No video

#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 11,095

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#EXCLUSIVE: MREMBO AJIZAWADIA NYUMBA ya MAMILIONI KWENYE 'BIRTHDAY' YAKE - MWENYEWE AFICHUA SIRI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 58
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Nakupongeza sana Dada watu wengi wanatabia yaku mng'ang'a nia ambae alishawahi kukuumiza, kumbe nikuachana nae,aliyekuudhi achananae ,na asiye kupenda nawewe usilazimishe kumpenda, msamehe alafu achana nae, Maandiko yana sema , Mithali 8:17, nawa penda wanipendao, yaani Mungu anawa wapenda wanao mpenda, maana yake wasio mpenda,,, mjibu mnayo ,pia kuna marafiki wanafiki ukiachana nao,lazima ufanikiwe,nipeni like wale mlio nielewa tuuu
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Ай бұрын
Ongera sana mwanamke mwenzangu umewezaaaa❤❤❤❤
@noraazan9124
@noraazan9124 29 күн бұрын
Hongera sana Mate wachaga sio watu wa kitania tumetumwa ela mjini am proud for you mama caren.
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Ай бұрын
Naimani siku moja nitajenga ya ivi❤❤
@drleahjohn5429
@drleahjohn5429 17 күн бұрын
Duuuh,hongera sana dear
@monicamaganga8681
@monicamaganga8681 Ай бұрын
Yaani mie nakupongeza sana japo sikujui ila umepambana uwe umesaidiwa uwe umepewa as longas ni yako Mungu akutunze mnoòo mie natamani nikuone unipe maono yako dada mie ninamiaka 57 lakini mbele yangu giza 2❤
@emmanueltarimo892
@emmanueltarimo892 Ай бұрын
Poor coverage.mnaonyesha nyumba mnakata kata
@neemamalakilevi2661
@neemamalakilevi2661 22 күн бұрын
Kazi zipi kwa bidii
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Ай бұрын
Waoneshe na kazi zao
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Ай бұрын
Ongera sana❤
@EmmyMoma
@EmmyMoma Ай бұрын
Hongera
@EmmyMoma
@EmmyMoma Ай бұрын
Hongera umeweza
@angelseka4958
@angelseka4958 Ай бұрын
Hongera sana Lilian
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Kaaah kk hiz
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Naic ❤❤❤❤
@irenemlay9104
@irenemlay9104 Ай бұрын
Be blessed kuna jambo umeshuhudia
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Ай бұрын
Ongera
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Ай бұрын
Sasa mbon hamjatuonesha nyumba vzuri.ila dada ana khofu na iman ya mungu pia❤❤.mwanamke kujitathmini
@melch3097
@melch3097 Ай бұрын
Welldone sister, naomba nisaidie ramani yako
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl Ай бұрын
@@melch3097 utajenga ww😀
@user-le9xv8os1n
@user-le9xv8os1n Ай бұрын
Imerda nisaidie mimi kumpata huyu dada nahitaji hii ramani ya nyumba😢
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg Ай бұрын
huyu dada Lilian anatumia jina gani Instagram???
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Kajizawadia au kajenga nyumba kwa jasho lake
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Sasa c mdy kajizawadia jamn
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
we unayo
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Hahahahas hii dunia jaman ina mengi
@kendytz
@kendytz Ай бұрын
Imelda hujui kuhoji kabisaaa yaani
@NelsonwilliumJohas
@NelsonwilliumJohas Ай бұрын
Unaishi na nani na una fanya kazi gani 5:04 5:07
@neemamalakilevi2661
@neemamalakilevi2661 22 күн бұрын
Anafanya biashara gani au ana njia gani ya kipato
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Ай бұрын
Kajizawadiaya Ama amemaliza Ku jenga ndo anaonesha mjengo wake , Ila ongera umewez,subiri wa bwana wako bongo wata mininika kama karanga
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl Ай бұрын
Sasa una mtangazia nan mbon nyumb y kawaid hiyo
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g Ай бұрын
😂 haya hebu tuonyeshe yako .
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl Ай бұрын
@@user-qk4lx4hg7g ingia instra andik mendez
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Wivu tu yako ikowapi acha roho mbaya ufanikiwe
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
nyie mtu anifundishe kusave hela basi jamani🥱😭
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b Ай бұрын
Jaribu 70% matumizi ya lazima ya mwezi 10% sadaqa na 20% save . Punguza matumizi ya silo ya lazima na jiwekee malengo (short na long term)
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Daahmie sina ela na sina maana nipo kama ng'ombe
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Ай бұрын
Wacha kujitia mdomo wa mkosi ,mwenyezi mungu amekuumba na akili na maarifa , kama Lilian ameweza nawe pia utaweza .sema unajipenda ,unaweza .
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Ай бұрын
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 Ай бұрын
I'm cooking
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z Ай бұрын
Ila hakuna nyumba hapo ya mabilion
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Wivu yako ikowapi huna hata kiwanja acha roho mbaya ufanikiwe
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Ай бұрын
Huyu Kuna mtu nyuma yake
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Ай бұрын
Kwanza anafanya kazi gani? Maana wanabeba wtt wa vigogo kutuletea ushuhuda hapa watanzania tulioweng maisha yetu ni duniii ukijenga sana vyumba 5
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Ай бұрын
​@dorcaskidoti249 ndio shida ilipo, tunaonyeshwa mafanikio tu, hekaheka za kutafuta pesa haziwekwi wazi, sasa wengine watajifunzaje. Ila alivyovaa na ukimtizama vizuri machoni unaweza ukapata majibu yote ya maswali yako 😅
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI Ай бұрын
​​@@dorcaskidoti249. Nacheka sana 😅😅😅😅😅 eti tulip wengi. Wengi na nani😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Hacha Mentality ya umaskini ww 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI Ай бұрын
​@@homeandaway2811.Husimjaji mtu kwa kumuangalia😅😅😅
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Ай бұрын
Wengne wabeba sembe
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Huyu hakujenga peke yake alisaidiwa na banaake ametaka sifatu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
tafuta na wewe bwana
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
@@masalakulwa7601 na bado hujasema🤪
@juliethmsaky4099
@juliethmsaky4099 Ай бұрын
Wewe bwanaako kakupa nini
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g Ай бұрын
Hahaaa😅acha hasira hebu na wewe tafuta mume akujengee hivyo 😂😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Kwahy wewe bi sidilia unaumia ukiwa wapi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
anatumia jiñ gani insta
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Ili uka mdm umtongoze
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН
#kivumbi "MWABUKUSI" ALIPUKA BUNGENI KABUDI AMPIGA KIJEMBE HADHARANI
16:14