CHAMA cha WANASHERIA TANGANYIKA WAMKANA ALIYEJITOKEZA kwa RC MAKONDA na KUTOA MSAADA wa KISHERIA...

  Рет қаралды 26,841

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

CHAMA cha WANASHERIA TANGANYIKA WAMKANA ALIYEJITOKEZA kwa RC MAKONDA na KUTOA MSAADA wa KISHERIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 134
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Ай бұрын
Mimi naona ni mwanasheria wenu bana😂
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga Ай бұрын
Ameumia hakuitwa mbele ya nabii Makonda 😂
@alexlyimo122
@alexlyimo122 Ай бұрын
Hahahhaa kweli kabisa
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Kwa nini kesi iendeshwe Kwa kiswahili ushahidi Kwa kiswahili hukumu iweje itolewe Kwa kingeleza?
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Ай бұрын
Makubwa!alivyovamia maiki nyie mlikuwa wapi uyo ni mfanyakaz wenu mnakataa tu .mi nimempenda alikua jasir nyie mlimuogopa makonda big up kwake
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Kifupi kwa mimi ningeoma bora zaidi sheria zetu na masomo yetu yafufundishwe kwa kiswahili kingereze iwe kama ziada sasa nchi nyingi zinajifunza kiswahili mbona tunazarau ruhga yetu na tunatukuza lugha nyingine ni ujinga mtupu
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Ай бұрын
Hii ndio ile ya doctor shika kupiga mnada hana hata mia 😂😂😂
@kevinoisso3174
@kevinoisso3174 Ай бұрын
Mbona mnamwangusha classmate wangu M/chai sec 2020
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 Ай бұрын
Wengi wao Tanganyika law society wako kama huuo jamaa tatizo hawaja bahatika kuanikwa mitandaoni kama ilivyotokea bahati mbaya kwa huyo jamaa kuanikwa yule jamaa inaonekana kiengereza sifuri lakini maelezo yamenyooka
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Issue sio kumtambua issue ni je amepotosha? Hapo mnataka pesa tu sio uzalendo.
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Ай бұрын
Ivi angefanya vizuri mngemkataaa😂
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
Hawezi hata kusoma. Sio kumkataa, hata form 6 hajamaliza. Labda kama na wewe hujasogea sogea ndio unaweza ukaona ni kawaida. Sio kawaida!!😅
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Ай бұрын
Yeye mwenyewe chenga😂😂😂😂 hajui lugha.
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o Ай бұрын
Dah wanamkana bcos acent yake ya kimombo ni mbovu mno yaani kama huyo ni wakili ndio maana tz tuko nyuma
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 Ай бұрын
Sio ascent bana hajui kusoma kingereza bana.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Huyu ana Lafudhi isiyo vutia tu, ila ni mwanasheria wenu bhana😂😂😂
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
Hapana, huwezi kusoma.mpaka ukawa Lawyer alafu unasoma hivyo! Labda kama wewe hujui system ya Elimu Tanzania
@tumainmkonyi8459
@tumainmkonyi8459 Ай бұрын
Mbona alieleweka kijana nimsomi Ila ulimi au anashida kidogo Ila yupo sawa
@loningoletayo8453
@loningoletayo8453 Ай бұрын
Hujaplay fair mbona side 2 hujamuhoji
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 Ай бұрын
We unatupgia kelele tu sion cha maana hapo,, RC alisema watu wa Law society watupe usaidizi hapo,, ulitaka akupgie simu huko uliko uje,, kwa nn hamkupeleka mwanasheria pale pale... Toka bhna unasumbua watu tu hapo
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga Ай бұрын
Hana hata la maana bwana yeangrtuambia km mpalamikaji hakua na haki au si kingreza chann?
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Ай бұрын
Kwa mimi huku Canada naona wote wawili kizungu chao ni Africa English
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
WA kwanza si kama huyu Mwanasheria.! Rekebisha kauli yako!
@thespaniardinme
@thespaniardinme Ай бұрын
*African English, na si 'Africa English' 😂😂😂
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz Ай бұрын
@@thespaniardinme Ndo hayoooooo 😅😅😅😅😅😅😅
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Ай бұрын
Kwanza aibu sana sana
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Kingereza kichafu😢😢😢
@mushumbaeric4916
@mushumbaeric4916 Ай бұрын
Mmeanza figisu wanaharamu nyinyi sawa yeye siomwana sheria nanyinyi wanasheria mbona amjajitokeza kusaidia wananchi hivi nyinyi kama amuogopi Mungu huogopa wazazi wenu waliwasomesha msaidie jamii leo ndio mnakua waalifu wa kutetea hualifu
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
Moja kwa Moja huyo aliyesoma sio Lawyer. Sio hata graduate wa Chuo Kikuu! Hajamaliza hata form 6.
@gracekiwelu8869
@gracekiwelu8869 Ай бұрын
wacheni bana Anatatizo kidogo kwenye ulimi jamani Ila kijana yuko sawa❤
@JosephuSwai
@JosephuSwai Ай бұрын
Tanzania kumbe Kuna vijana smart sana kama huyu wakili
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje Ай бұрын
Ila HARMONIZE bwana
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 Ай бұрын
Ze point
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Ай бұрын
😂😂
@user-eq2xn9rb2r
@user-eq2xn9rb2r Ай бұрын
Yan nimecheka kama mazuri. Tanzania hauwezi kufa na stress bundle tu.,😂😂😂
@alexlyimo122
@alexlyimo122 Ай бұрын
Mmh Sheria yake ni ya wasiwasi sasa huyu akienda mahakaman kweli anaendeshaje kesi aseee
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Ай бұрын
Why kizungu bado kina tawala sheria za hii nchi wakati aslimia 98 hawajui hicho kizungu, miaka sitini bado mmetawaliwa tuu
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 Ай бұрын
Sasa shida yako ni nn? Kasoma maandishi na yame eleweka kwani alitoa hukumu pale,, unajifanya msomi sasa simngekuwepo pale,, uko unazunguuka zunguuka tu kwenye kiti
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju Ай бұрын
Huyo hakusoma"muelewe chuo cha sheria masomo yanaendeshwa kwa lugha ya kiingereza
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 Ай бұрын
hivi huyu mwamba alipigaje hapa?
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Ай бұрын
Yani hata mtoto wangu anasoma vema
@JoshuaMusukwa-kq4ll
@JoshuaMusukwa-kq4ll Ай бұрын
Pole mzee huo ni.ufisadi mtawezaje kumpa maick Mutu .kama si mwana sheria hiyo ni poloji pole sana mi.niko.zambia
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga Ай бұрын
Atujibu tu yule mlalamikaji anahaki au hana haki,sihatutaki kujua km yule alisoma vby au vp
@georgemahenge
@georgemahenge Ай бұрын
Hicho nikingereza!au kisukuma
@user-oz6zp8fr1c
@user-oz6zp8fr1c Ай бұрын
Kwa kweli wa somi hawa wa sasa wanatuangusha/wanatuaibisha sana. Hata kiswahili tu wanaharibu.
@faridahalil4456
@faridahalil4456 Ай бұрын
Huyu kasomea wapi???? What type of English is this???Bora hata ange elezea kiswahili😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KIZUNGU KAMA BATA ANAHARISHA 😂😂😂😂😂 JAMAMMANIIIIII WAKILI KWA UMOMBO 😂😂😂
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u Ай бұрын
Kazi ya chama Cha wanasheria Tanganyika ni ipi?
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 29 күн бұрын
mbona kama unatangaza mpila😂auna jipya unapiga kelele
@henry1933
@henry1933 Ай бұрын
Aahhhhh acheni kumkana mwana bwana
@D7Nix
@D7Nix Ай бұрын
Acheni ubabaishaji
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Mbona siioni Logic..
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KISUTI MTUMBA MZUNGU MATOPEEEEEEEE 😂😂😂😂😂😂 KWANI KALAZIMISHWA ASOME????
@hassaniabdi3991
@hassaniabdi3991 Ай бұрын
Majanga ayooo
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Ай бұрын
Waongo ni mwenzao
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 Ай бұрын
Wakili kizungu yamlemea
@LinusiMeza
@LinusiMeza Ай бұрын
Hiiii!!! Wacha banaaa!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Ай бұрын
Duu kumbe mi niljiuliza hii imekaa je anatatizo la 👅 au ndo hivo
@cavoo4get649
@cavoo4get649 Ай бұрын
Mimi naona ni mwanasheria wenu bhana 😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kadilamore802
@kadilamore802 Ай бұрын
Kidhungu ilikuja na meli ..huyo kaka ni msomi
@user-py9sr5zx4v
@user-py9sr5zx4v Ай бұрын
Kingereza bwana😂
@kutailass6671
@kutailass6671 Ай бұрын
Hakijawah muacha m Tanzania Salama
@user-eh5fw5gj4c
@user-eh5fw5gj4c Ай бұрын
Nilichogundua jamaa yuko smart tu Ila ni matamshi tu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Mwanasheria anapaswa kuwa mbobevu wa lugha hasa hizi za kigeni, English.
@theonewrld
@theonewrld Ай бұрын
Ukweli mgumi ni lwamba Kolumbas wew ni mwandishi mkubwa sana, unauwezo mkubwa dana, siku moja utaamini hiki nisemacho.
@upendoshirima1704
@upendoshirima1704 Ай бұрын
Asikate tamaa nimeipenda ila pia anaoneka anakigugumizi ya kuongea lathin yake ana kma mbulu hivi ilichangia kushimdwa ongea kingereza
@familytalks1
@familytalks1 Ай бұрын
Mbona huyu mwenyewe hajui hata hiyo english yenyewe anayosemea?
@reaganevral5258
@reaganevral5258 Ай бұрын
Wewe waku cunguze vizuri kabisa…masemi yako ina onekana uko mupinzani kisiri siri…lakini makonda ata kulogotatu jifanye mujanja kwenyi maneno yako……
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Mawakili utawajua ukisha walipa hela hawaonekani tena lisiti hawatowi washenzi tu ukienda kwenye chama Chao hamuna kitu
@bushbabytz
@bushbabytz Ай бұрын
HAKI KWELI SIO MWANASHERIA HUYO
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Ай бұрын
Wa vimemo hao
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Mtamkata ulimi huyu jamaaa😂😂😂😂😂
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Ай бұрын
Shida syo kusoma ila jamaa rafudhi ya kinyumbani ndo anayo ila kusoma anajuwa
@emmanuelpolle4922
@emmanuelpolle4922 Ай бұрын
Daa dogo umemkana 😂😂
@isackkivuyo1980
@isackkivuyo1980 Ай бұрын
Mawakili au wanasheria bila kuwa huna chchte mfukoni walahi unasubirishwa sana ila ni kwa baadhi yao
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Akili kuuubwaa!
@reganmartin5485
@reganmartin5485 Ай бұрын
Chukueni maamzi ya JPM kiswahili kwanza
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Ай бұрын
Sema ni maumbile wala sio ishu kivile
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju Ай бұрын
Advocate yenyewe kasema"advokote.
@user-hu3bz3lv7s
@user-hu3bz3lv7s Ай бұрын
Main problem we Tanzanian are not fluent in English who to be blame ?
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Watz hawalazimiki kuongea kiingereza katika shughuli zao za kila siku hivyo kukosa fluency wala hakushangazi.
@piusmaduka
@piusmaduka Ай бұрын
Nyerere
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 Ай бұрын
Kwani kujua kingereza ndo kuwa msomi? Mbona wakorea hawajui kingereza? Na kila kukicha mnazunguusha viuno huko? Tumcheke kama hajui kiswahili.. Kuku nyie mlo tawaliwa kifikra
@user-hu3bz3lv7s
@user-hu3bz3lv7s Ай бұрын
Tuwe tumejua kiswahili au tusikijue ukweli unabaki tulio wengi hatujui to speak good English ila wapo wanaoweza !
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Duuuu
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Wale wengineee
@lailaiza7288
@lailaiza7288 Ай бұрын
Yupo sawa kabsa
@MarygetrudeKyauke-hn8hi
@MarygetrudeKyauke-hn8hi Ай бұрын
Shida nn? Kama ameleza jambo vizur ww unataka afanyeje?
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys Ай бұрын
But lugha sio maarifa!
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Jamani ameeleza vizur Sema lafudhi yake tu.
@sashawambura
@sashawambura Ай бұрын
Tumbafu kabisa...kibogoyo wahed
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
ILIKUWA NI AIBU KWAKWELI AIBU KUBWA
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Ай бұрын
Jamaaa anarafudhi ya kimeru og
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 Ай бұрын
We mwenyewe mbona kusoma ujui
@rosemarykipesha3898
@rosemarykipesha3898 Ай бұрын
ATA hehe hajui kusoma Hilo neno linasomeka traibuno kweli?
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Ni traibyuno
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x Ай бұрын
ndomaana lisu alipata kuwa raisi woo,kumbe wako ovyoonamnahii,hapana hapahakunakitu changa lamacho,
@namsamson3443
@namsamson3443 Ай бұрын
😅😅😅😅
@afisamipango005
@afisamipango005 Ай бұрын
Kanso kama kanso😂😂
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Ай бұрын
Huyu ni kiio
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Ай бұрын
Duuu
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Huyu hata ningekua mimi ningemkana tu
@officialhansi4462
@officialhansi4462 Ай бұрын
Dah kingereza cha jamaa sjui kakisomea wap teach kala adaa 😅
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 Ай бұрын
Kasonea Kenyy😂😂😂
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi Ай бұрын
Mbona naye anasoma tuu kama yule? Wamuache kaka wa watu🥲
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Ай бұрын
Ha haaaaaaaa 😂
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x Ай бұрын
mmmmmhhhhhhhh hiiihapana ardi darasan
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 Ай бұрын
Huyo ni mlemavu wa mdomo hawezi kutoa matamshi kiusahihi hata kiswahili kinampa shida
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys Ай бұрын
Hata wachina hawaongei English.
@fauziaomar4661
@fauziaomar4661 Ай бұрын
Khaaa huyu atakuwa la 7 B
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Hata la 7 hamna hopo haaa haaa
@abuibra
@abuibra Ай бұрын
😂😂😂hio bwana ni English
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Ай бұрын
Maneno yaliyotumika humo magumu
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Mbona kama ngmbalu
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
😂😂😂
@LinusiMeza
@LinusiMeza Ай бұрын
Wanafanana,kidhungu!!!!!
@salimmoha7962
@salimmoha7962 Ай бұрын
Yuko sawa ila ni lafdhi tu ya ulimi wake
@victormbagga1821
@victormbagga1821 Ай бұрын
Kweli iyo ni lafudh tu
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Ila hata kiswahili jamaa haongei vizuri😢
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 119 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 26 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 55 МЛН
MAWAATHO YA BIACARA YA MÎRAA
6:32
WERU TV & FM
Рет қаралды 171
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
TV47 Kenya
Рет қаралды 3 М.
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 119 МЛН