No video

Ushuhuda wa Mganga Aliyeokoka | Part-2

  Рет қаралды 14,300

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Ni sehemu ya pili ya ushuhuda wa kijana aliyekuwa mganga wa kienyeji kabla ya baadae kuamua kuokoka.Ni ushuhuda ambao una mafundisho mengi sana ambayo naamini yatakubariki.Karibu tuendelee.

Пікірлер: 25
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 5 жыл бұрын
Cha ajabu wanaosikiliza ni wachache ila angekuwa Diamond ungeona watazamaji na wanao like
@mtvmusic8507
@mtvmusic8507 5 жыл бұрын
Yesu ni Bwana.
@evelyneernest8854
@evelyneernest8854 5 жыл бұрын
💕JAMANI MUNGU ANAHURUMA 💕MUNGU AKUSAMEHE PIA 💕ASANTE MUNGU KILA SIKU KWA WATU KAMA NYIE YANI WEWE NI MAANA SANA 💕HASA KWENYE ULIUMWENGU WA ROHO 💕❤️❤️MUNGU AWE PAMOJA NAWE
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 5 жыл бұрын
Mimi kilichosababusha niokoke ni hiz shuhuda sababu na mimi nimehangaika na waganga saaana tangu 2014 ad hii 19 lakin nimeamua nimpokee yesu kristu waganga, wachawi na shetani woooote ni walele company moja
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
Wow!Mungu ni mwema,ubarikiwe sana
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 4 жыл бұрын
Amen
@special.777
@special.777 4 жыл бұрын
Kweli kabisa hujakosea
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Lucas Gasper Amen 🙏🏿
@erickouma
@erickouma 4 жыл бұрын
Ushuhuda wako mzur
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 жыл бұрын
Jameni Shetani husumbua tena ni muongo, Sifa na Utukufu ni kwa Mwokozi Yesu tu 😭😭😭☝️🙏🏾🙏🏾
@RehemmaSMsemo
@RehemmaSMsemo 5 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri ila hizo burudani zinaondoa ladha kusikiliza nyimbo ungeweka sehemu yake inayojitegemea
@sisisisilia4898
@sisisisilia4898 5 жыл бұрын
Wimbo mzuri but umeptia changamoto nyingi sana hivyo usirudi nyuma endelea na safari ya kumfuata YESU
@susannganganganga4729
@susannganganganga4729 3 жыл бұрын
JESUS is the solution to all our problems,lets believe in Him all the time and all our problems will be solved,
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Hakika Mungu anaweza ana upendo wa ajabu yani sijui nimtumikie vip ajue namhitaji wapendwa tusirudi nyuma kabisa
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 4 жыл бұрын
Doh kijana huyu amepitia makubwa kweli pole sana mmm
@tantinemwemendi8790
@tantinemwemendi8790 3 жыл бұрын
Amen
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ila ungewekea sehemu yake,kwa kuwa kwa sasa tunasikiliza shuhuda tunataka kusikia shuhuda.na wimbo uweke separate .ila ni mzuri sana.
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 5 жыл бұрын
The blood of jesus krist
@ammonyalistides6638
@ammonyalistides6638 5 жыл бұрын
God is good
@jennjaja1586
@jennjaja1586 5 жыл бұрын
Pt3?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
coming soon
@sakisibazaa5597
@sakisibazaa5597 5 жыл бұрын
Yesu ni Wa hatari
@emanuelanalo1588
@emanuelanalo1588 3 жыл бұрын
Plis nitapataje huu wimbo nimesamehewa dhambi imenibariki sana
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 5 жыл бұрын
Amen
Ushuhuda wa Mganga aliyeokoka  | Part-3
20:40
PROMOVER TV
Рет қаралды 10 М.
Ushuhuda wa Mganga aliyeokoka | Part-1
25:21
PROMOVER TV
Рет қаралды 33 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН
USHUHUDA WA ALIYEKUWA MGANGA MCHAWI WA KASULU KIGOMA  l Part-1
40:42
Why they left the Witchcraft and LGBT+ Communities
34:40
Mike Signorelli
Рет қаралды 1 МЛН
USHUHUDA WA MAKANISA YA NGUVU ZA GIZA | Part 1
17:48
PROMOVER TV
Рет қаралды 154 М.