DAR BOXING DERBY | Baada ya game, Nasibu anakubali matokeo na Juma anafichua kilichompa ushindi huku akiacha kazi kwako kumchagulia bondia yeyote ambaye yuko juu yake kwenye viwango (rank). Je, apewe nani? Nyie hamuogopi????
Пікірлер: 11
@bebetotembo9899Ай бұрын
Juma choki ana nidhamu sana hongera champ
@abdallahkambangwa7215Ай бұрын
safi sana, nimekukubali sana kijana
@user-ms1xg1fp4vАй бұрын
Mungu awabariki wote
@AyubuMuhangaАй бұрын
Safi
@saidmlali8559Ай бұрын
True champion 🔥🔥
@mtengwadj9390Ай бұрын
CHAMPION
@SalumkifuLukwe-wk7spАй бұрын
Umeongea kwa ndani kabisaa
@khatibumtaki7425Ай бұрын
nakubali choki nidham kubwa kwa kaka mkubwa
@aishakhalifan4960Ай бұрын
Nashkuru kwa nidhamu ya choki
@athumanimiraji751Ай бұрын
Tunaomba acheze na salimu jengo (mtango) tunahitaji hii burudani
@EmilyMwendilemo26 күн бұрын
Huyu dogo ngumi anajua nidhamu anayo atafika mbalia sana