BIBI AMLILIA MAKONDA - AMEAMBIWA AKAMFUFUE MAGUFULI AMSAIDIE - MWAKA wa 3 KANYANGANYWA NYUMBA...

  Рет қаралды 286,791

Global TV  Online

Global TV Online

5 ай бұрын

BIBI AMLILIA MAKONDA - AMEAMBIWA AKAMFUFUE MAGUFULI AMSAIDIE - MWAKA wa 3 KANYANGANYWA NYUMBA...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 533
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@Dismance
@Dismance 5 ай бұрын
❤love
@AsnathRingo-db4jl
@AsnathRingo-db4jl Ай бұрын
Makonda nampenda sana anatetea wanyonge
@YonaShibanda-nu2xr
@YonaShibanda-nu2xr Ай бұрын
add me
@CitoyenJacobsalimasiPedagogie
@CitoyenJacobsalimasiPedagogie Ай бұрын
Ok hâta nasi tunamupenda sana
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
T M U Team Makonda Ukombozi kama mko hapa tuambiane, kama ww ni muhanga wa leo wa kesho na unamuelewa Makonda naomba tujuane..... Na kinamama wote na wajane na wanyonge tusichoke kumuombea Makonda na team yake, asante mama Samia., kwa huyu kijana jasiri na mpenda haki
@FredyMolley
@FredyMolley Ай бұрын
mungu akubariki San makonda raisi wet we ndo raisi
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 5 ай бұрын
Asante Mungu kumpatia huyu Bibi nyumba yake. Be blessed Mh.Makonda kwa kutetea wanyonge
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 5 ай бұрын
Watu wanakejeli anayoyafanya makonda, lkn kiukweli anafanya mambo makubwa ambayo ndo wananchi masikini wanayoyataka
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 5 ай бұрын
Jamani hii nchi munaipeleka wapi kwann watu hawana hofu ya Mungu jamani Asante mama Samia kwa kumteua Mheshimiwa makonda awe mwenezi wa Taifa NEC naomba Mungu azidi kumuongoza katika kutenda kazi yake Muenezi Makondo na Mungu awaguze viongozi wengine wa nchi hi kua Kama huyu jamaa
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
NAKUKUBALI SANA MWAMBA MAKONDA KWA MOYO HUYO ATA URAIS MIAKA YA MBELE GOMBANIA KIONGOZI 🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Zaburi 35 ikawalinde Mhshmw Makonda na Team yake...watakaowafuatilia kinyume na kusudi la Mungu, wakashindwe kwa jina la Yesu.
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 ай бұрын
Eeh Baba Mungu tutunzie huyu kijana makonda kwa uwezo wake baba🤲
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 5 ай бұрын
Amen❤🎉
@user-wq6er3ux5r
@user-wq6er3ux5r 5 ай бұрын
Huyu ni Magufuli type..tumuombea yesu atangulie
@Alice-ft6kf
@Alice-ft6kf 5 ай бұрын
Amen ❤
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 5 ай бұрын
Amiin Amiin Amiin 🇰🇪
@nginaelkennedy3346
@nginaelkennedy3346 5 ай бұрын
Amen damu ya Yesukristo imfunike.
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 5 ай бұрын
Ninaona mbegu za Hayati J.P.M Zikimea nakustawi ndani ya mh. Makonda😊💪💪 Mungu akutunze sana baba Kegani💯🔥🔥🔥
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 3 ай бұрын
Huyu hakuwa mnafki kwenye nyayo za magufuli wengi tumewaona wamegeuka
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 3 ай бұрын
@@sofiasofia7557 kabisa,
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
Sasa nimeanza kufatili palikua pamepoa toka magu aondoka makonda ananiparaha🙏🙏🙏🙏💪💪
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 5 ай бұрын
Sn huyu ni makufuri wa pili
@user-id8bu6lw8x
@user-id8bu6lw8x 5 ай бұрын
Tupo wengi
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 5 ай бұрын
Nimerud pia naunga bando kwa ajiri ya makonda na jua kali
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
@@pyelesyamwakatika540 umeona eeh
@antoniamiho
@antoniamiho Ай бұрын
Pameanza kuchangamka🎉
@augustinob.toke1012
@augustinob.toke1012 5 ай бұрын
Maisha marefu Mhe: PAUL MAKONDA kwa kazi nzuri iliyotukuka Mungu akubariki Sana na akuzidishie miaka mingi na kheri duniani pia binafsi natamani niwe mlinzi wako.
@malupex6299
@malupex6299 5 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati na kila saa@ hongera Rais Samia@ asante Makonda..
@Moses-yw5mb
@Moses-yw5mb 5 ай бұрын
Hakika waliosema magufuli amekufa xaxa amerudi japo c kwa sura yake ila kwa moyo wa makonda yeye mwenye nguvu akulinde na akutete, hakika hukuwa mnafiki bali unaishi kwa kile alichokiamini. Amina
@obedlwinga9194
@obedlwinga9194 5 ай бұрын
Makonda katika hili saluti kwako ila natamani sana kero zote zishughulikiwe maana wanaopata nafasi ya kueleza ni wachache sana weka utaratibu endelevu asante
@allyfutto8763
@allyfutto8763 5 ай бұрын
Makonda amyatowa maisha yake kwaajili ya wanyonge watamtafuta sana ili wamuuwe lakini Mungu ni mwema jilinde na wanyonge wahimarishe Ulinzi juuyake yupo hatarini sana Jpm walimuuwa kwa kutetea wanyonge 🇹🇿
@user-wr7sz7ny9j
@user-wr7sz7ny9j 5 ай бұрын
Mungu amlinde jamani wakiwaua wote tutasaidiwa na nani sasa mungu
@linda99822
@linda99822 5 ай бұрын
Wamesha Anza kumuroga wamemtumia ata ajali jaman😢😢😢😢😢😢
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 5 ай бұрын
Mungu ni mwema kama musa kwa wana lslaeli. Maisha ya Dunia ya kupita. Na maisha ya mbingu ni ya milele.. Mungu akulinde makonde na hakika watu wema hujitoa kwa ajili ya mungu.
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 5 ай бұрын
Asante mungu hakika umetoa na umeleta magufuri namba 2
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq 3 ай бұрын
Tuzidi kumuombea mola amuhifadh
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 ай бұрын
MashaAllaah uwemaaa wako naimani yakoo umebakiyaaa kusilimuhhhh tuu ….Allaah Akuhefadhiiii muheshimiwaaa makonda. Baba wawanyongeee…..
@rehmastyle4446
@rehmastyle4446 5 ай бұрын
Na Sabaya arudushww kwenye kazi Itapendeza sana
@user-wp4fs2xr3l
@user-wp4fs2xr3l 5 ай бұрын
Kweli arud sabaya
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Kweli kabisa mama Samia rudisha sabaya na Ali hapi
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Ай бұрын
Sabaya huyu mmoja tuu mdhulumu ama Kuna mwingine
@TedyEmanuel
@TedyEmanuel 5 ай бұрын
Kaka makonda mungu akubariki kwa kuwatetea wanyonge
@constantsimiyu7484
@constantsimiyu7484 5 ай бұрын
This man was sent by God to bring justice in Tanzania, Mungu tuletee na sisi Wakenya mtu kama huyo
@SurprisedGrapes-by5bw
@SurprisedGrapes-by5bw Ай бұрын
Kwa dizain hii yatupasa kuomba sana Watanzania, Mungu atupe viongozi watakaoliongoza Taifa letu kwa hofu ya Mungu. Kama kiongozi anahofu ya Mungu, huwezi ukamjibu bibi wa watu" nenda ukamfufue Magufuri" jamani😢😢😢. Mungu awasaidie viongozi wetu.
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 4 ай бұрын
Mungu akulinde akuepushe na mabaya yote
@user-cn4fr8zz3v
@user-cn4fr8zz3v Ай бұрын
Mimi ni mkongomani toka DRC naipenda tanzania ilikua ni sababu ya magufuli.ila kwa sasa namuona mwengine magufuli tayari tanzania.kwajina la makonda.acha niseme tanzania mume barikiwa saaaana.najiuliza na sisi DRC lini tuta mpata mtu kama makonda?aisei makonda maisha marefu baba.hizo ni baraka zako to DRC goma
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 3 ай бұрын
Huyu mzee anaesoma hiyo barua naisi kama alikuja kwenye mkutano amelewa 😂😂
@albert3359
@albert3359 Ай бұрын
anuani iyo hapo simu iyo hapo
@sifuabdallahmkamba6102
@sifuabdallahmkamba6102 5 ай бұрын
Njia hii unayotumia hon makonda uko sahihi kabisa ila kama kuna wanao kubeza basi nawao wapande jukwaani watatue shida za wananchi kwa njia wanazo zijua.
@user-uf5qw2dl9l
@user-uf5qw2dl9l 4 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde kazi ambayo Mungu angeshuka kuifanya umeifanya Mungu akubariki sana
@user-qr3zl5km3v
@user-qr3zl5km3v 5 ай бұрын
Makonda katbu mwenezi mimi ni mtanzania nmependa xnaa unavyoshughulika na wanyonge jpokuwa niko nje ya tanzanianaomba sna Mungu anilinde na aendelee kukulinda nikirud tz naomba kukuona pls katibu wangu.
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 5 ай бұрын
Ivi kwann viongozi hawamuingi huyu jamaa Makonda anafanya nipende Tanzania yangu 😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mungu akupe maisha marefu Makonda watakuchukia sana ila omba Mungu atakusaidia kila mtu huenda kwa ahadi
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel
@CitoyenJacobsalimasiPedagogie
@CitoyenJacobsalimasiPedagogie Ай бұрын
Kweli kbs
@yohanashingashinga3974
@yohanashingashinga3974 Ай бұрын
Makonda ww n Tumaini la Watanzania,Nyerere ajae na JPM ajae,Mungu akulinde
@mamuugrace2770
@mamuugrace2770 Ай бұрын
Upo vizuri mkuu endelea kutupiga spana mpaka tukae sawa
@danifani7899
@danifani7899 5 ай бұрын
Watching live from Jordan makonde mungu akubariki kwa kutetea haki ya wananch
@urasaanold2851
@urasaanold2851 5 ай бұрын
😂😂😂 hakuna cha tunduma hoyee soma barua😂😂😂
@yusuphsenkondo8030
@yusuphsenkondo8030 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 5 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 5 ай бұрын
​@@zuhrazuhra637naona unacheka 😅
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 5 ай бұрын
😂😂😂
@user-fu3xt6dc4h
@user-fu3xt6dc4h 5 ай бұрын
Anafaha kuwa lahisi waTanzania,🇹🇿🇹🇿 kabisa uyu kiongozi wetu. Makonda
@wycliffeombogo8953
@wycliffeombogo8953 Ай бұрын
Makonda wewe mwanaume mungu akuongeze maisha ndugu 6:15
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 5 ай бұрын
Usife, Usioze Mh. Mwenezi Makonda Mungu akutunze kwa Kazi nzuri.
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 5 ай бұрын
Umesifia kupitiliza neno la Mungu ni lazima aoze.. hivyo ataoza
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 5 ай бұрын
Hongera mwanangu Makonda Mungu akutie nguvu fumua madudu wanaosema wanawadhadhrilisha viongozi hvo ni vzuri wanyonge waoneewe kuliko viongozi hao viongoz ni wengi kuliko wananchi Makonda hoyeeeeeeeee
@brotherIdi-rp4tx
@brotherIdi-rp4tx Ай бұрын
Anastaili kuwa raïs uyu miye nimkongo lakini nilisha mkubali kinoma sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 5 ай бұрын
Sitaki, kuamini kwamba Chama cha Mapinduzi' (katika ngazi yeyote), kinaweza kufanya thu'ruma kiasi hiki! Kama haya ni kweli, basi.....
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
Baada ya kufariki mwamba JPM, watu walianza kuleta dharau na kumzungumzia vibaya tena bayana kabisa bila ya woga wwt
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel kabisaa haya mafisadi ni nguruwee kabisaa Allah aya komeshe yote yaliyo tuzulumu sisi wanyongee
@alfanmwatamu9030
@alfanmwatamu9030 5 ай бұрын
Well done brother keep it up 💪 fata nyayo za magufuli ,, from 🇰🇪
@tonyi6807
@tonyi6807 5 ай бұрын
Safari ya Haki na Utu ni jambo la kila mmoja ili kila mmoja anufaike pia aongeze tija katika Taifa lake🙏🇰🇪🎶🇹🇿
@RichardMkumbo
@RichardMkumbo 5 ай бұрын
😮​@@tonyi6807
@RichardMkumbo
@RichardMkumbo 5 ай бұрын
​@@tonyi6807😅
@marlysjoseph
@marlysjoseph Ай бұрын
Fact
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 4 ай бұрын
Kama Mungu aishivyo iko siku makonda atakua raisi
@ChiefNgosyemo
@ChiefNgosyemo 12 күн бұрын
Mungu akuzidishie hekima mweshimiwa nakupend kutoka moyoni Nafurahii kila nikikutizama namuona John Pombe
@jafaribori5428
@jafaribori5428 5 ай бұрын
Hongera kaka Makonda Nina kufatilia sana nikiwa hapa UK nahisi majonzi yanapunguwa kwa kukupata kijana wa magufuli
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel kabisa
@demicratia4071
@demicratia4071 5 ай бұрын
labda MIAKA 14😂😂😂😂
@annamussa185
@annamussa185 5 ай бұрын
Kwa style hii utapata urais miaka ya mbele ila usome sasa❤
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 5 ай бұрын
Ila wewee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adamjosephkatigizu19
@adamjosephkatigizu19 5 ай бұрын
Eee Mungu Baba mlinde makonda
@JumaJafary-xz8jm
@JumaJafary-xz8jm 28 күн бұрын
Kiukweli najihisi kama namuona mh magufuli. Ndugu makonda Sali sana, kumlilia mungu akukabidhi hii nchi. Allah atakuongoza aamin.
@samwelgetocho6913
@samwelgetocho6913 Ай бұрын
Mungu ana watu wengi, anaweza kumuinua hata mtoto akamsaidia
@AminaGervas
@AminaGervas 2 ай бұрын
Yaani mwenda zake namuona huyu hapa, Sina cha kuzungumza juu yako bb Kegan Mungu tu akutetee. Aaamin
@rahmashapani5926
@rahmashapani5926 5 ай бұрын
Ubarikiwe kiongozi wetu Baba yangu pia kazurumiwa mashamba.yake yote na ndugu zake Mungu anawaona ukosefu wa pesa mtihani Wallah
@emmyurio7735
@emmyurio7735 5 ай бұрын
Mungu akutunze akuagizie malaika Kila unakokwenda
@norahmogiti6849
@norahmogiti6849 Ай бұрын
Mungu usimpite huyu Makonda unapobariki na kuinua familia yake na uzao wake uwe juu zaidi ya wengine,NAMI nahitaji msaada kama huo😭😭😭
@marymanoni5536
@marymanoni5536 5 ай бұрын
Makonda Mungu akutunze
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 5 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi mh makonda
@Itsst4ra
@Itsst4ra 5 ай бұрын
Alafu anakuja mangekimavi anataka kutugombanisha na makonda wetu magufuli is back Mungu anatupenda yarabi
@Wiope430
@Wiope430 5 ай бұрын
Ziara ya Mh. Makonda kwenye mikoa nchini ni tasmini tosha ya jinsi kazi zinazofanywa na viongozi kwa wananchi; Pili imeonyesha jinsi ufisadi unavyoendelea kufanywa na baadhi ya viongozi kwa wananchi nchini kwenye hawamo ya 6. Kazi kwa MH.Raisi Samia. Ubarikiwe MH. Makonda
@nyamaithyaka
@nyamaithyaka 3 ай бұрын
Keep up good leader , like the late pombe maghufuli tetea watazania
@user-cr3mc1ch9g
@user-cr3mc1ch9g 9 күн бұрын
Huyu jamaa Mungu amlinde tuu...anapiga kazi sana
@UmiSaid-du1vy
@UmiSaid-du1vy Ай бұрын
Asante kwa kazi nzuri, uje znz utusaidie nasisi wanyonge😢
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Ай бұрын
Makonda Kaka yangu Mungu akulipe maana mimi sina cha kukulipa❤❤
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Bi Mkubwa ajipata viongozi Kama MAKONDA,10 ataukata,kwenye uongozi wakeee..10 tuuu
@PromissGmtoto
@PromissGmtoto Ай бұрын
MZEE WEWE SIYO MKUU WAMKOWA TU BALI WEWE NIMKUU WA WAKUU WAMIKOWA TZ UBALIKIWE SANA
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 ай бұрын
Anuani hiyo apo😂😂 no ya simu hiyo hapo😂😂😂😂tumbo kubwa utafikiri hujambi
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-bb2xi3vi7y
@user-bb2xi3vi7y 4 ай бұрын
Makonda baba heshima yako 🙏🙏🙏🙏🎉
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Machozi yetu hayataenda bure, asante mama Samia.
@user-zm5pn5wg4y
@user-zm5pn5wg4y 4 ай бұрын
Safi sana muhushimiwa wahtee wenye hakizao
@etemesiedward1508
@etemesiedward1508 2 ай бұрын
magu is back oyoeee
@user-ve5yv8kg8z
@user-ve5yv8kg8z 5 ай бұрын
Respect the moment Kiongozi Mungu atakusudia
@user-rw6cj8jy8m
@user-rw6cj8jy8m 4 ай бұрын
Mungu amubariki Makonda
@Shwaibu
@Shwaibu Ай бұрын
Huyu mwamba anafaa kuwa raisi anatetea wanyonge MUNGU akulinde
@user-qt3rb3vo1f
@user-qt3rb3vo1f 5 ай бұрын
Mheshimiwa makonda unankumbusha magu nahc wew ni kivuli cha magu Unafanya kaz nzuri Mungu akubariki sana!
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 3 ай бұрын
Mungu akutunzemakonda wetu weee unanipa raha sana
@FortunateAlphonce
@FortunateAlphonce 18 күн бұрын
Makonda mungu akupe maisha marefu umekua kimbilio la wadhulumiwa
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 5 ай бұрын
Makonda nakupenda sana, tetea wanyonge mungu akulinde
@user-ou5dk1ds5t
@user-ou5dk1ds5t 5 ай бұрын
Makonda ubarikiwe na mungu akulinde
@anthonyndema2739
@anthonyndema2739 5 ай бұрын
Braza makonda wanaokubeza hawitakii mema nchi hii,na hawajui wanyonge wanavonyanyaswa.
@hannan4508
@hannan4508 5 ай бұрын
Aibu Sana Kwa chama cha mapinduzi
@fikiriisaya5803
@fikiriisaya5803 5 ай бұрын
Mungu wawatanzania akulinde makonda
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 2 ай бұрын
Dahhh!! Ila namuona Mh! Magufuli ndani ya Makonda. Mungu akulinde mdogo wangu maana tunaambiwa vizuri havidumu.
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 13 күн бұрын
Viongozi kama hawa ndio tunataka ila wengi wanachukua hiyo advantage ya uongozi wakinyanyasa wanyonge
@RabieGerard
@RabieGerard Ай бұрын
Uyu mwamba namkubali sana piga kazi baba mungu akutunze
@DamasiAdam
@DamasiAdam Ай бұрын
Yes huyu mkuu wa mkoa Yuko vizuri anataka kufata nyayo za Uncle Magu
@abbassalum6824
@abbassalum6824 5 ай бұрын
Ila Makonda mim Unaniboa hapo unapambana wew na shida za wananchi unataka wasifiwe wengine kwani yeye haoni shida za wananchi mbona haziongelei na kwenye kula kama hugombei wew urais CCM napiga chini asubui tu kwani wew unaroho ya plastiki mbona unasema
@IssaMraja-kr3qi
@IssaMraja-kr3qi 3 ай бұрын
Mh makonda mungu akumwilike kwa kuhusu yako n ujue uiongoze tanzania
@boneharris4949
@boneharris4949 12 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU akulinde
@sabasmbunda5018
@sabasmbunda5018 Ай бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa
@NiselaNyakato-wl3kq
@NiselaNyakato-wl3kq 5 ай бұрын
Mungu aendelee kumulinda mh. Makonda
@Mrenosoda-oh2vx
@Mrenosoda-oh2vx Ай бұрын
basi tu. makonda Mungu akulinde popote uendapo na uingiapo
@happymboya7697
@happymboya7697 5 ай бұрын
Mungu akulinde sn baba entu wa badae unafaa kua lais jamani
@norahfrank
@norahfrank 5 ай бұрын
Kweli watu wamwogope Mungu.kwa haya???? Mhh!!!
@DicksonCharles-km9vu
@DicksonCharles-km9vu Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu makonda tunge wapata ata nne ivi has itanzania tungetembea kifua mbele
@user-mk3gu3ft3u
@user-mk3gu3ft3u Ай бұрын
Hiyo nikama magufuli mungu amulinde.kalume David kutoka r.d.c .
@selemsigala4771
@selemsigala4771 5 ай бұрын
Mungu akulinde kila iitwapo leo atakama wabaya wapo Mungu awaangamize pale watakapo kuwazia mabaya yeyote yakawakute wao.
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 5 ай бұрын
Hakika nchi hii ingekuwa na makonda wengine kumi tu maisha yangenyooka.
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel kabisaa
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 5 ай бұрын
Naumiaga sana nikiona mama analia machozi dah!😢😢😭😭 E MUNGU BABA TUSAIDIE SISI WANYONGE
@StellaShirima-t4x
@StellaShirima-t4x 11 күн бұрын
Mungu akulinde wewe tu .
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh 5 ай бұрын
Haya ndo yale yalitumbuliwa na magu na sasa yamerudishwa.
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 28 күн бұрын
Barikiwa baba.Makonda kaka wa Taifa.
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi Ай бұрын
Vijana wako vizuri sana nibasi tu
@machimushukran3742
@machimushukran3742 Ай бұрын
Makonda waangalie sana walio kalibu na ww ushauli wangu kwako
@user-qj6kl3bs9o
@user-qj6kl3bs9o Ай бұрын
Amina
@user-bx1qo9fe3q
@user-bx1qo9fe3q Ай бұрын
Rais uonewatanzania wachini tunavyoonewa na viongoz wako Asante makonda
@user-ey9yj2ic3s
@user-ey9yj2ic3s 5 ай бұрын
Makonda wewe ndio Magufuli ujaye najuwa hipo siku moja utakuja kuwa rais wa Tanzania natamani sana natumaini hipo siku moja ndio tamanio lang
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
HOUSE GIRL EP 59 || love story💞💕
22:09
BUSATI TV
Рет қаралды 10 М.
Mwanafunzi ‘AMKUNA’ MAGUFULI, ATOA MILL 5, Ampandisha Kwenye GARI!
13:43
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН