WAZIRI SILAA AWAKA -"UNANIJARIBU? OCD MCHUKUE HUYU"-HURUMA ya RAIS SAMIA YATUA MGOGORO MSITU WA KUNI

  Рет қаралды 41,420

Global TV  Online

Global TV Online

18 күн бұрын

WAZIRI SILAA AWAKA -"UNANIJARIBU? OCD MCHUKUE HUYU"-HURUMA ya RAIS SAMIA YATUA MGOGORO MSITU WA KUNI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 174
@globaltv_online
@globaltv_online 16 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 16 күн бұрын
Tatizo viongizi wetu ubabe umezidi mnatisha Sasa wananchi ngoja aongee umsikilize kwanza lkn ocd mchukue sheria ipo wapi kiongozi?
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 15 күн бұрын
Unapo ulizwa hii nichumvi inatakiwa ujibu Vipi huyu majibu yake nizarau
@ibrahmatage
@ibrahmatage 14 күн бұрын
Unajua ugumu wa kumsikiliza mtu anae jibu, jibu refu nenda kwenye kiini cha Swali ukiwa kiongozi utajfunza
@raydanfrenk
@raydanfrenk 16 күн бұрын
Umemchukua ndani kwa Sheria gan
@allynguba2579
@allynguba2579 15 күн бұрын
We unaejua sheria kamtoe
@abuusufian6506
@abuusufian6506 15 күн бұрын
Unajua sheria hiyo yenyewe 😅
@senixdanethox
@senixdanethox 15 күн бұрын
Kuchangia sio kumiliki ardhi
@Jose-ut5hg
@Jose-ut5hg 12 күн бұрын
​@@allynguba2579Kwa akili kama zako hizi mtaendelea kukamatwa hovyo hovyo bila kufuata Sheria kama kuku.😂
@josephjohn2114
@josephjohn2114 16 күн бұрын
Emotional decision Mr Jerry kama kakukwaza unamuweka ndani kwa sheria ipi? Ungemtoa tu hapo ukasikiliza wengine basi akileta jeuri ndo unamtia nguvuni. Sasa we Mwanasheria halafu unatumia hasira kufanya maamuzi.
@barakamwasala228
@barakamwasala228 15 күн бұрын
Hapoo kamkwaza kivipii Hawa Huwa hawapendi mtu hamzidii kitu
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 15 күн бұрын
Waziri jery usitumie hasira wakati wa kufanya maamuzi jaribu kusikiliiza kwa makini ndo ufanye maamuzi bila kupendelea upande wowote mwenyezi mugu akutangulie kufanya maamuzi sahihi
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 15 күн бұрын
Kuna suala la uongozi na namna ya kujibu maswali kila pande hapo inakosa na zaidi mr jery ameilinda hadhi yake tu kwamba kiongozi hastahiki kuyumbishwa
@gabrielrobert8677
@gabrielrobert8677 11 күн бұрын
Huyo nae anajifanya mjuaji saana waziri anamuuliza swali maelezo mengine alafu anajichekesha nini??
@keshalasubuhi
@keshalasubuhi 11 күн бұрын
Jambo la kwanza elewa kuwa huyo ni waziri wa ardhi, ameenda hapo akijua mipaka ya eneo lote hilo wanaldai ni hifadhi ya msitu wa nyuki, walip ni wavamizi na uhakiki umeshafanyika, limetengwa eneo kwa huruma kuwasaidia wavamizi wapewe viwanja. sasa huyo anaulizwa pesa alikuwa anampa nani anataka kujistfy kuwa alikuwepo kihalali na hana document yeyote, bado unataka asikilizwe kuptosha umma
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 16 күн бұрын
KWA NINI ACHUKULIWE NA POLISI, TUNA UHURU WA KUONGEA NA VIONGOZI WETU, SISI HATUNA WAFALME WALA MABWANA BALI WATUMISHI WA WANANCHI...IKIWA KWELI MNQVYOSEMA KUWA BOSS NI MWANANCHI KWA HIYO WAZIRI KAMKAMATA BOSS WAKE, WANASIA MNA MANENO YASIYO YA UKWELI..ASAMEHEWE TU
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 15 күн бұрын
Kaka Leo umezingua sana. Ubabe sio mzuri hadharani huyo Mzee ungemsikiliza. Pole, naona kazini kulikuwa na kazi
@davidjohn9535
@davidjohn9535 16 күн бұрын
Sema kaka yetu jeri leo hayuko kwene mood nzuri.😂
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 16 күн бұрын
Itakiwavyo Unapokuwa Unaongea Nakiongozi Wako Yoyote Awe Wakidini Au Kiserikali. Nilazima Tuwe Na Tahadhari. Nionavyo. Naitakiwavyo.
@LawrenceKomba-w8k
@LawrenceKomba-w8k 10 күн бұрын
hayo mambo si sawa kabisa
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 10 күн бұрын
Mbona jamaa Alikuwa Anaongea vizuri
@yerasimg7415
@yerasimg7415 15 күн бұрын
Hatari sana nchi ngumu sana hii
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 16 күн бұрын
Ukiwatisha wananchi kwa kutumia mamlaka yako unakosea unawanyima uhuru wakuongea acha kuwatisha
@CharlesiPhilimoni
@CharlesiPhilimoni 16 күн бұрын
Viongozi wa serikali yatazania wanapenda kusifiwa aukunyenyekewa maka waoni ngungu watu hamnamsaada hiyo nihuruma hivisasa watu tuishi.kama.vindenge tuishi kwenye miti watanzania hatuna aridhi .nduguzanguni.wamejisahau
@DanielKagika-d8f
@DanielKagika-d8f 11 күн бұрын
Waziri leo umeniangusha uyo ungemsikiliza ndo hekima, hapo watu wataogopa watukusikiliza tu wewe hiyo siyo sawa mbona mama yetu Samia hayuko hivyo
@fadhilmgahi1334
@fadhilmgahi1334 5 күн бұрын
Huyo waziri hapo kazingua katumia nafasi alionayo kimamlaka kumlandamiza huyo jamaa wala jamaa hakuna kosa alilofanya alikua anajaribu kueleza anachofahamu😢😢😢
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 15 күн бұрын
Bila adabu nchi hii hatuwezi kuwa na heshima
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 9 күн бұрын
Yaan katika siku amabazo huyu waziri nimemwona hajatumia busara ni.leo kwakweli usifanye hivyo boss plz as ukimweka ndani utapataje maelezo
@marianmartin7483
@marianmartin7483 11 күн бұрын
Waziri Slaa piga kazi kaka. Uko sawa.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 16 күн бұрын
Sraa uko vizuri hujui lushwa ubalikiwe
@doriceyerico3421
@doriceyerico3421 15 күн бұрын
Wametuvunjia Nyumba zetu kibaha bila huruma eti tunaitwa Wavamizi😭
@MahmoudMahdMahmadoueMombaMomba
@MahmoudMahdMahmadoueMombaMomba 13 күн бұрын
Magufuli Legacy and his spirit will still prevail and survive for long time even if he died,
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 16 күн бұрын
AMEMJARIBU NAMNA GANI HAPO? MBONA SIONI TATIZO?
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 16 күн бұрын
hapa wazili umezingua Yani mwananchi kauziwa eneo Na ofisi ya Kijiji kapewa kapewa hati ya mauziano ina mhuli wa serikali wewe unamuambia akamdai huyo alie muuzia sasa mnyonge hua kupata haki Nivigumu wewe ilitakiwa huyo alieuza aneo ambalo Nimali ya serikali asakwe
@neemareuben311
@neemareuben311 12 күн бұрын
ZINGATIA NA WEWE UNATAKA KWENDA AKANYUTI😅😅😅CHEZEAAAAA
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 4 күн бұрын
😅 We kuweza!😅😅😅
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 16 күн бұрын
Hapa tunaita chuma kwa chuma bendera chuma mlingoti chuma kamba ya faru
@idrisaramadhani3519
@idrisaramadhani3519 16 күн бұрын
Daaaah 😢😢😢
@jmazura7400
@jmazura7400 16 күн бұрын
haki sawa Kwa wote. Hakuna mtu anayepaswa kuwa juu ya Sheria. Kama Sheria inamruhusu waziri kuagiza mtu awekwe ndani Kwa mambo madogo kama haya ya kuongea tu na kuelewana basi Sheria zetu mbovu. Ila kama haziruhusu na ametenda tu Kwa vilebyeye ni waziri basi akumbuke yeye si jaji. SOTE TUNAPASWA KUESHIMU SHERIA haijalishi waziri au yule mtu wa chini kabisa. HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEPASWA KUJIONA JUU YA SHERIA.
@hakeemwamahoro5144
@hakeemwamahoro5144 15 күн бұрын
Mr Jerry kazi anaifanya vizuri sana tatizo lake anatumia ubabe ukitazama video zingine utaona,..hakuna freedom speech is not right
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 15 күн бұрын
Kabisa. Ila kuna watu wanapenda kuburuzwa. Huzani njia ya ubabe ndo namna pekee.
@chacha-255
@chacha-255 13 күн бұрын
Mgema akisifiwa ................ Waziri naona kaanza kuyumba, Hapo kwenye kumweka ndani ubabe zaidi umetumika.
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 10 күн бұрын
Acheni ubabe wazeeee fanyeni Kaz Kwa kumwogopa mungu
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 16 күн бұрын
Silaa hapo umezingua kumweka ndani kwasababu yakujieleza
@linusmasawe5060
@linusmasawe5060 16 күн бұрын
Waziri nakukubali sana hila leo kama ujafanya vizuri
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 15 күн бұрын
Nikweri kaka leo waziri kama kachemka vile
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 15 күн бұрын
Ulitaka afanyaje kama unajibu kwadharau
@shadracknyese3307
@shadracknyese3307 11 күн бұрын
ulitaka atetemekewe kama Mungu?
@mtotowamanka
@mtotowamanka 16 күн бұрын
+ value to life
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 9 күн бұрын
Hapo waziri umekosea sana....tenh sana unapswa kumsikiliza mtu mwanzo mwisho usiingilie maongezi, mbona ulianza vizuri tuu whats happen had unamchukua daah
@josephignas3988
@josephignas3988 9 күн бұрын
Ni sawa Lakini mpaka waziri anafika hapo huwa ana taarifa zote za nan mwenye haki na nani siye, Kwa hiyo muda mwingine anakuwa anaona kama anapotezaewa muda kwa kujitetea kwa mtu ambae inajulikana wazi kabisa ndo tatizo
@OdinaEdwini
@OdinaEdwini 15 күн бұрын
Daaaa umekosea wazir
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 16 күн бұрын
Divide and rule iliyotokea Malela tokea kata ya TOANGOMA TEMEKE kile kile aise
@barackcanc7954
@barackcanc7954 11 күн бұрын
TANZANIA kuna usenge mwingii sna mamae
@saidchombo5952
@saidchombo5952 12 күн бұрын
Namuelewa sana MAKONDA
@user-ti8fw5wm8f
@user-ti8fw5wm8f 15 күн бұрын
Mimi naona waziri Yuko SAWA kwani tumeletewa mapiki pili inchi nzima
@user-ti8fw5wm8f
@user-ti8fw5wm8f 15 күн бұрын
Kwakweli Yuko SAWA Mimi napongeza serikali tumepewa piki piki inchi nzima
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 10 күн бұрын
Waziri kulikoni miti sio ardhi!? Au na ww waziri hujui maana ya ardhi kwa mujibu wa sheria?
@JosefuSwai
@JosefuSwai 7 күн бұрын
Waziri Gani huyu
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 16 күн бұрын
Sasa hapo huyo bwana anakosa wapi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 16 күн бұрын
Hapo waxiri ujatenda haki ungemsikiliza kwanza. Ilasikulaumu sana kunamudamtuunachoka au umetokanyumbani mambosi mambo
@josephminja7953
@josephminja7953 15 күн бұрын
😅nsawa lakini mambo yanyumbani yaishie huko huko 😅
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 күн бұрын
@@josephminja7953 🤣🤣🤣
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 15 күн бұрын
Kuna wakat ulikuwa unaenda vzur so umeanza kijchanganya hayo ni maisha ya watu itazame kesho yao acha alama kuna sku utakumbukwa na vzaz vjavyo punguza maneno makal
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 12 күн бұрын
dah 2we wawazi leo kunakitu akikuwa sawa kwake niki2 ambacho sikukitarajia kukiona kwake ira yeye nae nibinadamu maana mi sijaona kosa apo wara zalau mbona mwanainchi alikuwa anajenga oja ili waerewane aya bana
@olewangaparmitoro1395
@olewangaparmitoro1395 16 күн бұрын
Huyu mtu uliyemkamata amekosea nn???
@daslamonline4665
@daslamonline4665 14 күн бұрын
Unabishana ueleweki ujuaji haujibu unachoulizwa sukuma ndani ,
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 16 күн бұрын
Mbona kama ubabe
@nicholasmakule2381
@nicholasmakule2381 12 күн бұрын
This is pure drama,shame he's even a state's minister.
@saidchombo5952
@saidchombo5952 12 күн бұрын
Hivi kwa nini wasiwajibishwe wanaotoa hufu za kiserikal? Utakuta mtu kauziwa eneo serikal za mtaa na mtendaji kaweka muhuri kajenga na anaishi arafu anakuwa mvamizi? Hii kitu huwa inanichanganya sana
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 15 күн бұрын
Kwa kweli hapo kwenye maamuzi ya msittu wa kuni hujachukua maamuzi mazuri hapo umewaonea mkuu.kajiulize kwanza na uwe makini utakuja kurogwa
@charleskamkunguru6071
@charleskamkunguru6071 9 күн бұрын
Si vema
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 13 күн бұрын
Waziri wangu hapo kidogo umekosea samahani tunakupenda sana lakin tunaomba uwe na subra mhe slqa
@CharlesiPhilimoni
@CharlesiPhilimoni 16 күн бұрын
Uonevu kweli tutafika?
@salummasooud4401
@salummasooud4401 15 күн бұрын
Mwambieni Waziri wenu aache ubabe
@deokessy6596
@deokessy6596 12 күн бұрын
Ningekuwa mama ningekungoa
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 15 күн бұрын
Waziri yupo vizuri ila sisi tunashindwa kujieleza tunatumia pia ubabe.. Msimlaumu waziri kiongozi ni kiongozi tu. Basi Rais samia angekuwa hivi nchi isingeenda kwakweli si maana yake nini? 😊
@CalvinmMagele
@CalvinmMagele 7 күн бұрын
Sasa alichoo kosea nini kamaa sio ujingaa tu na ulibukeni wa viongozi wetu
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 8 күн бұрын
Kwa nnavyomjua Silaa hao watu walishavuruga sana
@lushiligolegwa4025
@lushiligolegwa4025 11 күн бұрын
Miungu watu, Kamjaribu kwa lipi
@JosephBWAGIZO-fs5ig
@JosephBWAGIZO-fs5ig 15 күн бұрын
Duh leo nimemkumbuka mfalme Sulemani alipoambiwa na MUNGU omba utakalo nikupe, mfalme Sulemani Hakuomba chochote zaidi ya hekima katika kuongoza watu.
@user-zo7lf4qp6m
@user-zo7lf4qp6m 15 күн бұрын
Mbona mm sijaona kosa la huyu big
@Jose-ut5hg
@Jose-ut5hg 12 күн бұрын
Shida viongozi wetu wanapenda kunyenyekewa
@mbalilax162
@mbalilax162 12 күн бұрын
hii nchi demokrasia bado sana....ubabe umetawala
@JosefuSwai
@JosefuSwai 7 күн бұрын
Uyu dada ni nani ni mke wa sulutani or mfalume
@salcle9702
@salcle9702 15 күн бұрын
Tatizo nyie wananchi mnawaogopa hawa viongozi kama Huna tatizo kwanini utetemeke nenda kwenye point
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 16 күн бұрын
Haki ya Mungu tukipata watu 30 Tanzania km huyu waziri, pamoja na Mr Makonda🎉 Tanzani yetu itakua hakunaga zulima.
@victorjames3730
@victorjames3730 12 күн бұрын
Hivi huu ubabe wa Viongozi unatokana na Nini? Mbona wananchi hawaheshimiwi😮
@mambas264
@mambas264 16 күн бұрын
Hapo umetumia ubabe Waziri
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 13 күн бұрын
Ubabe lazima utumiwe ukiwa huna adabu.Jibu swali bila kutoa hutubu. Huyo mzee hajakamatwa ila kazimishwa ili asiongeza sintomfahu kwa wengine.
@npiperito19
@npiperito19 6 күн бұрын
Tuko utumwani, akuna uhuru wa mwananchi kuongea.
@user-qt7jd5on4z
@user-qt7jd5on4z 15 күн бұрын
Aya maeneo ya serikal serikal ya mtaa inajua kwann msianze kuwakamata awa viongoz kama wajumbe na watendaj na mwenyekit
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 14 күн бұрын
Wangap tumecheka amejibu vibaya wapiiii
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 15 күн бұрын
Tangia wanaanza kujengenga mulikuwa wapi hadi watu wanamaliza kujenga wanazaana hapo wanajukuu hapo kama watumishi wa sirikali mulikua wapi kuzuia hilo???ni upuuzi na ujinga tu.
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 14 күн бұрын
Huyu jamaa 😂😂 Bwana Et OCD mchukue huyu
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 10 күн бұрын
Bado mze arikuwa na maerezo jamani ama Kuna sintofahm
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 16 күн бұрын
Inchi ingekuwa imepangwa kusengekuwa na haya yanayotokea.
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 15 күн бұрын
Waziri kuongea na wananchi inahitaji uwe na kifua....
@FkenkiMwesya
@FkenkiMwesya 13 күн бұрын
Umetumia mamlakala yacheo chako
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 15 күн бұрын
Sheria ya ardhi ngumu. Ukifuatilia utagundua wengi tunavunja Sheria. Tuendelee kupata elimu maana wapo viongozi wasio na nia njema kutushikisha
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 14 күн бұрын
Jaman mzee amechukuliwa kisa uhuru wa kuongea
@Pemba680
@Pemba680 15 күн бұрын
Ubabe tu ndio wenu
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 14 күн бұрын
Slaa anatatua kero bila kusikiliza watu
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 13 күн бұрын
yaani viongozi mnawachukulia poa Sana makamnda kila kitu kuwatafutia tu ubaya na wanainchi hata vituo vya porice tunasikilizwa hatukimbizani Kama unavyomfanya mzee wa watu hivyo acheni kusumbua watu itafika kipindi tutapigana mangumu ya chapu chapu alafu tufungane tu
@seemanishekiao
@seemanishekiao 15 күн бұрын
Leo
@user-dq9lf3vp8m
@user-dq9lf3vp8m 12 күн бұрын
Aliempokea alianguka 😂😂😂😂😂😂
@ColinMhema-ne3lz
@ColinMhema-ne3lz 15 күн бұрын
Hivi inakuwaje wavamizi wanapewa mpaka huduma za maji umeme shule nk kutoka kwa serkal hiyo hiyo
@mgityanyahurya8375
@mgityanyahurya8375 12 күн бұрын
Mtu anapewa madaraka anakua ndiyo mtishia watu
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 15 күн бұрын
😂😂😂😂 tutafika tumechoka sana 😂😂😂
@allymahmudu464
@allymahmudu464 15 күн бұрын
Uko vzr mkuu ila pungua kido ubabe
@richardmembe2934
@richardmembe2934 12 күн бұрын
Anajaribu kunwiga makonda lakini it didn't work here
@graciousmgeni7249
@graciousmgeni7249 12 күн бұрын
HUYO MZEE AKISONONEKA TU. LAANA ITAKURUDI HATA KAMA SIO LEO. UBABE KWA AJIRI YA CHEO SI HAKI YAKO KUMNYANYASA MTU .
@user-rf7tt9rm7r
@user-rf7tt9rm7r 15 күн бұрын
Kwa kos gan apo anamuwek ndan inaaman huyu akipewa nchi si atafunga watu otee huo namkubal kumbe ovyo tuu
@jumabonge8577
@jumabonge8577 12 күн бұрын
hajafanya haki apo mkuu
@ellymartin9343
@ellymartin9343 15 күн бұрын
Kweli hivi vyeo kuna watu hawaelewi bado kuwa ni dhamana? Sasa Huyo Mzee mtu mzima anajaribu kuelezea unasema anakujaribu, kivipi? Utafunga wangapi kwa sheria kandamizi ya kujitungia? Tumemuona na kumsikia huyo mzee unamuonea, usiwe unatumia vibaya nguvu uliyopewa, halafu umeanza lini kusifiasifia? Mbona Mheshimiwa ulikuwa unakwenda vizuri umekutwa na nini? Ni ushauri tu.
@senixdanethox
@senixdanethox 15 күн бұрын
Wananchi sheria ni moja sio matwakwa yenu
@npiperito19
@npiperito19 6 күн бұрын
Kwenye utawala wa baba MAGUFULI Aya yote ayakueepo.
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 11 күн бұрын
Nae anatakwenda
@user-ui4vt9vl6h
@user-ui4vt9vl6h 6 күн бұрын
Akuna kz hp
@alihussein4303
@alihussein4303 8 күн бұрын
Na wewe unataka kwenda
@ShaabanmwanawimaMwanawima
@ShaabanmwanawimaMwanawima 8 күн бұрын
Yaani viongozi wengine.. sasa huyu mzee kafanya kosa gani sasa yaan yaan au basi tu😡😡😡😡😡
@PeterMandata
@PeterMandata 15 күн бұрын
Kuwa makini mh,kwahili haukosawa kidogo
@SawayaNm
@SawayaNm 3 күн бұрын
At least sasa Watanzania mme ona! This guy is abusing his position! I comment 8 months ago! At least ame ondolewa from this ministry! 😢😮😂
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47