VIDEO: MAKONDA AKILIA kwa UCHUNGU ALIPOFIKA kwa MTOTO MUUZA NDIZI -RAIS SAMIA AHAIDI KUWAPA NYUMBA..

  Рет қаралды 246,030

Global TV  Online

Global TV Online

5 ай бұрын

VIDEO: MAKONDA AKILIA kwa UCHUNGU ALIPOFIKA kwa MTOTO MUUZA NDIZI -RAIS SAMIA AHAIDI KUWAPA NYUMBA...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 964
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@Dorcasfoundation
@Dorcasfoundation 5 ай бұрын
My God bless you ❤🎉😊
@malitomalito
@malitomalito 5 ай бұрын
Mdogo wangu makonda safi sana chapa kazi
@elibarikimanjia8391
@elibarikimanjia8391 5 ай бұрын
Serikali katili ndio iliyo sababisha UMASIKINI wananchi wake. Alafu anajifanya kusikitika
@elibarikimanjia8391
@elibarikimanjia8391 5 ай бұрын
Serikali katili ndio iliyo sababisha UMASIKINI wananchi wake. Alafu anajifanya kusikitika
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
sasa nn nae huyu mama kama kafiwa upya jmn ananiliza dah 😢 haya haya twendw na Zaburi: 41:1
@BigTownTV_Rwanda
@BigTownTV_Rwanda Ай бұрын
This video moved me to tears; it’s incredibly emotional. May God bless all of you for making this possible.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Mungu kupitia rais wetu ametupatia kiongozi mwrnye moyo wa kibinadamu anayefanya kazi za kimungu kwa imani na moyo mmoja. Wasiopenda kazi hizi kwa sababu zao binafsi na washindwe na kulegea katika jina la bwana YESU kristo. Keep it up makonda wetu
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 5 ай бұрын
Huyu baba tumuombee sana Tena sana
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
@@jonathansolomon456 hakika
@Anna-fo6sq
@Anna-fo6sq 4 ай бұрын
Amina
@FrediMolell-ql9sg
@FrediMolell-ql9sg 2 ай бұрын
Amina
@tonnyford5782
@tonnyford5782 5 ай бұрын
Mh makonda unayoyafanya mwenyez mungu anakuona mm nakutakia maisha mema,kipimo ulichoipimia familia hiyo ndicho naww mwenyez mungu atakupimia👏👏👏
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Utukufu kwa Yehova Mwema Mbarikiwe Sana Watumishi Raisi na Makonda We praise God for you
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 ай бұрын
Kama ushawahii lelewa mzazii mmoja daa utaelewa sana makonda nakufagilia sana kutoka Kenya 🇰🇪 Mungu akujalie hio moyo unatembelea kabisa nyayo za magufuli Akujalie utimize ndoto zako pia InshaAllah,watanzania musiwauwe viongozi wazuri kama hawa waombeeni wazidi kuwepo maana niwachache sana walio n moyo y kutoa
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Hakika kuna roho nyingine huwa hazifi moja kwa moja. Zinabaki zinawaingia watu wengine hapa hapa duniani. Mungu anatupenda sana
@yuzotv458
@yuzotv458 5 ай бұрын
nimemuona magufuri ndani yamakonda😭😭😭😭.
@salmakashau-ib9fq
@salmakashau-ib9fq 5 ай бұрын
Yani mtt wamiaka kumi anawaza sn nakuangua kilio kwakel mtt Mmoja mwenye akiki sn mungu atampa upeo zaidi
@yuzotv458
@yuzotv458 5 ай бұрын
@@salmakashau-ib9fq huyu kijana nishupavu haswaaa,kuna mijitu imeweka hadi oder ya nyembe zitazotoka mwez wa tatu😂😂😂😂😂😂😂,na ukiipa mitaji inahonga alafu wanarudi kuomba tena.
