Jamani umekinunulia wapi hiki chungu kwani ni kizuri kabisa. Tena asante kwa hayo mafunzo.
@MariamMkusa9 күн бұрын
Chungu umenunulia wapi kizuri sana
@brendagasto855212 күн бұрын
dada Ika icho chungu umekununulia wapi
@kigomapenzi563813 күн бұрын
Samahani sana najua nikonje ya mada ila kiukweli ninahitaji msaadawako plessure cookar yangu hhaipungui namba na inatoa moshi nimejalibu kuangalia vidiozako ila hujaizungumzia plessure ya aina niliyonayo haipo kama iyo ya kwako yangu ni yakubonyeza nisaidie tafadhal