Eeh !!! Mwnyz mungu mjalie mjaa wako mwisho mwema na umuingize peponi na si mwengine ila habib mazinge, ameufanya uislamu upendeze zaidi, na si mamlaka yake bali kwa nehema yako ww Allah 🤲🤲😭☝️🕋
@fatmasalim82932 жыл бұрын
Uislaam dini ya haki subhanallah allahu akbar
@musakutisha3062 жыл бұрын
Yahaya Allah akupe Jannah 😢😢🙏
@Hussayn21 Жыл бұрын
Aaaamin
@saidkinyogoli66112 жыл бұрын
Said Ricco, Yahya Hosea, Mbwana Mohamed, Muhingo Allah awarehemu awasamehe makosa yenu Amin
@Dysmedia2542 жыл бұрын
Ameen 🤲🏻
@khadijaiddi48872 жыл бұрын
Amin
@tahiraabdul17012 жыл бұрын
Aameen
@TheFortunate652 жыл бұрын
Amin. Allah arhamahum.
@ukaranderow30352 жыл бұрын
Amiiin
@yussufbagobago67079 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe maisha marefu she wetu H O Mazinge na walotangulia mbele ya haki M/mungu awape Nuru kwenye makaburi Yao Amiii
@HashilElhamdan2 жыл бұрын
Allah amrahamu Yahaya na atukutanishe nae pepo ya Firdaous Insha Allah....
@mwanaimaabdallah78252 жыл бұрын
Amiyn
@eshasalim54962 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@abdulkawimba18053 ай бұрын
kwani alifariki!
@abdulkawimba18053 ай бұрын
kwani alifariki!!
@mohameeddoaan22962 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh mazinge Allah akusimamie naakupe umri mrefu
@aishadaba70452 жыл бұрын
Aaaamin kwa soote jamian muslimin 🤲
@ismilecheseremkip361 Жыл бұрын
Mazinge you're the best may you live longer ALLAH TO BLESS YOU
@user-rs9ws1om8b9 ай бұрын
Angekuwa best angemfikia pesa Mwampisa
@abdularuffin93082 жыл бұрын
Mashaallah jazzakum kheri mashekhe wetu najivunia sana kuhusu nyie
@fadhanamunishi62202 жыл бұрын
Mashaallah Allah amrehemuShekh Yahya
@eshasalim54962 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@jamalathman62192 жыл бұрын
Mashallah sheikh mazinge mungu akupe afya na umri mrefu
@mbarackkalinge3332 жыл бұрын
Allah nakuonba umuhifazi shekhe wetu yahya
@saidaali38182 жыл бұрын
Mashallah Islam ni dini ya haki
@dottokulwa707511 ай бұрын
Ukweli hakuna niliekua nampenda kama yahya allah ampe pepo namkumbuka sana naninamuombea mazige allah aendelee kumuweka hai nakumpa afya njema yeye na familia yake
@abdulkawimba18053 ай бұрын
yahya anajua sana
@mwanahamis54872 жыл бұрын
Yahaya pumzika kwa Amani Allah akujalie janna
@rasheedynjerani31492 жыл бұрын
Amin mwnyz mung akuondolee azabu ya kabli
@maherzain6152 жыл бұрын
Ameen
@abbysule23902 жыл бұрын
Amina rabbila'alamin ALLAH amuondole adhabu ya qabri
@gharebsalum34152 жыл бұрын
Ameen...
@heyumi23402 жыл бұрын
Amiiiiiiina Amiiiiiiina
@saidbrek98172 жыл бұрын
Allah awasamehe awarehemu awape pepo Ameen
@shabanathuman68482 жыл бұрын
Allah awarehemu
@rayhanrashid39282 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabarakallah
@tahiraabdul17012 жыл бұрын
I miss Yahya alot, Allah amrehemu
@bilalheri90552 жыл бұрын
Ameen thumaa ameen yaraabil alaamin Mungu Ampee jannah shekh yahya kumbe alishatangulia mbele za hakii na waislamu wote waliotangulia mbele za hakii Mungu awalaze mahali pema peponi
@RamadanPaul9 ай бұрын
Inshallah
@sabrakhamis45852 жыл бұрын
Allah ibarik fiikum..Amin ya rabii
@tamashamagoma29412 жыл бұрын
Allah akulipeni kwa juhudi mzifanyazo. Tuko pamoja inshaAllah
@fathimabh14872 жыл бұрын
Mashaa Allah mwennyezi mungu amrehemu alifanye kabri lke liwenanuru inshaa Allah 😭
@makenakendi90142 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n522 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/aq-ibKxylsrcf5c.html
@aishaasha83162 жыл бұрын
Mashaallah uslaamu dini ya haki
@faizajingu59332 жыл бұрын
MashaAllah wape dawa shehe mazinge Allah akuzidshie mema inshallah 🙏🙏🙏
@abdularuffin93082 жыл бұрын
Hakika mashekhe zetu Allah awatunze awape mwisho mwema
@pambatec Жыл бұрын
Allah awahifadhi nyote mnaofanya juhudi za kuitangaza dini ya uislamu
@hamisijm84372 жыл бұрын
Masha allahy Mashekh wetu mungu Awaongoze katikamafundisho Munaowafundisha Awawenzetu ameen . Ken Juma Ameelewa lakn Anaogopa kusemaukweli Mbelezawatu . Uwezisema Yesu ni mungu Wataki yeye ni mwanadamu kama wengine . Kaulizwa Kama yesu Ni mungu Je Alipokua Tumbona Mwa mariam Je mungu wake Mariam Nae Alikua nani Akaogopea kujibu lakn wameelewatu
@abdillahmbarak74182 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu mungu awajalie na afya njema nguvu nyingi ili mzidi kutangaza dini ya haki
@duniawadunia48242 жыл бұрын
Wachungaji wamefeli kabisaaaa
@jumakumala13372 жыл бұрын
Nilikuwa nikisikia Shee Mazinge akiwataja sn km Yahya, Ricco na wengineo na leo ndio nawaona ktk muadhara wa kitambo ktk KZfaq
@jumakumala13372 жыл бұрын
Mungu awaifadhi pema peponi inshaallah Amiin
@eshasalim54962 жыл бұрын
Amiin Ya Rabb
@user-my9hc6uf9l2 жыл бұрын
Wakristo wana hila sana,toleo la zamani Luka 4:8 limeandikwa "msujudie bwana Mungu wako...." Toleo jipya wamerekebisha wamelitoa neno "msujudie" wameandika "utamtumikia bwana Mungu wako...." Wamefanya hivi kwa sababu neno kusujudu linatupa nguvu Waislamu kuwa sisi tunasujudu,hao hawasujudu.
@isaacsengunda30992 жыл бұрын
Rashid dini isio yako unaizungumziaje? Hujui msingi wake wala maana yake,unchojua ni dini ya haki,hta haki yenyewe huitambui,akili yako imeenda wapi?
@user-my9hc6uf9l2 жыл бұрын
@@isaacsengunda3099Nikuulize wewe akili yako imeenda wapi mpaka unafuata dini ambayo kila kukicha kitabu chake kinatiwa mikono?? Nilidhani utaamka.kumbe ndio kwanza unavuta shuka!
@isaacsengunda30992 жыл бұрын
@@user-my9hc6uf9l kitabu gani kinatiwa mikono,, Wewe ymeshikilia lugha tu,na hata kusoma hujui,umebaki kusubiri usomewe na waarabu,wakudanganye ukajitoe muhanga,ujinga huo,mara IS,BOKO HARAMU,JANJAWID,TALEBAN,nk,,nk,,huo ni ujinga na ushenzi
@saramss72622 жыл бұрын
Rashid liangaliye vizurii Tena
@saramss72622 жыл бұрын
@@isaacsengunda3099 hawaa waabudu majini hata muongee Nini hio CIO DINI HATA MSEMEJEEEEE YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU
@munzshabby45212 жыл бұрын
Good work masheikh wangu mola awabariki k
@mudichezo81272 жыл бұрын
Mungu awarehemu wote walitangulia
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Yahaya, Said Ricco (Mungu awafutie madhambi yenu), mliipigania dini ya Allah Kwa nguvu kubwa!! Makaburi yenu yawe ni mabustani katika mabustani ya peponi!! Amen!!
@user-xh7wy2mi2j Жыл бұрын
Mazinge nakupenda bure wew umeufanya w'islam upendeze zaidi
@fatumjumaa55632 жыл бұрын
kazi nzuri jamani rudisheni mihadhara raha kweli
@naamanomarimohamed93642 жыл бұрын
Amin Thuma Amin
@AliMohamed-ny2op2 жыл бұрын
Allah akujazie hasanaat nyingi shekhe letu
@halidimgonza59452 жыл бұрын
maashaALLAHu wahadhiri we2 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hajirinibakari252 жыл бұрын
Sheikh mazinge kunajamaa anachafua hali ya hewa kwenye tv ya davista mata anapotosha. Juu ya uislamu anadai alsha kua sheikh sasa maneno anayo yaongea anapotosha kweli kweli
@Jabaman207-ue6sk2 ай бұрын
Mazingeeeeee
@ghulamyassintv48252 жыл бұрын
Masha Allah
@user-xh7wy2mi2j Жыл бұрын
Allah azidi kuapa afya ma professional
@user-mu2ej3kq8r29 күн бұрын
Allahuakbar
@apangomombasa92302 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@missrukia96612 жыл бұрын
Mashallhaaa allha awalehemu
@harethojelle6485 Жыл бұрын
Manshaallah Mahabibu wetu we are proud of all of u
@aligmoha90152 жыл бұрын
Maa sha allah.zamani sana callif Nairobi
@Junior-rl2hj2 жыл бұрын
Mazinge oyeeeee
@alhaddajmohammed47682 жыл бұрын
Mashaallah
@user-xh7wy2mi2j Жыл бұрын
Mansha Allah
@mabaazizitigermnyama52542 жыл бұрын
Mashallah 🙏🙏🙏🙏
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Mkristu kamili habishani Kwa sababu akishaamini kuwa Yesu ni Mungu mengine hayana nafasi.Hao sio wakristu
@jumakumala13372 жыл бұрын
Mungu awalipe kheir na hawasameedhabi zao waliotangulia mbele ya Aki , ayabadilishe mabaya yao kuwa mema
@mikatejunior1362 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani shekhe yahaya
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@iddymurwanashaka5702 Жыл бұрын
Point and well said Ray
@mwanahalimamwachili96792 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Shukran Ma Sheikh.
@user-ou5pp9yw4k5 ай бұрын
Mashaallah
@avalonking16552 жыл бұрын
Mazinge uko juu baba💪💪💪
@user-ul2mi3je7c11 ай бұрын
Shehe sulaiman nkata
@kameliaalbusaidy54592 жыл бұрын
MashaALLAH ma shekhe wetu. ALLAH Awazidishie hiyo ilm na kuwafundisha wenzetu the right path. Naomba kama itawezekana hizi video clips zikamilishwe. Zinamalizika kabla hamjamaliza kuongea hii mada. Inatuacha kutaka kujua nini matokeo yake ya mwisho
@ntandumathayo32572 жыл бұрын
Kwahio waislamu mmeamua kumuhubiri yesu
@frankjohn87062 жыл бұрын
Wanamhubiri kwa jinsi yoyote na hawapokei nguvu
@mhogomchungu71682 жыл бұрын
wameamua kumuhubiri yesu kukwakua wakristo hamna zaidi ya kuimba kwaya na miujiza ya uongo
@bilalheri90552 жыл бұрын
Mungu amjallie shekh Mazingee umri na afya njema
@analyticalguru58512 жыл бұрын
امن
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Yesu ni Mtu na ni Mungu pia. * Mkristo kamili KAZI yake sio kubishana kwani anajua hata eweje Yesu ni Mungu*
@moviekaa Жыл бұрын
Mazinge kamvuruga pastor 😂😂😂 safi sana 👏👏👏
@salehaltooq58292 жыл бұрын
Allahumma ameen
@user-sh9mn1ir5q6 ай бұрын
Sii kila mchungaji au askofu, aliye na uwezo wa kuwajibu hawa waislamu
@jesmirmohamed34672 жыл бұрын
yahaya Allah akupe jannah inshaallah kutoka kenya
@maherzain6152 жыл бұрын
Kama kuna ma pastor wengne waje maana hawa kidogo sana😂😂😂🤣
@mabaazizitigermnyama52542 жыл бұрын
Alisikika Mazinge akisema hiyo 🔥🙏😂
@maherzain6152 жыл бұрын
@@mabaazizitigermnyama5254 yes😀😀
@khadijaiddi48872 жыл бұрын
😂😂😂
@shaikhgul5492 Жыл бұрын
Mashallah
@masamasa23872 жыл бұрын
Allahu Akbar
@duniawadunia48242 жыл бұрын
Saimu Gwao Umafaa sana kusasupportiwa
@yasseinn18302 жыл бұрын
kweli sana
@pelesilazaro43122 жыл бұрын
Mungu awasaidie Sana mungu alituleta duniani kuihubil injili kwa Kila kiumbe lakini nyie mpo kwa kubishana mna fikili ubushi utawapeleka wapi
@mohamedsalim72712 жыл бұрын
Hakuna kubishana ni kuelimishana kaka....,ila inatengemea na uelewa wako,....au sio,peace one love brother....,achana nao wawekane sawa...
@sharrifidris34222 жыл бұрын
Hahahaha... said rico ameuliza swali nzuri "kwani unataka kumnunua mtoto"?
@tahiraabdul17012 жыл бұрын
Kuna zama zilipita ukimwona Mazinge unatulia tuli.....alikuwa amewiva kineno
@ashaomary555810 ай бұрын
Inalillah wainailah rajiun
@ahmadseif72412 жыл бұрын
poleni sana wakristo
@marrymwacha92622 жыл бұрын
Allah hawarehem
@amurimzungu-tn4jf Жыл бұрын
Wakenya mola akuongozeni yaani kumezidi dini za maajabu kupita kiasi na wanawasikiliza sana hao maskofu wao wapotevu mpaka wanawaulisha ibadah z maajabu wamewaambiwa wafunge hadi kufa yaani walioingia matatizoni wengi watu maskini wa vijijini huko yaani kenya inamtihani mkubwa sana Bila ya uislamu kenya wataangamia kila siku
@husseinfunga32722 жыл бұрын
Mwonekeno huu si wa sasa wa al alamaa mazinge,akhi imekuwaje kidevu kimekuwa kama barbu? Allah akupe nguvu ya kubaki ktk haki,kazi mliyo ifanya nikubwa sana
@ismailmustafa26492 жыл бұрын
Assalam alaikum ? BAraka LLahu fiikum Salamui zetu toka hapa Hoima Uganda nikikumbuka wakati mulipo tutembeleya miaka ya 1990s
@abangaabanga467719 күн бұрын
Hapa angekuwepo Christian Prince pangekuwa bomba sana
@livingstoneberege33482 жыл бұрын
ALLAH SIYE MUNGU
@omarymsagati25882 жыл бұрын
toa andiko
@ziadasadiki81962 жыл бұрын
POLE Sana, Tatizo MUNGU wako ni Binaadamu na ALLAH siye Binaadamu wala KIUMBE chochote na HAZAI wala HAZALIWI wala hana Mama wala bibi wala Babu.
@livingstoneberege33482 жыл бұрын
NINAMJUWA MUNGU KULIKO NINYI WAISLAMU NIPENI ANDIKO NDANI YA BIBLIA KUWA ALAH mungu WA AISLAMU NI MUNGA KUHUSU KUSEMA MUNGU WETU NI BINADAMU NI KWA SABABU YA UPOFU WENU KWAKUWA MAANDIKO HAMYAJUWI MNAJIFUNZA BIBLIA KWA SABABU YA KUPINGA WALA HATAKI KUELEWA (YESU NI MUNGU ) MWANADAMU NIYE MFANO WA MUNGU WALA SIYO MUNGU NI MFANO WA MWANADAMU mwanzo 1;28-28. waebrania 1:1 -3 wafilipi 2;6-9 yohana 14:7-10. 1timotheo 3; 16 luka 24;25-28. yohana 17;4-5 Ezekiel 34:11. malaki 3;1-2
@ziadasadiki81962 жыл бұрын
@@livingstoneberege3348 USIKU mwema.
@ziadasadiki81962 жыл бұрын
@@livingstoneberege3348 🤣🤣🤣IMANI Ni HATARI SANA.
@dullahgsm10022 жыл бұрын
Sheikh Othman Mazinge Mimi najiuliz huyo Kennedy juma yupo hadi leo uyo alovaa suti
@user-fw1qo8ve9k9 ай бұрын
Ustdhi majini
@sawdaasawdaa79032 жыл бұрын
Mwambiye nibaahati kupata ata iyo yesu kasujudu katawaza kasali musikitini wakijuwa wazungu wake ma papa nawangereza watafuta kwamana wamefuta mengi tu ya Mungu na manabi niwoooote waislilam isipokuwa awo walofanya mupanho wa bibiliya kwa hiyo nibahati kupata neno layesu kufanana na waisilam ao musa Allah atupe pepo waisilamu inshaallah
@modbones832 жыл бұрын
Yesu ndiye njia ukweli na uzima.
@shamtaus67212 жыл бұрын
Hakuja kuvunja torati ni njia na ukweli ule ule wa Mussa, Ibrahim u ,Adam na wengine 22.
@modbones832 жыл бұрын
@@shamtaus6721 Hamna njia mbili za kufika binguni ila moja. Na Sio Imani zote zilizo sawa ila moja tu. Ndini zote duniani nipotovu ila moja pekee. Na waikataao hufahamu ukweli wakiwa wamechelewa na kuingiamotoni. The God of Abraham Isaac and Jacob is the true God. He says that He is our Father, a father to the fatherless, a husband to the widow and a perfect expression of TRUE LOVE. He gives everyone a will to choose whether to believe in Him or not to. He forces no one to believe in Him but mwisho wa maamuzi yako Kuna malipo. Hebu kila mmoja ajidhibitishie yakwamba hajahatarisha nafsi yake milele. Usiifuate ndini kwa sababu ya mama Wala baba Wala sheikh Wala mchungaji Kisha uupoteze uhai wako jehanamu. Fanya utafiti wako mwenyewe. To my Muslim brothers, answer me this question, Do you worship the God of Abraham Isaac and Jacob? Yes Or No?
@analyticalguru58512 жыл бұрын
Uzima ni wa Allah mungu sio yesu nabii mungu yupi anakula ww amka
@issandayishimiye62472 жыл бұрын
L islam est ma religion
@msellemkassim2515 Жыл бұрын
Nyakati 2-7-3.
@adamjumaaa15212 жыл бұрын
Safi sana
@msellemkassim2515 Жыл бұрын
Mathayo 21-12
@abdidude4167 Жыл бұрын
❤
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Maskini Marehemu Yahya Allah amrehemu. Awarehemu na waislamu wote walioko mbele ya haki.
@pendochimammy50132 жыл бұрын
Mbona hampi nafasi huyo pasta nae akazungumza matendo yako ndio yatakufanya umuone mungu sikushindania maandiko yanasemeja
@sosdododo56532 жыл бұрын
Hawa makristo hawana hoja wala hawana wajualo hawataki kufwata biblia wakisomewa wanaikata tena biblia hawasomewi quran
@PirfaImanipirfa2 ай бұрын
Allah awajalie ma sheikh wangu imani petro, Yahya na wengine wote upesi ktk makaburi yao😭😭😭😭🤲🕋☝️
@selestinsongola27872 жыл бұрын
Mm sioni Kama nimafundisho Bali niubabaishaji mwingi mno hakuna mafundisho mtu akamjua mungu