WAKALA WA FEDHA APIGWA RISASI KAKA YAKE AUAWA MAWAKALA WENGINE WAPAZA SAUTI

  Рет қаралды 4,336

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

11 ай бұрын

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Wamevamia na kumuua Faraja Luoga na kisha kumjeruhi Golden Luoga ambaye ni wakala wa fedha mjini njombe kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za mwili baada ya kuvamiwa nyumbani kwa goldeni luoga mtaa wa Kambarage eneo la Galuhenga.
Tukio hilo limetokea augusti 29 majira ya saa tatu usiku ambapo kwa mujibu wa majirani wamesema walisikia milio miwili ya risasi ikitokea nyumbani kwa jirani.
Mwenyekiti wa mtaa wa Kambarage France Msanga alisema kuwa alipigiwa simu majira ya saa tatu na dakika 20 usiku ndipo alipofika eneo la tukio.
Naye makamu mwenyekiti wa mawakala mkoa wa Njombe Rehema Mabuga alisema tukio hilo sio la kwanza kutokea ni kama tukio la sita.

Пікірлер: 9
@Gsamir694
@Gsamir694 9 ай бұрын
Mungu aiweke roho yake faraja mahali pema peponi milele na milele daima aminaaaa
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 11 ай бұрын
Hongera sana katibu, umeongea kwa uchungu umeongea km mwananchi.
@herryignasy8711
@herryignasy8711 11 ай бұрын
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu
@Gsamir694
@Gsamir694 9 ай бұрын
Jeshi la polici mkoa wa njombe hawa wauwaji wauliwe haraka
@user-zf8jx2zj9u
@user-zf8jx2zj9u 11 ай бұрын
Duuuuuu
@dicksonmtokoma9365
@dicksonmtokoma9365 11 ай бұрын
Poleni wafiwa woote
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 11 ай бұрын
Pole jamani
@herryignasy8711
@herryignasy8711 11 ай бұрын
Hadi Makambako jamaa angu alivamiwa nae shuhuli zake ni za wakala ihii hali inatisha sana 11:53
@erhardwilla4755
@erhardwilla4755 11 ай бұрын
Hii hatari sana
MTU HAI AJICHIMBIA KABURI LAKE NA WAKE ZAKE
2:19
TBConline
Рет қаралды 29 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 111 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
WAELEZA BASI LA KALUBANDIKA LILIVYOTEKWA NA MAJAMBAZI
8:29
NJB TV NEWS
Рет қаралды 10 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН