Jifunze jinsi ya kutumia pressure cooker, kwa namna raisi sana pia somo ili unaweza kulipata kwenye channel yetu ya raba one
Пікірлер: 47
@meereggfd55749 күн бұрын
Jamani Bei ningapi
@AgnesMarikiАй бұрын
Jamani mimi nimepoteza hicho kifuniko kidogo cha kutolea mvuke naweza kukipata wapi? Mdada jamani
@VeeCute-ql4sk2 ай бұрын
Inauzwa sh ngap
@user-bj2xs3tc7h2 ай бұрын
Being Gabi na iwapo nipo tanganitaipata vipi
@HabibaKippaАй бұрын
Kama Maharage hayajaiva unafanyaje??
@hillderrodgers52783 ай бұрын
yangu hicho kitobo cha pressure kuna chuma kimetoka nafanyaje apo
@MWANAHAWABAKARI-h4z14 күн бұрын
Bei gani?
@user-tk5sr6wt7i3 ай бұрын
Naomba unisaidie ya kwangu ukiwasha inaandika E 4 Alfu ukitaka kuseti kwenye kupika inagoma shida inakuwa wapi
@dades20243 ай бұрын
umejaribu ku reset?
@JwempoWaterInstitute2 ай бұрын
Kuna madhara kutumia cable au mpaka socket enyewe
@dades20242 ай бұрын
hapana, hakuna madhara yoyote
@tumainirwela64882 ай бұрын
Unaiuzaje? Naweza ipataje?
@dades20242 ай бұрын
izi hadi kuagiza
@user-ur2ep7ep9b3 ай бұрын
Ninapo iwasha kupika muda ukiisha haifunguki
@dades20243 ай бұрын
Haiwezi kufunguka kama kama hujatoa preasha iliopo ndani
@RosePolika12 күн бұрын
Yagu inatoa mvuke semzote adikwenye mfuniko
@dades202411 күн бұрын
uwe unaibana vizuri au angalia kama ina itilafu kuanzia kwenye mfuniko na sehemu zote
@lightnessdaniel28203 ай бұрын
Ya kwangu nikishaset dakika, haiivishi ndani ya hizo dakika, pia dakika hazipungui zinaganda hapo hapo alafu mvuke hapo juu hautoki hata ukizima ili utoe mvuke hapo juu hautoki shida itakua nini?
@dades20243 ай бұрын
ili tatizo mtafute fundi aliopo karbu yako anaweza kusaidia
@swahililyrics463526 күн бұрын
Pressure cooker haina dakika ... ina pressure na sio dakika .. mfano ikiandika p:15 , au p:35 means ndani yake pressure inatakiwa kua 35 au 15 .. inaamaa pressure ikijaa ndani mpaka uo ujazo wa 15, 35 au 40 .. ndo inaanza kushuka tena chini
@swahililyrics463526 күн бұрын
Na mvuke hautakiwi kutoka kipindi linapika ... pressure ikishuka chini bb ndo unatoa mvuke
@user-it1hv9vh8qАй бұрын
6litre ni sawa na kg ngap
@dades2024Ай бұрын
kilo 3 hadi 4 za nchele
@AishaMohamed-wh9bs2 ай бұрын
Yangu inatoa mvuke tu hata nikifunga hicho kimfuniko haikubali
@dades2024Ай бұрын
ibane vizuri kuna sehemu inauwazi
@HabibaKippaАй бұрын
Kama Maharage hayajaiva unafanyaje?? 3:28
@dades202428 күн бұрын
unarudia tena japo kwa mara ya pili usiache imalize dakika mara harage litatepeta sana ikifika utakadiria kama dakika 20 ivi kisha una cancel
@dinacharokiwa48493 ай бұрын
Huyu mtu anatupa hadith maana anasema dakika 40 harage Haliwezi kuiva best,umetupiga hapo. Tueleze ukweli.
@dades20243 ай бұрын
Pole sana ndugu ulimwengu wa sasa upo mbio sana usikubali kubaki nyumba, kila unacho kiona hapo ni 100% kweli na hakuna editing
@jessicamichael62882 ай бұрын
ni kwel mpenz
@julianamuga389Ай бұрын
😂Mtu hujui kitu tulia ujifunze unabishana haya kachochee na mkaa masaa saba
@user-tr3zb4ct1g29 күн бұрын
Hy mbn ni dakk 30 jamn😂
@user-tr3zb4ct1g29 күн бұрын
Shingap hii
@dades202428 күн бұрын
izi zinatofautiana bei unaweza kupata kwa tsh 180,000 na kuendelea
@KaziloLulabhi7 күн бұрын
Mbn yangu ukiset kwenye maharage inaleta 3 ss apo naona 40
@dades20243 күн бұрын
laba inatumia mifumo tofauti
@aishaomar417915 күн бұрын
Ukitaka kuongeza dakika ikiwa kitu hakija iva wafanyaje
@dades202413 күн бұрын
unanza upya tena
@user-sh5me6si5n4 ай бұрын
Naomba unielekeze jinsi ya kupikia maharage hio pressure cooker
@dades20244 ай бұрын
angalia video hadi mwisho utaona jinsi inavyo pika maharage.
@moriastore2 ай бұрын
Yangu dakika azipungui na mvuke unatoka
@dades20242 ай бұрын
shindilia kwa chini icho kitufe cha kutolea hewa
@kudrankumbi5875Ай бұрын
Asante yangu pia ilikuwa inatoa mvuke nikashindilia ikaacha
@user-gu8mr6ko8m4 ай бұрын
Hpo.kwwnye kuwasha cjaelewa
@dades20244 ай бұрын
ukiweka tu kwenye umeme inawaka
@hillderrodgers52783 ай бұрын
yangu hicho kitobo cha pressure kuna chuma kimetoka nafanyaje apo