraHamidu 2 ай бұрын
Astaghafirullah
@hosinali8164
@hosinali8164 9 ай бұрын
Wewe bachu Simtu mzuri
@suleimanjabiri729
@suleimanjabiri729 9 ай бұрын
Mtu mzuri utakuwa wewe.....acha ushabiki wa dini....ummah unapotoka kwa ushabiki wenu huo
@hassaniddihassan9085
@hassaniddihassan9085 9 ай бұрын
@@suleimanjabiri729 umma mnaupotoa nyinyi kwa elimu zenu ndogo mnaft fikra zenu
@AthumanRajabu-pg4of
@AthumanRajabu-pg4of 3 ай бұрын
Msikilize huyu shekhe ata hay kwani hija hufanyka maka au tz
@AthumanRajabu-pg4of
@AthumanRajabu-pg4of 3 ай бұрын
Wewe unajinasibasha na shafii lakini una at chembechembe za imamu shafii
@user-dr9wz4nn1k
@user-dr9wz4nn1k 22 күн бұрын
Mbona mwezi ukionekana saudia na hapa tukiona mwezi huwa ni mwezi ya siku mbili
@AthumanRajabu-pg4of
@AthumanRajabu-pg4of 3 ай бұрын
Acheni ushabik kinana anajua kwani mnataka tue naidi yetu fikihi ndo Nini acha kuwadanganya watu Dunia saivi aina siri
@mohamedmwatuwano5526
@mohamedmwatuwano5526 Ай бұрын
Nyinyi masheikh, tangu Mtume wetu aondoke duniani, jambo hili bado lina utata baadhi yenu? Nawaomba mtayarishe kongamano mjadiliane mpaka mtupe msimamo mmoja. Hizi video haitoshi. Kutaneni mjadiliane.
@HawaOmary-fb6wo
@HawaOmary-fb6wo 10 ай бұрын
HUYU BACHU huwa anavuta bangi a
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 9 ай бұрын
Kweli huwa anavutishwa na mamako choon tena
@suleimanjabiri729
@suleimanjabiri729 9 ай бұрын
Kama anavuta bangi wewe utakuw muuza bangi.....acha Shub-ha na ushabiki katika dini.... tafuta wanachuoni ukasome
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Ай бұрын
Bachu anazunguka zunguka tu hapo Kwa msaada wa usanii wake wakuongea, kwenye hoja anapivwa bao
@KoyoKoyo-z6b
@KoyoKoyo-z6b 2 күн бұрын
Nawale mchana WA Saudia kwao Ni sa nane usiku je Wana ipataje arafa swali kwenu ma Wahabi saidianeni tupate jibu
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 10 ай бұрын
Huyu naye elimu ndogo
@sharifnassor4417
@sharifnassor4417 Ай бұрын
Shekh kisimamo cha Arafa kinafanyika mwezi ngapi?
@ibrahimabdallah1643
@ibrahimabdallah1643 Ай бұрын
Kasome MTUME ALIFUNGA ARAFA kabla ya kufaradhishwa HIJA je alikua Hana Arafa toto jinga Sana UWAHAB unawatafuna Sana
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Yaani Kwa kweli nyie Masufi muna shida kweli kweli!ktk suala hili la Funga ya Arafa Mtume ameisemea nini tufanye siku ya Mahujaji wakiwa ktk kisimamo cha Arafa!wacheni ushabiki!NENDA kaangalie ktk Kitabu cha Ibn MAJAH,TIRMIDHII,ABU DAUD NA HATA KTK RIADHATUL SWALIHINA" hivi vyo kaangalie ktk mlango wa "BABU SIYAMII"ili uone vp maelekezo ya Mtume(saw)
@AllyAbdallah-tn5xb
@AllyAbdallah-tn5xb Ай бұрын
Bachu Ata mimi namuweza.. Eti tunafuata kule.. Je siku ikitokea hawapo Je hufungi na utakua huna iidi?
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez Ай бұрын
bachu shekh wangu hapo hapana kwani hao saudia wanajuaje kama leo siku ya arafa? kiakili haingii fikiri vizuri acha kupoteza watu kabla ya hapo hakuna technology ya leo kuona hukomakka zamani walijuaje au mungu alikuwa ajui? acha hizo sio lazima kila kitu kupinga.
@amohammed3390
@amohammed3390 9 ай бұрын
Huyu anapinga makalafati yanayoingizwa kwenye dini. Na hawa wanaoitwa Masheikh waiosoma wamejaa makalafati na imekuwa ni mazoea na wanayaita ni dini au sehemu ya dini kwa mazoea tu hawana dalili yoyote. Ndio kama wale makafiri enzi zile. Tumewaona baba zetu wakifanya na sie tunafuata. Hata kama babazenu walikuwa hawajui kitu
@ZidiniZidini
@ZidiniZidini Ай бұрын
siku ya arafa
@user-bg6ph3jt5j
@user-bg6ph3jt5j 26 күн бұрын
Naaam nimefaidika sn ila ni kweli cheikh kwanini mda wasala Maka atusali
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 10 ай бұрын
Kuna point zengine za Bachu zinamashiko sana.
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 Ай бұрын
Huyu bachu ndo mbumbumbu kweli kweli, Kisha ni mjinga hajijui !!!😅😅
@user-zf7ft8eg1x
@user-zf7ft8eg1x 9 ай бұрын
Ww Muhammed acha kujifanya sana kwakuwa una elimu unajifanya kwakuwa babaako alikuwa shk mkubwa wako waliosoma kuliko ww acha kujionesha ww unapenda sifa t huna mawadha yyote hemu jitafakari ww
@user-hp5ep5jd2n
@user-hp5ep5jd2n 9 ай бұрын
Bachu mvaa vikuku
@user-hk4je2yr3q
@user-hk4je2yr3q 5 ай бұрын
Ww acha hivyoo
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 12 күн бұрын
Kwani mtumiii alikua lamuuu ata ahusishe si alikua makka izu unajizonga
@mikidadiyusufu5666
@mikidadiyusufu5666 Ай бұрын
Mtoto wa bashuww mweupe kabisa Hana jipya mwehuw 22
@abualwi2442
@abualwi2442 9 ай бұрын
Bachu elimu yako iko chini bado yatakikana usome zaidi kabla ya kumkosoa mwenzako bila elimu
@shazyahya4121
@shazyahya4121 8 ай бұрын
Tunaitaji vijana kama mohammad bachu wafike 1000 in East Africa ili kuelimisha jamii ya kiislam kwasababu watu wa bidaa na shirki wanaongezeka kila siku na ndio madaraja ya wayahud hao wazee
@wasameh5909
@wasameh5909 Ай бұрын
Kawtafute na ww nichizi kama bachu wako
@MizaniOnlinetv
@MizaniOnlinetv 3 ай бұрын
Funga ni tarehe 9 wala si kisimamo ya arafa
@user-xn3kz4mc4v
@user-xn3kz4mc4v 9 ай бұрын
😂😂 sema sijui tu bachu
@Hamedmutta
@Hamedmutta 2 ай бұрын
Muhammad Bachu audio shule badge kinda
@user-hk4je2yr3q
@user-hk4je2yr3q 5 ай бұрын
Km bachu elimu yake ya chini huyu mwana wa zuoni yuna arafa yake ya kipekee mm sikuelewi hswa mwambie huyu sheikh wenu ajifuze kuelewa hakuna arafa ya Kenya nyny mmezidi
@Africa822
@Africa822 9 ай бұрын
Ivi munajua kua SOUD ARABIA NA TANZANIA HATUNA TOFAUT ATA MASAA 2
@user-ns4lc3yg2c
@user-ns4lc3yg2c Ай бұрын
kuna baadhi wanabisha tu hawajui hata tukovipi kimajirana na Saudia
@user-on1vh9nf9k
@user-on1vh9nf9k 10 ай бұрын
Acha ujinga wewe bachu soma ujue maana
@abdulsaid1721
@abdulsaid1721 9 ай бұрын
Bachu. Hakuna kuwaonea haya hao. Wasomeshe. Mpaka. Waelewe. Waache. Walioyazoea
@user-xn5je7uv3e
@user-xn5je7uv3e 9 ай бұрын
mtoto wa bachu uko sawa sana walio wengi hawakuelewi unapoelimisha mambumbumbu
@suleimanbilal3327
@suleimanbilal3327 9 ай бұрын
wewe na bachu wenu ndiyo mambumbumbu hamzifaham hadith
@user-xn5je7uv3e
@user-xn5je7uv3e 9 ай бұрын
@@suleimanbilal3327 ww unazifahamu lkn mnazusha mambo ya kipuuzi ktk dini
@user-xn5je7uv3e
@user-xn5je7uv3e 9 ай бұрын
@@suleimanbilal3327 hii dini imeshakamilika haihitaji niongeza
@AbdallahShekhan-qx3kp
@AbdallahShekhan-qx3kp Ай бұрын
Labda mnamuelewa ninyi wapotevu mtu mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza mvuta bangi huyu
@sharifnassor4417
@sharifnassor4417 Ай бұрын
Kwamfano mtume angalikuwepo . Mtumeametangaaza siku ya Arafa je! Utapinga ? Je! Wale walio saudia ambao hawakufanya Ibadan ya Hijja wao hawaendani kufunga sikuile ya kisimamo cha Arafa wakafunga siku yapiliyake je inawezekana ?
@mikidadiyusufu5666
@mikidadiyusufu5666 Ай бұрын
Aaaaaaa masikini jamani mbona Mtoto wa bashu hanakitu mtpu kabisa
@alyamuhammad1172
@alyamuhammad1172 9 ай бұрын
Si bachu ni bachoo hajui hata anasema nn yy nimapaka nimwajuma akapimwe akili huyu hako sawa
@suleimanjabiri729
@suleimanjabiri729 9 ай бұрын
Huo ndo uislamu tulokuwa nao sie....kugombana na ushabiki mwingi wakati yapo mambo muhimu ya kuelekeza ummah katik khairat....tuache ushabiki wa dini
@mwavamwambarkissensi7586
@mwavamwambarkissensi7586 9 ай бұрын
Dah nidi yetu waliyo na elimu ndiyo wanao tupotosha sisi tusiye na elimu pia Mimi huwa nashangaa Sana babishano haya huwa ayaishi milele Hadi mwisho wa Dunia kama vile kwenye mfungo wapo wanao Anza na wanao wai kufunguwa na kusali iddi Sasa sijui huwa najiuliza hii Dunia kwa sisi waislam IPO mala mbili tunapotezana Sana ndiyo maana malumbano ayaishi kwa dini yetu.
@yahyaayoub4999
@yahyaayoub4999 9 ай бұрын
Hayawezi kuisha kwa sababu kuna watu wametumwa kuja kuvuruga Uislamu, hao ni makafiri waliojificha ndani ya Uislamu na wengine tukiona wapo sahihi. Arafa vitabu vyote vinasema ni mwezi 9, havijasema Makka watasimama Araffa. Wewe kwako mwezi tisa ni siku gani? Hiyo ndiyo siku ya Arafa kwako popote ulipo
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
MASWALI NA MAJIBU KWA SHEIKH MUHAMMAD KUSOMA (BIDAA) IGOMA MWANZA 2024
27:56
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Ali Bahero | Part 2
11:58
ALI FAZA
Рет қаралды 19 М.
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
8:26
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 10 М.
Je kumramba mumeo au mkeo ni haram au jaaiz || Ustadh Haji Upepo afafanua kielimu
13:19
MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ
1:31:53
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН