No video

#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 8,201

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

#EXCLUSIVE: SIMULIZI ya WAFUNGWA WALIOKUTANA GEREZANI WAKAOANA BAADA ya KUTOKA JELA - WANA WATOTO WAWILI....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 20
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@happyfrank9919
@happyfrank9919 3 ай бұрын
Hongera sana ndugu Abdalla mwenyezi Mungu azidi kukupa wepesi na kukulinda katika kazi yako.
@user-zl5kt1em2t
@user-zl5kt1em2t 3 ай бұрын
Kongole Mungu awabariki
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Jamani poleni Sanaa
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 3 ай бұрын
Subhana Allah poleni wote na hongereni Allah awadumishe kwenye ndoa yenu Allahumma Aamiyn
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
Kafungwa kwa mambo ya ndoa aka toka Jela na Ndoa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 3 ай бұрын
Pole sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Hii story ya siku nyingi sanaaaa
@YonaLengai-cc6tq
@YonaLengai-cc6tq 3 ай бұрын
Dah poleni sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 ай бұрын
❤❤
@dorahy1579
@dorahy1579 3 ай бұрын
Poleni nyinyi wote wawili
@samkoka3
@samkoka3 3 ай бұрын
Anajua maumivu yangu hii ni key point ya mahusiano yoyte yale
@samkoka3
@samkoka3 3 ай бұрын
Mbona ya mda sana hii
@Official83640
@Official83640 3 ай бұрын
Dah unamfunga mtu kisa cha kipuuzi aisee ni kina Manara no 2 hao Subhannallah Mungu atatoa hukumu
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 3 ай бұрын
Awa watu atarii sana..
@namsamson3443
@namsamson3443 3 ай бұрын
Watoe movie ya walivyokutana gerezani mpaka wakafunga ndoa
@johnsimba
@johnsimba 3 ай бұрын
Nimepiga simu hii wananibu mtandao kuwa imesitishwa nioigieni tafadhali
@johnsimba
@johnsimba 3 ай бұрын
Nahitaji kutoa msaada kidogo tafadhali
@AminMasoud-rc7si
@AminMasoud-rc7si 3 ай бұрын
Nimepata hamasa ya kuwa na hili kundi kwa ajili ata mi niliwahi kukaa jela nchini Zambia na kosa lililonipeleka sikuhusika nalo na nilikaa kwa miaka miwili kama ni mshukiwa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Daaa pole sana
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 91 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 161 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН