Utani wa OMMY DIMPOZ kwa ALIKIBA, amvunja mbavu KIKWETE ''Usitutishe sana kisa una RADIO''

  Рет қаралды 17,606

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 64
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 4 ай бұрын
Ommy ni Comedian mzuri sana 🔥🔥 Sana
@Dienacademy
@Dienacademy 4 ай бұрын
Sanaaaa
@williamkhaemba2782
@williamkhaemba2782 4 ай бұрын
Ako vizuri kwa stand up comedy huyu jamaa😂😂😂😂🙌
@EzzyK438
@EzzyK438 4 ай бұрын
Natamani one day niwaone Kiba na Mondi wakiwa meza moja kwenye mazungumzo ya kibiashara 🙏
@samdj_majorizer
@samdj_majorizer 4 ай бұрын
utoto una kusumbuaa
@EzzyK438
@EzzyK438 4 ай бұрын
@@samdj_majorizer sawa mubibi.. Matako ka sikonzi za buza
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 4 ай бұрын
Na mimi eee mungu sikiya ombi letu😢
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 4 ай бұрын
Baada ya hapo
@EzzyK438
@EzzyK438 4 ай бұрын
@@bujashidaniel5537 namtafuta mama ako namsalimia
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
leo mara ya 4 au ya 5 kuangalia hii nikicheka😂😂 kila nikitulia
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 4 ай бұрын
Ommy Kapendeza sna 🎉
@suzanampanda6242
@suzanampanda6242 4 ай бұрын
Nilichojifunza kwa Ommy ni mtu wa kujishusha na kuthamini wema aliofanyiwa 👏🏻👏🏻 na kwa Ally ni mtu asiyependa kujitangaza anapomsaidia mtu . Mungu azidi kuwabariki wote 🙏
@jairatu688
@jairatu688 4 ай бұрын
Nasubiri recap
@ramosfally2318
@ramosfally2318 4 ай бұрын
mze kikwete hoi aise iyo dimpoz noma
@nassirzimba4657
@nassirzimba4657 4 ай бұрын
😂😂😂in is typing mumeweza sana God bless you
@davidmarik4633
@davidmarik4633 4 ай бұрын
😂😂😂 nimecheka kishezi asee jamaa anakipaji comediani kabsa
@DatuBakary-in3ut
@DatuBakary-in3ut 4 ай бұрын
Umenichekesha ommy ilembaya
@luckyluchano1
@luckyluchano1 4 ай бұрын
Jamani furaha isio na kifani😊
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 ай бұрын
Ndio maana nampenda ommy 😂😂😂😂😂
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 4 ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤❤
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 4 ай бұрын
Ommy bana 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@samirmswahili
@samirmswahili 4 ай бұрын
Ila ommy bhana 😂😂
@johanjoha5262
@johanjoha5262 4 ай бұрын
Ommy nimempenda sana
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 4 ай бұрын
Mapacha😂😂😂🎉🎉❤❤
@happymbilinyi4164
@happymbilinyi4164 4 ай бұрын
Hapo ndo tuendelee kutaman kuwaona wakikaa meza moja mond na king kiba
@alwiyad1977
@alwiyad1977 4 ай бұрын
Nice one ❤
@ibrahimuponsian2804
@ibrahimuponsian2804 4 ай бұрын
ila nyembo bn😂😂😂
@kawingasimkoko1391
@kawingasimkoko1391 4 ай бұрын
Hahh good moments
@ramosfally2318
@ramosfally2318 4 ай бұрын
Like kwa mze jakaya
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 4 ай бұрын
😂😂😂😂 nmecheka sana kiukweli
@SaumuIssa-zl1vy
@SaumuIssa-zl1vy 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Dah nimejua kucheka
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 4 ай бұрын
Hivi yule babake na ommy dimpoz kaishia wapi?!😂😂
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 4 ай бұрын
Pozi Kwa pozi n mcheshi sana😂😂😂
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hahaah napenda hii brothers
@mwinyimatopa2283
@mwinyimatopa2283 4 ай бұрын
😂😂😂😂 ommy D Yuko sawa
@eliasl1011
@eliasl1011 4 ай бұрын
1
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu King na ommy wakikutana utacheka tu
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 4 ай бұрын
Oh my goodness 😂🤣
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 ай бұрын
OMG nimerudia mara 3 ommy is so funny nimecheka mpaka machozi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hadijagere
@hadijagere 4 ай бұрын
😂😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 4 ай бұрын
😂😂🎉😂Mkurugenzi WA
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 4 ай бұрын
😂😂😂😂❤
@tabithaolubaha4349
@tabithaolubaha4349 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 4 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂
@ashwaqhasni
@ashwaqhasni 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marietswedy776
@marietswedy776 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@wemakalama6458
@wemakalama6458 4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
WASAFI MEDIA itaendelea kuwa media bora Siku zote.Its well established Media.Hizi nyingine zilezile porojo kama vile walivyoanzisha label za music...wasafi Music Label is always the Best in East Africa.
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 4 ай бұрын
Nani kakuliza mbwa wewe wivu itakumaliza crown fm ndo abari ya mjini
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
@@karaniomoit5259 Hakuna kitu Huyo kichwa maji.
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 4 ай бұрын
​@@chizashungu8364 mama yako na baba yako ndo vichwa maji wanamiliki Nini.? Inawahuma sana wcb funs
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 ай бұрын
Hakuna alokuuliza opinion yako . Soko ni kubwa kila mtu ana fungu lake
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
cha ajabu kipi ni umbea na ngoma kila mmoja anapiga suuukaarii😂
@chamotz9009
@chamotz9009 4 ай бұрын
Ali ameona amefany tangazo kusema MPESA Ommy AKAONA ATAJE MAKAPUNI YOTE😂
@sadikihamad9770
@sadikihamad9770 4 ай бұрын
😂😂😂
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 4 ай бұрын
No ALLY kufungua media atategemea ayo makampuni yote kutangaza au HATA kudhamini vipindi kitendo Cha ally kuamua kuyataja yote ni kuondoa upendeleo WA kampuni MOJA na kuyataja yoote kama Wateja anaowatarajia
@user-xq8jd7kn8m
@user-xq8jd7kn8m 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 12 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 89 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
Did you like the picture with my cat? #cat #cats
0:28
Prince Tom
Рет қаралды 5 МЛН
Лайфхаки не нужны
0:28
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 54 МЛН
小丑与白天使遇见丧尸?#short #angel #clown
0:32
Super Beauty team
Рет қаралды 18 МЛН
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 66 МЛН