RAIS RUTO AULIZWA KUHUSU MTOTO wa MIAKA 12 ALIYEPIGWA RISASI 8 KWENYE MAANDAMANO - AJIBU...

  Рет қаралды 14,489

Global TV  Online

Global TV Online

3 күн бұрын

RAIS RUTO AULIZWA KUHUSU MTOTO wa MIAKA 12 ALIYEPIGWA RISASI 8 KWENYE MAANDAMANO - AJIBU...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 44
@abusalmaabdullah2093
@abusalmaabdullah2093 16 сағат бұрын
Initially i was in total agreement with rest of the kenyans who thought the president was lying but now i have realized that he is right in most of what the president says is TRUE
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 Күн бұрын
uyu ruto Yani anaona kua raisi basi anadhani kutawala adi watu umu kenya anaweza fanya lolote Aki wewe ruto utalipia kila ulilo lifanya
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Күн бұрын
Ruto una Mali nyingi sana wakenya watachukuwa yote na kufugwa nimeota Niko Tz
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 2 күн бұрын
Who is interviewing who? Mr President, it is clear that situation is out of hand unfortunately.
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Күн бұрын
Nchi yako iko kwenye mfadhaiko mkubwa na ww uko hapo unastarehe na kukunja nne, kweli ww ni mtu mwenye moyo mbaya kweli kweli
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 2 күн бұрын
Magaidi wa Haïti wana anza kusema kwenye mitandao kua wata wachoma polisi wa Kenya walio kwenda kwenye nchi yao
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 күн бұрын
Mhe Ruto Nchi inapitia wakati mgumu waache Polisi wakusaidie kutuliza ghasia, haya mambo ya kuiga wakina Biden kuita waandishi wa Habari sio poa , Waite baadae kukishatulia , Wakenya wameamua kuiharibu Nchi Yao na wewe umekula kiapo kulinda raia wema na Mali zao, ukianza kuita hizi media kukuhoji zitakuchanganya , wewe ni Rais halali kwasasa Ungekaa kimyaaaa hadi Polisi watakapo maliza hizi kadhia
@sankofaman4112
@sankofaman4112 Күн бұрын
Wafkiri ni rais wa Tanzania? Kenya inaongozwa na katiba na rais sharti aeleze nchi kwenye vyombo vikuu vya habari kila kunapotokea jambo. Vyombo vya habari vya Kenya vina uwezo ki katiba kumuita rais interview, sio yeye aliyewaita.
@sankofaman4112
@sankofaman4112 Күн бұрын
Halafu ujue wa Kenya wanatengeza nchi yao, anayeharibu nchi ni yeye. Pia rais wa kenya hana mamlaka juu ya polisi. Kenya police is a service, not a force, na polisi ukiua unakwenda mahakamani mwenyewe, sio rais. Wewe tulia uangalie tu. Kenya hata ikibomoka Tanzania tutakuja kuwakuta hapohapo tu mkipiga mark time.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Күн бұрын
Mmmmmmmmmhhhhhhhhhhh poleni sana ila wanaoumia ni wafiwa yaani wajane yatima n.k​@@sankofaman4112
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 17 сағат бұрын
​@@sankofaman4112😂😂 sisi maroboti wanatufanya watakavyo
@hateemmerj6020
@hateemmerj6020 2 күн бұрын
Ruto muongo sana yaani mtu awapokonye askari bunduki halafu aue raia badala ya police??wewe acha kutubeba ufala
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju Күн бұрын
Hivi ninyi hao askari mnawachukulia kua ni miti mnawapiga mawe wao hawana uchungu?
@eunicemulaa939
@eunicemulaa939 Күн бұрын
He's not even sure who he's talking about, and yet goes on to explain....
@VanessaMatti
@VanessaMatti Күн бұрын
​@@CharlesSomeke-ml7juusitumie hii akili kuvuka barabara ukiwa busy
@sabihasalim942
@sabihasalim942 Күн бұрын
Good question !!!!🇬🇧👍🏽
@johnlobuin4212
@johnlobuin4212 Күн бұрын
​@@CharlesSomeke-ml7ju If it is a rivalry, then the citizens too be armed and go with police in a range competition.
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 Күн бұрын
hv hawa lugha yao ya taifa ni kiswahili lkn wanakuwa watumwa hongra Uhuru Kenyata
@eliahmahega5639
@eliahmahega5639 Күн бұрын
Kingereza na kuswahili.....tanzania tu kiswahili ndio lugha ya taifa pekee
@elnorahmjomb1896
@elnorahmjomb1896 Күн бұрын
Mungu sijui tunaongozwa na mtu wa aina gani
@VanishMoraa-iu3om
@VanishMoraa-iu3om 4 сағат бұрын
Uongozi mbaya
@user-tx6nz4up5h
@user-tx6nz4up5h Күн бұрын
Afadhali hata Ruto anakubali kuulizwa maswali
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Күн бұрын
Mmekunja 4 hapo kwasababu mnaraha, Hujali kabisa wananchi wako walioteketezwa na ambao wako Hosp
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 Күн бұрын
Huyu ruto hayuko SAWA kiakili kwa sasaa kutokana na majibu na muonekano wake
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Күн бұрын
Yani hyu jamaa mungu pekee ndio atake mtosha tu
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 Күн бұрын
Your Ruto no longer who you're 😂
@sponsor7882
@sponsor7882 Күн бұрын
wanandi roho ngumu sna kama sura zao
@kevinoyile2663
@kevinoyile2663 Күн бұрын
Still calling people criminals
@TitusMutinda-e5w
@TitusMutinda-e5w Күн бұрын
😂very bad
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 күн бұрын
huyu Rais wa Kenya apewe muda tuu. ameshaskika malalamiko ya nchi yake kimatendo ss anaenda kutekelezwa. ila nmeskia huo mswada unamambo mengine makubwa kweli kwaajili ya nchi jirani na kama yakiteelezwa Kenya inaenda kuwa nchi yenye mafanikio sana
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 2 күн бұрын
Ila kutimia ndio ndoto sisi ndio tunamuelewa raisi wetu vyema ni muongo😢
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 күн бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg jmni thats a strong statement jirani..kweli useme Rais ni muongo?
@alisoncarol8504
@alisoncarol8504 Күн бұрын
​@@jedidahbintidaudi8241kama ni ukweli usisemwe? Alaa!
@alisoncarol8504
@alisoncarol8504 Күн бұрын
​@@jedidahbintidaudi8241ukweli lazima usemwe..alaa
@alisoncarol8504
@alisoncarol8504 Күн бұрын
​@@MwanatumuJumaa-rj4fg100 percent
@allynassoro8448
@allynassoro8448 Күн бұрын
Wacha ujinga ushauri kapeke kwenu Tz kamshauri samia
@aginiweyessayakyando5594
@aginiweyessayakyando5594 Күн бұрын
Watanzania tunasikitika Sana kwa Mambo yaliyotokea Kenya🇰🇪🇰🇪 Lakini Rais wetu wa Tanzania🇹🇿🇹🇿 Muache kbs usituingize kugombana na nyie. Na Sisi tunayo yakwetu Leave us alone
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 81 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН