MZEE MWENYEKITI ALIVYOWATOA JASHO WATUMISHI MBELE ya MAKONDA - WAPISHANA na KURUSHIANA MIPIRA...

  Рет қаралды 46,140

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

MZEE MWENYEKITI ALIVYOWATOA JASHO WATUMISHI MBELE ya MAKONDA - WAPISHANA na KURUSHIANA MIPIRA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 132
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@romanshirima5883
@romanshirima5883 Ай бұрын
Kwani huyu makonda hana ndugu zake wanaofanana kiutendaji tuwape mikoa yote ya tanzania bwanaa❤ huyu ni mtu wa maana kabisa❤
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
Tena wa maana haswa tunamuombea hata mama yake mzaa chema bila yeye tusinge mjua makonda au mwasemaj wangu wa faida
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 Ай бұрын
Kweli kabisaa
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 Ай бұрын
Tupo watupe hata wilaya tu
@khadija5761
@khadija5761 Ай бұрын
Kabsaa ni mtu wa maana kabsa
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Ай бұрын
Kabisa Yan rasta
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io Ай бұрын
MH MAKONDA UTAPATA TABU SANA WENGINE WANAPATA KAZI KWA WAGANGA SIO AKILI ZA DARASANI ,
@BimamuosmanOsman
@BimamuosmanOsman Ай бұрын
Rais Doctor mama Samia.mchungeni huyo mwenye kiting asije akauwawa ..mzee mwenye kiting ni nzee mwenye busara Sana hongera Sana Sana baba mwenye kiti ..makonda bro keep it up. Congratulations bro makonda &all. your team God will bless you 🙏.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Nakuombea kwa Mungu Shari zao ziwarudie mafisadi
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io Ай бұрын
YANI MWENYEKITI WA KIJIJI ANA AKILI KULIKO MKURUGENZI SI MAAJABU HAYA !
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 Ай бұрын
Asante sana Makonda , asante Mungu pia mama Samia kwa kumleta mheshimiwa Arusha
@AronJoseph-h8b
@AronJoseph-h8b Ай бұрын
Baba kegan mungu akulinde tunakuombea maana umesababisha nmependa na mm niwe kiongozi na nkiwa kiongozi ntakua nafwata nyayo zako
@user-gy6xz5xh3f
@user-gy6xz5xh3f 22 күн бұрын
Kaka Makonda Kzi Unao MUNGU Akulinde Kwa Nguvu Zke Amin
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 Ай бұрын
Tunakuombea mema mkuu Mungu akufunike kwa damu yake akihifadhi kwenye mbawa zake aukuepushe na mafisadi wotee
@dorcasmruma9001
@dorcasmruma9001 Ай бұрын
Mungu akupe hekima zaid mheshimiwa makonda yaan unajua uongozi na ww ni mpakwa mafuta wa Bwana
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Makonda nakuombea sana,yaani una maadui wengi sana
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
Umewaona wapi hao maadui zake
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be Ай бұрын
Maadui zake watakuwa watendaji wabovu tu ila wananchi wote wapendwa haki ni rafiki yetu
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Watanzania tunaibiwa sana nchi hii,makonda be blessed 🙏🙏🙏
@victaboy7273
@victaboy7273 Ай бұрын
Mwenyekiti , mzee yupo vizuri sana
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Huyu Mwenyekiti wa Kijiji hana cha kupoteza. Ametendea haki kijiji chake
@menelus911mene5
@menelus911mene5 Ай бұрын
Salamu nyingi Kwa Rais Samia pia namshukuru sana mungu pia nawashukuru wazazi wa Mh Makonda mungu awalinde sana mama Rais Asante Sana kwakutuletea mh makonda hana baya ana tusafishia nchi yetu Asante sana sana sana ❤
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Hivi hii nchi inamkuu wamko mmoja tu au mbona wengine siwasikii 😭😭😭
@JohnP-gl1ie
@JohnP-gl1ie Ай бұрын
Wengine wanafanya kazi usiku wa ma8 tukiwa tumelala
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
​@@JohnP-gl1ie😂😂😂wachawi
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Ай бұрын
Watakua safarini naona
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v Ай бұрын
​@@JohnP-gl1iembona kuna mda makonda anafanya kazi adi usiku na anaonekana vipi wao wanafanyia sehemu ambazo hazina network Wala waandishi wa habari 😂😂😂😂😂
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Keep it Makonda.
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Ай бұрын
Big up braza Manyigu umetisha wavimbishe manundu hao
@emmanueljackxon9759
@emmanueljackxon9759 Ай бұрын
Ifke sehemu tuseme ukwel makonda unapga kazi hakuna kitu huwa naumia Kama hawa mafisadi hawajui wananchi wanaptia shida gani watu wanakufa,wanapoteza matumain katika maisha kisa hawa viongozi wanaojari masirahi Yao binafsi makonda huwa napenda kukufuatilia sana yan mm viongozi nao wakubari hapa Tanzania ni wawili tu kwa Sasa makonda na msukuma wa geita
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 Ай бұрын
Walipe bei ya sasa hivi sio ile ya zamani tena
@sylvesterdonald7441
@sylvesterdonald7441 2 ай бұрын
Afisa biashara siyo competent,full stop.hii inatokana na kuwekana wekana kwenye nafasi,connection.
@HamdanKiangio-mw5mc
@HamdanKiangio-mw5mc Ай бұрын
Pole mkuu wa mkoa majukumu ni mazito pole mdogo wangu funga mshipi au funga kibwebwe funga zikaze maana hao ni maadui kwa wanachi na kwako pia mungu akubariki
@BOYKAJONATHAN243
@BOYKAJONATHAN243 Ай бұрын
Future president of Tanzania ❤❤love you makonda I'm from congo DRC My country needed someone like you makonda
@teddymosha1376
@teddymosha1376 Ай бұрын
Mungu akulinde siku zote za maisha Yako
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Ай бұрын
Dah aibu sana watendaji hawaelewi wanaongozaje sasa mbona kazi tunayo wananchi dah na Tanzania yote tupo Arusha😂😂😂😂
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn Ай бұрын
Kumbe ndio maana watu wanaviburi kumbe wezi wa kod zetu madako yenu
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Ай бұрын
Keep going in the name of Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏
@FanuelSira-pt7rv
@FanuelSira-pt7rv Ай бұрын
Kwa mwendo huu arusha itanyooka vzr mungu akulinde makonda
@obadiakimaro6375
@obadiakimaro6375 2 ай бұрын
Mkonda viva, tunaomba Mama mh. Samian tupatie Makonda wengine 20 nchi iwe na nidhamu
@user-gt5yd4no7c
@user-gt5yd4no7c Ай бұрын
Mwamba apewe uwaziri mkuu tu makonda
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Makonda ungeteuliwa mkoa wa geita, ndiyo ufisadi kinoma,
@denismalembeka1871
@denismalembeka1871 Ай бұрын
Mama Samia wewe ni mungu tu ndie amekupa uwezo wakumchagua mtu muhimu Sasa ktk ufuatiliaji wa wezi na wadhumaji wa haki za raia wako wema
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z Ай бұрын
Hii arusha baadhi ya watumshi wazurumati ndo maana kila kukicha mabalaa hayaishi
@teddymosha1376
@teddymosha1376 Ай бұрын
Hakuna maadui Kwa jina la yesu mungu huko upande wako
@irenembise541
@irenembise541 Ай бұрын
Nacheka Kama mazuri 😃😃😃
@DenisMafie-lc7io
@DenisMafie-lc7io Ай бұрын
Kweli mama Samia ajakosea kukuteta arusha mungu akutumze
@deusisindwa616
@deusisindwa616 Ай бұрын
Kiukweli nchi hii inawezi wengi sana
@SeifMboton-gi3vz
@SeifMboton-gi3vz Ай бұрын
ww brathar unatakiwa kua mkuu wanch kikwel upo vema mungu akulinde San akuipushe nawatu wabaya dunian linguine kama kunauwezekano kwann nawangune watumishi wasiwe kama uyo mungu anakuona San ww atakulinda na wasiokukibal
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Ай бұрын
Wakti unakuja uhai ukiwepo,, hata hayati Magufuli alipitia sehemu mbalimbli mpaka akaitwa mbwa mwisho wa yote alikuwa Mkuu wa nchi,, hata Yusufu alikaa sana mpaka siku ya kuinuliwa ilipofika,, kama tunaona kwa macho ya nyama anatufaa basi tumuombe Mungu wakati ukifika amfanye kuwa mkuu wa nchi
@NaomiAlute
@NaomiAlute Ай бұрын
Makonda mungu akuweke
@Amageneousmedia
@Amageneousmedia 2 ай бұрын
Dah Arusha wananyoooka bwana
@user-vt1dx7gr2j
@user-vt1dx7gr2j 26 күн бұрын
Anasita kwasababu anajua zinapatkana zaidi
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Yani hapo ni Arusha tuu. Vipi huko mikoa mingine? Kweli nchi hii haina watumishi ila wezi tuuu, Makonda wengine tuwapate wapi jamani??
@jacksonmagola1824
@jacksonmagola1824 Ай бұрын
Uyu mwenyekiti namjuwa ni nomaa
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Makonda makonda ❤❤❤❤
@Saiddoti
@Saiddoti 18 күн бұрын
Huyu mweshimiwa makonda nitamuomba MH.RAISI WAJAMUHURI YA MUNGANO TANZANIA MWAKA 2026 AMTEWE KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MAANA ANACHAPAKAZI. KWA UADILIFU WANANCHI WANAWATAKA VIONGOZI KAMA HAYU MAKONDA
@JanethMollel-wk5th
@JanethMollel-wk5th Ай бұрын
Mbona imefananafanana na ya kwangu.
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 Ай бұрын
Haya semeni tena unyanyasaji wa jisia
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 Ай бұрын
Makondo fanya kazi baba!
@FrankGeorge-i1z
@FrankGeorge-i1z 9 күн бұрын
KAZI NZURI MUNGU AKUPE MIAKA TUUU TUYAONE YARIYO JIFICHA NINGETAMANI UWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 Ай бұрын
Tatizo vyeo vya waganga wakienyeji ndio waga vinawasumbua viongozi nakumferisha rais.
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Ай бұрын
Ht wakuwinde je lkn mungu alie juu ndo mlinzi wako sibidam
@georgemwakalindile687
@georgemwakalindile687 Ай бұрын
Kwani Makonda hawezi amishwa kila baada ya miezi sita? Sita tu inatosha kila mkoa...kwa mikoa tulio nayo mbona baada ya miaka 10 hatuta angaika kumpa uraisi? Yani kwa mara ya kwanza rais atatoka kwenye cheo cha mkuu wa mkoa.....
@bekatv1009
@bekatv1009 Ай бұрын
Makonda mtuletee huku kenya😅😅😅mtu wa maana kabisa
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 2 ай бұрын
Udhaifu wa CCM rushwa tupu
@princhiuskalogosho1804
@princhiuskalogosho1804 Ай бұрын
Huyu Makonda ndo anatakiwa kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania
@irenembise541
@irenembise541 Ай бұрын
Ofisa biashara 😃😃ameyatimba
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Ай бұрын
Natamani makonda Aje morogoro
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 Ай бұрын
Hao chori kweli
@kareem1182
@kareem1182 Ай бұрын
Makonda makonda makonda Nimekuita mara 3
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 Ай бұрын
Makonda nimtu nanusu
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Katika serikali yetu viongozi ni wawili tu waziri silaa na makonda hao wengine mmmmmm
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Makonda unafaa nafasi ya uwaziri wa ardhi au PM
@user-vg9bu6zv8v
@user-vg9bu6zv8v 2 ай бұрын
Mpaka mseme na mtasema
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 Ай бұрын
Mtihani kwakweli 😂😂😂
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Ай бұрын
kwa nini hao watendaji mafisadi na wababaishaji wasiachishwe kazi na wengine wapate ajira tuwaoneeee
@BonifacseverianOfficial
@BonifacseverianOfficial Ай бұрын
Mdogo wake na makonda aji achukue mkoa wa kigoma
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Wakurugenzi kuvaa mapete ni uchawi au maana hata wa jiji anazo za kutosha
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Ай бұрын
Makona hamia chadema tukupe uwaziri mkuu 2025 mwezi wa 11
@riazshaikh8577
@riazshaikh8577 Ай бұрын
Kapiga kweli hela huyo, mpige chini huyo
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 Ай бұрын
MUNGU yupo na makonda mtu wa maana kabisa
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Ай бұрын
Huwa wanataka wawape pakujifichia, hivi vyama
@peterkabeke362
@peterkabeke362 2 ай бұрын
MAKONDA
@user-vt3uq3xv3s
@user-vt3uq3xv3s Ай бұрын
Maiki yamoto😂😂😂
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 Ай бұрын
Yaani nisawa uwambiwe lete fimbo nikuchapie duh
@muhammedkaku9972
@muhammedkaku9972 Ай бұрын
asalam aleykum warahamatullah wabarakatuh kwanza tumshukuru sana mwenyezi mungu kumpa uono wa kumrudisha makonda kwenye uongozi tunaomba mungu amrinde na watu wenye mioyo ya kishetani kuua wenzao pale wanapo sismamia haki za wanyonge ombi langu kwa rais rudisha Ali Hapi kwenye ukuu wa mkoa akasimamie haki za wanyonge km makonda hawa vijana ni majembe kweli kweli Samia mama yangu wewe na marehemu magufuri muliwateua hawa vijana hamukukosea kbs
@RosemaryJoshua-i1u
@RosemaryJoshua-i1u 9 күн бұрын
mwanasheria apishana na mkonda
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Ай бұрын
Huyo Ded kamuongopea RC
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Huyu mzee alindwe
@teddymosha1376
@teddymosha1376 Ай бұрын
Asante makondo
@RaphaeliSamweri
@RaphaeliSamweri Ай бұрын
Piga spana mbaka wanyooke
@princhiuskalogosho1804
@princhiuskalogosho1804 Ай бұрын
JPM tunaomba afufuke
@josephminja7953
@josephminja7953 Ай бұрын
Watanyooka tu mh
@lululivingstone8298
@lululivingstone8298 Ай бұрын
Umenipata
@ChristopherMgoli
@ChristopherMgoli Ай бұрын
Kimewaka
@user-zn4fw9cl1g
@user-zn4fw9cl1g Ай бұрын
Fukuza
@josephminja7953
@josephminja7953 Ай бұрын
Milioni 7 kwamwezi bado wananchi hawapew kitu wizi mtupu
@samweli7985
@samweli7985 Ай бұрын
Siyo miliyoni 7, ni miliyoni 28. Kwamwezi ni milioni 7, kwawiki
@fredrickkomba7545
@fredrickkomba7545 Ай бұрын
Iyo mil 7 n Jmos Moja Ya wiki sio Kwa Wiki 4
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q 2 ай бұрын
Kwann wakurugenzi wengi ni wanawake kuna siri gani hapo
@alexrwezaula8857
@alexrwezaula8857 2 ай бұрын
Apo mama ndo anapo kosea kutaka haki sawa nisawaa ni mama zetu ila Kuna sekta ahh bado mama ana taka tuwe sawa ila sio kwei
@mwalimulossilamsuya1944
@mwalimulossilamsuya1944 2 ай бұрын
MIMI NAONA KWA UELEWA WANGU MDOGO KUNA SHIDA HAPA....NA NI BORA MASWALI LENGINE YASIJIBIWE KWANI YANAWEZA KUZAA MKANGANYIKO..HALAFU HII KITU INAJENGA UADUI MKUBWA KATI YA WANANCHI NA WATUMISHI..HII MAMBO KIUTENDAJI SIO SAWA ILA KISIASA NI SAWA...
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 2 ай бұрын
Ndyo walewaleeeeee
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 2 ай бұрын
Makonda yupo kwa kazi moja tu, KUDHOOFISHA NGUVU YA UPINZANI ARUSHA.. kupitia hadhira hizi na kujifanya anasikiliza kero za wananchi... anayetengeneza matatizo yooote haya ni nyumba ya mama yake iliyomuqeka yeye kwenye madaraka "SYSTEM" CCM wanatafuta huruma ya wananchi kupiti technique hii ya kuwasikiza matatizo yao.. na kwa sababu tuna wananchi ambao wengi wetu hatuna "reasoning capacity" yaani uelewa wetu wa kutanzua mambo ni mdogo sana.. mitu ambacho serekali ya CCM inatumia kuendelea kuiba akili zetu.. MAKONDA hawezi kua sukari baharini, haka ni kamchezo tu.. Our most illiterate people with no better reasoning abilities to matters concerning individual and national developments have become the play ground for a cunning political tricks...
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 2 ай бұрын
Wewe kujitambua, mtumishi wa umma anafanya kazi yake kwa muijibu wa katiba, habari ya usiri ni mambo ya Usalama na sera ya Usalama ni kitu kingine,kwa hiyo mkurugenzi asiulizwe kuhusu mipango ya eneo lake,miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yetu,??!wewe ukachunguzwe
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 2 ай бұрын
Inawezekana wewe ni fisadi moja wapo
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 ай бұрын
Ndio waambiwe hadharani na ss wananchi tujue nini kinaendelea na ss tufanye nini na nini haki yetu
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Huyo dada atakoma 😅😅😅😅
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Aina hii ya utawela ni mpya duniani. Hivi huyu bwana hana vikao na wafanyakazi wake. Hivi mkuu wa mkoa na watumishi wake si kitu kimoja. Mnaanika udhaifu wa serikali yenu.
@sylvesterdonald7441
@sylvesterdonald7441 2 ай бұрын
Ona hili nalo
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Ай бұрын
Rais alishasema waje watusikilize Kama huna shida huwezi elewa sisi tuliochukuliwa maeneo kwa fidia ndogo kwa dhurma ndio tunaelewa faid ya hapo, nataman hata anguwepo njombe.
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 Ай бұрын
Ivi unakielewa kinachofanyika au we ndio walewale
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Ай бұрын
Ndio nyie wote wala rushwaaa
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Ай бұрын
We haujielewi
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando Ай бұрын
Pole makonda unakazi ngumu sana
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io Ай бұрын
MH MAKONDA UTAPATA TABU SANA WENGINE WANAPATA KAZI KWA WAGANGA SIO AKILI ZA DARASANI ,
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb Ай бұрын
Chadema jimbo la arusha mwakani tunalichukua
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 31 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 76 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН