😂Simbaaaa funga ndowa na Zuchu ni mremboooo aliye funzwa na makopa kopa❤❤❤❤❤ umelijuwa hilo
@peninashungu66334 ай бұрын
Ni kweli penz kikohoz amsamehe zuch ni mdogo amrinde
@rahmaabdallah45144 ай бұрын
Naipenda sana hii couple ❤
@fatmafatu11284 ай бұрын
Couple ndio ujinga gani sema nawapenda sana hawa wazinifu wenzangu
@Octavinaelisa-fn6js4 ай бұрын
Safi sana daimond
@Zuuh42864 ай бұрын
Ile yote ilikuwa mipango ya kiki looh me shawajulia kitambo sana 😂😂😂😂😂
@fahimarahil68294 ай бұрын
of course we are Zanzibarian, it is not easy to be left, sisi hatuachwi wewe tunaachwa🥳🥳🥳🥳
@menalikechildren88364 ай бұрын
Hakuna Zanzibarian ni Zanzibari...... halafu pia wazanzibari wa cku hizi wanaachwa kirahisi san kutokan na midomo yao ilojaa ujeur na vibur wazanzibar wa zaman ndo ilikua ngumu kuachika maana walijawa na utiifu na mpnz ya dhat pmj na uvumilivu, anyway mm ni mzanzibar mwenzako
@fahimarahil68294 ай бұрын
@@menalikechildren8836 sio kila anaetembea na mwizi na yy atakuwa mwizi nadhan hapo utakua ushaelew anyway tuyaache hayo ila jua Kuna watoto ambao wamefunzwa na wazazi wao jinsi ya kuishi na watu vizur kwa upendo , busara na mengneo na pia namanisha kusema kwamba usione uliekutana nae yupo ivo ukaona na wengne pia watakua ivo wengne tumefunzwa wewe
@jumakapilima72954 ай бұрын
@@menalikechildren8836exactly!!
@Boniphaceshayo54 ай бұрын
Uzuri ni kwamba mnazidi kupush Sanaa yetu mengine ni ubunifu tu🎉
@zebedayokatamaduni96764 ай бұрын
Hivi ninyi wasanii mnajua kwamba Mungu yupo na biashara hiyo mnayo ifanya ya kuhamasisha ngono mnajua kwamba mnatumikia ufalme gani ,
@user-ue3bi3rn6x4 ай бұрын
She is cute AF, period
@muzafarsharif94654 ай бұрын
diamond huna jipya ,,,,mbona usimuoe 😂😂😂
@yusternyirenda72314 ай бұрын
Mwambie aika na navykenzo waoane wao kwanza maana wana watoto tayari na mahusiano yao yana miaka mingi na wanaishi bila ndoa, acha kumwambia diamond mwenye mahusiano na zuchu ya miaka miwili na sehemu hata kuzaa hawajazaa
SubhannAllah endeleeni mwisho waja mtadhalilika na mwanaume unaongea kama chocolate
@MariamYahaya-xr3xp4 ай бұрын
Inallilah muowe bas
@imanibakili80284 ай бұрын
Mnazani sisi ni watoto wadogo tulijua ni kick tuu😂
@mohammadoman89634 ай бұрын
Sio kiki hiyo
@laurentraphael54704 ай бұрын
Nonsense, uzinzi mtupu.
@OmarOmar-ol3fj4 ай бұрын
Kabisa yani
@user-qk4lx4hg7g4 ай бұрын
Ni kweli Zuchu ni mke material
@shadiwaigwa92304 ай бұрын
Love you guy's, simbna na zuu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@elizabethchabluma-zw5qz4 ай бұрын
❤❤❤❤b zuu
@SalamaNauthar4 ай бұрын
Sa mbona unatuambia sisi' chefuuu mtaachana tu
@swalehrodgers45254 ай бұрын
Huu ushoga mtaacha lini lakn
@michaelmahenyemuya1644 ай бұрын
Makiki ya kishamba tu😂😂
@b4lfbeat5984 ай бұрын
Kwa kwel umesema ukwel ujinga tu
@lenakassian-pr3dy4 ай бұрын
Wameona awafatiliwi ovyoo
@user-dr4ju6fs8b4 ай бұрын
Hawana cha kufanya toa nyimbo acha pereche mzee😂😂
@josephvenus32594 ай бұрын
UMEUMIA ET EE 😆😆😆
@jamilamussa72504 ай бұрын
Kiki gani na kweli Zuchu alikasirika😅
@Official836404 ай бұрын
KIKI hiyo msituchoshe😅
@TwoBrother-tc2cu4 ай бұрын
Inasemekana kuwa wasanii ni kioo cha jamii lkn naona wasanii wasikuhuzi ni waharibifu wa jamii sioni cha kujifunza kwao
@amoji1264 ай бұрын
Wasanii ni kioo cha jamii maana yake sio kuwa ni wema maana yake ni kuwa wanareflect yaliyo kwenye jamii, sasa angalia yanayoendelea kwenye jamii yetu halafu ndio ulaumu. Jamii yetu ipo hovyo so usishangae wanayofanya wasanii, tofauti yao na yetu ni platform tu.
@TwoBrother-tc2cu4 ай бұрын
@@amoji126 na wao ndio chanzo na kutokana ya maana ya kioo ilitakiwa wao waonyeshe yalio mazuri ili jamii ifuate
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Hawa kweli ni kill chetu, wanatuonyesha tunavyovipenda. Sisi tz ni taifa la kuimba sifa za shangwe. Kea kila kila kitu cha kijinga. Uwezi kuelewa tunapenda nini au kuchukua nini. Midhaa ni utamaduni wetu. Hatutafakari mapenzi tunashabikia umalaya wa mtu. Uchumi, mazingira, haki,. Imani, siasa ubabaishaji
@user-xq7eo3eb4p4 ай бұрын
Muogopeni mungu jamani kuna na mungu....
@NdekejaKamuli-sh5pe4 ай бұрын
Siku hizi Diamond kiki zake nyepesi sana yaani.
@menalikechildren88364 ай бұрын
hakuna mwanaume mwenye ujasiri wakumuacha mwanamke mwenye akili kiurahisi
@user-jq9rj4dm5u4 ай бұрын
Sikupingi bro
@Kadebecomedy4 ай бұрын
Kamond kanafki mbona huoi?
@bahatinassorali52224 ай бұрын
Umeona ehhh angemuheshimisha kwa ndoa
@Kadebecomedy4 ай бұрын
@@bahatinassorali5222 anamuigizia sana mtoto wawatu,halafu ukichek ndio boss wake maskin hata saut hana
@gracekimario65264 ай бұрын
Hamna lolote sbb hampi gharama, kiki tu
@user-xc7qj7ze7m4 ай бұрын
Masanii ya bongo matako kweli
@IMANWILLIAM-bl2ui4 ай бұрын
hili ni tukio tu limepangwa
@jareengeorge54784 ай бұрын
Mmesahau Kiki au
@gb-ys3ee4 ай бұрын
I don't really understand Sawahili, can someone translate for me what's happening, thank you🤲
@user-iv9uk9lw4j4 ай бұрын
Hamna kitu enyewe apologies kiki
@user-rj2wj6jl6g4 ай бұрын
😂❤❤❤
@alawimohd4 ай бұрын
Sikuzote watu walikiwa wanaamini Diamond na Zuchu ni wapenzi ila kwa tukio hili mumeshaharibu sana maana Kila mtu ameshajuwa mbinu zenu za kuvutia mashabiki
@naimasbuguza23954 ай бұрын
Maigizo tu, Ila akikubali zuchu ataachwa kweli.... #zuchu hawezi kuachwa au kumuacha diamond ALAFU akaja kwenye show... Maigizo tu hayo
@SalmaThabiti-jd5dk4 ай бұрын
Yaani Hadi Leo Bado hawajiamini kashow kadogo Bado wanafanya na kiki duhhh😊😊😊
@menalikechildren88364 ай бұрын
Hahahah
@kiya09104 ай бұрын
Muowe basi kama nimwana mke mwema nakama ana busara muowe ndie tujuwe kama wampenda
@maremm57374 ай бұрын
Zuchu pack and go the earlier the better we ugandan ladies we leave when it's worse now it's better we are back for better for worse 😂
@user-ct5yt9zp1u4 ай бұрын
Sura mbaya kama tabu mtigita 😂😂
@hassanmohdally52174 ай бұрын
Usisemee hivyoo ndugu yangu hujafaaa hujaumbikaa muogope mungu
@shadiwaigwa92304 ай бұрын
Wa bongo not all of them but some wataacha ujinga kusema zuchu kwa nini an date na boss wake, pia diamond ni msani kama zuchu so waki date sioni shida, mbona Jay Z ana date na msani mwenzake Beyonce, Rihanna ana date na msani mwenzake, mwache u shamba, ujinga , matharau, matusi, zuchu enjoy mama haters there will always be there ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@datty.wozaah8654 ай бұрын
😂😂😂😂 KIKI
@ashakijaji58694 ай бұрын
Una roho mbaya sana wewe Mondi,utakuja kuadhirika sana
Aisee jombaa mond hata mimi nilisha kuchukia tu sababu ya wewe kumwacha zuchu mbona nimtupoa sn natunapenda couple yenu sn.
@user-nr1ld3fc1h4 ай бұрын
Hii nimeipenda❤
@JescaMateseko4 ай бұрын
Vizury kuwa pamoja
@dianajohnson72684 ай бұрын
aya nasibu
@muungujaunguja86094 ай бұрын
Kumbe wewe ndio umemfanya hatukane hapo
@Habib-vh7ru4 ай бұрын
Watu so mafara mbwa nyinyi!
@user-qk4lx4hg7g4 ай бұрын
Haya mwenye wivu ajinyonge ndo kashsmwomba msamaha diamonds huyo ndo mke material achana na waongezamakalio oa zuchu utaenjoy kwenye ndo Hadi ushangaee mtoto hana mambo mengi anajitambua mno
@mrmartinipaul24644 ай бұрын
Clamo is typing and deleting 😂😂😂
@rkcomercialenterprises32094 ай бұрын
Upuuzi%
@user-he3xr3mc2w4 ай бұрын
Ushenziii kabisa
@JacobMaganga-re9ji4 ай бұрын
tushawachoka na makiki yao bana
@antonjohn1344 ай бұрын
Kimi hizo mlitaka watu waingie kwenye hiyo sho
@user-sp7ki1hn3h4 ай бұрын
Nyie mnajielewa kwele wte hovyo waonee
@chrissjully31544 ай бұрын
Its was a showbz ili shoo yao injaeee
@Silencer_htr3 ай бұрын
Kwaio yameisha au
@silaspete4 ай бұрын
Lazima yaishe anachopewa na zuchu lazima aombe msamaha