@Kidotii
@Kidotii 5 ай бұрын
Makonda unanikumbusha Baba Magufuli , Mwenyez Mungu akulinde
@ElizabethDeusi-sx8di
@ElizabethDeusi-sx8di 5 ай бұрын
Makonda mungu akuweke kwajiliya wa Tanzania 😭😭😭😭😭😭 karibu tunduma baba tunakungoja kwaamu kubwa ❤❤❤❤❤❤
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Huyu nimakufu ❤kabisa❤ma
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 5 ай бұрын
Kilio cha mama hicho ! Tutafakari sana ! Mungu atajibu chozi la huyu mama na mtoto wake na kiongozi huyu ! Insha ALLAH
@lilyrose7983
@lilyrose7983 5 ай бұрын
😭😭😭
@marieconnect6389
@marieconnect6389 4 ай бұрын
Wako wengi sana tena sana katika taifa hili wanahitaji kusikilizwa pia. Huyo ni mmoja tu Kati ya wengi.
@user-cv3op2tw9p
@user-cv3op2tw9p Ай бұрын
Na si wote watafikiwa Bali alochaguliwa na Mungu ILO tufahamu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante Makonda wetu. Unatukumbusha.mbali sana. Tulidhani mambo haya hayawezekani tena kumbe Mungu wetu bado anatupenda sana watanzania. Hakika tuna kila wajibu wa kukushukuru sana ee Mungu wetu.
@user-jh6pd1jh5j
@user-jh6pd1jh5j 5 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake
@reshmabayyo
@reshmabayyo 4 ай бұрын
❤yaan huyu baba ana wito mungu akubaliki sana baba
@EvaEva-j6j
@EvaEva-j6j 17 күн бұрын
Makonda Mwenyezi mngu Akutangulie kwakila hatua naakufanyie Wepesi tunamuomba mngu uwe raise wetu awam ijayo ❤❤❤❤
@isaacmanyala3228
@isaacmanyala3228 5 ай бұрын
God bless the fraternity of this convoy. Makonda Paul, you are a great leader .Your stars are being shown by Mama Samia . Good Lord, God bless you all. I always follow you because you are my mentor.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante rais wetu kwa zawadi hii nzuri ya kiongozi mzalendo mpenda watu iliyokuja kwa wakati sahihi.
@SophiaManase
@SophiaManase 5 ай бұрын
Mungu amekuchagua makonda
@Ramadhani-ui8hl
@Ramadhani-ui8hl 5 ай бұрын
Makonda mungu akulinde daima...wewe ni kiongozi uliyeshushwa na mungu..asanteee makongo. Hta mie machozi yamenitoka
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Sa ya Mungu ikifika imefika
@fatumaabubakarzuberi8132
@fatumaabubakarzuberi8132 5 ай бұрын
Mmejua kuniliza jmn kwel mungu akitaka kukupa akuandikii barua Allah atupe kizazi Chema km ch alhaji 🙏🏼
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 5 ай бұрын
Allahuma amini
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 5 ай бұрын
Mi pia nimejikuta naliaa uwiii jamaniiii haya maisha 🙌🙌
@mswahili6247
@mswahili6247 5 ай бұрын
Amina 🙏🏽
@TeshaNange
@TeshaNange 5 ай бұрын
Ameen yaarabi
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 ай бұрын
Yaani 🙏🙏
@mrsab303
@mrsab303 5 ай бұрын
Makonda you are good man ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Joseph-ky2iy
@Joseph-ky2iy 5 ай бұрын
Kweli is the man of kindness God bless you my bro❤❤
@JudithAdonis
@JudithAdonis 5 ай бұрын
Pacha wa Magufuli......na huko aliko aisee 😭😭😭 we are still crying for him
@evelinamwaikambo2506
@evelinamwaikambo2506 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mtetezi wa wanyonge
@EdithaErro-cb8fp
@EdithaErro-cb8fp 5 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@user-zd6ms6xh5q
@user-zd6ms6xh5q 5 ай бұрын
Rais wangu samia mwanyez mungu atawalipa na atawaongoza katika uongozi wenu ulio tukuka amahakika makonda nichaguo sahihi katika chama chetu cha ccm nilikua sipigi kura mwaka huu ntapiga kura uendelee kutuongoza aaamin!
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania 5 ай бұрын
This is the leadership that has a calling in it, Makonda is not understood by many, but he is a man with the heart of God in him and he has a very big calling.
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 5 ай бұрын
T We call it Servant Leadership
@priscamchomvu4021
@priscamchomvu4021 5 ай бұрын
So emotional Makonda Mungu akulinde na hskuna dilaha itainuka juu yako ikakushinda bali damu ya Yesu na jeshi la malaika viwe silaha yako usk na mchana had ktk familia yako itunzwe na Bwana. Na mbawani mwake uwe salama
@KelvinKidiwa-dg3nn
@KelvinKidiwa-dg3nn 4 ай бұрын
Makonda na mapungufu yake yote bado ni mtu mwenye moyo wa kiutu
@danielshauri6390
@danielshauri6390 5 ай бұрын
It really hurts a lot. May God give you new grace and breakthrough for this nation of Tanzania Mr. Makonda
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Amen. God hear our prayers
@lutindiOthumani-ph5kz
@lutindiOthumani-ph5kz 5 ай бұрын
mungu ampige laaana Kila anae bezaa harakati za makonda insha Allah hata kama anatoka kwenye ukoo wanguu eti Kuna mavi Mmoja anasema makonda anawazalilisha wananchi nyoooo kwa lipi analowazalilisha insha Allah yarabi mpe kinachomstahiki makonda
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 5 ай бұрын
Umemuonaee nasauti yake kama mlamba unga yaani alinikera yule kuna watu hawana shukrani kwakuwa wao wanakula kwenye sahan hawawezi anacho kifanya huyu mwamba
@lilyrose7983
@lilyrose7983 5 ай бұрын
😭😭😭
@lutindiOthumani-ph5kz
@lutindiOthumani-ph5kz 5 ай бұрын
@@lilyrose7983 wanaumwa
@magrethtowo
@magrethtowo 5 ай бұрын
Awe nao kinyume wapigwe
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Makonda has a bright brain and a very big heart...... what it takes to be a true leader. He is patriotic, courageous and intelligent. He is the kind of a leader needed in this country. Asante mama rais wetu kwa kumpatia tena nafasi ya kudhihirisha zaidi uwezo wake.
@ashiraphmisigaro7432
@ashiraphmisigaro7432 5 ай бұрын
Huyu mtoto wa kiume ana kitu Cha pekee ndani yake.GENIUS! Amekosa la kusema!
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 5 ай бұрын
Yaani jamani...Huyu Mtoto jamani
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 5 ай бұрын
Mungu ameona mahangaiko ya huyo mtoto jamani
@RhodaLudigija
@RhodaLudigija 5 ай бұрын
He z a blesn aiseee
@user-ei6zg3us5s
@user-ei6zg3us5s 5 ай бұрын
Ndo maana analia..
@marymunisi5801
@marymunisi5801 5 ай бұрын
Nimelia sn Mungu mbariki mama Yetu mzuri Mama Samia kwa moyo wa huruma
@RamlahNassoro
@RamlahNassoro 5 ай бұрын
Aaaamiiiin
@oliviamhinamasimbusi1635
@oliviamhinamasimbusi1635 5 ай бұрын
I am speechless, Mungu azidi kukuongoza vyema Mama Samia na Makonda usichoke kufanya kazi hata watu wakikubeza, unaonyesha kazi zako kwa matendo sio maneno
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Rais wangu Samia S.Hassan mungu atakulipa mara mia na kwa kuchagua Makonda hadi kwenda kumiona huyu mtoto na kumsaidi.Samia mungu akuzidishie sana kwa upendo wako wa dhati na Makonda mungu atakuzidishia tu.😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏👍👍👍👍
@florasimonmwale129
@florasimonmwale129 5 ай бұрын
Jamani huyu kiongozi bora mtumishi wa Mungu & Watanzania, ana wadhifa gani?
@skjjsj1889
@skjjsj1889 5 ай бұрын
Ma konda oyeeeeeeee Umepata mtetezi wa wanyonge❤❤
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Keep it up hon. Makonda. We praying for you for a bigger role in this country in the future. God protect you and your family against any evil plans. We understand you and we love you so much. Keep it up
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 ай бұрын
Makonda Mungu akujalie moyo huyo umemfurahisha al haj na mama yke kujengewa nyumba n ww na mama Samia Mungu awape nyumba ya akhera Amiin
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 5 ай бұрын
Mama Alhaji mungu ni mwema usilie kwa hiyo wewe jione ni mshindi kutoka kupanga na kujengewa nyumba ni mungu ndiyo anajua
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam 5 ай бұрын
Makonda unafanya kazi mzuri Sana. Mungu akubari na akulinde.
@goodluckbenny123
@goodluckbenny123 5 ай бұрын
Daaaah nmeumia sana ila wanaume kuna kitu chakujifunza apa
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 5 ай бұрын
Huyo baba mwenye watoto atakuja kama ameshayaona haya atakuja spidi kuja kuomba msamaha kusikia nyumba tena😂
@goodluckbenny123
@goodluckbenny123 5 ай бұрын
@@MerryRenatus-ck4lz Asimsamehe haata kidgo
@sabuomar2420
@sabuomar2420 5 ай бұрын
Makonda umetuliza wengi, clip hii imetu-touch sana. Mungu akubariki sana. Wewe ni Mtu wa watu. Umeonyesha ubinadamu toka ndani ya moyo wako. Baraka njema toka kwa Mungu kwako zaja, Amin.
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 5 ай бұрын
Dah kipenz me mwenywe nimejikuta nalia aisee dah 😭😭😭
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 5 ай бұрын
Hadi sisi wanaume ni wakutoa machozi aiseee😢
@user-um9zc8gl5c
@user-um9zc8gl5c Ай бұрын
Umronaee​@@AllyGibu-cz2vo
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Wenye wivu watasema sana lakini usikatishwe tamaa Makonda wetu. Keep it up. Watanzania wanaona,na mungu anaona. Usirudi nyuma kaka
@festusbokoro1615
@festusbokoro1615 5 ай бұрын
Good man makonda,,, alafu hyo baba alieitelekeza hio familia akiona maisha yamekua mazuri asirudi apo
@minzambiyu143
@minzambiyu143 5 ай бұрын
Mungu aliyemtumia Alhaj kuiinua familia yake , akawatumie na kuwainua watoto wengine waliotelekezwa na kuachwa na wazazi wao, Mungu huwainua wanyonge na kuwapandisha juu, mwenyezi Mungu atujalie mioyo ya huruma na upendo 🙏
@julianaotwin4437
@julianaotwin4437 5 ай бұрын
Ameen...
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante viongozi wetu kwa moyo wenu wa kimungu kwa familia hii. Mungu akubariki sana kwa hili.
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 5 ай бұрын
Mpaka nalia maisha hayaaa Mungu mbariki mh Rais wetuu Mama wetuu Samia kupitia kwa mh wetuu Makonda Mungu ibariki Jamuhuri yetu ya Mungano wa Tanzania 🙏
@ashaanab-sy4cq
@ashaanab-sy4cq 5 ай бұрын
NIMELIA SANA WALLAHI😭😭NAAMINI WAPO WENGI WATOTO KAMA ALHAJI WANATESEKA MASKIIN,MUNGU AWASIMAMIE INSHAALLAH🙏
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 5 ай бұрын
Amen
@senseiamani4684
@senseiamani4684 5 ай бұрын
Nimeumia saana kwakweli
@user-ei6zg3us5s
@user-ei6zg3us5s 5 ай бұрын
😭😭
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Mama namwanao umejua kuniliza leo. Huwa si mwepesi wa kulia lakini leo nimepatikana nimelia sana. Mungu amesikia kilio chako mama.
@jacksonsamwel292
@jacksonsamwel292 5 ай бұрын
Mi pia nimejikuta machozi yamenitoka ghafla tu
@malupex6299
@malupex6299 5 ай бұрын
Mungu awabariki sn viongozi, mnafanya kzi za kiroho. Mungu awape kila hitaji mkafanikiwe. Hongera Rais Samia @ asante Makonda.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante ewe Mungu wa Abraham yakobo yohana na Joshua. Matendo yako makuu tunayaona kwa taifa hili. Usituache. Usiache wanyonge wako peke yao sababu wako wengi sana.
@Mohamedmarijan
@Mohamedmarijan 5 ай бұрын
Soo sad and happy at the same time God bless him
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 5 ай бұрын
Mungu ni mwemaaa,jmn asifiwe aliye juuuuu
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Tumepata mtetezi mwingine wa wanyonge. Keep on doing God's work and you'll be rewarded big time
@HerieliLoishiye
@HerieliLoishiye 5 ай бұрын
Mimi kwa huo moyo wa upendo namshukuru raisi wa tanzania Samia suluhu kwa msahada wake mungu akubariki raisi wetu nyuma Yako tupo mama yetu mungu akuinue sana uwe mkuu wa mataifa ndani na nje amen
@user-dx4xo1xu6d
@user-dx4xo1xu6d 5 ай бұрын
Na mungu atende kazi take hadi washangae
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 5 ай бұрын
Mama samia kama marehemu Rais magufuli tu hamuja poteza Watanzania ❤❤❤
@AdamuDamasi-qq9uv
@AdamuDamasi-qq9uv 5 ай бұрын
Makonda nimekuelewa sana Kwa hilo ulilofanya Mungu akubariki Kwa hilo na raisi wetu wa Tanzania mamayetu Samia Mungu ambaliki sana awe na moyo huwohuwo wakusaidia watanzania Mungu akubariki sana mama yetu Samia,Mi Adamu Damasi kutoka Arusha tanzania
@julianashani9408
@julianashani9408 5 ай бұрын
Yote kwa yote namshukuru sana mtagazaji wa WASAFI Mr Zungu 🙏🙏🙏🙏🙏namshukuru sana my brother 🙏🙏🙏🙏🙏, ZUNGU Mungu anakuona my brother hongera sana 🙏🙏🙏
@user-we1wf7ec3i
@user-we1wf7ec3i 5 ай бұрын
Zungu naye apewe mauwa yake
@MwanaidiMatary-cp2rf
@MwanaidiMatary-cp2rf 5 ай бұрын
Paka nimeliya wallah 😭😭😭😭 dahhhhhhhhhh inaumiza mungu watanguliye viongozi wetu wa serikali yetu ya Tanzania
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 5 ай бұрын
Duuh hii kitu imenigusa uwii i😭😭😭😭🙌🙌🙌
@Masoud-vx5hr
@Masoud-vx5hr 5 ай бұрын
😅 0:30 😢
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Nakosa cha kusema, Kupambana kwa mtoto huyu kumekuwa Baraka kubwa sana, Ndo maana harisi Mungu ataibariki kila kazi ya mikono yako, Mama samia hongeraa sana pamoja na kaka yetu Makonda😥😥😥😥❤🥰
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 ай бұрын
CCM WASANII SANA WAMESHINDWA KILA IDARA WALIONGOZA NCHI KWA KUSHINDWA TOKA TUKIWA WATANZANIYA MILIONI 10 WATAWEZA LEYO TUKO MILIONI 60
@user-bp1vf6vw9f
@user-bp1vf6vw9f 3 ай бұрын
Makonda Mungu wa mbinguni akubariki mara dufu kwa kazi nzuri uliyoifanya kwa hii familia
@assanelourenco3183
@assanelourenco3183 5 ай бұрын
God bless this family
@Joseph-ky2iy
@Joseph-ky2iy 5 ай бұрын
Kweli na amuepushe na mabaya ya ulimwengu
@danielshauri6390
@danielshauri6390 5 ай бұрын
We Tanzanians need you, and God also needs you for work like this for citizens who have no advocate
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Keep it up mama Samia rais wetu. Tupia macho wamama na watoto wanaoteseka na kunyanyasika wako wengi sana hapa Tanzania. Wape unafuu na upendeleo wajisikie wako na rais mwanamke. Unaweza usielewe maisha wanayopitia ni magumu kiasi gani lakini kwa jicho la kimungu utawaelewa. Mungu akuangazie akupe roho ya kimama zaidi
@rayprettystrong2556
@rayprettystrong2556 9 күн бұрын
Jamani wanawake Tusitoe Mimba, watoto ni Hazina Yetu, nmelia sana Mimi kutazama video Hizi😢😢😢, Mh: Makonda Mungu Azidi kukubariki Mno, Akuongezee Miaka mingi ya kuishi hapa Duniani❤❤❤
@esterrupia8470
@esterrupia8470 5 ай бұрын
Nimelia Sanaa mimi
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 5 ай бұрын
Ubarikiwe kaka makonda ❤❤
@user-sl1fh2jm4d
@user-sl1fh2jm4d 5 ай бұрын
Nimelia jmn dah Allah aendelee kuwapa afya nyote mlioguswa😢😢
@joycejonas5529
@joycejonas5529 13 күн бұрын
Mungu awabariki sana Mama samia na makonda Mungu awatunze ❤kwa wema mlioufanya hakika muwe na maisha marefu 🫶🙏
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy 5 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI MAKONDA BINAFSI NILIKOSA HII KUMBUKIZI KWA MUDA MREFU
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 5 ай бұрын
Asante mungu kwa kutupa viongoz bora
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 5 ай бұрын
ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN 🤲 HAKIKA HAKUNA ZAIDI YA ALLAH YOTE HAYO NIKWA REHMA ZA ALLAH.HONGERA PIA MAMA SULUHU HASANI HAKIKA UCHUNGU WA MWANA AJUAYE MZAZI MAMA SAMIA NAMWOMBA ALLAH AKUPE SWIHA NJEMA NA UMRI TAWEEL 🤲🤲🤲HONGERA PIA MAKONDA NA WOOOTE MLIO MUWEZESHA MAMA MPAKA KALIYA KWA FURAHA MTAPATA BARAKA KWA FURAHA YA HUYO MAMA
@danielmsuya720
@danielmsuya720 5 ай бұрын
Makonda upo vizuri sana Mungu akubariki sana uwe na cheo zaidi. Maana unanufaisha jamii. Raisi Samia Kura yangu unayo hiyo haina ubishi hata kura za wanangu wote hizo umepata.
@AbeliIrikaeli
@AbeliIrikaeli 5 ай бұрын
Kwakweli Kwa hili makonda utakua kiongozi mkubwa
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 5 ай бұрын
Hii ndyo huluma ambayo tuliumbiwa na MUNGU😢😢🙏🙏🙏
@user-mw6pf2kj7m
@user-mw6pf2kj7m 5 ай бұрын
Ubalikiwe sana katibu mwenezi kwa huu msaada uliyo wezeshwa familia yahuyu mama na watoto wake kiukweli hii kilip imenisababisha mpaka na Mimi nikatow machozi kwauchungu wa isitolia ya huyu mtoto mungu amuzidishie hekima huyu mtoto na huruma aliyo nayo amina
@marieconnect6389
@marieconnect6389 5 ай бұрын
Asante mama.samia kwa kutupatia zawadi yenye thamani ya makonda. Usikatishwe tamaa na watu wanaobeza. Umefikiria mbali.....Asante sana
@lushiligolegwa4025
@lushiligolegwa4025 5 ай бұрын
Huyo baba aliyekimbia majukumu atarudi TU, Kazi nzr badhiteeee
@alfredlupogo3835
@alfredlupogo3835 5 ай бұрын
Inaumiza sana, wabarikiwe wote waliojitoa kwa ajili ya familia hiyo
@Elizabeth-em3bp
@Elizabeth-em3bp 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mama kiongozi wangu wa nchi. Mungu akubariki Mtumishi Katibu mwenezi wa chama kwa Mungu kuwatumia katika hili.
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini 5 ай бұрын
Glory to God🙏
@mariammtoni1598
@mariammtoni1598 5 ай бұрын
Acheni. Mungu. Aitwe. Mungu
@ElizabethDeusi-sx8di
@ElizabethDeusi-sx8di 5 ай бұрын
Nimeludi hii kama mara kumi uku 😭😭😭😭😭 daaah
@AsiaSaid-tq4yw
@AsiaSaid-tq4yw 23 күн бұрын
Alhaj kaniliz ht mimi jmn mtoto mdogo anamoyo wa huruma mungu amjalie na roho hyhy inshaallw
@VictoriaLeonard-yh9rc
@VictoriaLeonard-yh9rc 5 ай бұрын
Mungu uhimidiwe milele
@fredpiter4657
@fredpiter4657 5 ай бұрын
Hongera mama
@user-ui2bs8ti9p
@user-ui2bs8ti9p Ай бұрын
Uncle mungu akubariki naserikali yetuungu azidi kuibarik mama zeru kama hawa waweze kupata msaada kupitia serikali yako pendwa mungu bariki tanzania♥️♥️♥️🙏🙏🙏
@GUSTAVCHAKI
@GUSTAVCHAKI Ай бұрын
Mh. Mkuu wa mkoa mungu akupe maisha marefu kawasaidia wananchi wenye taabu
@alfredmhana235
@alfredmhana235 5 ай бұрын
This is what we need God
@victorcephas3618
@victorcephas3618 5 ай бұрын
Wewe ni Mungu
@user-xs6sh5wh4p
@user-xs6sh5wh4p 5 ай бұрын
Hakika namuona magufuli anaanza kurudi moyoni mwa rais samia.namuona magufuli ndani ya makonda.huu ndio utendaji tunaohitaji Tanzania.nimelia sana barabarani kama mtoto.ila mama omba sana mungu kigoma nikwetu uchawi njenje.
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 5 ай бұрын
Uongozi Mzuri Sana.Nuomba Mungu ALLAH AKBAR Aubaliki CCM.Amiina.
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy 5 ай бұрын
Safi sana
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 5 ай бұрын
Makondaaaa nimelia😢
@user-ck6yr5om7r
@user-ck6yr5om7r Ай бұрын
Mungu hashakukumbuka kupitia mtoto wako mama na utapona kwa jina la yesu,na mungu ambariki samy hassan sana
@alfredhadson
@alfredhadson 6 күн бұрын
Human typically must be cry,god bless u makonda for ur good job
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 5 ай бұрын
Mungu ambariki mheshimiwa Rais kwa upendo
@Izaangonyan
@Izaangonyan 5 ай бұрын
Fanya kitu tuone naam mh. Makonda unakilasababu ya kuyapata maombi pamoja na dua kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu 🤲🤲asahnte mungu wetu wa mbinguni kwa hii zawadi 🙏🙏 tulindie eemwenyezi mungu
@israelyohana8679
@israelyohana8679 5 ай бұрын
Mungu akubariki na kuendelea kukutetea mh makonda pamoja na familia hio mlio isaidia
@julianaotwin4437
@julianaotwin4437 5 ай бұрын
Hakika mungu huna upendeleo kama ilivyokuwa kwa kornelio leo kwa alhaji...tunakushukuru mungu baba,asante kwa upendo wako mkubwa juu yetu,nimetokwa na machozi ya furaha na yakushukuru mno..bless Lord🙏🙏
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 5 ай бұрын
Makonda mungu Azidi kukuongoza kwenye KAZI zako 🎉🎉
@SmilingCaterpillar-yy3jc
@SmilingCaterpillar-yy3jc 5 ай бұрын
naomba sana mungu chama cha mapmduz siku moja kije kimpe makonda ridhqa yq kuiongoz hii nchi
@priyankaglory6951
@priyankaglory6951 11 күн бұрын
Huyu baba ana roho nyeupe mno dah Mungu ampe maisha marefu mno
@BrianMuchela-kf9sq
@BrianMuchela-kf9sq 13 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu makonda
@jacklinemwarabu6549
@jacklinemwarabu6549 5 ай бұрын
OUR GOD IS GOOD ALL THE TIME🙏🙏🙏 UHIMIDIWE BWANA..BARIKI FAMILIA HII..BARIKI MAMA YETU MZURI SAMIA..Good work makonda👍👍
@AnnaMhina-f7c
@AnnaMhina-f7c 9 күн бұрын
Dahhhhh😢😢😢 eee mungu nisamehe kama niliwah kujitia uzao wangu dah so touching😢😢😢😢
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 60 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН