MUSUKUMA Avuruga BUNGE, Awachana MAWAZIRI - "Mnakaa Uswahilini, Punguzeni Uoga"

  Рет қаралды 270,620

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

MUSUKUMA Avuruga BUNGE, Awachana MAWAZIRI - "Mnakaa Uswahilini, Punguzeni Uoga"
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Musukuma', amemtaka Waziri wa fedha na mipango, Dkt Philip Mpango, kubadilisha baadhi ya sheria za Tozo ili ziwe rafiki kwa wafanyabiashara waweze kupata faida.
#BUNGENIDODOMA
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 126
@yunussilayo1771
@yunussilayo1771 3 жыл бұрын
Daah napenda kumsikiliza sana uyu tajiri wa darasa la saba musukuma
@zakiamwaliko7596
@zakiamwaliko7596 5 жыл бұрын
Big up msukuma uko sahihi wambie tu ukweli, hata darasa lasaba tunaweza vidato nijina tu
@mesitenyamhanga1667
@mesitenyamhanga1667 4 жыл бұрын
Safi Sana tunakukubari ww ni zaidi ya wapinzani
@richardibrahim5609
@richardibrahim5609 3 жыл бұрын
Unafikili chuoni wanasona mambo makubwa!!! Me nipo chuo tunafundishwa causes of road accidents. 😁😁😁
@marthakinguli9048
@marthakinguli9048 2 жыл бұрын
Nakuombea kwamungu uzidi kuwapelekea Moto hivohivo love you mbunge msukuma mfikishie ujumbe na mbunge wetu deo sanga huku makambako Barbara yakwenda mgololo kiliko kiwanda Cha karatasi cyonjia cpati picha ukifika kifukuu ahsante
@pauloaxwesso7526
@pauloaxwesso7526 5 жыл бұрын
hakika hapo kwenye kamari nimekuelewa sana big up sana!
@aureliambawala7145
@aureliambawala7145 5 жыл бұрын
OUR SEEDS OF TZA Msukuma May God bless you.Unaishauri vzr serikali yako.STD 7 hoyeee.Umeongea FACT ila sijui km zitafanyiwa kazi.May God bless TZA.
@tumainimbilinyi6591
@tumainimbilinyi6591 3 жыл бұрын
Nakupenda msukuma 🙏 🙏
@sarahthomas8361
@sarahthomas8361 5 жыл бұрын
Msukuma hajawah niagusha 🙌
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 жыл бұрын
Amen Amen. Mungu atusaidie watanzania. Amen.
@rupertoako8417
@rupertoako8417 4 жыл бұрын
Dah msukuma uko vizuri
@mengichalamila4073
@mengichalamila4073 5 жыл бұрын
I LOVE U SAAAAAAAAAAANA
@husnamussa3638
@husnamussa3638 3 жыл бұрын
Mungu akuweke mbunge msukuma
@kelvincharles4998
@kelvincharles4998 5 жыл бұрын
Daah imeniuma saana aisee kamari za wachina zinakusanya hadi zaidi ya MILLION 7 kwa siku ndani ya mkoa mmoja, Tubalikeni ndugu zangu wananchi tutafute Pesa kwa njia za uhakika sio njia za kubahatisha.
@anorderick7162
@anorderick7162 3 жыл бұрын
Msukuma pamoja na darasa la saba lako Unawazidi wa Chuo kikuu..! Wengine wasomi lakn wanafiki kwa Kuogopa Uongozi..!
@fatnayusuph1283
@fatnayusuph1283 3 жыл бұрын
Mungu amsimamie huyu Baba anaongea point hakurupuki
@masanjashija2622
@masanjashija2622 4 жыл бұрын
King msukuma hanampinzani 2020
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 2 ай бұрын
Point✍️✍️✍️
@ramamashaka9820
@ramamashaka9820 5 жыл бұрын
kweli nisawa kamali za mchina zifutwe wachina ni wezi tu ninakuunga mkono msukuma
@shadrackpeter7119
@shadrackpeter7119 4 жыл бұрын
Musukuma wewe nijembe bora uwe una wakumbusha hao wanao tumia vitabu kuongea wakijifanya wasomi.
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 5 жыл бұрын
kweli haya makamali wayatoe2 wa2 wengine wanashinda hapo
@costvangazazaidi6208
@costvangazazaidi6208 5 жыл бұрын
Msukuma Hongera sana Ikiwezekana Kamari Ipigwe Marufuku kabisa
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 5 жыл бұрын
Brother msukuma wewe ni Mzalendo wa kweli.
@costvangazazaidi6208
@costvangazazaidi6208 5 жыл бұрын
Sijawahi kuona MTANZANIA alietajirika kwa Kucheza Kamari Kwa Mchina
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 5 жыл бұрын
Unaeleweka sana Musukuma. Akili njema. Mawaziri fanyeni kazi,wasaidieni Watanzania.
@lugayilajohn6269
@lugayilajohn6269 5 жыл бұрын
Lazima upite 2020 unafaa
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 5 жыл бұрын
Ndio maana Msukuma wewe ni Tajili una akiri ya kuzaliwa
@shidabundala8984
@shidabundala8984 4 жыл бұрын
Uko vizuri msukuma unaitetea serekali yetu
@user-qe8jj2cl8q
@user-qe8jj2cl8q 5 жыл бұрын
msukuma kwa kweli sometimes huwa unanikosha sana ukizungumzia suala la nchi,,ila ukija kwenye kukashifu wanasiasa wenzako ndio doooh,,unanivuruga
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
😂😂😂😂ana wapaka kinyesi hadi kinageuka perfume kwao,huyuuu hatareee
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 5 жыл бұрын
Bora hukusoma umebaki na akili zako timamu
@jafarmlawa9082
@jafarmlawa9082 4 жыл бұрын
Safi sana mb msukuma
@fatmalyego2531
@fatmalyego2531 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@shafiirajabu5207
@shafiirajabu5207 3 жыл бұрын
Huy msukuma kaaaah!!! Ni shigidaah😁😁😁
@tekethetraveller
@tekethetraveller 5 жыл бұрын
Msukuma uko sahihi
@saidpembe1826
@saidpembe1826 5 жыл бұрын
Safi
@user-qe8jj2cl8q
@user-qe8jj2cl8q 5 жыл бұрын
hahahaa...eti mawaziri wanakaa magomeni wanaogopa nyumba za serikali ,,,msukuma bana
@tungundanya9569
@tungundanya9569 5 жыл бұрын
Dah nmekuelewa Sana 🤝 mh Joseph
@lamsnshiga892
@lamsnshiga892 5 жыл бұрын
Msukuma anakipaji cha uongozi
@musahassanisan5402
@musahassanisan5402 5 жыл бұрын
Napenda sana unavochangiaga daah hongera
@vicentsunguramwanaharakati5099
@vicentsunguramwanaharakati5099 5 жыл бұрын
Uko sawa
@vicentrevocatus9353
@vicentrevocatus9353 3 жыл бұрын
Nakukubaliaga sana ungekuwa rais watu wangepata taabu sana
@emmanuelcharles5248
@emmanuelcharles5248 5 жыл бұрын
Msukuma point zake utafikir ni professor ! Nakubalee sana
@lukaman3337
@lukaman3337 4 жыл бұрын
kweli dalasa LA saba kazi wanaweza lakin mungu hana ubagizi watoto wote ni wake .tunaomba dalasa LA saba mungu akipenda warudishwe kazin wengine wanavipaji sana kutoka kwa mungu.amin
@saimonmushi7153
@saimonmushi7153 3 жыл бұрын
Good baba
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 жыл бұрын
Ungekuwa na shahada tu pangechimbika
@Uenwoo5570
@Uenwoo5570 2 жыл бұрын
Makini king behind na allyk-king
@jacklinewisdom4843
@jacklinewisdom4843 3 жыл бұрын
😘msukum
@amoskatto955
@amoskatto955 5 жыл бұрын
Wenye elimu wanaongea pumba ....mcheki msukuma anaongea point tu na elimu yake ya la 7
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa huyu bwana angepata kuendelea kusoma angetisha sana
@chongemarwa6051
@chongemarwa6051 5 жыл бұрын
Kweli hata juzi mchina amepiga kijana hapa geita mjini maeneo ya lunguye paa hapa geita
@neemafredy3138
@neemafredy3138 3 жыл бұрын
Safi msukuma waambie hao
@hamadmfaume938
@hamadmfaume938 4 жыл бұрын
Msukuma nakukubali sana
@esthermilembesayi1054
@esthermilembesayi1054 4 жыл бұрын
Safi hiyooo.
@ashurakaswa3796
@ashurakaswa3796 5 жыл бұрын
Binafsi namuelewa sana msukuma
@bahathmaganga1284
@bahathmaganga1284 4 жыл бұрын
Yaan uyu jamaaa agombee u rais
@magidachimija5599
@magidachimija5599 5 жыл бұрын
Hili limsukuma sometimes ni jiniazi kichizi likiwa halijalewa duh
@hanifahamis221
@hanifahamis221 5 жыл бұрын
TRA lori zeto tanzania walipe 1,500,000m kwa mwaka tosha mtaona mtakavopata hela Pili kwny mafuta efd zinausumbufu na hasara kateni kodi yenu huko depo juu kwa juu
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 жыл бұрын
Huhuhu Eti Kluggel kweli aseee
@consalvakileo8205
@consalvakileo8205 5 жыл бұрын
Kweli baba
@barakakajange7335
@barakakajange7335 3 жыл бұрын
Mheshimiwa spika ngugai na wabunge wote nyinyi nisauti ya wananchi wanyonge Mimi kwa mtazamo Wangu kuhusu swala la raisi kuongezewa muda Wa uongozi nisahihi sana kwani ktk uongozi awumu 5 hii imeonyesha maendeleo makubwa ktk nch yetu pendekezo wekeni hili mjadala mezani Mimi baraka kutoka morogoro.
@elishakapaliswa4946
@elishakapaliswa4946 5 жыл бұрын
Ni kweli hasa kwenye kamali serikali ilichunguze kwa umakini vijana weng wanaangamia kwenye bonanza za mchana!!! Hakuna wanachoweza fikir zaid ya kucheza bonanza na michezo mingine ya kubahatisha wizi mtupu!!!
@aludomakori4230
@aludomakori4230 3 жыл бұрын
Msukuma we balaaaaa
@athumanhassani805
@athumanhassani805 2 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa kwanini asiweata waziri wamipango
@antonymwajombe8536
@antonymwajombe8536 4 жыл бұрын
Naogopa kutoka na mabegi
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaaa
@athumanhassani805
@athumanhassani805 2 жыл бұрын
Huyu msuka ukinitajia kati yabunge ukiweka watatu huyu namba moja hajawai kosea katika karia yake pili apendi unafki huyu ndio mbunge alieteuliwa na wananchi hajapita kiujanjaujanja
@ibrahimmbogo3368
@ibrahimmbogo3368 4 жыл бұрын
Alipofikishwa Muskuma
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
Msukuma sukuma hao. Wengine wanasema angesoma ingekuwaje? Angekuwa kama wasomi anaowasema. Yuko vizuri alivyo.
@godlovekasaka4166
@godlovekasaka4166 5 жыл бұрын
RINOVAT KAZIMILI ataacha historia wapinzan watapigwa chini kwa zaid ya asilimia 90
@mabulaoneamosy1281
@mabulaoneamosy1281 4 жыл бұрын
Huyu ndiyo kihiyo anatumia muda mwingi katika mipasho kuwadhalilisha wabunge wenzake na mawazi hoja zake za kukariri hoja zilizosemwa na wenzake
@xelinerparis7365
@xelinerparis7365 5 жыл бұрын
unaakili ya PHD
@chananjamasaaka4983
@chananjamasaaka4983 3 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@kisirigaswalehe1175
@kisirigaswalehe1175 5 жыл бұрын
King msukuma
@barakakajange7335
@barakakajange7335 3 жыл бұрын
Msukuma wewe kiongozi bora
@chongemarwa6051
@chongemarwa6051 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mchina sio musukuma
@abcswahilii3322
@abcswahilii3322 5 жыл бұрын
Safi Musukuma... siku zote maelezo yako yanasaidia taifa.
@dicksonnmeipendaacvnzrjack1521
@dicksonnmeipendaacvnzrjack1521 4 жыл бұрын
ABC Swahilii ww nkchwaaa huwa xjutii MB zangu
@hellenamapunda7989
@hellenamapunda7989 4 жыл бұрын
Namkubali sanaaa msukuma saluti
@bashirumussa2558
@bashirumussa2558 5 жыл бұрын
Msukuma mm nimekuerewa hapo kwenye Pesa haramu serekali inakusanya kodi yakamali vijanawengi hawafanyi kazi wanashinda kwenuekamal
@missmoresa8854
@missmoresa8854 5 жыл бұрын
Kweliii kabisaaa
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 3 жыл бұрын
Jamani, kamari katika taifa linalokuwa hizo ni kamba za kunyonga taifa kupitia watanzania hususani vijana. Watu na hasa vijana wajitoe kufanya kazi zitakazowaheshimisha. Taifa linahitaji mbinu za kuzalisha kwa kutumia akili. Utajiri wa nchi na siyo kucheza kamari uramaduni wa kuja. MJENGA NCHI NI MWANANVHI NA MVUNJA NVHI NI MWANANVHI. VIPAJI , AKILI NI MALI.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 5 жыл бұрын
Msukuma ana akili za kuzaliwa .
@reginanampala729
@reginanampala729 3 жыл бұрын
Yani huyu msukuma namkubali sn ww nilaisi wa badaye
@adamkundi167
@adamkundi167 4 жыл бұрын
Kura yangu ya ndio umesha pata 2020/2025
@fanfrees_motors_ltd3319
@fanfrees_motors_ltd3319 5 жыл бұрын
Namuelewa sana huyu jamaa
@kwilasashija3147
@kwilasashija3147 3 жыл бұрын
Wambie msukuma mwenye akil nying.
@sadickmkakile8476
@sadickmkakile8476 5 жыл бұрын
Hapimiki uyu jamaa
@jitimamjitima2663
@jitimamjitima2663 4 жыл бұрын
diamond
@jitimamjitima2663
@jitimamjitima2663 4 жыл бұрын
diamond
@jitimamjitima2663
@jitimamjitima2663 4 жыл бұрын
magufuri
@jitimamjitima2663
@jitimamjitima2663 4 жыл бұрын
magufuli
@jerichoseth4188
@jerichoseth4188 5 жыл бұрын
Huyu jamaa angekuwa profesor angekuwa hatari zaidi
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 жыл бұрын
Jericho Seth angekuwa professor angebadilika Roho asingekuwa hivyo
@ktravel3527
@ktravel3527 5 жыл бұрын
Maprofesa wetu ni wapuuzi tu bora tu alipo ishia
@mbarakahussein9641
@mbarakahussein9641 5 жыл бұрын
angekuwa Professor asingetumia akili yake badala yake angetumia akili ya watu waliotunga vitabu alivyosoma kipindi chote hadi kuwa professor.
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
Wachina wamehamishia kamali zao vijijini hadi huku ngukumo wilaya ya nzega zipo kibao
@godrivermasanja6687
@godrivermasanja6687 5 жыл бұрын
John mtundu
@isaacmwansile4832
@isaacmwansile4832 5 жыл бұрын
Penda sana
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 5 жыл бұрын
Kuhusu mizan umenena yan tz baada ya kusonga mbele tunarud nyuma mizan ya bandar nikelokumba sana
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 5 жыл бұрын
Dickson Lusinde Kwema!
@israeladam9278
@israeladam9278 3 жыл бұрын
Mhhhh
@pascalmgina
@pascalmgina 5 жыл бұрын
Unaweza sema huyu ndio professor na Kabudi ni STD 7. Point tupu kaongea
@msaliwapilimsaliwapili277
@msaliwapilimsaliwapili277 4 жыл бұрын
Uyu angesoma ungekuwa mtu mkubwa sana
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 5 жыл бұрын
Ndugu zangu hawa wachini wa nini ktk nchi ya Tanzania
@mtaratibh3669
@mtaratibh3669 5 жыл бұрын
Lucas Mugoma
@georgemkanga8541
@georgemkanga8541 3 жыл бұрын
87
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 5 жыл бұрын
CCM rushwa imetawala na mawaziri ndio wakwanza wanaoisimamia kwasababu wao wanakula posho za wavuja jasho.
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 5 жыл бұрын
Watumishi wote ccm
@stephanomchenya6344
@stephanomchenya6344 5 жыл бұрын
tabu sana
@kisirigaswalehe1175
@kisirigaswalehe1175 5 жыл бұрын
Akili kubwa sana hii
@faidhatramadhan2783
@faidhatramadhan2783 5 жыл бұрын
Wangempa uwaziri
@issakisalu9237
@issakisalu9237 5 жыл бұрын
The genius on the map But in Tanzania is like a song no one care.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 жыл бұрын
HIVI MHESHIMIWA RAIS HUWEZI KUMFANYA HUYU NDUGU AIONGOZE HATA WIZARA MOJA? SIKU ZOTE MIMI NAMWELEWA VIZURI NA NI MKWELI 100%
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 5 жыл бұрын
Elimu sio jambo la kujivunia sana kwenye ulimwengu wa Leo. Jambo la kujivunia ni kufanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi, wananchi na wewe binafsi. Msukuma anajua mpaka anapitiliza, WanaGeita wamrudishe tena Bungeni. He is an asset to our country
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 5 жыл бұрын
jambo la kamari za kichina ...asee ni jambo baya sana kwa mtu mwenye akili sawa sawa! labda tu niombe watanzania wenzangu tuunge mkono jambo hili.
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 5 жыл бұрын
msukuma n mtu safi anatambua hakika!! siwez kusema saana kwan suala la bonanza za kichina lilikua linaniuzi sana...
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 5 жыл бұрын
na sijawahi kusogea kuliona hilo bonanza hakika!
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 5 жыл бұрын
naomba mkumbuke michezo za fedha ikiwemo jackpot bingo, na zinginezo ziliishia pa ovyo!!
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 5 жыл бұрын
labda tu nimalize kwa kusema huwezi kupata hela kirahis rahis kama jins wengine wacheza hayo mabonanza wanavodhan"
@princessaidal1130
@princessaidal1130 5 жыл бұрын
Sasa ww siunafaa kua Rais kabisa jamani,, uuuuwiiii gombea basi sisi tutakupa Kura
@lameckkiliwa7458
@lameckkiliwa7458 3 жыл бұрын
Yaaan msukuma unafaa kuwa Rais
@rashidyhassan4679
@rashidyhassan4679 5 жыл бұрын
Msukuma namuelewa sanaa
@zachariazabron320
@zachariazabron320 5 жыл бұрын
Msukuma uko sana huo mzani uliowekwa bandarin ni kero folen mpaka utacho
MUSUKUMA Awasha Moto Bungeni
7:57
Global TV Online
Рет қаралды 90 М.
MUSUKUMA -  "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"
12:11
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 16 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 554 М.
VITUKO vya MBUNGE BWEGE,  AMEANZA UPYAAAA, SPIKA Hoi, Awalipua CCM..
13:52
Global TV Online
Рет қаралды 486 М.
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
Msukuma Kakinukisha Tena Bungeni... Povu Lake si la Nchi Hii
6:20
Global TV Online
Рет қаралды 682 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 16 МЛН