WAZIRI SILAA AMREJESHEA MAMA KIWANJA CHAKE ALICHOHANGAIKIA MIAKA 40 -''UMPE KODI YAKE ya KUPANGA''..

  Рет қаралды 74,761

Global TV  Online

Global TV Online

21 күн бұрын

WAZIRI SILAA AMREJESHEA MAMA KIWANJA CHAKE ALICHOHANGAIKIA MIAKA 40 -''UMPE KODI YAKE ya KUPANGA''..
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemrejeshea mama kiwanja chake maeneo ya Tegeta kilichovamiwa kwa miaka 40 sasa....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 254
@globaltv_online
@globaltv_online 18 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 18 күн бұрын
Mama samia km wasoma hiz comment plz muache jery hapohapo kwenye uwazir anatenda haki wallah mungu ampe maisha marefu inshallah 🤲🤲
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 19 күн бұрын
Mama muache huyu waziri kwenye hii wizara anaweza sana
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 19 күн бұрын
Uyu ni mwana Sheria kwaiyo anajua vizuli Sheria inavyo wa favor matajili
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 18 күн бұрын
​@@msafirimaulidi5054SIYO TU SHERIA NI MZALENDO NA NIMPENDA HAKI.MAANA UNAWEZAJUA SHERIA NA BADO UKACHEZESHA HASIYE NA HAKI AKAPATA HAKI.LAKINI HUYU ANA HOFU YA MUNGU.
@ShortyShorty-mr3jb
@ShortyShorty-mr3jb 18 күн бұрын
Ni kweli kabisa ndg yangu wallah
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 18 күн бұрын
Kabisaaaaa, yaani hadanganyiki na ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅
@rosehaule6765
@rosehaule6765 17 күн бұрын
Kazi ngumunkaka tunakuombea waziri wetu mpedwa mnoo Mungu akutunze
@babuuosama8752
@babuuosama8752 18 күн бұрын
Mama Samia Kumi yake Baadae Vijana wako Mama Samia wawili Slaa na Makonda Waendeleze Kazi kwa watanzania InshaAllah "
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 18 күн бұрын
Mungu atakuongoza unafanya kazi muheshimiwa wewe na makonda mko siliasi kumsaidia mama Samia
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 14 күн бұрын
Na wananchi pia
@jtheophil5499
@jtheophil5499 18 күн бұрын
Daah.Slaa slaaaa umetishaaaa.Safi sana tungepata mawaziri kama 5 wa hivi Tanzania ingetisha ulimwenguni.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 17 күн бұрын
Mungu amsimamie kwa kaxi ya mikono yake kwa kutetea wanyonge❤
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 17 күн бұрын
❤kaman huyu wazir anakhof ya mungu Allah awajaalie wazee waliomzaa fildaus yaan amafanya kazi nzur allah akalie umr mrefu❤❤❤
@bigbossnkuba8632
@bigbossnkuba8632 19 күн бұрын
Good job bro Jerry vijana tunapaswa kusimama hivyo💪🏿
@RestutaLeo-xq7rf
@RestutaLeo-xq7rf 18 күн бұрын
Kwa hio miaka yote hio hawakuwepo viongoz wengine wa kumusaidia huyu mama mpk silaa jmn,,waziri wetu mungu akuweke miaka mingi jmn.
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 18 күн бұрын
Ye ndo ataje aliokuwa anahangaika nao kuwepo hapo na kwa nn hana hati ,alikuwa anadanganywa
@MrKhatibu
@MrKhatibu 18 күн бұрын
Mama Samiha ni msimamizi wa haki mkipenda msipende, maraisi Wangapi wamepita hawakuwahi kusimamia haki. Hongera Mh Waziri
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej 18 күн бұрын
Mh. Jerry huyo ni mchaga wazulumaji sana wa aridhi Nasiyo huyo tu utawakuta wengi, ila ninakuombea Mwenyezi Mungu mweheshimiwa Jerry Mungu atakupa shuphaaa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 18 күн бұрын
Mama Samia hapo kahusikaje mbona alimteua yule mama awe waziri wa ardhi na hakupaform. Hapa ni utashi wa waziri husika vinginevyo mawaziri wote wangewajibika ipasavyo.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 18 күн бұрын
Kwaivo Magufuli alikua hasaidii wanyonge moja kwa moja kwenye mikutano yake?
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 17 күн бұрын
Nawengi katika viongoz uwa awapendi khaki ila uyu wazir na rais mungu awaongoze inshaallah
@ChoroTesla
@ChoroTesla 17 күн бұрын
we jamaaa unyonge ni neno la kipumbavu​@@BigZhumbe
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 19 күн бұрын
Jerry Slaa awe raisi wa Tanzania waziri mkuu awe paul Makonda atakapo ondoka raisi Samia
@anastazialushika
@anastazialushika 19 күн бұрын
Umenena vyema sana ndg
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 18 күн бұрын
Safi
@vincej9275
@vincej9275 18 күн бұрын
kweli kabisa.
@joyce55727
@joyce55727 18 күн бұрын
Ingekua vizul sana
@diti4899
@diti4899 18 күн бұрын
Kabisa jamaa anafaa kuwa raisi
@farajahoptimumofficial
@farajahoptimumofficial 18 күн бұрын
Aliyeteuwa mawaziri na kuwafix sehemu sahihi ni mh raisi. Kwa hiyo sifa lazima ziende kwa mh raisi kwanza. Hongera mh Jerry slaa
@OptimisticHummingbird-vh7dr
@OptimisticHummingbird-vh7dr 17 күн бұрын
Sio wote ni baadhi wamesimama kwenye nafasi zao kama waziri
@user-cx9lt8hh4l
@user-cx9lt8hh4l 18 күн бұрын
Allah akupe afya njema waziri wa ardhi tuko pamoja na ww na inshaAllah utakuwa kiongozi mkubwa sna ktk taifa letu🫡🇹🇿
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 18 күн бұрын
Sema mzee nimemuelewa sana anacheza na saikology hataki kuonesha kupanic kashaajua anamakosa na anajua hawez kubishana na mamlaka
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z 16 күн бұрын
Huyo ni mstaafu wa serikali anajua vyema Sheria na taratibu
@user-zq7gw4ik7g
@user-zq7gw4ik7g 18 күн бұрын
Uko vizuri mh Jery slaa mungu azidi kukulinda piga kazi. Unasaidia sana
@taifaonlinetv.3670
@taifaonlinetv.3670 19 күн бұрын
Aseee kumbe Ardhi yetu imekaliwa na watu wababe wenye nguvu za pesa zao. Waziri Slaa safi sana.
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 18 күн бұрын
Kabisaaaaa, yaani hadanganyiki na ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 18 күн бұрын
Wakati mwingine sio ubabe bali maafisa wa Ardhi hufanya makosa eneo lako wanalichukua na kumpa mtu mwingine bila ya kukujulisha je hapo utaitwa mbabe na unakaa kwa mabavu.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 18 күн бұрын
Kweli wababe wapo ila kwa huyu mzee ukimsikiliza vizuri watu wa Ardhi wamemtenda
@thomastemu3332
@thomastemu3332 19 күн бұрын
Safi sana waziri wangu Jerry slaa hoyee
@user-sz4fn1gh4f
@user-sz4fn1gh4f 18 күн бұрын
Mama samia hapa umepata waziri uhakika
@kayombotv9758
@kayombotv9758 18 күн бұрын
Mh. Silaa sijui tukupe nini Mungu akutunze
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 18 күн бұрын
Yaani huyu ni kiboko. Na hadanganyiki na pia ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 18 күн бұрын
Huyu waziri mtoto wa mjini pia msomi kwahio humdanganyi hata kidogo wachaga mmezid kudhulum
@kiberakishimba9691
@kiberakishimba9691 19 күн бұрын
Mheshimiwa Waziri mungu akuongoze.
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 19 күн бұрын
Wapige Za usoo Mweheshimuwa😂😂😂 Muache Adondoke tu😂😂😂😂
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 18 күн бұрын
fanyakazi baba mie nimeipenda watu wanazulumu wenzio sana sio haki mungu awabariki kwa mvavyo saidia watu
@user-cf9oi4xr9n
@user-cf9oi4xr9n 18 күн бұрын
Mh.wazili kazi nzuri mungu akutangulie ,imekuwa mfano wa kwanza katika wizara ya ardhi ,
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 19 күн бұрын
Matapeli wa alithi mutaisoma namba
@selector728
@selector728 18 күн бұрын
Ardhi sio alithi
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 18 күн бұрын
Muheshimiwa ongera sana. Weka number zako wazi ili upigiwe wapo ambao Hawana uwezo wakukufikia.
