No video

WADADA MNAOFANYA KAZI UARABUNI JIFUNZENI KITU MWENZENU KAJIKOMBOA KITU KIDOGO ILA KINAELEWEKA

  Рет қаралды 2,619

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@salmasalam3268
@salmasalam3268 3 ай бұрын
Nipo urabun na nimejenga nyumba angu Ina vumba vitano kubwa sana nashukuru sana wazaz wangu Kwa uaminifu wamenisimamia vyema nimerud nikan mafanikio yangu nikapata nguvu zaid nikarud tena kupambn❤
@mirnababy5012
@mirnababy5012 3 ай бұрын
🎉🎉
@saidkhalfan8207
@saidkhalfan8207 3 ай бұрын
Maashallah
@NassirAliy
@NassirAliy 3 ай бұрын
Usiamin mtu kiasi hiki sana Kaká tafuta kiwanja pale ww unapenda Kisha angalia kwenye familia Yako nan unamuamin Zaid ikiwa hujapata ndio mtafute huyo fundi na usimtumie pesa nyingi sana km ni ya fondeshen ikimaliza utaangalia Sasa na ww wepesi wako
@zainab8251
@zainab8251 3 ай бұрын
Masha Allah
@DM.2200
@DM.2200 3 ай бұрын
Ulipataj kaz huko wengine tunatafta hatupat au ni njia gan umetumia kufika huko?
@zainabmohamed51
@zainabmohamed51 3 ай бұрын
Ahsante sana mr.hous yaani siamini ni mtu muaminifu sana Allah azidi kukusimamia kwenye kazi yako
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 11 күн бұрын
Hv wee Mr. House unataka tukuonyeshe mijengo yetu. 95 kati ya 100 tayari tuna mijengo 2 had 3 ya nguvu. Wachache wa harabuni ambao wamechemka kupata nyumba. Pengine wamedhurumiwa si kwa mapenzi yao. Ila wengi tumesgusha kijengo hatari
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 3 ай бұрын
Yani mimi fundi kaniboa subili nizichange kaka ntakutafuta inshallah ila utuonee uluma kazi ngum uku tulipo jaman
@LatifaLatifa67-ho1zr
@LatifaLatifa67-ho1zr 3 ай бұрын
Watu wanaona Kam vile tunaokta vile😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
Hupo sawa mjomba , ushamba ugonjwa mbaya sana nyumba si lazima hiwe na vyumba vingi nyumba ata kikiwa na chumba kimoja na maitaji yote pia ni nyumba na inawezekana ukajenga nyumba ndongo na ikawa nzuri zaidi kama hotel 5 star na yenye thamani zaidi ata ya mtu mwenye jumba kubwa lenye mpangilio mbaya , mazingira ni muhimu si kujenga nyumba nakukosa sehemu ata yakupumzika na kupamba maua na miti
@NahirSaid-wj6ux
@NahirSaid-wj6ux 3 ай бұрын
Jamani mm nko uarabun naogopa hata kujenga kwetu sna mama wala baba.yani sjui nimuamin nani
@zainabmohamed51
@zainabmohamed51 3 ай бұрын
Pole kipenzi mm hapo nimejenga wala hakuna ndugu yangu nimeongea na yy mr.hous na kuanga eneo na kumpa pesa na kanifanyia kazi yangu muhimu huyo mtu unayemuachia kazi yako ni muaminifu basi sio lazima uwe na ndugu kipenzi
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 ай бұрын
Weka pesa zako ukimaliza mkataba waendakujenga mwenyew
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 3 ай бұрын
Na kukubari sana kk yangu
@fortunatakiimu4258
@fortunatakiimu4258 29 күн бұрын
Ninavyokutafuta nakupigia hupokei kwann!?
@mariammariam5723
@mariammariam5723 2 ай бұрын
❤❤😂
@user-if7pt1pr6l
@user-if7pt1pr6l 3 ай бұрын
Vp kama ninakazi yangu mkoani eg; (kahama) vp unafanya boss wang!!!!
@user-yt3nn9gz8u
@user-yt3nn9gz8u 23 күн бұрын
Tatizo hata hko watsapp hutujibu msg kaka sa tukutafteje 😂mr hause tukikuuliza swali unajibu okay basi duh😢
@Sabratheboss-gd6ie
@Sabratheboss-gd6ie 18 күн бұрын
Ndio majibu yake ok ok basi
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 3 ай бұрын
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 3 ай бұрын
Sio kama hatujifunz mm nilikuuliza swali lakin hukunijibu Kuna Alina ss hatuna hata watu wa kutununulia kiwanja je inawezekana wee uka simamia kuanzia kiwanja Hadi ujenzi?hukujibu
@NassirAliy
@NassirAliy 3 ай бұрын
Mm ushauri wangu usiamin mtu kiasi hichi Kaká au dada nunua kiwanja chako mwenyeo Kisha mtafute fundi
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 3 ай бұрын
Ndugu Tu hu unashindwa kumwamin sembuse mtu Tu mtandao. Uliona wp zingine swaga Tu,
@salmasalam3268
@salmasalam3268 3 ай бұрын
Wee huna mama mtu wa kwanza apa dunian ni mama Jenga urafiki na mama ako heli avile yeye kulko mtu mwingne nashukuru Mimi mama angu ni best ❤❤MUNGU anilindie yeye siamin ndugu yyte zaid ya rafiki angu mama
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 3 ай бұрын
ushauri wangu bora umcheki whatssap mm nilimcheki akanijibu
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 109 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН
ujenzi unaendelea shinyanga
2:48
Jiver Kasigara
Рет қаралды 268
ujenzi unaendelea wa Bei nafuu
2:31
Jiver Kasigara
Рет қаралды 36 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16