Duuuuiiiii tumbo linauma watoto walivo iva pambaneni wanangu MUNGU ibaliki TANZANIYA libaliki JESHI letu
@SwaiSaid-ho1rsАй бұрын
Pared kamanda uko vzr
@isack4079 Жыл бұрын
Mwamlishaji anatosha
@nitemunishi2298 ай бұрын
Kweli
@HamisiAlly-qp5lyАй бұрын
Nc on tz
@NOVATISIYAME3 ай бұрын
I love my tanzania rip jpm
@fauziashabibu1467 Жыл бұрын
Natamani namim niingie lakini sina elimu yeyote
@MartinMuinga-sz9sf8 ай бұрын
Ongeea sNa viwenzangu 🇹🇿 tuko vizur
@msafirikilongo74292 жыл бұрын
Wale tano
@saidially964 Жыл бұрын
Nizuri wazih
@kamandawasua19122 жыл бұрын
Salute to afande kamata wale watu.
@halimojapangani82872 жыл бұрын
Wale watuu
@salayasaningo16932 жыл бұрын
Hakika ndifyo ilifyo kuwa
@jonsonrenatus16552 жыл бұрын
I remember 2009 Makutupora 834
@kingmoseskasman77652 жыл бұрын
👍
@ElifurahaKihunrwa-bj5hp11 ай бұрын
Kamata afande ❤
@faustinevitalice7792 Жыл бұрын
Vijana wameiva kisawasawa..
@frankkimaro46962 жыл бұрын
My memory 823kj 2018.
@fasihinipala79702 жыл бұрын
Exx
@godfreyelkarim2586 Жыл бұрын
Wameiva...wamekariri vitendo mpaka nukta.
@mwanaishamohamedi30672 жыл бұрын
Hatari
@uswegesuper Жыл бұрын
Uzuri wa Jeshini hata weusi tumekuwa weupe Jeshini jua la Dom nakumbuka Op kikwete 2015 na Carlos,maketu ,af Hoza dar ilikuwa Raha ila tuliinjoy pamoja na yote Makutupora nawashukuru
@uswegesuper Жыл бұрын
834KJ
@AnastellaDastan-ju4vj7 ай бұрын
❤a
@gabrielgabriel60602 жыл бұрын
Likely
@ramadhanichuma79252 жыл бұрын
Afande kamata huyu nakumbuka msemo wake kurutu akichoka ndio namshikilia
@yusirajuma Жыл бұрын
Hahaha
@jovinjosephat4428 Жыл бұрын
Good
@kasukukasuku38962 жыл бұрын
Vijana wameiva drill Safi🤔
@RagerMohamedingereza2 ай бұрын
Umri wa kujinga ni miaka mingapi?
@omardesouza10682 жыл бұрын
Safi sana ila kweny open na close order cjamanya
@elipidtesha5466 Жыл бұрын
Safi.wameiva
@ibrahshifta1595 Жыл бұрын
Omar hyo close and open ,mstari wa mbele na nyuma ndio wanafungua kwa kurudi nyuma hatua moja na mstari wa mbele hatua moja mbele ,ila mstari wa kati wanabaki kama walivyo tu
@juliusmagoti5650 Жыл бұрын
Operation WAJIBU, 1984
@JumaLufega14 күн бұрын
Yameiva baba afand ee
@josephmbunda9922 жыл бұрын
Mmenikumbusha JKT Makutupora Operesheni MWAKA MMOJA 1975 na Maafande "Nguvu ya Nyani, Kufakunoga, MP Kidemiti n.k" Hivyo hivyo. Naipenda Tanzania nchi yangu.
@adamtawete58652 жыл бұрын
Duh 1975?
@josephlorri4312 жыл бұрын
Bado upo, unakula pensheni
@juliusmagoti5650 Жыл бұрын
Mkuu kipindi hicho niko darasa la 5
@janetdaniely7945 Жыл бұрын
Pend inchi yang 🇹🇿🇹🇿 mbarikiwee San🥰🙏
@emmanuelbandio87412 жыл бұрын
Nimekibali saluti
@ramsikhamis70832 жыл бұрын
Hizii kwata baanaa Kila instructor anakuwa na code zake maanaa apoo pa mwendo wa pole kugeuka nyuma ndo nimeshangaa aisee
@stn48732 жыл бұрын
TPS kule kufunga na kufungua mstari hakuna double hot.
@amirimbago83252 жыл бұрын
@@stn4873 Hot ndo hotpot au??? yani mnafunga na kufungua Hotpot mbili kwa mstari...okay