No video

USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 5)~Shehe Omary Mnyeshani

  Рет қаралды 26,893

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@aliounendiaye5738
@aliounendiaye5738 4 жыл бұрын
Hao wadada sio wa kulaumiwa huo ulikuwa ni mpango wa Mungu ili mtumishi aokoke mbele ya mkutano ili kumuabisha shetani.Asante Yesu kwa wokovu wako
@VeronicaEdesiusBernard
@VeronicaEdesiusBernard Ай бұрын
Jamani tuliookoka tusicheze na wokovu Yesu ni wa thamani sana Promover tv Mungu awabariki hakika mtalipwa msipozimia mioyo
@polinepoline2863
@polinepoline2863 4 жыл бұрын
Kipande hiki cha ushuhuda huu ndio nilwahi sikiza kuzuri zaidi.na chenye mafunzo Bora mwenye sikio na asikie...nashukuru 🙏
@daphinemwangi8605
@daphinemwangi8605 4 жыл бұрын
What a testimony!uyu Omary wa kenya anafaa ajitokeze😊 na pia uyo mzungu alitumika na Mungu angejua role yake tu kwa hii story aendelee kujipa nguvu,kwa uwoga wake Aliita Yesu na akasababisha mmoja wao amjue Mungu.Such a great testimony!
@tiamo726
@tiamo726 4 жыл бұрын
Lakini hata mara moja ju kuli ita yule wa mombasa na huyu waliokoka mambo ya peter all in all jesus wins
@salomekazauragladness6548
@salomekazauragladness6548 2 жыл бұрын
@@tiamo726 to ur to see 🙈🙈🙉🙈
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 4 жыл бұрын
MLOKOLE fikilia kazi ya mungu unayoifanya leo .. je uliitwa na mungu au umeiga tu maisha. Kwa kua umezaliwa kwenye familia ya walokole ... NDIO MAANA NAWAAMBIAGA WATU .. unaposema huu ni uongo basi ujue na ukweli ni upi .. HAPO NDIPO WATU HUUKATA UKWELI NA KUKUBALI UONGO. wakidhani shetani ananguvu kuliko mungu
@beatriceingabire6169
@beatriceingabire6169 4 жыл бұрын
Tunakupenda sana mutumishi wa Mungu , mimi sio Mtanzania , mimi munyarwanda but sikujua kama kuna wachawi Rwanda kwa kiwango kikubwa kama hicho mmmbwana Yesu akubariki sana ....ushuhuda wako unanipa moyo sanaaaq
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 4 жыл бұрын
Beatrice Ingabire Amina Dada MUNGU akubariki
@maivoneivone5417
@maivoneivone5417 4 жыл бұрын
Yani anavyoongea vipingamizi alivyokutana navyo naona wivu bila nguvu ya Mungu angepotea kabisa kwa ushuhuda huu walokole tujitafakari tumepokea Roho yupi ata angekufa kwa mda huo Yesu angempokea ila hao wadada mojakwa moja wangepokelewa na shetani maana alishawageuza kuwa maajenti ushukuriwe j.m kwa kuleta hizi shuhuda maana naponea humohumo huyo mtumishi asizimie moyo
@maivoneivone5417
@maivoneivone5417 4 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu muumba mbingu na nchi mipango yake haipingwi na mtu nampenda Yesu asiyeshindwa na lolote
@alphaleahibrahim8904
@alphaleahibrahim8904 4 жыл бұрын
Ushuhuda u I wish kila MTU angeusikiliza
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 4 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda huu jamani, Yesu kakutoa mbari sana mtumishi. Mwendelezo plz 🙏🙏
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 4 жыл бұрын
Unakuta bado watu hawaamin kuna Wokovu au Yesu kristo
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 4 жыл бұрын
@@lizzynkifu4179 kabisa mpedwa.
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 жыл бұрын
@@lizzynkifu4179 hamna mm bibilia inanichosha maadiko yanabadilishwa na binaadam hv maneno ya mungu kwel yanabadilishwa cha pili mm yesu binaadam siwez kumwita mungu na maryam binaadam pia kama yesu ni mungu kwaiyo mungu kazaliwa apo ndonnapo jiulza mm kila siku sipat jibu na kama awo wote sio mungu mungu mwegine yup tena
@gladnesssidiu8945
@gladnesssidiu8945 4 жыл бұрын
@@mussaabobakar7537 Jambo gani Mungu asiloliweza tatizo mnataka kumzoea Mungu kama mwanadamu Mungu muumbaji wa mbingu na nchi ashindwe nini soma Yohana1: 1 na kendelea soma vizuri kama mkristo mwombe roho mtakatifu akuelekeze ila kama we ni muislam basi hutoelewa....
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 4 жыл бұрын
HILO NDIO TATIZO LA WALOKOLE WENGI.. kufanya kazi ya mungu kwa kusomea au kupenda au kwa kuiga .... BILA KUITWA NA MUNGU NDIO TATIZO .. huyo aliye kuhubilia mwanzo angekuwa ameitwa na mungu angelijua tukio lako zima kabla hajakuhubilia .. maana yake angejua mwisho wa kukuhubilia. kam mungu alivyo kufunulia maisha yako yote
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Nakubali nakubali na ndo maana mm spendagi kumuhubiria mtu km sjaambiwa na roho maana badala ya kuhubr unaweza jikuta ukimdhalilisha mwana wamungu hvhv
@suzymhando418
@suzymhando418 4 жыл бұрын
Yesu nimwema
@geofreymaghali183
@geofreymaghali183 2 жыл бұрын
Nilikuwepo kwenye huo mkutano siku anaokoka, na tunafahamiana, lakini mimi namuita Seplian Mnyeshani..... Kulikuwa na fujo Sana usiku ule miaka ya mwisho mwa tisini.Hatujaonana na Mnyeshani kwa miaka sasa
@monikamoniq7242
@monikamoniq7242 4 жыл бұрын
Amen..Mungu ni mwema
@happynessmarki2780
@happynessmarki2780 4 жыл бұрын
Kuna kitu nimejifunza kikubwaaaa
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 4 жыл бұрын
Mungu anaweza
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 4 жыл бұрын
Amina MUNGU akubariki
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Nataka nizione koment za waislam humu kila koment nailipia soda ya baliiiiiiiidi
@tedkadodo2790
@tedkadodo2790 4 жыл бұрын
Hakika Bwana yesu yu mwema..ushuhuda wa ajabu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kuna watu wanaringia mbngu km wameiumba wao, jmn Sasa huyo mama aliukua anakukatalia ili iweje jmn
@gracezuma8413
@gracezuma8413 3 жыл бұрын
Sio wote wanao niita bwana bwan wataingia ufalme wa MUNGU bali kwa wanao fanya mapenzi ya baba yangu alie mbinguni...hili neno yesu alizungumza lilikua na maana yake kubwa ....
@beatricemurekatete3769
@beatricemurekatete3769 4 жыл бұрын
Ushuhuda muzuri kweli tureteeni parti nyingine plz
@tameemothman8192
@tameemothman8192 4 жыл бұрын
Upo vizuri kaka
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 4 жыл бұрын
Hakika ukimuamini Mungu una ulinzi
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 4 жыл бұрын
Amen Jesus is Lord
@christineotieno52
@christineotieno52 4 жыл бұрын
@jacktan am looking for shehe can you help me? The numbers you shared are not working.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Keep trying +255755025821
@christineotieno52
@christineotieno52 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz thanks let me try again
@christineotieno52
@christineotieno52 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz what is your number Jacktan or email address. Thanks in advance
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@christineotieno52 0766294335 / 0784074462 jacktanmsafiri@gmail.com
@cyrusmusembi3283
@cyrusmusembi3283 Жыл бұрын
Picture
@beatriceingabire6169
@beatriceingabire6169 4 жыл бұрын
Sasa wewe umekuwa married wakati umekuwa muchawi ???? Please tell us if you are married or single please
@hahahahabhggniyi9904
@hahahahabhggniyi9904 4 жыл бұрын
Ww hukuwa mwenye dini mbali ulikuwa mchawi kwahiyo ndiyo diniyako sio wisilamu okome ww sema dini yangu ni Michael
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 жыл бұрын
@@hahahahabhggniyi9904 kwaza hakuwa muislam et uyo hadisi iyo wametuga tu sotr ipo kama move ya kibongo mpk sita et
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Ila wadada jmn 🙆🙆🙆🙉🙉🙉 ushamtaka
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@mussaabobakar7537 hamna maajabu mmewekwa hadhalani
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@mussaabobakar7537 bnadam ameumbwa na uso wa aibu unalopoka lkn loho inakusuta🙉🙉🙉🙉
@azadida801
@azadida801 Жыл бұрын
Shehe wa mchongo, EX muislam wa kubumba. Kiswahili tu changamoto, yaani shehe R na L kutofautisha ni shida? 😅
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 6)~Shehe Omary Mnyeshani
49:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 28 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani
34:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 67 М.
JINSI MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA,INATISHA!-SHEHE OMARY MNYESHANI
40:59
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part-3)~Shehe Omary Mnyeshani
30:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 21 М.
Schizophrenia | 4 Traits You Need to Know
13:05
MedCircle
Рет қаралды 1 МЛН
USHUHUDA WA ALIYEKUWA SHEHE - OMARY MNYESHANI 1/4 - bonyeza SUBSCRIBE
30:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 232 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН