Ukiwa mrembo alafu uko ndani ya YESU urembo wako unazidi mara dufu. Nawapenda sana. Alafu mmefanana na mchumba mtarajiwa. MUNGU awape upendo, heshima, uelewana na amani ktk maisha yenu ndoa. Muuishi mpaka muwaone vitukuu vyenu. Baraka za YESU ziwe ndani na nje yenu. Ameeen
@mariamwakajila235Ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@TheleziaMwandesile-nz7tdАй бұрын
Had raha bibi harusi na mdogo wake warembo wote very beautiful 😘😘👌
@loicesau295926 күн бұрын
Kwa kweli walipendeza sana sana ,much love 💞 from Kenya....alafu MC ako sawa kweli....