USHAMBA HUU! Gari ya LEMA Yawaduwaza Wazungu

  Рет қаралды 56,243

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

USHAMBA HUU! Gari ya LEMA Yawaduwaza Wazungu
Kila mtu ana ushamba wa kushangaa kile anachokiona cha tofauti kwa mara ya kwanza, kwa wazungu hawa ilikuwa ni tofauti kidogo wao walijikuta wakishangaa Gari ya Mbunge wa Arusha Mjini Goodless Lema anayoitumia kufanya matembezi yake.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK:
/ globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 52
@rogerslyaruu1004
@rogerslyaruu1004 4 жыл бұрын
Wanaojua magari ata v8 haiwezi kua na hadhi kama huo mziki. Wazungu ndo wanajua dhamanj ya hizo gari
@FaustinePante-ev6pj
@FaustinePante-ev6pj 4 ай бұрын
Chuma la kibabe hiro big up rema
@FaustinePante-ev6pj
@FaustinePante-ev6pj 4 ай бұрын
😮😮❤❤
@mkushplatnam1595
@mkushplatnam1595 4 жыл бұрын
kutaka kujua kitu usicho kijua siyo ushamba, , so ushamba ni pale kitu ukijui alafu ukajifanya unajua,
@baumbachogero9410
@baumbachogero9410 4 жыл бұрын
Siyo USHAMBA bali ni njia moja wapo ya kuonyesha ukweli kuwa wakati hii gari iko barabarani, wengi wao au wote walikuwa HAWAJAZALIWA. This is an OLD MODEL VEHICLE. Wana haki ya kuishangaa SIYO USHAMBA.
@amelimligo6911
@amelimligo6911 6 жыл бұрын
sio ushamba they are learning
@briankihiu3526
@briankihiu3526 5 жыл бұрын
Is a good 🚗 car
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Mzungu kiswahili. mbongo kingereza!!!!!!!.
@sefuhabibu307
@sefuhabibu307 4 жыл бұрын
Wanashangaa bongo ingekuwa kwao jamaa anafungwa kosa la jinai kuendesha ilo gari
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Gari ambayo hatamakumbusho kwao haipo tena. Lazima wastaajabu
@josephkenga5627
@josephkenga5627 4 жыл бұрын
Old timer na wanajua thamani yake iko juu;
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Waamdishi wa habari mjifunze dunia inaendaje nyie mmekulia vijiji mnashangaa wazungu no washamba wao wamesaliwa kwao wanamagari toka babu Bibi kila Aina kwao hayapo tena wanakula dhamani yake
@karimchindema9823
@karimchindema9823 3 жыл бұрын
Wajanja wamekuja kuona kitu ya hatari
@aishanelly6682
@aishanelly6682 4 жыл бұрын
Hilo gari kwa mzungu ni dhahabu Lena unaweza uza fr $500,000 Wazungu wanadhamini vitu vya kale saanaaaaa🤣
@tonyjames6658
@tonyjames6658 4 жыл бұрын
Sio kwamba ni washamba..ila wanalishanga gar ni LA kizaman...hata uyo Lema bado hajazaliwa
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 жыл бұрын
Ndio magari yake lema hayo analo jengine la mwk 58
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 4 жыл бұрын
iyo gari kwasasa ivi ikiwa ulaya huwezi nunua unaweza ambiwa dola laki moja
@daudyusufu6666
@daudyusufu6666 4 жыл бұрын
Mm
@charlesnoafekwalipibayaali2662
@charlesnoafekwalipibayaali2662 4 жыл бұрын
Brother Lema kweli sikupendi kabisa kabisa tukija kwenye mambo ya siasa hasa kwa kumpinga Mh Magufuli najuwa unamkubali ila ukikubari hadharani unaona hutoeleweka kabisa na wanaokuelewa, ila kwenye maisha ya magari yako navutiwa nayo sana kwani kwa sisi tunaojua ni Antique ni magari ya dhamani ya juu kwa moja hata kuliko Landcruiser Vx hongera. Ila unakwama wapi bro? apo ulipo simama sipo mimi naona unamawazo mengi mazuri ambayo hayajatumika kabisa katika kujenga nchi yako hama hicho chama hakikufai kabisa!.
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Sio dhamani ni thamani.
@charlesnoafekwalipibayaali2662
@charlesnoafekwalipibayaali2662 4 жыл бұрын
@@msetikebwasi6895 Asante mzee baba kwa kunikosoa ila jamaa anatisha na hayo magali yake ukiangalia kwenye soko uwezi amini big up! Ila ana kwama kwa kutumia nguvu nyingi kwa kutegemea siku atatoka, maisha hayo siku hizi hayata kuwepo tena kwa watu kama sisi tunajuwa hata tundu achukue nchi ni raisi kuona at once wapi anakosea kwani tutalinganisha na alietoka. Mh Magufuli amesha tubadirisha mind set na kutuweka the right direction, Upilike?
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Yani ni hivi wapinzani kuchukuwa nchi hii ni mpaka wajiite washirika.
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Hao wabulgalia hta 109 kwao dili
@frankmtei3017
@frankmtei3017 4 жыл бұрын
Sio ushamba, mavi ya kale hayunuki
@camiliusmassao5686
@camiliusmassao5686 4 жыл бұрын
Wewe ndio mshamba mwenzangu, hujui likiwekwa MAKUMBUSHO litaingiza millions of money? Tena NAISHAURI SERIKALI INUNUE MAGARI YA ZAMANI KWA WATU, HATA KAMA NI MABOVU WAYAWEKE MAKUMBUSHO , TAIFA LITAPATA HELA NYINGI SANA
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
MTU makini hutunza chake
@ahmadmintanga1827
@ahmadmintanga1827 4 жыл бұрын
Wazungu washamba balaa
@alawiali3475
@alawiali3475 4 жыл бұрын
Sio washamba cha zamani ni tunu kukiona
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 4 жыл бұрын
Sisi ndio washamba hatuelewi
@marwasibena7590
@marwasibena7590 4 жыл бұрын
Wacha ufala wewe kwa kujidai. Wazungu washangae tangu lini na gari zote ni zao. Hali halisi ni kuwa wamefurahia mashine yenyewe kwa kuwa ni classic na pia collection kama haujui...
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
hao wanashangaa kwamba gari ya miaka mingi namna hyo . Ambayo kwao haizalishwi tangu miaka mingi wala vipuri vyake lakini mpaka leo bado ni mpya . Wanashangaa kwamba amewezaje kuitunza bila kupoteza ubora wake kwa miaka mingi namna hyo
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 4 жыл бұрын
Wamlipe lema kwa kutalii ndani ya gari yake
@ahmadmuhammadnguri1770
@ahmadmuhammadnguri1770 4 жыл бұрын
Wa bongo mnapenda pesa
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 4 жыл бұрын
Jibu analo
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 4 жыл бұрын
Yaaani washangae kitu walichokitengeneza wenyewe.
@nurukapoja7759
@nurukapoja7759 4 жыл бұрын
Wanakuchosha mweshimiwa
@shanelisessoa7175
@shanelisessoa7175 4 жыл бұрын
Naona wewe ndo mshamba wazungu wanachofanya nikuitafiti gari ambayo wao waliimiliki na kuwanayo miaka 120 iliyo pita Leo wewe bwege unawaona washamba hapa wana vitu viwili, 1) Alie miliki gari ninani na anaakili gana 2)kwanini aliamua kumiliki 3)ana uwezo gani 4)wao wameanza au walisha isahau Hao unao waona nikizazi cha nne kablw ywhiyo gari Wewe mjomba wewe ni mbongo kweli na siyambongo ni ujinga
@hallin9561
@hallin9561 4 жыл бұрын
haijui thamani ya iyo gari wew, ukisikia OLD IS GOLD ndio iyo. pita na prado yako uone kama wazungu watapapalika nayo. wanaijua thamani ya iyo gari ndio maana wameielewa
@magellasaid28
@magellasaid28 4 жыл бұрын
Kweli kbs mzee
@ommbennassary3798
@ommbennassary3798 4 жыл бұрын
Mbona unaroho ya kichawi?
IJUE KAZI YA GODBLESS LEMA ANAYOFANYA CANADA.
6:27
Channel1tv
Рет қаралды 26 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
DEMU ACHOMOI MIMI STAR😂😂😂😂__(SABARTO PETER)
2:45
sabato peter
Рет қаралды 431
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 69 МЛН