VILIO NA HUZUNI.... MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA

  Рет қаралды 3,605,362

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Miili ya watu 35 wakiwemo wanafunzi 32 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa leo May 8, 2017 ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu aliwaongoza watanzania kuiaga miili hiyo katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Пікірлер: 726
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
2021 nimemkumbuka mdogo wangu mungu awalaze mahali pema peponi r.i.p ☹️😂😂😂
@annngugi3446
@annngugi3446 4 жыл бұрын
Poleni sana ndugu na dada wetu twalia pamoja nanyi Mungu awapanguze machozi#254 pita na like tuwape pole ndugu zetu
@fatmahcharo5098
@fatmahcharo5098 5 жыл бұрын
kwa Muslim wote walio poteza maisha. inna lillah wainna illayh rajun na kwa Christians Rip mungu awalaze pema peponi ameen
@dollarfam6031
@dollarfam6031 3 жыл бұрын
Kila nkiona hii clip nashindwa kujizuia kulia akh Allah awape watoto kauli dhabit in sha Allah inna lillahi waina illeyi rajiuun😢😢😢😢😢😢😢
@officialmwerevu5455
@officialmwerevu5455 4 жыл бұрын
Bado tutawakumbuka sana... wadogo zetu.. Mungu awaepushie na kuwapunguzia adhabu ya kabur😭😭
@nurumahenge3836
@nurumahenge3836 7 жыл бұрын
jaman inauma sana daaa Asante Millard Ayo kwa kutujuza poleni sana ndugu zangu Watanzani na wazazi waliondokewa na watoto wao inauma sana R.I.P
@vinnocky_b1430
@vinnocky_b1430
Duuh pole sana yaani aise 😢
@juliuswerema3655
@juliuswerema3655 14 күн бұрын
Wadogo zangu mungu awalaze mahali pema peponi
@khafidhiabasihuseni1999
@khafidhiabasihuseni1999 4 жыл бұрын
Tuna wapa pole kakonko kwa msiba wame tangulia na sisi tuna fata
@helanah2509
@helanah2509 5 жыл бұрын
Poleni Sana nduguzanguni imeniuma Sana Lakin hatuna jinsi ni kazi ya mungu kawapenda zaidi tuwaombe safari Yao iwe Salam mimi nikiwa Oman amain
@suleimankatana8067
@suleimankatana8067 4 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba mulio pata mungu aziweke roh zenu mali pema peponi inauma sana tutakutana uk ishallah
@leonmulwa1756
@leonmulwa1756 2 жыл бұрын
Those beautiful souls are still fresh in our hearts, let them fly high.
@kamiquenmark973
@kamiquenmark973 7 жыл бұрын
😢😢😢 ooh Lord cant control ma tears y little angels poleni sana wana Tanzania mungu ndiye shuluhisho kwa kila jambo
@tonnymasila2838
@tonnymasila2838 7 жыл бұрын
Their demise is a great loss not only to their kin and kith but also to the entire nation...On behalf of my fellow Kenyans I send ma sincere condolences to the family members and may the Almighty strengthen them...So sad to have departed without saying bye...May their innocent souls rest in eternal peace and May love en peace prevail in Tanzania.
@iviejustified8109
@iviejustified8109 7 жыл бұрын
Commanders, Compadres...
@jeandedieunduwimana6599
@jeandedieunduwimana6599 4 жыл бұрын
Poleni sana bandugu zetu mungu apumuzikeshe miili yawandugu zetu mahala pema pepuni
@jacquelinemligulla8481
@jacquelinemligulla8481 4 жыл бұрын
Poleni sana kazi yamungu haina makosa .sadiki sanga
@thuwaibaabdallah6880
@thuwaibaabdallah6880 4 жыл бұрын
Nimesema comment zote lkn sijaipata tarifa kuhusu hivi vifo chazo nini haswa ila tu sema innalilah wainna ilahi ranjiun Allah ajaliye kauli thabit 🙏poleni sana 😔
@nicholasrajabrajab330
@nicholasrajabrajab330 4 жыл бұрын
Poleni saana wazazi wangu polen saana tanzania mungu atawafariji, R.I.P
@muhingiramuhingira9715
@muhingiramuhingira9715 4 жыл бұрын
Very painful, very sad to our beloved sons & daughters, God be their parents!
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 135 МЛН
Maiti kufufuka machokos
8:13
Alpha king Martin TV show
Рет қаралды 9 МЛН
FULL UKAKAMAVU WA JKT,MBWEMBWE WAKIHITIMU MAFUNZO YAO KIGOMA
6:43
Millard Ayo
Рет қаралды 11 МЛН
Mapokezi Ya Manusura Ajali Ya Wanafunzi Wa Lucky Vicent  1
15:09
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 56 МЛН