MAPYA YAIBUKA PETER MADEREKA AKIFIKISHWA MAHAKAMANI ARUSHA-WAKILI MWABUKUSI AWACHOMA ASKARI MAGEREZA

  Рет қаралды 84,273

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MAPYA YAIBUKA PETER MADEREKA AKIFIKISHWA MAHAKAMANI ARUSHA-WAKILI MWABUKUSI AWACHOMA ASKARI MAGEREZA
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 151
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Mungu hawezi kutoa baraka kwa nchi yenye viongozi wa dhuluma km hii
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Жыл бұрын
na wakat wa ss wananch kusema hapana dhuluma ,na uonevu
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Жыл бұрын
Umeongea akili sana kaka. Hii nchi Mungu atailaani tuu maana Mungu hataki ujinga hata siku moja
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu, bandari yetu tutaikomboa na wewe Peter madeleka you will be on top of the history ya ukombozi wa bandari zetu.
@salimothmanhoza
@salimothmanhoza Жыл бұрын
Angekuwa anatetea mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania asingekamatwa, Dunia I Sheria haki mbinguni, mungu hakimu wa kweli
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Жыл бұрын
Tumwogope Mungu maana ukipata cheo Haina maana kwamba utese wenzako.
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
We kweli muandishi msomi ❤
@augustinenjesi3215
@augustinenjesi3215 Жыл бұрын
Mwandishi kweli ww ni msomi kabisaaa hongera sana
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Uonevu mkubwa sana ila Mungu hajawahi acha wenye haki waonewe tuna Iman Mungu atawahukumu sawasawa na mapenzi yake hao wanao jifanya nchi ni yao😢
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Lebabas kwa kuripoti kesi uko vizuri 👍👍👍
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Wanaomfanyia hivi wakili madeleka wote walaaniwe mbele ya MUNGU
@amosepimacknyanda639
@amosepimacknyanda639 Жыл бұрын
Kusimamia haki ni dhamana ya kimungu, msiichezee 🙏🙏🙏
@mickyjoseph5492
@mickyjoseph5492 Жыл бұрын
Ndio maana kila jambo hii nchi haliendi kwa sababu ya dhuruma,tunaongozwa na serikali dhalimu 😭😭
@jonathankyando2698
@jonathankyando2698 Жыл бұрын
Hayajaanza leo
@user-xf4cu3st5z
@user-xf4cu3st5z Жыл бұрын
Tunakuombea mwamba.Mungu ni mtetezi wa wanyonge..usiogope.Mungu yuko nawe. Bwana Mungu Asema,'neno hili halitasimama wala halitakuwa kwa jina la Yesu
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Jamani we dada wa utetezi unatafuta laana maana mbona baada ya kuongea Mambo ya bahari ndo hayo mengine yameibuka? Jina lako ni la kinafiki Bora ungeitwa pilato
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Mungu hajawai kumtupa mja wake,bali humpa shetani nafasi yakutawala akiamini yy ndio kilakitu kwamwanadamu.Kazo yamungu nilivumilia tu sikumoja atatoa hki nashetani huumbuka sikumoja
@frankhajimatozi3949
@frankhajimatozi3949 Жыл бұрын
Tambueni mungu niwetu sote mcjisahau sana ipo cku mtajibu tu.
@joviignus1674
@joviignus1674 Жыл бұрын
Sawa😂😂
@jonathankyando2698
@jonathankyando2698 Жыл бұрын
Wakili msomi Mwabukusi💪
@indalesiohenery6124
@indalesiohenery6124 Жыл бұрын
Pole Sana mtangulize MUNGU atakutetea
@janekapinga6793
@janekapinga6793 Жыл бұрын
Muogopeni Mungu jamani,ache kufuru hii ,Hasira ya Mungu ni kubwa kuliko mahakama zote Duniani jmn hii haileti taswira nzuri kwenye mtakabali wa hili,Dah!!!!!!
@haikaelkiwia9705
@haikaelkiwia9705 Жыл бұрын
Màhakimu wa aina hii mwisho mwema. Unatumwa kumfunga asiye na hatia!!! Nchi ya ajabu sana
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 Жыл бұрын
Kujua sheria Raha jmn duuh
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Safi sana mwabukusi
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Жыл бұрын
Uko vizuri bandari hatuta kubali izwe Kwa mwarabu mkataba Mbovu
@kasimuadam
@kasimuadam 11 ай бұрын
Uwe unafatilia Yuko ndani Kwa kesi Gani ? Maleka ana ma kosa Mengine tofauti na bandari kabisa
@jessegodson8575
@jessegodson8575 Жыл бұрын
Badala kumkamata Samia aseme ela alizo ongwa na Dubai na kupelekea bandari zetu zote kuuzwa
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Umeona eeeh wanakamatwa wanaotetea maskini ,hapo Sasa Ndo TZ hiyo,tofauti na chi yoyote duniani yani tuko kivyetu vyetu
@user-cr5kz5ev2x
@user-cr5kz5ev2x Жыл бұрын
Duuh noma sana aisee
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Nakubali wakili msomi
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Kuhusu kuzuia kupigwa picha hii imekuwa ni jeuri tu ya askari wetu wa kibongo kwasababu bado tunatumia sheria za kikoloni na sheria nyingi binafsi nadhani bado hatujabadilisha kwa mtazamo wangu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Hoja useme ni sheria kama ni ya Kikoloni lakini kama bado ipo ndio ipo iheshimiwe.
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Жыл бұрын
Mungu yupo
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Mungu atawaadhibu waovu wote watanganyika tumwombe Mungu ipo siku uovu utashindwa na waovu watapotea
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Baba mungu mmumba mbingu nanchi niwewe ulietuweka kapanduniani kwanini mungu tanganyikayetu imekuwana viongozi wizi wasionahofu wanaojiamini zaidi yachui Tanzania mungu selikali yetu inavotutesa watanganyika maalizetu zimeuzwa madini yameuwa ziwa limeuzwa mungu agushautawala wakihuni uliopo baba mungu hatamajeshi yetu pamoja namapolisi wsnatumianguvu kutekeleza maovu kwawanaotetea haki wanashugulikiwa wanapewa kesi nyingi watetezi wahaki baba hatunasilaha zakupambananao watesihawa mungu baba mungu baba kamaupokweli wapemalifa nanguvu nauwezo zaidi wanaotutetea sisi watanzania pita mwsbukusi lisu wabaliki wainue baba tumechoka nautawala wakutekwa ukisdmahaki tumechoka baba nakuomba kupitiajinalayesu mwokozi huutawala ufe milele nahatawakijalibu kutuibiakula awamuijayo nakutunyimahakizetu baba wachukue wote watesi wetu eatangulie huko kwawingi nimeomba baba kwahayo ti machache mungu mengituzidishie kwajinalayesu nazmini utatenda makubwa amina
@yonasaimoni1302
@yonasaimoni1302 Жыл бұрын
Mahakama zinafanya kaxi za mahakizo ya chama chao ccm mpaka hawa magereza nao ovyo kabisa
@mamachacha6478
@mamachacha6478 Жыл бұрын
Huwa natamani mungu siku moja awaangamize CCM wote wabaya kama alivyofanya Kwa watu wa Sodoma na Gomorrah.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Tatizo akiki huna hata unachokiongea hukijui lkn wewe unadhani unajua
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Жыл бұрын
Ccm wanahusikaje hapa jitathmini
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Mm.pia nawaombea viongoz wadharim wote wapate matatizo
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Masikin mwenyew Hana waswas mungu atamsimamia
@mamachacha6478
@mamachacha6478 10 ай бұрын
@@samwelnevele7796 CCM ndio inaongoza Serikali,sikia CCM imejaza makada wake mpaka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama achilia Kwa wakurugenzi wa wilaya usisahau kwenye judicial system yote mahakimu plus majaji mostly ni makada wa CCM so watu wanapobambikiwa case za kifala what do you expect us tuseme????ni Kwamba CCM inahusika 100% Kwa kila uozo unaohusika kwenye Taifa hili na wala haiwezi kujitenga na chochote so tunapoiweka CCM Kwa kila Jambo Sisi sio maboya.
@imanihussein9457
@imanihussein9457 Жыл бұрын
amebaki mungu kuokoa tz
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 Жыл бұрын
Nani kakudanganya ukikaa ukaseka Mungu Mungu yanakua, inatakiwa usimame kwa kile unachokiamini. Mungu anachukia uoga. 😂😂😂
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 11 ай бұрын
Mungu akutetee Madereka
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Hii nchi viongozi na chama chao watauguzwa moto
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nchi hii inalaana sana
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Safi sana columbas
@manguloabawali4747
@manguloabawali4747 Жыл бұрын
Ebana huyu kweli mwandishi ...jamaaa ana kitu sio kiaz
@DeusiSetivin-ls9uz
@DeusiSetivin-ls9uz 11 ай бұрын
Hatari
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
Madereka mungu yuko na wewe mungu naawape pigo wote hao wanaokutungia mikesi hio
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 Жыл бұрын
Minazani mungu aisaidie Sana nchi hii lakini viongozi mungu awalinde nakuwapa kweli nahofu wanapo ongza nchi nasie wanadam wenzeo Amna mwenye haki hapa dunia tuwapitaji wote tupendane nakutuwekane sawa penye makosa mungu balki yzd
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Nampenda uyumuhandishi anafamisha mpaka unaelewa
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Good reporting mwandishi msomi!
@methuselamisana4115
@methuselamisana4115 Жыл бұрын
Katiba mpyaaaa inatakiwa
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Huu uonevu serikali ya CCM unayofanya kwa watanzania utawagharimu siku moja..Mungu sio mtu, halali wala hasinzii. Tanganyika arise, tanganyika u'll be great. Arise and shine tanganyika.
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Hivi mtu anateseka hivi bila haki kwa sababu ya bandari halafu eti tuna serikali sikivu. SI Bora Mungu afute hicho kizazi kwenye hii nchi?😢😢
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Huu nchi mnatuchosha
@imanihussein9457
@imanihussein9457 Жыл бұрын
mungu anawaona yote atakwisha
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Wanamuonea pita madeleka bure wanambambikizia kesi kwà sababu amepinga mkataba wa bandari
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Pita ni pita njiani au? Ucnihaibie jina ni Peter wacha ushamba.
@simonkenne6892
@simonkenne6892 Жыл бұрын
Na nyinyi mkumbuke ni watu....ipo siku mungu atawaonyesha kuwa nyinyi watu na mnakufa kama sisi
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Ifikesehemu tudili nafamiliazao wanaotuonea polisi pamojanahao viongozi wahuniwanaohujumu nchiyetu kwakutumia dola
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Mwandishi msomi😂 Ujumbe unewafikia wale
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 Жыл бұрын
Naomba ni mulize swali wakili pendo je ndugu wa Kili nilini madeleka Ali safisha fedha , na alitumia sabuni Gani ?.
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 Жыл бұрын
Yote hayo ni nini haswa!
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
Iko siku watu wa CCM mtatamani usionekane inchi hii iko siku tutafanya msako wa kuangamiza CCM .
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Naomba kujua kuhusu kutakatisha fedha hii ikoje?
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 11 ай бұрын
Naomba namba ya mwakabusi
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Askari kasimama kortini kaegemea halafu mikono mfukoni....hii Nchi kweli baadhi ya Polisi hawajielewi..!
@florangido202
@florangido202 Жыл бұрын
Kesi hii Nataka Kujua Kama Mahakama haiingiliwi na Muhimili wowote wa Bunge na Serikali Ksb Mahakama pia ni Muhimili Unaojitegemea, Zambia Rais Anayetaqala sasa Alitoka Magereza Aliwahi Kufungwa na sasa Anaongozi Ni Rais. TUJIFUNZE ISIJE IKAWA NCHI YA VISASI, NA LEO SIO KESHO....
@adalbertmboki9034
@adalbertmboki9034 Жыл бұрын
Mungu aonaye sirini atafanya mambo yake na sote tutashangaa. Haki ya mtu inapopindishwa, Mungu anainyooshaga.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Haya mashtaka Mh. Rais Samia alishalizungumzia tuhuma za mapolisi kubambikizia kesi! Nchi inapoteza heshima kwa unyanyasaji wa raia kama kesi hii
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Duuuh 😭
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Hili ndo li TZ LA LEO LENYE VIONGOZI WENYE MTINDIO WA UBONGO
@user-ny6xw4ps4r
@user-ny6xw4ps4r Жыл бұрын
Yaani ndio nazidi kuichukia serikali
@josephpetro2968
@josephpetro2968 11 ай бұрын
Ivi kuna uhujumu zaidi ya dp world
@freymuch7112
@freymuch7112 Жыл бұрын
Na wakat yupo polisi kafanya unyama mwingi leo hii wenzake wanamfanyia the same
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Nilijuwa tu amehujumu uchumi 😂 sijasema Mimi msije mkasema nimeshahujumu uchumi😅
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Unacheka nin kwenye mambo serious?
@mgayamgaya
@mgayamgaya Жыл бұрын
We jamaa umekubuhu kwenye kutoa habari za kesi, kesi ya sabaya irudi maana ulikuwa unaielezea vizur sana
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 11 ай бұрын
Mhmm hii nchi dah hatari#
@user-ub1yx5vc8b
@user-ub1yx5vc8b Жыл бұрын
Hiyo pambio "Mwandishi habari Msomi" ikoje?
@emmanuelmakale5853
@emmanuelmakale5853 11 ай бұрын
Nimependa tu Mwabukusi anatembe kama anko Magu anaweza kui handle hii nchi
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Yote haya madhira yanawatokea watanganyika ili mwarabu apewe rasilimali zetu
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 11 ай бұрын
Wanatakiws waelimishwe hao askari
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Hii awamu ya sita mafisadi,ni uonevu kwa raia
@samwelmeela8384
@samwelmeela8384 Жыл бұрын
Kwa mbali namuona kamanda Mdude akiwachachafya askari Magereza ndani ya chumba cha Mahakama
@naomimaro2156
@naomimaro2156 Жыл бұрын
Yaani hapa,wanawapaisha hawa jamaa bila kujua
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Yaninihivi wameamukumukamata pita madeleka ili nyinyi akinamwabukusi munaoteteahaki nawatanganyika malengo yaselikali nikuwapotezeamuta wailekesi yenu mulioifungua yakupinga mukataba wahovyo Sasa wakaona wawayumbishe musifatilie Sasa bas bazi yamahakimu nawengine wameshapewa maelekezo naviongozi wajuu mamaenuhuyu muombeeni aendembinguni mapema mung chukuahawa mafisadi wanchi wanatutesa kwakutumiadola
@amosdickson6318
@amosdickson6318 11 ай бұрын
Hakika serikari ya CCM Mnajua kuzitumia kodi za wananchi kutesa wananchi. Malipo yenu yapo, Yanakuja mtakufa kama mizoga ya panya waliotegwa na chambo ndogo. Harafu yenu itapakaaa nchi nzima. Hizo damu mnazomwaga na kuumiza Mungu atasimama kulipa fidia. Yetu macho.
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Nchi ina dhuluma hii🏃💨
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Ni bandari tu hii
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 Жыл бұрын
Wakwanza araniwe jaji ambaye ameamua Tena hiyo keshi.jamani hii tz gani .ndio ire ya Nyerere kweri
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 11 ай бұрын
Hivi hawa mawakili wa upande wa serikali wanasimamia haki au uonevu
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Ni hakimu au Jaji?
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Жыл бұрын
Sna maana mbaya ila watawala jitafakarin, Iv madeleka n mtu wa kulindwa na askar weng kia's hicho Utazan jambaz sugu flan iv lnaletwa mahakaman, Jmn eb tubadilike hii nchi ya aman haya mambo hayana maana kbisa, Tunapoteza muda, code za wananch kwenye vtu vsivyo na msing, Kwan madeleka ana fujo gan znazoweza kumshinda askar Mmoja wa kawaida tu, Viongoz badilishen haya mambo
@Missionary_work
@Missionary_work Жыл бұрын
Nilipomuona Mwabukusi nilijua kutaifisha Bandari sio uhujumu uchumi, Kumbe tunawasomi waj inga Sana. Like tuwai.
@hassanbaoma8798
@hassanbaoma8798 Жыл бұрын
Namuona hapo mwamba mwabukusi
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Kwanini madeleka hajaachiliwa? MUNGU atusaidie😢😢
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Kwa nini watuhumiwa huwa wanapenda kuchekacheka kortini..unafuraha gani kuwa hapo?
@mariosigala8760
@mariosigala8760 Жыл бұрын
MUNGU hajawai muacha mtu mwenye haki.
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Ccm wamesahau kua Mungu yupo na wamejifanya Miungu mwisho wao uko mwishon
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Hii ni hila ya serikali kutokana na madeleka kuupinga mkataba wa DPW
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 ай бұрын
Mwacheni huru Peter madeleka inatosha Sasa Rais Samia huoni Haya mbona Upo kimyaa
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Hakimu hajiamini mpaka aulizie Kwa mkuu wake hi inaonyesha jinzigani mahakama zetu hazikohuru
@sweetbertkikarugaa8814
@sweetbertkikarugaa8814 Жыл бұрын
Huo ni huuni wakuzima swala la bandari,,
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h 11 ай бұрын
Waelimisheni hao askari hawajui Sheria jamaniiii. Unaweza Kuta alimaliza darasa la Saba na kupigishwa kwata mguu pande mguu sawa😂 halafu akaambiwa utakuwa askari magereza😂😂,😅
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 11 ай бұрын
Madereka Mungu yuko upande wako watanzania tunakuombea usiogope waovu hawajahi kushindana
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Haki jinai Bado tupo na Safari ndefu saana. Wakili wa serikali anasema kosa halina dhamana tayari serikali ina milioni 2 za mtuhumiwa
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Жыл бұрын
Huwa kuna mambo yanakera kwa asili yake
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino 24 күн бұрын
Hii ndo afrika watu kama madeleka ingekua ulaya angetumiwa na selikali za uko ulaya lakini uku afrika ukionekana unaakili unakua adui wa viongozi
@winepreneur7329
@winepreneur7329 Жыл бұрын
Nchi Ina laana hii
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Жыл бұрын
Yan nyie waendesha mashtaka mnavo waonea wtu mjue Mungu ana waona malipo n hapa hapa mna shindwa kuakamata wanao ihujumu nchi kwaku uza bandar mnakamata wasio na makosa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Umeona eee
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 118 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
NANE NANE: Why Raila-Ruto Alliance means TROUBLE
17:09
Herman Manyora
Рет қаралды 18 М.
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1
20:59
Busokelo TV
Рет қаралды 47 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН