@zeelamaokoto001 ya ndalo ukikaa na wenye hela like diamond harmonize alaf na ww simu ikipotea nan mwiz kua muwaz nan mwiz
@nicholausmbilinyi35872 ай бұрын
Sio kweli..anarudia sana tu..ila ni bingwa wa kuwasilisha vichekesho vyake..ndio maana unaweza usijue kama karudia...
@uwezokinahi78702 ай бұрын
Hakika
@DrMbonea2 ай бұрын
Stand-up comedian mwenye maadili vichekesho vyake vina nidhamu
@katabaroonlinetv96882 ай бұрын
Hanaga matusi Jamaa kapoa sana
@KhamisAli-fx6wkАй бұрын
Sw Sw mm buku @@katabaroonlinetv9688
@kingswebe32512 ай бұрын
Pamoja na elimu yako ya kidato cha nne lkn umewakalisha maprofesa wanakusikiliza, Kweli Mungu fundi.
@Captain_film2 ай бұрын
Big talent anajua kupangilia content
@benchalamila49702 ай бұрын
Poleni sana kwa mlopoteza watoto, Pia pole kwa mdogo wetu dereva pamoja na wote wanaokutegemea, Tukumbuke tangu mvua zianze kunyesha tumepoteza ndugu pamoja na mali hivyo basi tuzidi kuliombea taifa letu mvua zinazonyesha zikawe za baraka.
@ilomogold17152 ай бұрын
Like kwa eliud
@daniel.shao.90282 ай бұрын
Jamaa kichwa sana...hii inaitwa papo kwa hapo comedy...sio zile za copy n paste.
@IsaacLaizer-um9qw2 ай бұрын
Eliud ❤ respect you never disappoint
@peterjohn84052 ай бұрын
Endelea hivyohivyo kujibrand kwa uchekeshaji usio na matusi . Utaalikwa sana kwenye matukio ya ki serikali
@israeluronu99582 ай бұрын
Mchekeshaji wa taifa😂😂😂
@nancywanjiku15542 ай бұрын
Much love eliud from Kenya
@Echital2 ай бұрын
Blessed formal comedian ❤
@mafioso1_.2 ай бұрын
Kipajiiiiiiiiiii🔥🔥🔥🔥
@shedrackmnzava65322 ай бұрын
Hiii ni more than Talent
@mr.nyoradonald72412 ай бұрын
Huyu kweli talented 😅
@deniskaguo46982 ай бұрын
Huyu mwana ukimfatilia haandiki huwa anapata tukio hapo hapo ukumbini ndiyo maana harudi vichekesho vyake kongole kwake
@robertpaul36252 ай бұрын
Eliud yuko smart sana😅
@ilomogold17152 ай бұрын
Jamaa anajua zana
@meshackjackson32622 ай бұрын
Kijana mpambanaji unapambana nanan?😅😅
@francismngumi51252 ай бұрын
Namuona profesa Mwatawala wa SUA
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
Mnaomba like ni Mahira
@barakamwamtenga24482 ай бұрын
Eliudi Mungu amfikishe mbali zaidi
@jaizathabeid20922 ай бұрын
My lecture..prof mwatawala
@EstherEdimund-go1uhАй бұрын
Alikuepo kwani
@Meddinhoiman2 ай бұрын
😂😂😂Mwanang fundi sanaaa an
@lucaskichunju50392 ай бұрын
Nashukuru kumwona ndugu Omar Babusa.
@kingcole602 ай бұрын
Jamaa anajua
@MELALYLUVANDA-ir8dm2 ай бұрын
Mungu mbariki Eliud😊
@henockmzilo64462 ай бұрын
Wale tulokua hatujui Master of Ceremony ni MC tujuane😂
@officialdinaize2 ай бұрын
Muziki ndio huo
@AdolpheBahininwa2 ай бұрын
Elisamuel big up bro ❤😊
@alfonsimwalongo9422 ай бұрын
Yuko vizuri sana jamaaa
@peacekahemela86762 ай бұрын
Eliud ni neema ambayo haina madoadoa kwakweli😂😂😂😂
@AdolpheBahininwa2 ай бұрын
I apreciate you and your ayo tv all the best my brother
@scratcharico62232 ай бұрын
unawamrisha wanajeshi wakupigie bendi
@karibunyumbani38242 ай бұрын
Anajua pa kuwaamrishia hapo anajua hawamfanyi kitu😅😅😅😅😅
@user-op2dh3ym6o2 ай бұрын
Umetishaaa kk
@frankhoffa83562 ай бұрын
Jinga hili kha!
@mcbsb87422 ай бұрын
Unajua kaka endelea kuwanyoosha wacheke had wakae chini
@lucasbatano3332 ай бұрын
Eliud unajua mpaka basi😅
@tukuyufm2 ай бұрын
Eliud na Unyakyusa utamtenga kweliii?....
@ElizabethZacharia-bf3ol2 ай бұрын
Ngumu 😂
@touches4lifeonlinetv462 ай бұрын
😂😂😅huuyu fala huyu,,ishi miaka mingi Mwamba
@PanchoValentino-wh7wt2 ай бұрын
Eliud Balaaa Ziiitooo aiseee unawezA saanA 😂😅😁😂🤣
@ntullyjanga332 ай бұрын
Nmekuwa mtu wa buku ku like
@godlistenmuro9313Ай бұрын
Jamaa ni next level
@ntullyjanga332 ай бұрын
Nnapambna na maisha😅😅 mwanang eliud
@NebartWilliam2 ай бұрын
Mim nimekuw wa kwanza kuw comment naomben likes zenu
@moonpicturestanzania652 ай бұрын
Good
@jmlaytv6961Ай бұрын
Eti katoe vitz wasije wakaikanyaga
@pauloclemence53072 ай бұрын
Ata wakiimba vibaaya uwez kulalamika
@benOfficial362 ай бұрын
😂😂😂 kwamba hata wakiimba vibaya 😂😂
@malaika1tz6012 ай бұрын
🔥
@emmanuelnkwabi86102 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jamaa kichwa sana
@MwikonziGodfrey2 ай бұрын
Jina la nyimbo hiii
@samwelmatemu88732 ай бұрын
Tunaomba serekali iwaondoe walimu wote vihiyo
@joshygeorgeeАй бұрын
Talented 😅
@donaldmwahalende48412 ай бұрын
Mmh
@cliffordmwangosi4262 ай бұрын
😂😂😂😂Master Eliud
@mohamedally6390Ай бұрын
Jaman hii kokoriko nyimbo hii inaitwaje??
@officialdesiderius2 ай бұрын
Mimi wa 8
@lubeadamas72872 ай бұрын
Naam hii ndiyo maana halisa ya kipawa
@neemamasimba2981Ай бұрын
Yaani nimecheka mpaka
@imanuelnguya92772 ай бұрын
Mimi wa kwanza like nyingi sana kwa eliud
@Joery-pb5tzАй бұрын
Harafu huyu jamaa walitakaga kumwacha
@AsselaRevelianАй бұрын
mwamba anajua mpaka anakela comedy zake ni kam freestyle yani
@Captain_filmАй бұрын
Haini chosh8i kutizama hii😂😂
@ISACISAC-mc9ex2 ай бұрын
So good😂
@cristaezekiel1036Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Anakuja tu eliud 😁😁😁😁
@maryammwinyimkuu30082 ай бұрын
Mimi wa tatu jmn
@saidamour6938Ай бұрын
TID hiki kitengo kinamfaa
@oscarpatrick38202 ай бұрын
Jamaa anajua sana.
@BestLooz_Chance2 ай бұрын
Amepiga piga Poa Sana Jamaa Eliud Mc
@user-pg4fw3rt7f2 ай бұрын
😅😅😅
@matukutajuma1562 ай бұрын
😂😂😂😂😂duh!
@user-pg4fw3rt7f2 ай бұрын
😅😅😅😅
@mcpwanako90912 ай бұрын
😂😂
@2pacFreeStyle962 ай бұрын
Me wa tano
@ChochoteTv2 ай бұрын
Mm wa pili😂
@glorynjovu2483Ай бұрын
😂😂😂huo ndo mzik sasa
@emmanuellyatuu41032 ай бұрын
Muhalifuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
@ommyraida19962 ай бұрын
😅
@daviddonatus81212 ай бұрын
😂😂😂😂
@augustinenjesi32152 ай бұрын
🤣🤣🤣 ila Eliud
@fettymilly76642 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ila eliud
@ShishiRamadhani-iq4ze2 ай бұрын
🎉😂❤
@audaxbizimana80842 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jamiinaafyanjema29662 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉🎉😂😂
@reymahandrew25642 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@givenessdavid37432 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marthageorge50432 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@byaombemloko84702 ай бұрын
😂😂😂😂lol
@sottithomas94432 ай бұрын
Nawashangaa wale wajinga walikuwa wanambeza eliud😅😅kama ni kwenye hip hop tunasemaje vile