@issashunda444
@issashunda444 17 күн бұрын
This Guy is great. He has a diplomacy answers and street answers too. Hongera Mhe great job
@angelinamwakilufi8881
@angelinamwakilufi8881 18 күн бұрын
Mh.Silaa anatupa knowledge kubwa sana! Aisee
@festohaule9716
@festohaule9716 19 күн бұрын
Sijui ni lini utakuwa Raisi.Unafaa kuwa juu..Mungu atakuinua!!!!!!
@ullymwaipopo398
@ullymwaipopo398 18 күн бұрын
Watching this Guy Jerry inasisimua. Mtu wa maana kabisa.
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 18 күн бұрын
Huyu waziri anatakiwa awe rais wa nchi kwa kaz anayoifanya ni jasiri sana anasimama upande wa haki na Ana hofu ya mungu
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 18 күн бұрын
Kula yangu haikuenda bure.Piga kazi Waziri
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 16 күн бұрын
WAZIRI MSOMI MZEE LINACHEKACHEKA TU WAZULUMAJI MJINI
@bundaman8542
@bundaman8542 18 күн бұрын
Majina Yale Yale Hawa jamaa ni wezi wa Ardhi na dhuluma. Lakini ndo wanaitwa wameendelea. Dunia hii
@johnluyego9353
@johnluyego9353 16 күн бұрын
Thanks Jelly, safi Sana kazi nzuri sana
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 18 күн бұрын
Good Job Mheshimiwa Silaa.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 18 күн бұрын
Waziri wa mashati meupe safi sana .sio watu wanaona ukweli alafu wanamuongopea mtu na kumpotezea mda na kumpa tamaa .mwambie mtu ukweli kiwanja iki sio chako mpe mwenyewe. Sasa jerry bila woga anapasua safi sana
@anastazialushika
@anastazialushika 19 күн бұрын
Jerry uko vzr sana waziri kwer haki ya mtu haipotei hongera sana
@selector728
@selector728 18 күн бұрын
Kweli sio kwer
@VikavuOG
@VikavuOG 17 күн бұрын
Jerry silaaa ni nomaaaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@user-tr3bi1ry6t
@user-tr3bi1ry6t 19 күн бұрын
Wazir Mimi nakuelewa
@MnubiMm
@MnubiMm 18 күн бұрын
Mbona hawa Wazurumati wote wakubwa wa Ardhi wanatoka Mlima Kilimanjaro
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 15 күн бұрын
Hatari sana hao.
@maureenmgeni
@maureenmgeni 18 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akusimamie waziri wetu Jerry.
@seneu.2128
@seneu.2128 17 күн бұрын
Ndugu zetu wachagga acheni dhuluma kwenye ardhi,kiukweli ukifika Arusha mmewaibia wamasai ardhi Yao Kila Kona ya mji mlikuja Toka Kilimanjaro mnaomba hifadhi mnapewa baada ya muda mnaenda kujimilikisha. Nyie ni watu wema ila wachache wenu wamewaharibia sifa yenu njema ya utafutaji.
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 18 күн бұрын
Yaan slaa wewe mungu akurinde sana na familia yako wewe ni mtume kwakweli ,mama samia suruhu Hasan umetuwekea vijana thabiti slaa namakonda 🎉🎉🎉🎉 mauwa yenu wadogo zangu
@kiberakishimba9691
@kiberakishimba9691 19 күн бұрын
Slaa safi sana
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 18 күн бұрын
Jerry,Jerry unapepo yako nakiti chako cha enz mdogo wangu
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 18 күн бұрын
Huyo mzee sio mchaga kweli?
@SleepyBarn-le6qd
@SleepyBarn-le6qd 18 күн бұрын
Mchaga si ushasikia jina mtui
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 18 күн бұрын
Mchaga ndio wezi wa ardhi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 18 күн бұрын
VIVA MH. WAZIRI SILAA.
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 18 күн бұрын
Mtanisamehe ila Wachaga wanapend San Migogoro y Ardhi
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 18 күн бұрын
Mpishi huyo mama Wachaga wengi matapeli .naumlipe kodi yake
@user-dh5zs6hz9i
@user-dh5zs6hz9i 18 күн бұрын
Slaa Unafaa kuwa raisi Wa tanzania
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk 18 күн бұрын
Kwann viongozi wakenya hawaigi kama tanzania kusikiza vilio waninchi wachini door to door...big up xana kwakel mnafanyq kitu kikubwa mno
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 19 күн бұрын
Ndio wanaotafutwa na samia watu kama hawa majambazi wa masikini wanyonge Ndio hawa😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 18 күн бұрын
Ushamba tu umeuziwa bandari husemi
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 15 күн бұрын
Hawa ndio viongozi tunaowataka Dr Slah na Professor Makonda ni Mashujaa asante Mh Samia kwa kutuletea viongozi wasomi wazuri kabisa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 18 күн бұрын
40 yrs🙌 Hii ni dhulima kubwa sn
@luciamaduga4208
@luciamaduga4208 18 күн бұрын
Hongera sana wazili
@Mohaa4309
@Mohaa4309 19 күн бұрын
Jinga kbsa,nunua Kwa halali
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 15 күн бұрын
Silaa, Makonda, Bashe ingekuwa Amri yangu ya kwenda Kumuona Mama ningemshauri hawa Vijana waendelee na Kazi hadi Milele
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 18 күн бұрын
Huyo mzee anaweza tayari kalazwa hospital au keshakata moto
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 19 күн бұрын
Mzee haamini et
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 18 күн бұрын
Silaa nakupenda sana
@vocalizertz6868
@vocalizertz6868 18 күн бұрын
Huyu jamaa anatakiwa awe Raisi kabisa
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 18 күн бұрын
Waziri slaa na Makonda Mkuu wa Mkoa Arusha na Mkuu Mkuu wa Mkoa Dar -es-salaam mmetetea haki za wanyonge tunaomba wakuu wa mikoa mingine huo ni mfano kama hamuwezi acheeni ngazi hizo wenye uwezo wakutetea wanyonge chini ya mheshimiwa Rais wetu Samia Hassan Suruhu kwa Sababu wakuu wa mikoa wengine wana ndugu zao walio zurumu walala hoi ndo maana midomo yao ni kama imepigwa super gr😢😢
@alexjackson5960
@alexjackson5960 18 күн бұрын
Sijui itakuwaje Makonda rais Jerry makamu.
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 18 күн бұрын
No Rais Slaa makonda makam au waziri mkuu ...
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 19 күн бұрын
Kweli bado kuna viongozi
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 18 күн бұрын
Slaa mimi nakuombea, jaribu kuzungukia vikindu na Lugwadu, tumeuziwa viwanja tokea 2015 hadi leo kesi kila siku
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 18 күн бұрын
Hawa ndio wale wazee wajanja wajanja, bila kukutana na mjanja mwenzao wangemzungusha sana. Miaka 40 dah!
@doyenraj
@doyenraj 18 күн бұрын
Waziri smart na muhimu
@user-mt8vr2lx8q
@user-mt8vr2lx8q 19 күн бұрын
Mwaka 88 tegeta kulikuwa mapoli angepata viwanja vingi tuu vya barabarani na hata angenunua Kwa bei chee akaamua kushinda mahakani
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 18 күн бұрын
Aliye zoea kudhurumu kazoea tu wanapenda short kati Madhara yake ndo haya sasa
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 18 күн бұрын
Aweso,slaa,makonda, ali hapy, bashe, mama tunawaelewa sana sana wapokee maua yao umechagua great thinkers
@karimjuma4019
@karimjuma4019 18 күн бұрын
Kote uko sawa ila kwa bashe ahaaaa hapana kabla hajawa wazir alikua sahihi saivi mpigaji hakuna wizara imeoza km waizara ya kilimo ndgu yang wea acha tu nenda kwenye vyama vya ushirika utaona
@Damian-tt8fv
@Damian-tt8fv 12 күн бұрын
Hawapoi hawaboi huku Makonda anapiga spana kule Silaa ananyoosha rula mpaka waseme. Nchi bado ina vijana smart
@geetv3890
@geetv3890 18 күн бұрын
Sometimes these mistakes are really made by gvt itself letting someone live on area illegally no follow up, nobody cares imagine more than 40 years and now you've been told to leave, so sad. minister jelly is so brave anyway you teach us a lot, congrats minister Jelly..!
@Ndenza
@Ndenza 18 күн бұрын
Wazee nimeona kaz ila hii nikaz ngumu muogope anaye simamia haki bigger up Jerry
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 15 күн бұрын
Ila uyo mzee mnaenda kumuuwa akii tena dar
@hamimumlindwa3244
@hamimumlindwa3244 18 күн бұрын
silaa anakupiga anacheka na WW Hana hasira na mtuhumiwa
@kizitokalumunacharles
@kizitokalumunacharles 18 күн бұрын
Ohoooh ametetea bandari wamempa uwaziri kama zawadi, iyo zawadi sasa anashughulika na mapapa na vigogo wa ardhi anawanyosha adi burudani
@nakolyhatson8297
@nakolyhatson8297 15 күн бұрын
Aache tamaa amuachie mama wawatu hakiyake
@SaidZavallah
@SaidZavallah 19 күн бұрын
Hahaha alipe kodi asilete wizi
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 15 күн бұрын
Eti na mimi niliyekaa miaka 40,,,,,,jibu lake sasa, umlipe huyu mama pesa ya upangaji miaka yote uliyokaa😂😂😂😂😂ila hii nchi utadhani tumepata uhuru jana
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 18 күн бұрын
Stand up for justices being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
@godwinmsigwa7037
@godwinmsigwa7037 16 күн бұрын
Huyu mzee amehujumiwa tu sio tapeli😢😢
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 18 күн бұрын
Tunataka silaa aendelee asihamishwe jaman tutalia sana
@maulidi8479
@maulidi8479 18 күн бұрын
Waziri aliyepita alikua anafanya nini 😢😢😢
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 14 күн бұрын
Shida ya kesi za Ardhi hadi Shetani hasogei, Ningumu Mno. Mtihani mkubwa sana
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 10 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅UMESEMA KWELI KABISA....
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 18 күн бұрын
Huyu Waziri ndio mfano kabisaaaaa, yaani hadanganyiki na ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 17 күн бұрын
Mwigulu nenda upate semina kwa Jerry slaa jinsi ya kuwa kiongoz kuwatumikia WATANZANIA maama mwigulu unadharau sn watu wako waliokuweka madarakani slaa anahekima sn mwigulu badilika
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 18 күн бұрын
Mzee anatakiwa amlipe kodi mama ya kupanga 😂😂😂😂😂
@user-ry2ix2pv4q
@user-ry2ix2pv4q 17 күн бұрын
Haya mambo yanatisha
@oyay2821
@oyay2821 18 күн бұрын
"Mimi ni mtaafu ni mzee ", sio kujitetea kwa ardhi ya wenyewe
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 17 күн бұрын
Huyu mzee anabusara sn hataki kupanic huyu kijana wake na nionapo hapa slaaa atamsaidia huyu mzee kupata kiwanja kingine sehemu nyingine mzee anahekima sn busara kaionesha kwelikweli
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 17 күн бұрын
Jaman kiwanja cha mtu sitaman kujenga ukiona kiwanja kinamgogoro tafuta cha kwako
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z 16 күн бұрын
Yaani majembe ya mama Ni huyu slaa Makonda Na Charamila
@magariabdallah8066
@magariabdallah8066 18 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏 silaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@PatrickPazza-kr3vm
@PatrickPazza-kr3vm 16 күн бұрын
Wizara ya ardhi imepata msomi wa sheria mwenyewe sasa
@magotiamir4669
@magotiamir4669 16 күн бұрын
HIVI KWANINI MATAPELI WENGI WADHURUMATI WA VIWANJA WENGI NI WACHAGA.. HILI KABILA TATIZO AISEE
@SayiMadaha-fq7tu
@SayiMadaha-fq7tu 18 күн бұрын
Ww ndiyo wazir halali umetumia kodi zetu kusoma halali kabisa
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 18 күн бұрын
Kuna mawaziri wanakula mishahara kwahaki kabisa pongezi slaa MUNGU akulinde
@drbalagomwatvonline4937
@drbalagomwatvonline4937 18 күн бұрын
Yani Raisi Samia amteue Ally Happy ampe mkoa hapa tutakuwa na majembe 3, Jerr slaa, Poul makonda na Ally Happy maana Happy nae ni kiongozi mzuri yuko siriasi kusikiliza kero za wanachi
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 18 күн бұрын
ATI Mzee Mtui anatoshia kudondoka 😅😅
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 17 күн бұрын
Waowane.
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 74 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 4,7 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 20 МЛН
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 76 М.
WAZIRI SILAA AUVAA MGOGORO WA ARDHI MAPINGA
5:48
Daily News Digital
Рет қаралды 175
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 74 МЛН