No video

Wadh-Hat Mustafa: " Watu waliniambia udi ni biashara ya chini sana"

  Рет қаралды 4,663

BBC News Swahili

BBC News Swahili

2 жыл бұрын

Katika mfululizo wa makala kuhusu vijana walio chini ya miaka 30 mbapo huangazia vijana waliofanya vizuri na wanaoendelea kufanya vizuri katika teknolojia, siasa na kijamii kwa nchi za Afrika Mashariki.
Leo tunae Wadh-Hat Mustafa alianza kujihusha na ujasiriamali akiwa na miaka 23 tu baada ya kuanza kutengeneza manukato yatokanayo na viungo mbalimbali kutoka Zanzibar.
Alianza na Udi baada ya kubaini kuna upungufu wa harufu tofauti tofauti na za kipekee katika marashi hayo.
Anasema wakati wengne wakichukulia biashara ya udi kama ni ya Kimaskini sana yeye aliona fursa ambapo kwa sasa akiwa na miaka 28 anamiliki biashara ya Marashi ya Zanzibar akitengenza manukato mbalimbali aanayosafirisha na kuuza hadi nchi za nje.
Je amewezaji kufika hadi hapo?
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda ametuandalia Habari hii
Video: @marashizanzibar & @frankmavura
#bbcswahili #marashi #ujasiriamali

Пікірлер: 7
@rahimasaid6721
@rahimasaid6721 Жыл бұрын
Allah atakubarikieni katika biashara zenu
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 8 ай бұрын
Wadhhat nahitaji kujifunza kupika udi
@aishamsofe3274
@aishamsofe3274 Жыл бұрын
Nahitaji darasa
@ramazanijuma5789
@ramazanijuma5789 2 жыл бұрын
ninahitaji namba zasimu ilituwasiliyane
@jacklinebenjamine3936
@jacklinebenjamine3936 Жыл бұрын
makapi ya nn
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 2 жыл бұрын
Wadhaat usitumie hiyo lighter,, ni hatari.
@hadiaiddi2589
@hadiaiddi2589 9 ай бұрын
Nahitaji darasa
Msichana Jasiri: Rubani aliyeamua kutengeneza udi.
6:24
DW Kiswahili
Рет қаралды 590
Rubani anayejishughulisha pia na kutengeneza udi
6:24
DW Kiswahili
Рет қаралды 3 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
NEW/MABUYU YA BIASHARA MATAMU NA YENYE FAIDA KUBWA SANA #mabuyu
5:08
#TBC BIMASHADA: MWANAMKE NA MANUKATO YA UDI
26:48
TBConline
Рет қаралды 388
Mbinu 5 Za Kumjengea Mtoto Hali Ya Kujiamini.
8:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 405 М.
BIASHARA YA MANUKATO YALIMFANYA MATIES AACHE KAZI YA KENYE NDEGE
17:09
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:19
BBC News Swahili
Рет қаралды 9 М.