URITHI WETU-EPISODE 2- PANGANI

  Рет қаралды 12,325

MLIMANI TV UDSM

MLIMANI TV UDSM

7 жыл бұрын

Kipindi cha Urithi Wetu ambacho kinauzungumzia kwa kina mji wa Pangani pamoja na Malikale zake, mbali na hilo kipindi hiki kinaangalia uwajibikaji wa serikali katika kuendeleza Malikale hizo ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wananchi wa Pangani ili waweze kufaidika.

Пікірлер: 31
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 3 жыл бұрын
I miss Pangani yetu Mtaa wa malindi ndio nyumbani kwetu, nilizaliwa katika hospitali ya zamani 1957 ambayo baadaye ilifanywa kuwa jela. Allah ubariki huu mji Maarufu wa Pangani, I 🤲🏽
@vampire9464
@vampire9464 2 жыл бұрын
Ameen ameen
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Duh pangani yetu ilikuwa nzuri sana tofauti na sasa. Nimemiss sana mji wangu wa mkoma pangani. 21.11.21.
@mohamednassor1891
@mohamednassor1891 3 жыл бұрын
Allah akujaalie afya mzee wangu khalfan
@dareenali6086
@dareenali6086 3 жыл бұрын
Tumefurahi kukuona Mzee Khalifa we all miss our Pangani
@helenmark7965
@helenmark7965 5 жыл бұрын
Pangani ni mji mzuri sana na una vivutio vingi sana vya utaalii 100% maskini mji wetu umesahaulia I love Pangani....
@eliasasikoro9646
@eliasasikoro9646 11 ай бұрын
Bigup sana mkuu wetu BiZainab utatufikisha mbali mbele sana Pangani
@ramadhaniadammakange3639
@ramadhaniadammakange3639 4 жыл бұрын
I love pangani,I raised up there in (Bushiri)One love let's keep Pangani great again.from port Elizabeth south Africa.
@fadhilasalim7464
@fadhilasalim7464 3 жыл бұрын
Mashaallah nimefurahi kuiona pangani mahali nilipozaliwa
@khadijatonge3636
@khadijatonge3636 3 жыл бұрын
Mashallah
@josephkapinga652
@josephkapinga652 5 жыл бұрын
Asanteni kwa jtihada kabambe pangani tuhamasike Tanzania tuhamasike
@christopherkimea8514
@christopherkimea8514 4 жыл бұрын
Nimeipenda historia ya Pangani
@ummukulthumkhalid5587
@ummukulthumkhalid5587 2 жыл бұрын
Haiwezekani kunufaisha mmja mmja ila mapato yanaleta maendleo...mungu aibariki pangani na watu wake
@khadijatonge3636
@khadijatonge3636 4 жыл бұрын
Pangani yangu🌹🌹🌹❤️
@moramtanga-dar7372
@moramtanga-dar7372 2 жыл бұрын
Mungu ibaric pangani from namibia
@rajabsaid5862
@rajabsaid5862 5 жыл бұрын
T his December, i have intended to visit Pangani, ishaallah
@ramadhaniabdallah5695
@ramadhaniabdallah5695 2 жыл бұрын
Mji wetu ukumbukwe jamani pg yetu
@lawskuli9876
@lawskuli9876 Жыл бұрын
PANGANI is a nice historical ancient town in Tanzania
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 Жыл бұрын
Haaaaa pangani kwetu
@hidayaomary9279
@hidayaomary9279 3 жыл бұрын
Pangan yetuchangamoto barabara pangani had I mkata
@ummukulthumkhalid5587
@ummukulthumkhalid5587 2 жыл бұрын
Haiwezekani kunufaisha mtu mmja mmja ila kupitia kodi na malipo wanayoyafanya wataalii hufaa katika maendeleo ya mji...labda jambo moja ni kua wilaya haitumii pesa zinazopatikana kupitia utaali kuborosha system ya utaalii wilayani kama kukarabati majengo
@tamashanyerere1448
@tamashanyerere1448 4 жыл бұрын
Rashid Mbu nimekupata
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
utamu wa pangani tanga kzfaq.infotCBzinpfQWo?feature=share
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
mkoa gani huu😃😃 kzfaq.info/get/bejne/ntJykrhmldmlaXU.html
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
wazee wa pangani tanga hawaziki😭😭😭😱 kzfaq.info/get/bejne/f7WViNWFssutlmg.html
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Hao ndio waswahili wenyewe hapo ni uchawi kwa kwenda mbele
@eliasasikoro9646
@eliasasikoro9646 11 ай бұрын
Ee bwn ww unaecomment vibaya dhidi ya Pangani tuache na Pangani yetu,tutatoboa na viongozi wetu tukishirikiana
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
utamu wa pangani tanga kzfaq.infotCBzinpfQWo?feature=share
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
mkoa gani huu😃😃 kzfaq.info/get/bejne/ntJykrhmldmlaXU.html
@muhuniwatangacomedy6727
@muhuniwatangacomedy6727 2 жыл бұрын
wazee wa pangani tanga hawaziki😭😭😭😱 kzfaq.info/get/bejne/f7WViNWFssutlmg.html
Umuhumu wa kuifahamu historia ya Tanzania
23:18
Azam TV
Рет қаралды 452
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 3 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 79 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
URITHI WETU-EPISODE 3-AMBONI
25:50
MLIMANI TV UDSM
Рет қаралды 3,2 М.
MAKONDA AINGIA PANGANI KWA TREKTA HADI KWENYE MKUTANO
2:28
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 М.
Pangani
23:43
Vinold Mkenda
Рет қаралды 62
Hapa Ndipo OLDUVAI GORGE, Eneo Alilokutwa Binadamu wa Kwanza, Jionee!
10:00
"TUNAFUNGUA BAHARI KUTOKA PANGANI HADI ZANZIBAR"DC ZAINABU
3:22
Tanga TV Online
Рет қаралды 1,9 М.