Vitu Vinavyopoteza Kujiamini - Joel Nanauka

  Рет қаралды 126,516

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 237
@successmbizo3209
@successmbizo3209 3 жыл бұрын
Mimi naona mafundisho yako si ya kisaikolojia tu ni ya kiroho pia, yana upako wa Mungu ndani yake. I honor your service brother
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 3 жыл бұрын
urafiki ni kitu kimoja kiyuri sana. Maana hata bibilia inayungumzia urafiki wa kweli na ule wa uwongo. nimekua mwaminifu kwa kutumza siri za marafiki. urafiki wangu ni ule wa kujitolea ijapo kuwa na uwezo, nimekumbana na waombaji nikashindwa. kwa kifupi niseme rafiki zangu ninawapa thamani kubwa sana mpaka hapo atakaibuka mtu halisi. huo ndio wakati wa kuchukua hatua. na kwa kawaida yangu si rahisi lakini huwa naenda moja kwa moja kwenye point. Au yatakubalika au yatakatalika mwisho wa habari. Hua napata uhusia kwenye nenon la Mungu. Ambalo kwangu ni muhimu sana. najifunza mengi kutoka kwako. Mungu akubariki Nanauka.
@eliasieliasi3374
@eliasieliasi3374 2 жыл бұрын
Keel kabisa
@eliasieliasi3374
@eliasieliasi3374 2 жыл бұрын
Mm kilichoouwaa kujiaminii kwangu ni kutokujuaa thamanii yanguu imenitesaa Sana'a yan nilishindwa hats kuthubutu vitu kisa sijiamini
@rashidibilali8884
@rashidibilali8884 Жыл бұрын
Mafundisho yako nimeyapenda kwasababu yanafundisha
@anandepallangyo4177
@anandepallangyo4177 3 жыл бұрын
Hii video imenigusa sana katika kipindi hiki,najikuta sababu takribani zote zinanigusa 😥😥 ,muda huu tuu nikiwa nawaza kwani kuna umuhimu gani mimi kuishi baada ya kila kitu kukaa vibaya 😢,likanijia tuu wazo emb nimuone Joel anasemaje, Moyo wangu umepona sasa,asante Joel 🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen, nafurahi kwa kuwa umepata nguvu ya kuendelea.Mungu azidi kukutia nguvu usonge mbele.Usikate tamaa
@anandepallangyo4177
@anandepallangyo4177 3 жыл бұрын
Amen Joel, namshukuru sana 🙏
@sethmwamanda6863
@sethmwamanda6863 3 жыл бұрын
Kweli kaka Joel
@adamuhamisi4637
@adamuhamisi4637 3 жыл бұрын
Uko vizur brather
@monicaregina7792
@monicaregina7792 3 жыл бұрын
Brother Joel wewe Ni mtu mhimu Sana kwangu,Mungu akutunze kwa ajili ya Tanzania na dunia.Mungu akutunze Sana .
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka Nanauka,yaani mimi naona karibia yote yananihusu kabisaa hasa swala la mahusiano lilitaka kunimaliza kabisa sio tu kuondoa kujiamini nilitamani hata nisiwepo duniani,lakini Mungu ni mkuu amenisaidia mpaka nakuja kukutana na mafundisho haya kwangu ni Neema kubwa sana, Mungu akufungulie milango ya kuwafikia wengi zaidi najua kuna mtu anakusubiri,sawa na Sw Sw Sw Sw....🙏
@ismailsaid6138
@ismailsaid6138 3 жыл бұрын
Sijawahii kujutia kumaliza bando langu kuangalia mafundisho yako Brother Joel asante na furaha imeongeza baada ya kuipata namba yako katika gazetti la mwananchi👏👏✊✊
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Duh 😘. "mkeo' ana furaha sana Brother🙏maneno Yako matamu sana 💕 'naendeleo , kujifunza!!!!! Hallelujah hallelujah Maupako kama Yote🤸‍♀️🤸‍♂️
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@asyaasya3766
@asyaasya3766 3 жыл бұрын
Wewe Kaka Joel, niseme tu asant Mwenyezi Mungu kwa kutuumbia kiumbe wako huyu anae tufanya tuishi kwa raha na kuipata amani na ujasiri wakujiamini sasaivi hatubabaishwi na chochote kupitia mafunzo yake alhamdulillah
@salmahamza2277
@salmahamza2277 Жыл бұрын
Hongera kak
@jamesibrahim8849
@jamesibrahim8849 3 жыл бұрын
...mahusiano yalichangia kupunguza uwezo wangu wa ujasiri (confidence)
@christinaisack8697
@christinaisack8697 3 жыл бұрын
hata me nilipitia hali kama hiyo
@neemameshackkilongozi5796
@neemameshackkilongozi5796 3 жыл бұрын
Amen brother Mungu akubariki Sana najifunza vitu vingi Sana kupitia wewe
@faridhasan4398
@faridhasan4398 3 жыл бұрын
Mwenyezi Munqu akufanyie wepes kwenye dunia hii mm mbunqe wao 😀
@devothadonaldsimbi3499
@devothadonaldsimbi3499 3 жыл бұрын
Hiyo ya mahusiano hata leo hii imenimaliza kabisa, ahsante kwa kuniokoa
@AnnaKaaya-zg4jw
@AnnaKaaya-zg4jw Жыл бұрын
kiukwel nafurahia Sana elim yako mm binafs nimepoteza Sana kujiamin tatizo kubwa mahusiano Hadi nimeamua kuacha kbisa unanishauri nini nduguyang
@meshackmwakajwanga8349
@meshackmwakajwanga8349 3 жыл бұрын
Asante san kw ushauri wako,mwenyezi mungu akubarki kw kile unachotoa n kikubwa zaid kulikotunavyo thani,ubarikiwe!!
@jumamabruck7846
@jumamabruck7846 3 жыл бұрын
Kaka sijuw niseme Nini namshukuru Mungu kutupatia mtu Kama wewe najiona nazidi kukua na kujenga zaidi Mungu akuweke miaka ya vocha...
@user-ov4ox2dm1b
@user-ov4ox2dm1b 6 ай бұрын
Brother joel mungu akulinde akupatie maisha marefu
@bwanashoppingtz8709
@bwanashoppingtz8709 3 жыл бұрын
Nilipoteza ujasri msimamo na marengo kwa kuoa mtu ambae sio chaguo lakin yeye ananipenda sana mi sina mapenzi kwake imesababisha adi kupoteza mtaji samani yangu kwa mawazo na kufanya vitu sio sahihi kwa uchungu tu.
@sexy_baby9599
@sexy_baby9599 3 жыл бұрын
Asante sana masomo yako yanisaidia sana .. Nimeanza kukusoma wiki iliyo pita ila naona unanipa moyo sana
@marykisima666
@marykisima666 3 жыл бұрын
Nilikuwa nateseka sana na Past sasa nimejiponya now i am very fine.I am rebuilding my confidence
@linardamuindi6856
@linardamuindi6856 3 жыл бұрын
May God have mercy and help me move forward.
@enockedward1783
@enockedward1783 Жыл бұрын
Macho yametoa machozi kwani sababu ya 1 hadi ya 5 umezungumza kuhusu maisha yang & Moyoni mwangu nasikia kama furaha inayotafuta pa kutokea hasa ninapokumbuka Njia a kutoka ktka hali hii NIMESAIDIKA Aksante "Mtoto Jo"
@jamesibrahim8849
@jamesibrahim8849 3 жыл бұрын
...ndio Mwl. J. Nanauka, Binafsi mahusiano yakuchambua kupunguza uwezo wangu wa ujasiri. Asante but now I'm very confident than ever I took control of myself
@reganmsellemselle3998
@reganmsellemselle3998 3 жыл бұрын
Kaka Joel nanauka nakushuru sna kwa elemu .yako imekuwa uponyaji kwenye maisha yngu. God bless brother
@avitus-thobias
@avitus-thobias 4 ай бұрын
Kitu ambacho kilinikosesha ujasiri ni TO LIVE THE PAST (bad previous experience) nathani nitakiwa nimepona sasa, ahsante Mungu akubariki
@orutasikabuwo8410
@orutasikabuwo8410 3 жыл бұрын
Sw sw sw sw!! Some one won’t, someone will ,so what ,someone waiting for you !! Kajuzuri sana
@subirajafari8094
@subirajafari8094 Жыл бұрын
Hata sijui niseme ninj ila mwenyez mungu azidi kukubariki saana
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 жыл бұрын
Hili somo nilangu asante kwakunifungua mana nakumbuka kazinikwangu wengi walinichukia mmoja tuambae ni boss alisimama upandewangu nami nikasimama vyema nasasa maisha yanaendelea Asante sana kaka Joel 🙏
@hellenismail4351
@hellenismail4351 3 жыл бұрын
My great person of all the timeee...Kaka Joel Nanauka....❤
@yuvannboydebravaour3678
@yuvannboydebravaour3678 3 жыл бұрын
Asee asante sanaa kwa kutufunuaa macho na mwenyez mungu akubariki kwa unachokifanyaa
@lucku5336
@lucku5336 3 жыл бұрын
Kak i feel so comfortably when tries to listen your videos god bless you
@imanmedia8910
@imanmedia8910 3 жыл бұрын
Umekuw mwanga na Nuru kwa wengi Mungu akupe maisha marefu
@methodmgisha6783
@methodmgisha6783 Жыл бұрын
Kila ninapokusikiliza unanifanya niendelee kukusikiliza . Niko Arusha.Mungu wa Baraka akumiminie Baraka Zote . Uendelee kuwasaidia wengi kama ulivyonisaidia mimi .
@Usawa_phonetech
@Usawa_phonetech 3 жыл бұрын
Umebadili maisha yangu broo JOEL ASANTE
@silenceneverson8648
@silenceneverson8648 2 жыл бұрын
I always listening to you from Malawi. You always inspired me my brother Joel
@zainabumajinji402
@zainabumajinji402 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana kwa masomo yako yananifungua sana naitaji nipate vitabu vyako Mr Joel
@amanigeorge9886
@amanigeorge9886 Жыл бұрын
It's my first time to listen this Nondo.Mungu akutunze uendele kusaidia jamii.
@shabanlusan6890
@shabanlusan6890 5 ай бұрын
The things that make to kill my confidence is rejection from my parents and other relatives in some activities such as business and so on but now am good coz i built confident since i discovered that problems thanks ma broda nanau for ur classs of mentorship
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
Thank you My Brother Joel may God bless you more n more 🙏
@imaniathanass1156
@imaniathanass1156 Жыл бұрын
Broo unaeleweka Kwa urahisi sanà shukran sanà Kwa masomo yako
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 2 ай бұрын
Ameeeen,,Mungu akubariki sanaa kaka Joel 🙏🙏🙏
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Haki kaka uko sahihi Kuna muda unakataliwa kwenye jAmbo kama wanakukomoa kumbe ndio mwanzo wa mafanikio yako .nilishakutana na mtihani uwo lkn mungu NI mwema Kwa sasa ..nyota ikawaka baada ya kuondoka. Sehemu iyo alhmdulillah ✍️✍️
@KennedyLudovicky
@KennedyLudovicky 8 күн бұрын
Chanzo kikubwa kwangu ni aibu imepelekea adi kushindwa huduma kanisani , 😢😢
@neemaemanuel8877
@neemaemanuel8877 3 жыл бұрын
Big up bro,, u always heal many broken hearts of many ppo thru ur education..God bless u
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 жыл бұрын
video nying naangalia ila nashndwa ku comment ktu' nashindwa tu chakuandika zaid ya kushukuru maana nmekua nikijifunza vtu ving sana
@sendamachenge6311
@sendamachenge6311 Жыл бұрын
Tuna faida kubwa sana kupitia ww TANZANIA GOD bless you,ww ni mwalimu wa KIROHO kabsa
@bensonstephano
@bensonstephano Жыл бұрын
N kweli n jambo gumu sana kusahau yaliyopita
@LucasMalowola
@LucasMalowola Жыл бұрын
my bro joel nakufwatilia na naendelea kukufwatilia maana kila kitu unachokiongea nina kutana nacho
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 2 жыл бұрын
Kuachwaaa na mwanaume niliyempendaa sana na mausiano yalikuwaaa wazi mno ilinifanya nisijiamini kabs🥲 lakn Mungu alikuwaa na makusudi jamaa alikuja akaumwaa akafariki huendaa ningekuwaa mjane
@benedictobulugu8643
@benedictobulugu8643 3 жыл бұрын
Ww jamaa nigenius sana aisee ,tunakushukuru kuzaliwa Tanzania kama magufuri utusaidie wengi,
@hamisihabibu8524
@hamisihabibu8524 2 жыл бұрын
Umenitia moyo kwa makubwa nilio pitia, kwani nimeona sijachelewa nami namtanguliza mungu kwa ajili ya afya na uzima ili nipite kwa usahihi ktk mafunzo yako. Ubarikiwe sana .
@lameckchahoa3410
@lameckchahoa3410 2 жыл бұрын
MUNGU akutunze sana uwe na Miaka Mingi sana Hapa Unafungua Akili zawengi Sana mm nikiwa wakwanza
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana broo,GOD bless YOU♥️♥️♥️
@joycemugaka3039
@joycemugaka3039 Жыл бұрын
Asante kaka mungu akubariki mm ni likataishwa tamaa na boss wangu kasiini,bt nijiamini juunilikua na experience sikukabaliana kumuziliza nilingangana mwisho na kujiamini mwisho nilikubariwa na shukuru mungu juu sikukata tamaa
@annajustin1945
@annajustin1945 2 жыл бұрын
Kaka nashukuru Sana kwa mafundisho yako maana nilipoteza ujasiri baada ya Mpenzi wangu..kunitamkia maneno ya kunishusha hadhi..lkn baada ya kuanagalia video zako nimeinuka Tena na Niko juu kuliko..na nilijaribu kumtamkia kabsa kwamba hatanishusha Tena.!! ..sichoki kusikiliza mafundisho yako..barikiwa sana
@juliusjoseph4889
@juliusjoseph4889 Жыл бұрын
kuna watu wengi Sana wanapata faraja kupitia masomo y'ako brother,ubarikiwe Sana Joel nanauka
@herychavdy1372
@herychavdy1372 3 жыл бұрын
Good safisana kaka Asante kuanzia reo najiona kua na dhamani na Confidence
@joshuajoshuamangoto6299
@joshuajoshuamangoto6299 Жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwa somo zuri
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Leo nimeamini unachosema ni kweli wapo wachezaji wengi sana walionekana hafai wakaachwa wakaenda timu nyingine wakawa hatari sana kiuchezaji mfono Kevini De Brune alitoka chelsea alisafa sana kuipata namba sasaivi tegemezi Man city wapo wachezaji wengi tu nimejionea upande wa michezo uko sawa kbs
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisaa
@godwinnagol8324
@godwinnagol8324 Жыл бұрын
Kwa kweli you are good umenifundisha mengi mazuri.Mungu akubariki Sana kwa talent yako
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 3 жыл бұрын
God bless you 🙏❣️❣️❣️💞❣️❣️
@user-yq2mh3xq2w
@user-yq2mh3xq2w 7 ай бұрын
Living in the past Feeling of unworth Surrounded by negative people
@lukandaguillaume4175
@lukandaguillaume4175 Жыл бұрын
Mwalimu wangu wa kipekee
@Its_Tokyootz
@Its_Tokyootz 3 жыл бұрын
safi 👍👍
@francisstephen4039
@francisstephen4039 2 жыл бұрын
Asante sana mkuu kwa somo zuri
@user-fo3my7xs9o
@user-fo3my7xs9o 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana umenfugua mmm
@MussaBukombe-jh5pm
@MussaBukombe-jh5pm Жыл бұрын
Thanks my brother and God bless to ur life
@masalashimbarah185
@masalashimbarah185 3 жыл бұрын
Hongera bro kwa somo ZR lanipa nguvu ya kuendelea mbele
@langatkipkikrui2047
@langatkipkikrui2047 3 жыл бұрын
Napenda saaana funzo lako,hasa hapo kwa mkopo bila mpango
@gwaxmwakilili4472
@gwaxmwakilili4472 3 жыл бұрын
That's my mentor... JOEL
@jumeletv7794
@jumeletv7794 3 жыл бұрын
thanks brother big up sana na.mungu azid kukutia nguvu kaka kwa kazi hiii!!!!!
@yusufushillah4192
@yusufushillah4192 3 жыл бұрын
Shkuran sana kaka nanauka me nakufuatilia saana na nnakuelewa
@mericktamba7981
@mericktamba7981 2 жыл бұрын
Niceeeeee ....brzaa🔥🔥🔥🔥💫💫💫
@fefehakunamatata1350
@fefehakunamatata1350 Жыл бұрын
God bless you broh napataje vitabu vyako niko zanzibar👏🏾
@hikupskikons8914
@hikupskikons8914 3 жыл бұрын
NICE NICE
@danielamosi2553
@danielamosi2553 3 жыл бұрын
Mimi niwa thamani sana
@user-tm8mj3so8s
@user-tm8mj3so8s 5 ай бұрын
Asante sana kaka umenisaidia Sana
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 жыл бұрын
nashukulu sana kaka nikikisikiliza Nagasaki napata nguvumupya. mungu akubaliki sana
@justinebaada9079
@justinebaada9079 3 жыл бұрын
Dah hili somo limenigusa kwa kiasi kikubwa sana tena hyo point ya kwanza . lakini nashukuru sana kwamba nimejifunza kitu muhimu sana hapa
@jamomuthakacommedy5721
@jamomuthakacommedy5721 Жыл бұрын
My regret is why did I not listen to joel when i was the most talented guy in meru😢😢
@muksinmuamed6777
@muksinmuamed6777 3 жыл бұрын
Brother joel, mafundisho yako nimekubali bro 💯💯💯💯💯💯
@amarislam1589
@amarislam1589 3 жыл бұрын
nilikua na hilo tatizo la kutojiamini sanaa.ila baada ya kupata kitabu chako cha jinsi ya kujenga ujasiri na kujiamini. na kukisoma kimenisaidia sanaaa.na kwa sasa tatizo hilo limesafiri.asanta
@jerryurassa3309
@jerryurassa3309 3 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa somo nzuri
@user-kq4if8dn5b
@user-kq4if8dn5b 8 ай бұрын
Ahsante kaka kwa kuniokoa
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 3 жыл бұрын
Utterly outstanding video ever, you really know how to hit the nail on the head brother, I profoundly admire your work ethic, you are meticulous, eloquent and tenacious man, frankly you great lesson, I always get something when I come to lend an ear to your video, everythingis flawless, apart from feeling euphoric I always feel worthy and neverto late! when I listen to your video,.thanks a lot, keep up great work,.
@salmashoo8100
@salmashoo8100 3 жыл бұрын
Hiii namba mbili mwanangu kabisa ana tabia hizi
@estherkimario2039
@estherkimario2039 2 жыл бұрын
Kak joel naomb unisaidie nitawezaje kuishinda hofu yangu
@hezekiaramadhan5043
@hezekiaramadhan5043 3 жыл бұрын
Nimeyafurahia mafundish cjuti kununua CM Man mafundish yako yanathaman kuliko cm yanafaidi
@EmmanuelMoswala-pj4hu
@EmmanuelMoswala-pj4hu Жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 3 жыл бұрын
The video really touched my heart,.!.
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 3 жыл бұрын
Shukurn Mungu Akuepushe na Shari za watu
@labanbasugoya6764
@labanbasugoya6764 2 жыл бұрын
Nimekupata Sana.
@twahaally1969
@twahaally1969 2 жыл бұрын
Hii videos niliangalia mwaka jana leo nimeiyangalia tena... wangapi tunarejea rejea kuangalia VIDEOS za MR NANAUKA.
@allysingle2446
@allysingle2446 3 жыл бұрын
Mwalimu
@abdulrahimmohamed857
@abdulrahimmohamed857 9 ай бұрын
Kazi iendelee
@user-os9nb8ub6k
@user-os9nb8ub6k Жыл бұрын
Asante sana nashukulu sana
@meddybar0tzmeddybar091
@meddybar0tzmeddybar091 2 жыл бұрын
Big blood 2⃣6⃣🏁4L
@nadedepeter250
@nadedepeter250 3 жыл бұрын
Thanks alot speaker Joel u have raised me again
@sunivasixmund5739
@sunivasixmund5739 3 жыл бұрын
Unanifundisha sana kaka nakufatilia sana mungu akubariki
@munajafu3080
@munajafu3080 3 жыл бұрын
Umesema kweli kaka nitahaza Leo shukran sana kaka
@dorcasloy7935
@dorcasloy7935 2 жыл бұрын
Asanteeee sanaaaaaa
@monicaregina7792
@monicaregina7792 3 жыл бұрын
Sahivi najitahidi nikusikilize kila siku, hata Kama ni usiku.
@salummohammed408
@salummohammed408 Жыл бұрын
Kaka nakufatilia xn lesson zako,unanielimisha xn
Mambo ya Kuzingatia Unapojiandaa na Usaili wa Kazi/Job Interview
13:01
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 79 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
TOKA KWA RUGE MUTAHABA
24:18
Success Path Network
Рет қаралды 146 М.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 48 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 262 М.
Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 121 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Sababu 7 Kwanini Hautimizi Malengo/Ndoto Yako - Anthony Luvanda
49:28
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 71 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН