USIKU WA VITASA: KIDUKU VS SIRIMONGKHON

  Рет қаралды 593,836

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

Shuhudia pambano zima kati ya Kiduku VS Sirimongkhon lilichezwa katika kumbi wa PTA sabasaba.
#AzamSports2HD #Boxing #Vitasa #UsikuWaVitasa #NgumiJiwe #KidukuVsSirimongkhon #ShowShow
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 281
@ibrahimndungu5070
@ibrahimndungu5070 3 жыл бұрын
Jamanii wapi like zangu mie mkenya hapa natazama hii game ....hongera sana kwa kumuadhibu huyu jamaa
@lildrick9361
@lildrick9361 Жыл бұрын
Pamoja sana kakaaa
@ramlajadi364
@ramlajadi364 3 жыл бұрын
Be blessed..... Nakukubali kaka twaha kiduku, Uliipeperusha vyema bendera yetu.
@gbrotaKamanda
@gbrotaKamanda Ай бұрын
Azam tv mmetisha kinoma
@mohammedsaid2746
@mohammedsaid2746 2 жыл бұрын
Safi sana kiduku nakubari kazi yako
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana Tena Sana Tena Sana Tena Sana Tena Sana Tena twaha kiduku
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Next time tumieni google translate kwa kutafsiri bhana. Si shindano la kimataifa.
@saimonmginimganya9105
@saimonmginimganya9105 2 жыл бұрын
Twaa anaweza
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Napenda nchi yangu tanzania
@luswetichetekeilusweti2879
@luswetichetekeilusweti2879 2 жыл бұрын
Siri angeacha mzaha ushindi ungekuwa wake.Nguvu na spidi pia kakosa.Mwenzetu Kidu☝
@neemamgona3164
@neemamgona3164 2 жыл бұрын
Twaha kiduku jalibu kpnch Kama mwakinyo wew unajua kuliko yeye ila ngumi zako mhhh ila weew ni🔥🔥🔥🔥 kazana kifanya mazoezi
@paschalmpenda4257
@paschalmpenda4257 3 жыл бұрын
Kiduku bado sana kk ongeza mazoezi hupigi on target defense mbovu
@dokeayele5573
@dokeayele5573 Жыл бұрын
Huyu ni chakula yetu ushindi ni yetu ya Africa hongera
@lildrick9361
@lildrick9361 Жыл бұрын
Africa to the world
@fedrickeliezer5521
@fedrickeliezer5521 2 жыл бұрын
Twaha kiduku anajua sana mazee
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Жыл бұрын
Tz. Bwanna. Munapenda. Kuigaa
@ombenikazimoto8326
@ombenikazimoto8326 3 жыл бұрын
Show show bendera chuma mlingoti chuma 👂👂💪💪👊👊
@zananabalozi670
@zananabalozi670 3 жыл бұрын
Show show ngumi zenyew za kununua mnaua vipaji vya wa Tz! Kiduku kajidukuwe nadhan umeona ngumi za Mwakinyo
@zananabalozi670
@zananabalozi670 3 жыл бұрын
Mwambie twaha awe mkweli kuhusu hao promota wake waeke mzigo wa ukweli sio kuropoka alafu mtaona kazi kazi
@mwanahamisnsillah7800
@mwanahamisnsillah7800 3 жыл бұрын
Mwambie mwakinyo amu unfollow kiduku tena wazichape mbn anamkwepaga
@zananabalozi670
@zananabalozi670 3 жыл бұрын
Mwambien aje Gyme
@skyboytz6636
@skyboytz6636 3 жыл бұрын
Ponda Huyo pindi akasimulie kwao hapa bongo sio pakitototoo
@kaziiendelee4663
@kaziiendelee4663 Жыл бұрын
Mchezo mzuri sana
@shamimsalim5100
@shamimsalim5100 3 жыл бұрын
Halafu mnataka kiduku acheze n mwakinyo kweli😂😂 mnatafuta kesi mwakinyo kifaa like kiduku mwili tu hamuez mwakinyo anakubali aweke like hapa👌
@samomnanka2779
@samomnanka2779 3 жыл бұрын
huyu mtailendi kaleta Mchele au kaja kupigana??😃😃
@ramlajadi364
@ramlajadi364 3 жыл бұрын
Hahahahhaha..... Hata sikuelewa alichokifanya uwanjani kabisa.
@mapandabagiligwa6426
@mapandabagiligwa6426 3 жыл бұрын
Sio kwel Kiduku anapigana namtu muuza juic
@omaryally5555
@omaryally5555 3 жыл бұрын
Yani kwa mimi ninavyoona Kiduku asijisifu kuhusu hili pambano maana jamaa amekuja kumpaisha tu huyu kiduku ili aonekane yuko daraja la juu kwa ufupi nikama amepigana na mlevi
@hamzahassan4374
@hamzahassan4374 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono kijana kampa jina twaha tu
@respiciusgasper4845
@respiciusgasper4845 3 жыл бұрын
Kiduku mzuri lakini, pambano zake karibu 4 za mwisho zote kashinda!!
@adamukhalifa332
@adamukhalifa332 3 жыл бұрын
Ili pambano danganya toto maana kiduku akukutana na bondia kakutana na mlevi
@omaryally5555
@omaryally5555 3 жыл бұрын
@@salmasebastian1340 Narudia tena kama unaamini huyu jamaa katika mapbano yake yuko vizuri sasa nikuulize wewe huyu jamaa ameshinda hayo mapambano yote kwa staili ya ile ya kupigana na kiduku,,,. Acha nikuambie ukweli ngumi haziko vile kama unataka kupambana na upate matokeo mazuri kinyume chake ni kufanya comedy kama alivyofanya Hugo jamaa
@Franklin0803
@Franklin0803 2 жыл бұрын
Huyu Mthailand kanipatia shule mpya kuhusu mchezo wa ndondi. Nguvu si kigezo cha lazma katika mchezo wa ndondi.
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 2 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya Nguvu na mwili mkubwa
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Nomaaaaa
@paschalmpenda4257
@paschalmpenda4257 3 жыл бұрын
Kiduku defense mbovu ngumi hupigi on target ongeza mazoezi
@waziriamiri877
@waziriamiri877 3 жыл бұрын
Dah nimetzama mapambano meng sana ila hili limenoga sana
@givenrich5961
@givenrich5961 3 жыл бұрын
hv huyu cio charlie champlin kweli???!!
@jamesswai6583
@jamesswai6583 3 жыл бұрын
😄😄😄
@chrissinyinza1172
@chrissinyinza1172 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@luseshelomwangole3599
@luseshelomwangole3599 3 жыл бұрын
Hahahahaa
@ramlajadi364
@ramlajadi364 3 жыл бұрын
Hahahahhahahahah
@markotzymhanga8230
@markotzymhanga8230 3 жыл бұрын
Yey
@user-hn1xf4sd1z
@user-hn1xf4sd1z 10 ай бұрын
Uyu kiduku atali sana
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 3 жыл бұрын
Namshauri kiduku afanyie kazi sana footwork yake. Hana basics footworks. Aki improve footwork atakua na efficiency kubwa sana ya ngmi zak
@mwinyipembe1455
@mwinyipembe1455 3 жыл бұрын
Hata headmovement zake sio nzuri ingawa ni boxing mzuri
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 3 жыл бұрын
@@mwinyipembe1455 mimi kasoro yake kubwa naiona kwenye punch accuracy halafu hapigi jabs
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 жыл бұрын
Eti hii leo tunaangalia sinema za kitailend🤣🤣🤣🤣😂stairy ya nyani😂😂😂
@franciscobgoya1344
@franciscobgoya1344 Жыл бұрын
Kaka twaha jifunze kuimba wimbo wa Taifa ukiwa umesimama vizuri tafadhari ni heshima kubwa
@RashidNyalusi
@RashidNyalusi 2 ай бұрын
Vizulisn kiduku Ongela kwaushind
@hafidhmassana2518
@hafidhmassana2518 2 жыл бұрын
Jamaa mwepes sana kukwepa na kuja na mashambliz
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 жыл бұрын
sasa ww kithailand hukijui ulikuwa unamjibia nn??
@daudimwita448
@daudimwita448 3 жыл бұрын
Oya azam mbona zile buti za mwanzoni hamjaweka kweny mtandao tunaona bazi tu vp
@evaristirazalo7459
@evaristirazalo7459 3 жыл бұрын
Good kiduku
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Twahaaa
@magembemagembe9754
@magembemagembe9754 3 жыл бұрын
Jozii
@lildrick9361
@lildrick9361 Жыл бұрын
Ongera kiduku, ila nataman sana utafute connection kubwa kwajili Ya kupambana na watu wa uwezo mkubwa ili pia kuwania pesa kubwa
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Жыл бұрын
Kwa. Hapo. Namuombea. Ushindi. Mtailend. Sannaa
@titondahani5216
@titondahani5216 3 жыл бұрын
Nakubar kiduku anaweza
@andrewmpagamwe3536
@andrewmpagamwe3536 3 жыл бұрын
Good
@josseybourneventure4232
@josseybourneventure4232 3 жыл бұрын
Huyu mthailand alikuw serious kwel kwny hii game ? Au ndo alkuwa anataka kuchana mikeka ya watu tu😃😃😃😃
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
huyu alkuja kutaliii tu!
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
@@twaibumikidadi7377 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐦𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 жыл бұрын
Ana style ya prince Naseem
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 3 жыл бұрын
Mseti Naseem alikuwa Zaid alikuwa ku swing barabara
@stafordmyamba2861
@stafordmyamba2861 3 жыл бұрын
Tuache utani twaha huna uwezo wa kupambana na mwakinyo u pia kwa watazama ngumi wazoefu huyu mtailent anauwezo wakumpiga twaha lkn kapuuza tu coz uwezo mdogo wa twaha asijisifu sana na asiguse moto wa mwakinyo
@mwanahamisnsillah7800
@mwanahamisnsillah7800 3 жыл бұрын
Kweeendraaaa
@stedickdamas1908
@stedickdamas1908 2 жыл бұрын
safi sn kiduku
@ibrahimshukulu8349
@ibrahimshukulu8349 3 жыл бұрын
Shooo shooo
@neemamgona3164
@neemamgona3164 2 жыл бұрын
Kimbinu kiduku bado Sana jitahidi bro
@daudimendrad9019
@daudimendrad9019 2 жыл бұрын
✊✊✊👊👊👊
@simonwenceslaus9860
@simonwenceslaus9860 Жыл бұрын
Mtu mweupe anaupeo saana km mweusi apo ange fosi tu ili amalize akalazwe lakini mchezo huu ni points na hakiri km umenizidi ponts na sina uwezo wa kupgana bola uniache nikuombe cku
@salimamfaume3108
@salimamfaume3108 Жыл бұрын
Kiduku tunisi
@hafidhhumoud934
@hafidhhumoud934 3 жыл бұрын
Kwann isipangwe mwakinyo vs kiduku
@edgarndoleki7639
@edgarndoleki7639 3 жыл бұрын
Mwakinyo atakimbia kiduku ni hatar
@lucymalisa5700
@lucymalisa5700 Ай бұрын
Izi sio ngumi ni utoto
@musaabuebker1750
@musaabuebker1750 2 жыл бұрын
haka ka thailandukiwa na hasira unafeli
@shabanikasele8071
@shabanikasele8071 2 жыл бұрын
Wanao endelea kuangalia mbaka sasa pambano hili tujuane
@ramadhanitraveler3503
@ramadhanitraveler3503 3 жыл бұрын
Wametuzid technonology katika movie zao tumeishinda colona sembuse uyu mtailand #vitasa moto
@dokeayele5573
@dokeayele5573 Жыл бұрын
Hata kwa hao piya tutashinda
@floridangailo3990
@floridangailo3990 2 жыл бұрын
Mnatuletea wa zee alafu.mnasema mmeshinda
@salmaabduli700
@salmaabduli700 3 жыл бұрын
Dam yapua
@alisaidi2620
@alisaidi2620 2 жыл бұрын
Tatizo nimeona hapo kiduku ako fiti sana shida ngumi za kiduku hazina wight
@hafidhmassana2518
@hafidhmassana2518 2 жыл бұрын
Aaah ila mzungu aligongwa zakutosha mwishon ad dam puan
@soldierboy4812
@soldierboy4812 3 жыл бұрын
Uyu mtailand comedian saana
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Show
@lucymalisa5700
@lucymalisa5700 Ай бұрын
Uyu jamaa amelewa sana
@officialremmy9254
@officialremmy9254 3 жыл бұрын
Uyo mtailand akufanya kitu
@mudirachu9587
@mudirachu9587 2 жыл бұрын
Kaja chukua ela ya kodi uyu
@kasigahamisi354
@kasigahamisi354 2 жыл бұрын
Kiduku nimekukubali sana
@ramadhanmaneno4956
@ramadhanmaneno4956 3 жыл бұрын
Yuyu mtailand yupo silias kweli au amekuja jutalii bongo ngoja akutane nakichapo Cha TZ
@rajabulugeje6214
@rajabulugeje6214 3 жыл бұрын
Huyu bondia Ni mstafu, ila angekuwa Ni enzi zake asingemueeza, jamaa Kama Ana miaka 45vile,AF anamfharau TWAHA
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Hahaha!! Ana 43, halafu kwenye picha wameweka picha ya zamani eti!! Mmmh! Alikuwa kashastaafu, kaja kwa ajili ya hela tu.
@fatmamussafatmamussa4104
@fatmamussafatmamussa4104 3 жыл бұрын
Kwel kbs
@fatmakisanga9895
@fatmakisanga9895 3 жыл бұрын
Muuza uyoga akiwa tayar kashapata balimi zake mbili😅😅😅😅😅 yan hii ni comedy siyo pambano
@kusagaonlinetv3983
@kusagaonlinetv3983 2 жыл бұрын
Nyie msimsifu huyu kiduku kapewa ushindi na huyo jamaa angalieni rekodi zake
@suleimanomar5956
@suleimanomar5956 3 жыл бұрын
Show Show
@stanslausmatangalu3532
@stanslausmatangalu3532 2 жыл бұрын
Show show wana wa moro
@yahayabihoga1890
@yahayabihoga1890 3 жыл бұрын
Kazi Kazi....
@hamisiabdallahsafibloo2mwi502
@hamisiabdallahsafibloo2mwi502 3 жыл бұрын
Show shwo
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
💪🔥
@dokeayele5573
@dokeayele5573 Жыл бұрын
Muezi wa
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 3 жыл бұрын
Hapo huchez na mzungu wacheza na ugali wa dona ni mgumu huyo
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 жыл бұрын
siasa bhana, ameakaukaaa
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 3 жыл бұрын
Mwakinyo Ni bondia anae jisikia Sana Tena Sana sjawai kumuona akiwapa sapot wenzie ata siku moja
@wonderwomentv6000
@wonderwomentv6000 3 жыл бұрын
Jupupupuuuu I like it😋😋
@ishqmeinmarjawan1048
@ishqmeinmarjawan1048 3 жыл бұрын
This is Tanzania. Tanzania oyee
@hamadingokotoro3027
@hamadingokotoro3027 2 жыл бұрын
Vp
@mudirachu9587
@mudirachu9587 2 жыл бұрын
Mlevi uyu mh!
@jimmytz9152
@jimmytz9152 3 жыл бұрын
Kidudu nishida nyingne ww ndo bingwa
@Somaxmusic2805
@Somaxmusic2805 3 жыл бұрын
Kwer show show
@imanndimbwa9807
@imanndimbwa9807 3 жыл бұрын
Uyu k tu.
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mjanja sana af anajua kukwepa ngum
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Yani ndonaangalia leo nimecheka kama mwehu khaaa huyu mtailendi ananichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vickkipaule1205
@vickkipaule1205 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mwee huyu mzungu pori kafanya nicheke kama chizi peke yangu
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
😂😂😂mmi nilipoona nilicheka sana
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 3 жыл бұрын
Comed hii
@mohamedmwanja6857
@mohamedmwanja6857 3 жыл бұрын
ngumi ni sumu kama huwezi kupiga usioje utakufa mazima ngumi weka mbali na watoto unachezea ngumi ww
@onesmomlinga2739
@onesmomlinga2739 3 жыл бұрын
Shoooshoooo
@maglansaisai420
@maglansaisai420 3 жыл бұрын
Kiduk namkubal San
@givenrich5961
@givenrich5961 3 жыл бұрын
😁 nmekumbuk ngumi za joti na mpoki
@ramadhanigwalu2399
@ramadhanigwalu2399 2 жыл бұрын
Waje na mabondia kutoka nchi nyingine, wakongo basi sasa
@mofeisaltv0708
@mofeisaltv0708 3 жыл бұрын
Huyo alikuja kumfundisha ngumi kiduku Tu
@daudimwita448
@daudimwita448 3 жыл бұрын
Ya miyeyusho haipo na ya daudi mwita vs juma misumali na ya maulidi hamis hazipo
@jambiajambia5969
@jambiajambia5969 3 жыл бұрын
Kiukweli tunafurahi kuwa mtanzania mwenzetu ameshinda lkn kiuhalisia huyu mtailand hakuwa serious na hili pambano na twaha kimbinu hakuwa mzuri. Kwa bondia mzuri na mwenye mbinu angempiga huyu mtailand Kwa TKO round za awali Tu.
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 2 жыл бұрын
Tko haifosiwi kaka huyu mtailand sio mwepesi kiivo n mzuri na nimzoefu sana Wa gem
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Shoo
@happyfoya546
@happyfoya546 3 жыл бұрын
Showshow
@hajihaji1000
@hajihaji1000 3 жыл бұрын
Kiduku mwepesi sana!
@lildrick9361
@lildrick9361 Жыл бұрын
Mnooo yani mnoooo
@luswetichetekeilusweti2879
@luswetichetekeilusweti2879 2 жыл бұрын
Kidu mwenzetu ungekuwa na ufundi kama Siri, hungewai shindwa.Kumbe hupewi nguvu na ufundi...Kazi ya Mola hiyo
PAMBANO KAMILI: IBRAH CLASS  v  SIMON NGOMA
53:50
Azam TV
Рет қаралды 223 М.
Универ. 13 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:07:11
Комедии 2023
Рет қаралды 571 М.
UFC 302 : Махачев VS Порье
02:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,3 МЛН
Black Magic 🪄 by Petkit Pura Max #cat #cats
00:38
Sonyakisa8 TT
Рет қаралды 37 МЛН
HIGHLIGHTS | Twaha Kiduku Vs Abdo Khaled | Ubingwa wa UBO
39:46
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
Novak Djokovic vs Rafael Nadal Full Match | US Open 2010 Final
3:57:47
US Open Tennis Championships
Рет қаралды 3,2 МЛН
This rally has everything 🤯  #SaudiSmash #Shorts
0:58
World Table Tennis
Рет қаралды 12 МЛН
Веселые моменты в мма
0:55
Ицюань | Школа Оздоровления и Самопознания
Рет қаралды 1,3 МЛН
Their reactions 😂 (via @trent.severino/TT)
0:12
ESPN
Рет қаралды 14 МЛН
裁判说了啥,懂得翻译一下! #格斗  #裁判#shorts
0:17