WAZIRI SILAA AINGILIA KATI SAKATA LA MAMA ALIYEDAI KIWANJA CHAKE KUCHULIWA MKOPO BENKI BILA KUJUA...

  Рет қаралды 9,872

Global TV  Online

Global TV Online

10 күн бұрын

WAZIRI SILAA AINGILIA KATI SAKATA LA MAMA ALIYEDAI KIWANJA CHAKE KUCHULIWA MKOPO BENKI BILA KUJUA...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati sakata la kiwanja no. 141/40 kilichopo Ananasifu Kinondoni jijini Dar Es Salaam kilichoachwa na marehemu Abrahamu Isac Mdamo baada baada ya kutokea sintofahamu ya kiwanja hicho kudaiwa mkopo na benki ya NMB kiasi cha shilingi milioni 200 uliochukukiwa na Bwana Michael Mwanda ambaye alikuwa mtu wa karibu na marehemu inadaiwa alifoji nyaraka na kuchukulia mkopo katika benki hiyo na baadae msimamizi wa mirathi Bi. Zainabu Bungire kuitwa benki kwa ajili ya kutakiwa kurejesha mkopo huo.
Aidha Waziri Silaa baada ya kuona taarifa hiyo kupitia vyimbo vya habari alipitia nyaraka na kumuita ofsini kwake jijini Dar Es Salaam msimamizi wa mirathi ya kiwanja hicho ambaye ni Bi. Zainabu Bungire (Mke wa marehemu Abrahamu Isac) na kumtaka amuachie ili aliwasilishe kwa jeshi la polisi walifatilie kwakuwa kuna baadhi ya nyaraka ikiwemo cheti cha kifo kutofautina na nyaraka za murathi hivyo kuhitaji uchunguzi wa jeshi la polisi.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 55
@sebastianmwakulya8146
@sebastianmwakulya8146 8 күн бұрын
Dah mhesimiwa mungu akubarki kwa kazi kubwa
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 8 күн бұрын
Yaani nimefurahi sana kuona umejaaliwa kufika kwa dr jerry silaa huyu bwana atakusaidia ninaimani alhmdulillahi pole mama
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 8 күн бұрын
Mashaa الله imefika hapa, inshaa الله mambo yatakua sawa.
@djumakadege659
@djumakadege659 2 күн бұрын
MwenyeziMungu mzidishie kila la heri mheshimiwa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa.
@mackenzie8037
@mackenzie8037 2 күн бұрын
Sema Mheshimiwa kakabia juu sana 😁😁 eti mtu wake na wewe? Babu yao na hawa? 😁😁 Hongera sana Mheshimiwa Jerry Silaa.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 6 күн бұрын
Jamani vyeti kama vyeti vingi vinatumika feki wako watu wengi wanajua namna ya kutengenenza izo vitu hapo dar ila kama mungu akihitaji upate haki yako utapata ila itachelewa.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 3 күн бұрын
Ipo hivi huwezi danganya serikali, unaweza kuwa na karatasi hata ya kutengenezea pesa na mashine, serikali inakuja kukukamata kwenye namba tu za pesa hazitakuwa sawa, hivyo hata fake unaweza tengeneza vyeti kama og, ila kumbukumbu ndio changamoto.
@toshindugwa1085
@toshindugwa1085 5 күн бұрын
Huyo mama huo ni mchepuko wake inavyoonekana maelezo yake huyo mwamba katumia oppotunity
@ibrahimdaudi5823
@ibrahimdaudi5823 8 күн бұрын
mama unaleta uswahili kwenye mali unampa mtu hati.kirahisi tu
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 8 күн бұрын
Hao ndio wanawake,ndiomaana Mh alimwambia kimtego ukaribu huo wa aina gani,kwani ni babu yao na akina hawa yani Dotto,mana ni ujinga,kwani wizarani hupajui mpaka umkabidhi mtu hati kiholela
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 8 күн бұрын
Wanawake ni dhaifu
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 8 күн бұрын
Sema bwana jambo likiamua kukutokea linakutokea tu haijalushi ww ni nani af baada ya hapo ndo akili inakujia kwann nilifanya hivi
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 8 күн бұрын
Pore sanaa kaka jerry slaaa tunaona utendaji wako uliyotukuka mungu akulinde
@SaidKinyota
@SaidKinyota 8 күн бұрын
Mungu atambariki Dr slaaa
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 7 күн бұрын
Ni kijana mdogo lakini Mungu amemua Mhe Jery hakika wewe ni Daudi Mungu akubariki sanaa
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 8 күн бұрын
Huyo Mama inaonekana alikuwa mtu wake huyo chalii
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 8 күн бұрын
@@unjuusalvatory5331 Mimi mwenyewe nimesha tia shaka.
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 8 күн бұрын
Inavyoonekana
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 7 күн бұрын
Sawa Lakini Ndio Alete Ujanja Ujanja.
@marrypius576
@marrypius576 4 күн бұрын
Wew ndo uliwakutanisha kweny mambo yamaan usilete usenge hapa
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 4 күн бұрын
@@marrypius576 kumalamamako unaleta shobo
@Nuru9568
@Nuru9568 8 күн бұрын
Nmefurah sana kuona uyu mtoto Dotto kukutana na waziri Silaaa
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 8 күн бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa kwa kazi unayofanya na umakini wa kusikiliza.
@marygregory7566
@marygregory7566 3 күн бұрын
Inaonekana kweli amefoji Kwanini barua nyingi za kuomba hati zilikataliwa hapo ndo harakati za kufoji zilikuwa zinaendelea
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 4 күн бұрын
Huyu mama atakua alipewa mgao kidogo kwenye mkopo😂😂😂
@modestakilumbo7666
@modestakilumbo7666 3 күн бұрын
Asilimia 100
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 6 күн бұрын
Jerry mungu akutunze baba🙏🙏
@SaidKinyota
@SaidKinyota 8 күн бұрын
Dr slaaa kura yangu ya huku ujinga nakupa tena mapemaaa
@hanifamziray277
@hanifamziray277 8 күн бұрын
Hy ni bonge la tapeli khaaa amejua akajua tena slaa mungu akubariki sn
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 7 күн бұрын
Mungu akupe faraja wazili kutetea wanyonge
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 4 күн бұрын
Hongera waziri🎉
@janifajani8875
@janifajani8875 8 күн бұрын
Inshaallah namm najiandaa kukamilisha makaratasi yangu najuwa haki yangu nita ipata
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 8 күн бұрын
Mngu akulinde mh waziri na mh mama yangu mh raisi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 8 күн бұрын
HATARI SANA HAWA MATAPELI....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU KUPITIA KWA MH. SILAA AKUSAIDIE WEWE NA WATOTO WAKO.
@maimunahemedi6491
@maimunahemedi6491 4 күн бұрын
Huyo mwizi achkuliwe hatua kali, wako wengi hawa matapali, wanawsonyanyasa wenye mali
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 күн бұрын
Vp kuhus yule mama wa manzese cjui vile anaelala nje ?😢
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
Safi sana mkuu
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 7 күн бұрын
Tangu Zamani Baadhi Yawatu Walikuwa Wakiamini Nawalikuwa Siwaaminifu Kwa Siwaadilifu. Kwa Nyakati Zetu Ndio Kabisa. Wamaaminifu Wamebaki Wachache.
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 8 күн бұрын
swali cheti cha ndoa amekitoa wapi?
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 7 күн бұрын
Dr Slaaa kweli wakili msomi, anasikiliza kwa makini.
@lwakainaza
@lwakainaza 6 күн бұрын
Slaa ni waziri mwenye roho ya utu, msikivu na mwenye busara.
@janifajani8875
@janifajani8875 8 күн бұрын
Uaminifu kuwaamini watu zetu wakarbu una tuumiza sana😢😢😢😢
@khadijamasele9005
@khadijamasele9005 4 күн бұрын
Dunia imeisha watu hawana utu
@khalifakyabitara4761
@khalifakyabitara4761 5 күн бұрын
Dr silaa unashati moja tuu au zipo nyingi lkn rangi na dizain moja?
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 8 күн бұрын
mbona kama kuna kizungu mkuti hapa
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 7 күн бұрын
Huyo bibi nae unawezaje kumuamin mtu ukampa hati ya nyumban, Kuna uongo hapo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Күн бұрын
mwamba alikua ananyoosha mgongo hapa sio bure
@JuniorNyamatwi
@JuniorNyamatwi 4 күн бұрын
Huyu mama anapewa ulinzi Gani ili kutunza ushahidi?
@selemankindamba9485
@selemankindamba9485 6 күн бұрын
Kwaharaka minaona kama uyo mama na tapeli walikuwa wapenz
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 7 күн бұрын
😅😅😅😅jerry ameisha juu bdo anaendelea kumjaza kwnye mfumo.
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 8 күн бұрын
Mhhh
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 7 күн бұрын
Mimi namkubali.jeri.silaha na makonda makufuli.ndogo.
@user-we7jq1rj9u
@user-we7jq1rj9u 8 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 7 күн бұрын
Hakuna mwanamke mpumbavu kama huyu duniani, unatoa vipi hati kwa sababu eti umeishi vizuri na watu? Jinga kabisa hili mama, kuna vitu watanzania sisi kaaaa hivi unashindwa kubadilisha hati mwenyewe unampa mtu? Kweli
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 31 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 49 МЛН
WAZIRI SILAA AUVAA MGOGORO WA ARDHI MAPINGA
5:48
Daily News Digital
Рет қаралды 407
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 31 МЛН