Fuatilia ujumbe huu utakusaidia unapoanza 2022. Ubarikiwe
Пікірлер: 65
@teddytedy2483 ай бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana maana unahubiri Injilli ya kweli na si vinginevyo,wengine wangehubiri dhehebu lao badala ya Injili
@anawemamalila1209 Жыл бұрын
Mtumishi barikiwa sana,nabarikiwa mno na mafundisho yako.yamenikuza sana kiimani.
@fatemajohn31956 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU kwa mafudisho yako
@ngolorose Жыл бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana pastor tuna ku subiri kwa makini USA 🇺🇸
@paulpauline6707 Жыл бұрын
Amina mtumishi mafundisho yako yanaponya sn roho na miili yetu
@LillianNyaboke-kg3ee9 ай бұрын
Hao wa mbuzi wamenifrahisha kweli, pastor ubarikiwe sana napenda mafundisho yako una hekima nyingi
@bridgitkola5341 Жыл бұрын
😁😁😁Mahubiri matamu jameni👌👌👌👌following you from Kenya 🇰🇪🇰🇪kutoka nisikize Mahubiri yako ujisomesha mambo na **maombi**na umuhimu WA kufunga, sitakoma kusikiza ujumbe WAKO, be blessed PST David Mbaga🙏🙏😇😇❤️
@gracekariuki1078 Жыл бұрын
Iam also from Kenya,na anakuja kwa effort ya wiki mbili huku kwetu Nairobi
@elizabethkivuruga53517 ай бұрын
Huwa nakukubali sana japo mm Sio msabato,huwa nakusikilizaga sana .
@SAVPTVOnlineАй бұрын
Barikiwa
@YASINTAMARTIN3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumish
@bernardomondi26322 жыл бұрын
AMEEN Mtumishi na PASTOR so mimi nawezaji kukipata hicho kitabu ya kufahamu vile Mola atasemesha. Barikiwa sana Mtumishi
@costarathuman32962 жыл бұрын
Nàshukuru kwa ujumbe wako tatizo langu naomba msaada wako naota ndugu zangu waliokufa yaani maisha yale ya zamani ya mwaka 1996--------- ndoto. Hizi zinamaana gani kwangu msaada wako paster
@espinosapaemn47652 жыл бұрын
Issue ni kuomba tu no alternative
@JoyceRamadhan-cl2us11 күн бұрын
Mungu Akubariki
@aminasangali8649 Жыл бұрын
Asante.sana.sana.kaka.yangu👏👏👏
@cristinekenya10502 жыл бұрын
Pastor barikiwa sana, nimeguzwa kabisa na naomba Mungu anisaidie niishi kiulingana na hili SoMo amen
@esperanzaashery155 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@Johnwekesa.32452 жыл бұрын
Amina,hakika kwa ujumbe u nimebarikiwa sana.Na Mungu akuzidishie neema.
@joycekerenge2427 Жыл бұрын
Amina Pr Mmbaga
@pauljangu45322 жыл бұрын
Pr. you are always inspering me, be blessed
@dennisobiri1398 Жыл бұрын
God bless you Pastor. From Kenya.
@fadhiliedson29962 жыл бұрын
Somo hili namin mwenyezi Mungu atanisaidia linibadilishe
@joannelson11372 жыл бұрын
Amen, Asante San mtumishi wa mungu kwa kutupa maarifa
@charlessando41292 жыл бұрын
Amina mtumishi napenda kusikilizaa mahubiri yako
@salmamsabaha84342 жыл бұрын
Mbaga kuna sharia na amri kumi za Mungu je unzitumia vizuri?make amri kumi hazibadishwi sharia zinabadilishwa
@masulerichardtv.2102 жыл бұрын
Ubarikiwe Sanaa Mtumishi wa MUNGU
@JoyceRamadhan-cl2us11 күн бұрын
Nakupata mtumishi nikiwa Oman
@angenizigama88612 жыл бұрын
hata mimi piya nashanga kwa maesabu hayo hahahaha
@nakundwamallya2295Ай бұрын
Tafadhali pastor
@SAVPTVOnlineАй бұрын
Hi
@salomekemunto82172 жыл бұрын
Asante kwa kunihelimisha
@mwavitafuraha7244 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@leahsafiel56692 жыл бұрын
Amina umenikomboa kifkra
@nakundwamallya2295Ай бұрын
Pastor ninamgonja mtoto wa mama mdogo wangu ninakupataje
@terezamsako17482 жыл бұрын
Amen
@sareheisalige-sd1rr Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@nathankanamba36002 жыл бұрын
God is good
@mugabanyivital2 жыл бұрын
Jambo kwenu ! Nahitaji siku moja ni shiriki mafundisho ya Mchungaji huu Bwana David.
@SAVPTVOnline2 жыл бұрын
Karibu uko wapi
@mugabanyivital2 жыл бұрын
Niko Uganda mutumishi wa Bwana. Tena mimi ni mukimbizi toka DRC.
@SAVPTVOnline2 жыл бұрын
Hata ukiwa mbali endelea kumfuatilia
@nezerinejuma55107 ай бұрын
❤❤❤
@margaretwanjiru90962 жыл бұрын
Good preaching. Be Blessed Pastor 🙏🙏
@MortonKaunda5 күн бұрын
Pastor ninaota babangu aliofaliki mwaka 2016 lakini naota anipa ufungu ,mara ingene niota kanibadilichia gali langu alinipa gali lingine sijuwi maana yake
@montteyfloki39532 жыл бұрын
Nimepigwa na kitu kizito hapo kwenye iPhone 13 alafu sina hata roboheka 😔😔😔😔 Lord have mercy
@user-ew6tr5jk2o Жыл бұрын
Asante mjungaji mungu akupaliki sana
@KunyongaPhilipo-on9ry11 ай бұрын
BANANA azidi kukutangulia sote tufike mbinguni
@user-zx2kb2ir3t7 ай бұрын
Nikwr watu wanatakiwa watufuate.
@estherjonas84666 ай бұрын
Mungu Maombi ya kabadilishe maisha yangu na Mume Wangu ktk uchumi. Na kutuondolea magonjwa ktk mwak 2024
@Briansimiyu2542 жыл бұрын
Yes 🥰🥰 amen sabbath
@felixbaraka7101 Жыл бұрын
Pastor mmbaga David nakufata vizuri kwenye maumbiri yako nafarijika sana naomba number yako
@DaviasAmbundo8 ай бұрын
Asante kwa mahubiri mema
@emmaoscar2326 Жыл бұрын
Emma oscar
@fabricebonkisandemumbere73612 жыл бұрын
Asante paster kwa mahubiri.
@philemonmlowe74182 жыл бұрын
Nzuri
@upendomaduhu13107 ай бұрын
Namuomba Mungu anisaidie niweze kufatilia kuliko kuangalia mov
@SAVPTVOnlineАй бұрын
Barikiwa
@elizabethkivuruga53517 ай бұрын
Tafuta utaratibu ututumie hicho kitabu soft copy tununue Pastor.
@nakundwamallya2295Ай бұрын
Mawasiliano yako
@janechilendu1438 Жыл бұрын
Pastor nahitaji namba zako samahani niko nchini Oman nina shida ya kuongea nawewe Pqstor