No video

Ushuhuda wa Msukule aliyetoroka Gamboshi | Part-6

  Рет қаралды 11,020

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Kupata mwendelezo bonyeza link hii • MSUKULE ALIYETOROKA GA...
Na hatimaye tumefika sehemu ya mwisho ya ushuhuda wetu wa Msukule aliyetoroka Gamboshi.Asante sana kwa kufatilia,ushuhuda mwingine utafata tuwasiliane kwa 0784074462 / 0766294335

Пікірлер: 44
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 4 ай бұрын
Nimegundua. Ni kweli Ata vichaa wakipita hawaongei wala hawasikii Yesu Waponye Vichaa Wote wanapata Taabu kusema hawawezi najua kwa Jina lako Watapona Amina
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Huyo ni Yesu alikuwa anakufuata toka huko bila wewe kujua, Yesu ni bwana njia kweli na uzima
@estasage498
@estasage498 2 жыл бұрын
The lord God is the greatest, and no one is like our creator. Jesus Christ is my forever lord and king. Who can deliver or save like my Jesus Christ? Who can be merciful like our king? No one. My lord is unique in everything. Amen
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 5 жыл бұрын
Grory be to God of Israel for JESUS name! Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa jina la YESU!
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Amen and Amen Mungu aitwe Mungu nyakati zote🙏🙏
@alawifarahani4788
@alawifarahani4788 5 жыл бұрын
Shukrani sana, Kaka kama utapata simulizi zaidi kuhusu Gamboshi usisite kutupatia
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
Ameen, ziko nyingi tu zinakuja
@jeanamosi6624
@jeanamosi6624 4 жыл бұрын
Yesu ndie njia ukweli na uzima wa milele . the power name of jesus 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peacelissa182
@peacelissa182 5 жыл бұрын
Jamani tunalidwa na mungu , Yesu kristo
@jubilatesamweli2874
@jubilatesamweli2874 5 жыл бұрын
Mshike sana Yesu brother shetani hakati tamaa lkn kwa Yesu kila kitu shwari, Asante mwenye blog barikiwa👏👏
@sifajafet4422
@sifajafet4422 5 жыл бұрын
amina sana mtumishi mungu awabaliki sana kwn kaz yenu ni njema sana.na nimefulahi sana kuona nyie ni wa iman moja na mm tunaotumika ktk iman ya E.A.G.T.Mungu awatie sana nguvu mtalipwa msipozimia mioyo.
@FatimahAlshehri-gt1gj
@FatimahAlshehri-gt1gj 10 ай бұрын
Amen wacha tuombe mungu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Amen Hallelujah hakika nimebarikiwa
@preciouslissahparis1352
@preciouslissahparis1352 5 жыл бұрын
Duuu, Hakika Mungu yupo.usimwache Mungu Kaka cosmas
@masokaamuri417
@masokaamuri417 5 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa kwa kila jambo, usife moyo.
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Amina Amina Amina Kubwaaaaaaaaaaah!!
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Yesu Ndiyo jibu la Kila huitaji
@WinWilly4162
@WinWilly4162 4 жыл бұрын
Glory to the most high GOD
@jesicmichael-7982
@jesicmichael-7982 Жыл бұрын
Jina la bwana libalikiwe ameni
@romanamaro4597
@romanamaro4597 4 жыл бұрын
Endelea kutuletea shuhuda zinafundisha sana ili tumjue YESU.
@admirahaule313
@admirahaule313 4 жыл бұрын
Glory be to God!!!
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 5 жыл бұрын
Aksanti sana !
@petywoiso8909
@petywoiso8909 3 жыл бұрын
Hayo mavitu yachomwe
@jeremiahjames573
@jeremiahjames573 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@angelalaizer3013
@angelalaizer3013 5 жыл бұрын
KILA GOTI LITAPIGWA NA ULIMI UTAKIRI KUWA YESU KRISTO NI BWANA.
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 4 жыл бұрын
BLOOD OF JESUS KRIST.OF NAZARETI.OF IBRAHIM UPON US
@alexnjela4988
@alexnjela4988 5 жыл бұрын
Nataka kujua alisema ukiwa kule unakuwa hufaham kuwa Huyunduguyako sasa yeye alijuaje kuwa mjomba wake yupo kule
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 4 жыл бұрын
Alimanisha yani huko hakuna cha ndugu.ilaunamwona lkn huna chakusema nae kwamfano vile mnaeza kuongea mambo mliokua mnafanya hapa duniani
@petywoiso8909
@petywoiso8909 3 жыл бұрын
Hivyo vitu vichomwe vyote haina haja ya kutembea navyo tena
@annajustine5104
@annajustine5104 4 жыл бұрын
Hapa ndo napata picha kamili kumbe wachawi wanaweza kukufuata mahali popote ulipo..hasa roho za mizimu ya kifamilia.
@jeremiahjames573
@jeremiahjames573 5 жыл бұрын
Kadiri ninavyosikiliza Shuhuda hizi kiukweli napata akili ya kutaka kuijua biblia kwa undani zaidi japo kuna uzembe furani katika kusoma neno la Mungu lakini kupitia hizi Shuhuda za channel yako bwana jacktani naamini utanifikisha mbali sana kiroho BWABOMBA NAPAJUA SANA MAANA NA MIE NI WA KOROMIJE
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
Ameen
@luciensayumwe3373
@luciensayumwe3373 5 жыл бұрын
Muwe mnatuonyesha live video ya mtu ambaye anazungumza ndipo watu huenda wakaamini
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 жыл бұрын
Tuletee visa zaidi vya gambosh huwa tunasikia mambo mengi ya misukule huko gambosh visa vya kweli.21.02.19.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
umepitia shuhuda zote?
@janembangabihagara3920
@janembangabihagara3920 5 жыл бұрын
Je ndugu zake wale wachawi wapo?lna kama WaPo wanasemaje ? Wewe una mda gan uko duani?
@morineakinyi1116
@morineakinyi1116 4 жыл бұрын
Amen
@christinawallasch1252
@christinawallasch1252 4 жыл бұрын
Kanisa lenu liko wapi,Ili nije nimuone huyo msukule nina maswali ninatataka nimuulize,
@tishasnanedolyn8511
@tishasnanedolyn8511 5 жыл бұрын
Ww fadhili umerogwa nn? Kafir n nani anaeishi na majini misikitini au aliye kanisani. Kwanza amesema bado ana fatiliwa angekuwa amerudi wangemfatlia w vp
@fadhiliswalehe9554
@fadhiliswalehe9554 5 жыл бұрын
Allahu akbaru mbona sasa,cosmas unazidi kupotea unarudi tena kwenye ukafiri hujui uko ukifa utaingia motoni milele?.bado unawatumikia mashetani katika kuokoka kwako ndo mana hawaangaika tena na,wewe
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 5 жыл бұрын
😁😁😁😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣sasa jibu si umelipata alipo sehemu salama ndio maana wachaw awamfati tenaaa yesu ndio njia bila yy uwez fika mbinguni
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Na wewe uje Kwa yesu akubadilishe na mtazamo wako
@fetrishakaza1473
@fetrishakaza1473 5 жыл бұрын
aunaakili ww kama ujaokoka utakwenda tuu uko utakuja kukubika sikhmoja
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Fadhili Swalehe yani una pewa hushuhuda mpka mtu ana hamuwa kufuta yesu ujuwe amesha angaliya dini zote ametambua yesu ndo njia sahi.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 25 МЛН
DALILI ZA MTU ANAYETAKA KUCHUKULIWA MSUKULE #GONGOLAMBOTO MEGA CRUSADE DAY 5
1:31:20
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 10 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 4,9 М.
RSA ANIMATE: Changing Education Paradigms
11:41
RSA
Рет қаралды 17 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН