UTAPENDA DEREVA MKONGWE AKISIMULIA MAISHA YA MGODINI MAMBO MAZITO.

  Рет қаралды 26,435

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

5 ай бұрын

FUATILIA KISA CHA DEREVA MKONGWE ALIVYOKIMBIA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE KONGO ,ITAKUTOA MACHOZI.

Пікірлер: 31
@alphamania65
@alphamania65 23 күн бұрын
mambo vp dereva mkongwe🤛🤛 zanguvu kaka nakukubali sanaaa
@user-ou9pg4pv6n
@user-ou9pg4pv6n 2 ай бұрын
Nakubali dereva mkwongwe
@ExcitedBarbecue-iz7fi
@ExcitedBarbecue-iz7fi 5 ай бұрын
Nakubari sana mkogwe
@mashimangoselemani6089
@mashimangoselemani6089 5 ай бұрын
Sisi wa Congo 🇨🇩 atunashuda, watu wanatutesa ni WaGANDA na Wa NYERWANDA, lakini soon or later we will fight back....
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 5 ай бұрын
Tatizo nini kwanini msikae mkayamaliza
@kingkendrickk
@kingkendrickk 5 ай бұрын
Poleni sana
@user-ib3fd1tc3r
@user-ib3fd1tc3r 5 ай бұрын
Asante baba
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 5 ай бұрын
Haaahaaaaaaaaa nimecheka sasa Dereva uyu akikabiziwa basi kila MTU atatamani alipande ilo basi
@louisisd1090
@louisisd1090 5 ай бұрын
Nakukubali sanaaaaa
@user-kj2xh6bt5y
@user-kj2xh6bt5y 5 ай бұрын
Wekaa muziigoo karibuu bujumburaa burundii
@BensonMpomo
@BensonMpomo 5 ай бұрын
Sasa naona watu wanapinga kwamba congo hakuna vita kwani ni nani asiejua kwamba congo hakunaga amani
@salimmohamed5559
@salimmohamed5559 5 ай бұрын
WEE MZEE USITUCHEZEE UMEKUWA MUONGO KILA SIKU UNATUPA UWONGO MPYA 😡😡😡🤬
@lugendodaudi5510
@lugendodaudi5510 5 ай бұрын
GBP chukua dereva huyu
@paulkambaulaya4591
@paulkambaulaya4591 5 ай бұрын
Ayaaaaaah
@ibrahimselemani4306
@ibrahimselemani4306 5 ай бұрын
Uwongo wake unafanana na ukweli na maneno yake yana funzo kwa dereva
@madalemagadula4002
@madalemagadula4002 5 ай бұрын
Mkoa gani upo
@mkoma49
@mkoma49 5 ай бұрын
Pwani io kisemvule
@binyussuf
@binyussuf Ай бұрын
Bamkongwe like 2pac sura ile kafanannae
@user-jk8vs4eh8i
@user-jk8vs4eh8i 5 ай бұрын
Hahahaha wallah huyu ni mkongwe
@ruu6592
@ruu6592 5 ай бұрын
mvue ngozi kama nguo wakuiba uyo😂😂😂😂😂
@sawfiaoman9293
@sawfiaoman9293 5 ай бұрын
😂😂❤❤
@mohamedhamissihamim7055
@mohamedhamissihamim7055 5 ай бұрын
Nipo burundi muyinga
@ChristopherKiiza-rt1uz
@ChristopherKiiza-rt1uz 5 ай бұрын
Huyo mzee muongo sana Mimi nipo congo hakuna ulinzi wowote
@antonymuoki
@antonymuoki 5 ай бұрын
Hakuna Escort?
@badifundi6089
@badifundi6089 5 ай бұрын
Acha uongo bwana ww unapeleka gari zipi mm trip za Congo kuna escort ya polisi ata Kenya ukifika kwenda lamu kuna escort ya polisi na ni waumoja wa Africa mashariki so ongea kitu wajua
@Gerald-hq5km
@Gerald-hq5km 5 ай бұрын
Congo pabaya bhn munaongea nn nyinyi machafuko Kila siku
@felixmuvengei4472
@felixmuvengei4472 5 ай бұрын
😂😂😂
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 ай бұрын
​@@badifundi6089 Dereva Mkongwe anaongea ukweli
@mohamedhamissihamim7055
@mohamedhamissihamim7055 5 ай бұрын
Ningeomba nikutane na dereva mkongwe naamini atanisaidia maana nataka nianze kazi ya udereva
@waliisamma2129
@waliisamma2129 2 ай бұрын
yy mwnyw anaitafta hio kaz ana kaz ya kupiga story tu 😁😁😁
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 5 ай бұрын
We mzee acha upimbi wadanganye wajukuu zako
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
DEREVA MKONGWE HAKUNA KAZI NGUMU KAMA KUWABEBA WASOMARI KIMAGENDO ITAONDA PO.
27:38
DEREVA MKONGWE Akiwavunja mbavu MADEREVA wenzie
3:09
Truckers Of Tanzania
Рет қаралды 48 М.
FOMC Meeting and Microsoft Preview | Bloomberg Surveillance | July 30, 2024
2:56:10
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 209 М.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН