No video

MAGUFULI ALIJUA ATAFARIKI - ALIWAITA WACHUNGAJI WAMSALIE SALA ya MAREHEMU WODINI - MABEYO ASIMULIA..

  Рет қаралды 153,152

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAGUFULI ALIJUA ATAFARIKI - ALIWAITA WACHUNGAJI WAMSALIE SALA ya MAREHEMU WODINI - MABEYO ASIMULIA...
VIDEO HII NI KWA HISANI YA == #DAILY #NEWS DIGITAL ‪@DailyNewsDigital‬
• JENERALI MABEYO AFUNGU...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 250
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u6Dk3QxRsVCJ7kW2e
@superhemed7590
@superhemed7590 5 ай бұрын
😢😢😢Mungu awalaze mahali pema peponi Mzee Magufuli na wazazi wangu pia. Amiin
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 ай бұрын
amin 👏
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 5 ай бұрын
Mzee alikua na kauli za kisteringi mpaka mwisho wake nimejifunza na nimeivakwelikweli najua wengi wamejifunza tuwe wenye maamuzi magumu yenye tija pumzika kwa amani we love u
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 ай бұрын
Nilichojifunza mim mwenyezimungu anatupenda Sana Yan..na kingine kamanda mabeyo sio mbinafsi na sio mmbabaifu Hana tamaa ya uongozi kabisa Yan na nikiongozi mzuri Sana Kwasababu angekuwa mwengine angekuwa na tamaa yakuwa raisi Yan angevunja katiba ya nchi yetu...lakin yeye hakufanya ivyo na wakati kipindi kile kulikuwa nikigumu Sana Kwa Tanzania lakin mungu ametuvusha..nimekupenda bule kamanda wangu mabeyo umeonyesha uzalendo Sana Kwa wakati ule wamsiba na wewe ndo ulikuwa na rais..hongera Sana kwa uzalendo wako na aminifu wako
@vicentrogers9465
@vicentrogers9465 5 ай бұрын
Sema mkuu Hiyo kauli ya kusema arudishwe nyumbani hujamdadisi vizuri labda alijua ni mambo ya kinyumbani sio ya hospitali
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 ай бұрын
kapangwa huyu asme hivo ili tuamin kua magu aliumwa hadi akachoka kukaa hospital ni uongo tu huu
@abdallahsimba3516
@abdallahsimba3516 5 ай бұрын
Aisha una mwanasheriaa
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 5 ай бұрын
​@@aishaalbalushaishabalush8291km inaingia hivi!!
@brendanjiro1418
@brendanjiro1418 5 ай бұрын
Dah hii interview imetonesha vidonda😭😔 RIP JPM
@user-qt2pe7kf6n
@user-qt2pe7kf6n 5 ай бұрын
Mchima
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 ай бұрын
Hali ya maisha,hakuna mwenye ataepuka kifo.
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027 5 ай бұрын
Hata sipendi kukumbuka kipindi hiki. Kifo cha Mzee Magufuli ilikuwa pigo moyoni mwangu kabisa 😢
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 5 ай бұрын
Pigo ili halitosahaulika
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Dah msiba uliniumiza huu sitasahau😢😢😢😢😭😭
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 5 ай бұрын
Sana
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 5 ай бұрын
Sanaaaa
@user-nu8so8oy5p
@user-nu8so8oy5p 5 ай бұрын
Continue resting in peace mtetezi wa wanyonge Magu😭😭💔
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 5 ай бұрын
Mngetutangazia kua anaumwa tungesimama kwenye maombi labda MUNGU angetusikia maombi yetu😭
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 5 ай бұрын
Walinyamaza kimya bila dua bila maombi
@africalumpu1166
@africalumpu1166 5 ай бұрын
Mheshimiwa Generali Mabeo nimekufuatilia maelezo yako kiukweli yana ukakasi kuna kitu umetuficha watanzania na maelezo yako yanatunifanya nifikirie mengi kitu gani mnatuficha?
@user-br4ne6fy7j
@user-br4ne6fy7j 5 ай бұрын
Unachoona wewe umefichwa ni nini ambacho wewe unakijua
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 ай бұрын
​​@@user-br4ne6fy7jHajasema Hayati aliugua nini na kutokana na chanzo gani
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 5 ай бұрын
Ungemrudisha tu. Tunamtaka rais wetu😭😭😭😭😭😭
@mufush
@mufush 5 ай бұрын
Miss maghufuli,mimi mkenya naishi bara ulaya, Baba alikua rais Africa haitapata mfano wake😢😢RIP our African president
@peterkiarii2744
@peterkiarii2744 5 ай бұрын
Pole lakini kuna chakucheka hapo. Kutoka Kenya, JPM tulikupenda, endelea kulala salama.
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l 5 ай бұрын
Hatuwezi kumsahau baba yetu JPM. ni vigumu kumsahau baba, daima alama zake zitadumu vizazi na vizazi, anajua thaman ya kuthubutu na ni mbunifu, pia tuombee kwa Mungu sisi na tanzania Yetu.AMINA. huko uliko MUNGU akutunze.
@aselaabeli853
@aselaabeli853 5 ай бұрын
Daaaaah watu tuliugua kwa sababu ya huu msiba😭😭😭
@noorietz
@noorietz 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema Mheshimiwa Mzer Magufuli. Wanyonge Tutakukumbuka milele mzee
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 5 ай бұрын
Pumzika kwa Aman Rais wetu Mpendwa sana daima tutakukumbuka😢
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 5 ай бұрын
Mueshimiwa mabeo nakupenda Nimnyenye kevu unafata katiba Umefanyakazi yauzalendo Alha akijalia afya Njema Mungu ibaliki tanzania
@richardlubano7888
@richardlubano7888 5 ай бұрын
Wonderful man Makufuli.
@bennyframa4505
@bennyframa4505 5 ай бұрын
Kaeni mjue bila huyu mzee, Samia asingekuwa Rais. Aminini
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 4 ай бұрын
Kwaiyo unataka kusemaje???
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
Kwahiyo
@smairara5802
@smairara5802 5 ай бұрын
unafaaa kuwa rais kutokana na mafunzo mengi ulopata kwa jpm alipokuwa hai utajifananiza ijapokuwa hutakuwa kama yeye
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
❤❤❤ Mungu akulaze mahali pema shujaa yetu ❤🙏🙏🙏
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 5 ай бұрын
Body language yake haiko sawa kabisa ni kama kuna siri bado , Rais magufuli mara mwisho alionekana February 27 taharuki za kifo zilianza tareh 6 lakini kifo kilitangazwa tareh 17 anyway mungu ampe makazi mema Daima tunakukumbuka 😢😢😢
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 5 ай бұрын
Pole sana
@Our_Patriotism
@Our_Patriotism 5 ай бұрын
One of the great bad mistake walichofanya watu wa usalama ni KUTOTOA TAARIFA KIKATIBA ILI MAOMBI KWA RAISI WETU YAMPONYE MUNGU ATUSIKIE KUOMBA KWETU. KWANINI HAMKUTANGAZA SIKU MBILI NA ZAIDI RAISI YUKO😢😢 WAPI???? 😢
@ednamanji
@ednamanji 5 ай бұрын
Jamani, Musitumize tena, tuna vidonda ambavyo vilikuwa vinaanza kupona .Lakini sasa munavitonesha tenq 😢
@edithajoseph7675
@edithajoseph7675 5 ай бұрын
Yote katika yote namshukuru tuu Mungu.
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 5 ай бұрын
Apumzike kwa amani mzee wetu j.p.m 😢😢
@abdulazizkhamis333
@abdulazizkhamis333 5 ай бұрын
tanzania sijui kama itakuja kupata rais kama mzee magu,nchi aliiacha zuri sana sasa hv imeshaoza bado kunuka tuu
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 5 ай бұрын
Kaacha matatizo mengi.
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 5 ай бұрын
kwan hakuna Rais hapa tulipo au huna kichwaa
@Hasnspop
@Hasnspop 5 ай бұрын
​@@abdifaraji2883mkundu wako ndio unamatatizo chief😂😂😂😂mwache mwamba apumzike 😂😂😂
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
​@@abdifaraji2883 Matatizo gani zaidi nyinyi majizi mlibaki nchi imeoza rushwa tupu
@SeraphinaCleophace
@SeraphinaCleophace 5 ай бұрын
Haitakaa kusahaulika papaa Magufuli endelea kupumzika Baba 😢
@janesemngindo4544
@janesemngindo4544 5 ай бұрын
Siku ya leo kwangu huwa ngumu. Endelea kupumzika kwa amani hadi baadae Magufuli
@jumabias4917
@jumabias4917 5 ай бұрын
Simulizi nzuri sana
@ElieTumaini-rs1bz
@ElieTumaini-rs1bz 5 ай бұрын
Polesana tunashukuru kupokeya historia ya Baba yetu raisi wetu Africa nzima hatuta musahau nimimi Tumaini Byamungu Élie hapa Congo RDC
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 ай бұрын
Napenda vile waafrika huwapa viongozi heshima zao ingawa saa zingine viongozi hawatumikii uongozi wao.
@mylesmaganga6290
@mylesmaganga6290 5 ай бұрын
Prof Janabii alikuwepo mda wote 😳
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 5 ай бұрын
Alishaongozwa na roho kama hapo tena hakuna usalama sikulaumu maana ungeshangaza mgonjwa umpeleke nyumbani,ila umemnukuu vzr yaani cdf unashindwa kuamuru nipelekwe nyumbani?
@Veni584
@Veni584 5 ай бұрын
Angepelekwa nyumbani angepona huenda kulikuwa na tiba mbadala
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 5 ай бұрын
Siku ikifika imesha fika ata apelekwe wapi
@user-wt7lx5hp6f
@user-wt7lx5hp6f 5 ай бұрын
Kuna wakati utaamua mambo unavyotaka ila kuna wakati watu watakuamulia.
@ibrahimndoka278
@ibrahimndoka278 5 ай бұрын
Na angepelekwa nyumbani akafia nyumbani ungesema wangemuacha hospital angepona!
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 5 ай бұрын
Wapo watu niwaongo sana tulisia mengi mara akufia tanzania mara alikufa siku nyingi leo umetupa ukweli watu tuache maneno yakijiweni
@centreamani3146
@centreamani3146 4 ай бұрын
Magufuli mpaka leo tunakulia. Lala salama baba
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 ай бұрын
Apumzike kwa amani Mzee wetu JPM,tunakukumbuka sana ila Mungu aliruhusu wewe uondoke kwa wakati ule😢😢😢
@johnmunguawepeujasirikejo3853
@johnmunguawepeujasirikejo3853 4 ай бұрын
Nirudisheni nyumbani, nikafie nyumbani,,,CDF njoo siwezi kupona,, waamuru hawa madaktari wanirudishe nyumbani...kwa uchungu mkubwa😢
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 5 ай бұрын
Sijapenda ulivyomgomea kumpeleka nyumbani wkt amekuomba na unafahamu mgonjwa akisema hivyo ndio basi tena . Hiyo kauli ulioigomea inaweza ......Imeniuma SANA.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 ай бұрын
waliogopa akifika kwake atasema kilichomsibu
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 5 ай бұрын
Akili yako ndogo sana ata baba ako akiwa hospital ana pata matibabu ya hali ya juu akwambie nieleke nyumbani basi huwezi kukubali na ata ukikubali ndugu zako wote watakuona wewe ndio mzembe
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 5 ай бұрын
Yeye sio doctar
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
​@@MohamedAhmada-ie7ke huna akili kubwa inayoweza kuelewa hiyo kauli ya "nirudisheni nyumbani".... Ipo siku kila kitu kitasemwa kwanini aliomba kurudishwa nyumbani, aliona nini....!
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 5 ай бұрын
@@bcozhenry2698 katika maisha fanya mambo yako yote na maamuzi yako ila ikifika hatua huwez tna kuwapangia watu juu ya maamuzi yako, eka akilini hilo
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 5 ай бұрын
Na mnoa hakutangaza rais anaumw ili raiya wamuombee au hamkutaka maombi ya wepo mliona tutashinda nguvu za giza
@josephatdunda1937
@josephatdunda1937 5 ай бұрын
Uhusiano wake na madaktari huenda haukuwa vinzur Sana ndomaana akasena CDF waamuru wanirudishe nyumbani, 😢😢
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 5 ай бұрын
Inawezekana kabisaaa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
Una akili kubwa sana
@WycliffeWekesa-my1qy
@WycliffeWekesa-my1qy 4 ай бұрын
Kwani daktari walikuwa wanaitwa tu ndio wanakuja kumtibu hawakuwa wanajua Cha kufanya?
@priverdaud3146
@priverdaud3146 5 ай бұрын
Kwanini ulimkatalia amiri jeshi mkuu kumrudisha kwao??
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Hii siku haitakaa isahaulike mwamba alienda km utani.Mungu ampuzishe kwa aman JPM 🙏😭😭
@DonDesdery
@DonDesdery 5 ай бұрын
Kipind hawapo hawa viongoz wakubwa,walikua wanajua hali ya boss wao? Na km walikua wanajua iweje waendelee na majukum ili hali rais yupo mahututi
@suzyclement3899
@suzyclement3899 5 ай бұрын
Ni swali ninalojiuliza Mimi pia
@user-bm5zm8ls2d
@user-bm5zm8ls2d 4 ай бұрын
Vidonda bado vibichi haviponi na havita pona maana hatukuambiwq anaumwa tungesali wote jamani
@mrishorashid4161
@mrishorashid4161 5 ай бұрын
mbna kama kunasehem kataka kulia cdf..
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Ndio ila alijikausha Jeshi limo ujasiri kwakweli yuko Vizuri Sana Mungu Alitoa Mtu busara zimemjaa Tuombee Taifa letu Sana twaweza kuwa Vizuri Sana tukaendelea kushangaza dunia.Raisi Samia Mungu Amsaidie Sana kuona yapasayo kwa nyakati na majira tuliomo. Tukikosea tu tutapata shida Mungu Tusaidie Tanzania Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai.
@user-hm8xy6ei7f
@user-hm8xy6ei7f 5 ай бұрын
mgetutangazia tunge simama kwenye maombi , ila yote tumshukulu Mungu kila jambo
@CatherineAmos-zw8dx
@CatherineAmos-zw8dx 5 ай бұрын
Apumzike kwa Aman Rais wetu😢😢😢😢
@user-iu2dr7so2c
@user-iu2dr7so2c 5 ай бұрын
Sitaki kukumbuka wala kusikia tena kifo kama hicho.Mpaka leo bado naumia .JPM alikuwa na akili nyingi sana . Alikuwa mzalendo wa kweli,hakuwa na tamaa ya urais lakini akawa rais. Halafu, alikuwa " gifted introvert " kama mimi-mkimya,mbunifu,marafiki wachache, perfectionist,work oriented,prefering alone time etc. Acheni jamani.
@user-hf4yn1qm7y
@user-hf4yn1qm7y 5 ай бұрын
The only president ever we had in Tanzania
@joycemutune4782
@joycemutune4782 4 ай бұрын
Not only in Tanzania but Africa as a whole.Mimi ni mkenya Na mpaka Sasa kifo chake huniumiza moyo😢
@dushimumukizafelix5310
@dushimumukizafelix5310 5 ай бұрын
Endelea kupumuzika kwa Amani Mzee wetu Magufuli mimi Munyarwanda.Nlili kukumbuka sana!😢
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 5 ай бұрын
Nyinyi ndio mkaenda kumpa taifa kilaza samia
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 5 ай бұрын
JPM, mwamba wetu raisi bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania baada ya JK nyerere. JPM aliitikisa na kuifungua Tanzania.
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 5 ай бұрын
Endelea kupumzika Dr Magufuli😭😭😭🙏
@muonlinetv1879
@muonlinetv1879 5 ай бұрын
Tuliwahi shuhudia kisa kama hichi huku kenya wakati rais mwanzilishi Kenyata alivoaga na Moi kuchukua hatamu . Hongera mabeyo kwa uwaminifu wa dhati kwa wakuu wako
@deogratiasdimaestro099
@deogratiasdimaestro099 5 ай бұрын
😢😢Kifo ni yetu sote hila kwa magufuli, ame umiza
@Wambundo
@Wambundo 4 ай бұрын
Mlimleta Hadi Kenya
@magrethibrahim9636
@magrethibrahim9636 5 ай бұрын
Jaman mngemrudisha tu pengine alitaka kwenda kutoa maelekezo kwwnye familia yake amwage na mke wake jaman magu niulimia jaman hyo siku hapana
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 5 ай бұрын
Mzee mabeyo naomba basi u hukue form uwe rais wetu utufute machozi
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 5 ай бұрын
Hajatuambia kilichomuua ni nini mzee wetu😢
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 ай бұрын
ndio na mimi nimeulizaa
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 5 ай бұрын
SAWA KWA MAELEZO HAYO ILA ALIYE HUSIKA NA KIFO CHA BABA YANGU KIPENZ JOHN MALIPO NI HAPA HAPA UMEELEZA SIJASKIA SABABU TA KIFO KILISABABUSHWA NA UGONJWA GANI
@momylaviel
@momylaviel 5 ай бұрын
Tutakukumbuka baba😢😢
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 ай бұрын
Magufuli tutamkumbuka kila leo
@stevenmasangula2104
@stevenmasangula2104 5 ай бұрын
Rest in power Baba John Pombe Joseph Magufuli. Nilipenda na nitaendelea kukupenda. Raha ya milele umpe Ee bwana na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina.
@Juma-su4qm
@Juma-su4qm 5 ай бұрын
Asante mabeyo
@happymrema7487
@happymrema7487 5 ай бұрын
Hii kitu sitakaa nisahau maishan mwangu
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 5 ай бұрын
TRUEE YANII
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 5 ай бұрын
😢😢😢 sijawahi kusahau 😭😭😭
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Acha tu😭😭😭
@wellbrand3415
@wellbrand3415 5 ай бұрын
It was unbelievable... Aaah..., niliduwaa.
@prophetjamesmzigaba4447
@prophetjamesmzigaba4447 5 ай бұрын
Profeser janabi alikuwepo mda wote tunashukuru uwepo wake wakai wote
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
😢
@passionfleva775
@passionfleva775 5 ай бұрын
CDF mstaafu siku ikatokea amekuwa R kubwa ..Tz tutakuwa tumempa JPM mwingine...
@shd12m55
@shd12m55 5 ай бұрын
Mabeyo wewe ni mwamba nakukubali sana mzee
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 5 ай бұрын
Mimi nili kuwa si lali bila kusikiya Magufuli alicho ongea, ila siku nimepata abahiyo ili kua usiku wa saa :00 Za usiku siku lalaga ,ni kaona kama nime mpoteza baba yangu mzazi. Lala salama mpendwa wetu😂😢 kutoka Sweden 🇸🇪
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 5 ай бұрын
Hivi hii kiongoz akiumwa ni lazima kufichwa kwa taarifa zake..na mnaficha kwa sababu gani.!??
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 5 ай бұрын
Jamani musitumbusheeeee Jamaniii Naumia mimi Sasa❤❤😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Unaumia nn sasa acha bongo movie ww
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 5 ай бұрын
@@KassimAlly-xp4dz Allahu Qadiir
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 5 ай бұрын
Jamani wa Tanzania kwa nini mlikubari ku mpa Magufuli Sumu? Mbona mme jindanganya sana hivyo?
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Hakika tuli poteza. R.I.P. JPM
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 5 ай бұрын
Nikitetemeka ha kitanda nilihisi kinanidondosha
@selemanidhahiri6582
@selemanidhahiri6582 5 ай бұрын
sijui kwa nn huu msiba uliumiza wengi😢😢
@atupelemwasambili4476
@atupelemwasambili4476 5 ай бұрын
Endelea kupumzika kwa amani JPM
@user-wq2fh5rx4s
@user-wq2fh5rx4s 5 ай бұрын
Janabi alikuwepo
@mwnyikhamisi2293
@mwnyikhamisi2293 5 ай бұрын
Dah😂😂😂
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 ай бұрын
Janabi alikua anaangalia maswala ya misosi
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 5 ай бұрын
JPM alijua kuteua vizuri kulingana na uchapa kazi wa mtu ,moja ya teuzi zake bora kabisaa!! nchii hii haijawahi kuwa nazo ni CDF MABEYO
@aloycempandana1336
@aloycempandana1336 5 ай бұрын
"Magufuli ambae kwa sasa ni marehemu" tuwe seriously sema ayati
@helenajoel5101
@helenajoel5101 4 ай бұрын
kusema kweli najitaidi kukuelewa ila nashindwa kukuelewa kabx kwann ulikataa kumpeleka nyumbn ungempeleka tu labda hata kulikuwa najambo aitaka aliseme na familia daaaaaa sijapenda bado pia sijaelewa kwann hukumpeleka yani alitaman ht aamke yy mwenyewe msakini ajipeleke
@KasendrLukadi-pj7xy
@KasendrLukadi-pj7xy 4 ай бұрын
Magu alikuwa na moyo kama jeshi
@happybryce1269
@happybryce1269 5 ай бұрын
Nampenda sana uyu baba very smart
@silvanuskinabo9241
@silvanuskinabo9241 5 ай бұрын
Inamana wakat wote familia haikua nae hospital
@user-fb4wb1nx9f
@user-fb4wb1nx9f 5 ай бұрын
Hapo nakuelewa saana kiongozi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 ай бұрын
Mmmh! Hivi jaji mkuu mbona sisikii anapotajwa hata ktk masuala ya kisheria?
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 5 ай бұрын
Salute Kamanda Mkuu Mabeyo
@amirlehao8945
@amirlehao8945 5 ай бұрын
Hiki jamaa lilifaa lishike usukani tu nadhani sheria zibadilishwe aise ili ikitokea tena tusiyumbishwe na wabovu😢
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 5 ай бұрын
Ni kweli ml8jua yupo mahututi vipi mama samia makam7 warais aende tanga k7fuata nini wakati anatakiwa awe karibu na viongozi wengine kuwa dodoma au wengine k8goma why wakati rais anaumwa msitudanganye mkatumiza vidonda shez taip
@user-wo3be1zo6f
@user-wo3be1zo6f 5 ай бұрын
Nini kilimuua?
@placidchaka214
@placidchaka214 5 ай бұрын
Kila nafsi itaonja umauti!Lakini sio kuonjeshwa UMAUTI. Katika taarifa zote za kifo cha Hayati Magufuli;hii inanitia simanzisana na kunirejeshea kumbukumbu nyingi. Kumbe saa za mwisho zilikuwa ngumu kwake na UFAHAMU mkubwa ya nini kinachokuja mbele yake. Pumzika kwa Amani,Pumzika katika Utukufu kwa BWANA. Jina la BWANA lihimidiwe.
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 5 ай бұрын
😭😭😭😭dunia tunapita
@user-wr5lx2cr9g
@user-wr5lx2cr9g 5 ай бұрын
Msiba uliniiuum san nakumbuk nipo dubai
@rigwatvchannel4458
@rigwatvchannel4458 5 ай бұрын
Alishugulikia hii hali ngumu sana vema
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 5 ай бұрын
Huwezi jua al8takabkuagana na mke wake na watoto mkazuwiya huk7fanya vizuri na mlishajua haponi au mnatuzuga ml8p8ga sindano ya kummaliza
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН