WAKRISTO WAYAKATAA MAANDIKO YA BIBLIA WAZI

  Рет қаралды 11,784

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

2 ай бұрын

Tafadhali subscribe.

Пікірлер: 66
@RobertCollinskc
@RobertCollinskc 2 ай бұрын
Allah awalipe wote malipo mema, Allah awazidishie kilichopungua katika elimu ya dini, na awajaalie risk ya halal inshaallah.
@RobertCollinskc
@RobertCollinskc 2 ай бұрын
Allah awajaalie afya njema inshaallah
@salmaminja7714
@salmaminja7714 2 ай бұрын
Mashallah Allah akujalie afya/ maisha marf uzid kuwalingania wacjua dini ya khaq, Subhanallah namuomba Allah akujalie mema duniani na kesho Akhera kwa rahma zake. Toka Tz napenda snaa video zko zenue elimu ambayo ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu kwa anayeji faida zake. Wabilah Tawfq Assalam Alaykum
@user-ow3lc6lk9p
@user-ow3lc6lk9p 2 ай бұрын
Allahumma Amiin 🙏🙏
@sarahronoh540
@sarahronoh540 2 ай бұрын
Ameen. Ameen Ameen Thumma Ameen
@RobertCollinskc
@RobertCollinskc 2 ай бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh, sheikh Ramadhani naomba kama kuna uwezekano wa kupata vitabu vyako vya kuwalingania marafiki zetu itakuwa thawab, nipo Tanzania, Arusha.
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 ай бұрын
Ramadan kaguo. Mimi sasa hivi nabaki na wewe, Huku Tanzania 🇹🇿 Dr sulle kachanganyikiwa. Anavaa hirizi kwenye kidole ya kumlinda.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 ай бұрын
Sule kachemsha kabisa, nilikua nikiskia kua sule ni mshirikina nilikua nabisha kabisa, lakini Allah amemdhihirisha maovu yake
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 ай бұрын
@fatumamwalimu5765 daah nakuambia sulle kachafua khari ya hewa mtandaoni, anasema kutumia majini kwa manufaa eti sio haramu, bila kusoma maandiko yanasema nini subhanahu!! Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. -- Ali Muhsin Barwani .
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 ай бұрын
@@fatumamwalimu5765 nakuambia sulle kachafua khari ya hewa mtandaoni, anasema kutumia majini kwa manufaa eti sio haramu, bila kusoma maandiko yanasema nini subhanahu!! Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. -- Ali Muhsin Barwani .
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 ай бұрын
nakuambia sulle kachafua khari ya hewa mtandaoni, anasema kutumia majini kwa manufaa eti sio haramu, bila kusoma maandiko yanasema nini subhanahu!! Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. -- Ali Muhsin Barwani .​@@fatumamwalimu5765
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 ай бұрын
​@@fatumamwalimu5765nakuambia sulle kachafua khari ya hewa mtandaoni, anasema kutumia majini kwa manufaa eti sio haramu, bila kusoma maandiko yanasema nini subhanahu!! Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. -- Ali Muhsin Barwani .
@sarahronoh540
@sarahronoh540 2 ай бұрын
Waleykum Salaam Waramadhulillahi Wabarakatu
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
TabarakAllah Team. Ai, Masai kichwa Ngumu! Hataki Ukweli inao somwa katika kitabu chake!
@adanabdulahi8219
@adanabdulahi8219 2 ай бұрын
MashAllah. Allahu Akbar.
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 2 ай бұрын
مشأ الله تبارك الرحمن
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 2 ай бұрын
Ameeen Ameeen ya Rab
@HamdiNuh
@HamdiNuh 2 ай бұрын
Jazakalahu kheir kazi nzuri masheik wetu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 2 ай бұрын
Moja ya furaha yangu kubwa siku utaookuaja kuwambia kwamba ndugu yangu Ramadan wazazi wake waamekua waislam
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
InshaAllah
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 2 ай бұрын
Amin
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
InshaAllahAmina
@ibnusleyyum9743
@ibnusleyyum9743 2 ай бұрын
MashaaAllahu
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 2 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahman
@MohammedHassan-bc7hz
@MohammedHassan-bc7hz 2 ай бұрын
You are doing great Sheikh Ramadan
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 2 ай бұрын
MashaAllah Jazzakkallahukheir Ustadh Ramadan
@abdallaomar4789
@abdallaomar4789 2 ай бұрын
Mashallah
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA 2 ай бұрын
MASHA ALLAH MASHA ALLAH ❤❤❤TABARAKALLAH
@rizikiali328
@rizikiali328 2 ай бұрын
Mashallah masheikh
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 2 ай бұрын
Masha Allah
@sheemaryam
@sheemaryam 2 ай бұрын
Ma sha Allah
@sumbamkali8435
@sumbamkali8435 2 ай бұрын
Mashalah
@allydamas3832
@allydamas3832 Ай бұрын
❤❤ hoja zako ni nzur unajenga hoja bila kutukana bila chuki MashaAllah
@allydamas3832
@allydamas3832 Ай бұрын
Nakukubal sana salim mimi nipo tz nakufatilia sana tena sana
@saumusaid7825
@saumusaid7825 2 ай бұрын
Mashaaallh
@user-np8wv7el5m
@user-np8wv7el5m 2 ай бұрын
MashaAllah tabaraAllah kazi nzuri
@ibrahimnkurunziza8198
@ibrahimnkurunziza8198 2 ай бұрын
Masha Allah Asante sana shehe una fundisha vizuri
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 2 ай бұрын
Masha Allah ❤
@josemu870
@josemu870 2 ай бұрын
Kwa neema ya uislamu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Masha'allah Masha'allah sheikh wetu
@adanabdi5249
@adanabdi5249 2 ай бұрын
Masha Allah.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 ай бұрын
Masha Allah 💖💖💖
@hassanmuhammadawadh3398
@hassanmuhammadawadh3398 2 ай бұрын
Ntahondi Salvatory
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 ай бұрын
Yesu ninyanduwe ninyanduwe😂😂😂😂😂😂😂😂😅
@akramrwanda
@akramrwanda 2 ай бұрын
Assalam alaikum walahmatullah wabarakatuh ni RWANDA -KIGALI nataka icho kitabu ntakipata aje?
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z Ай бұрын
Mkristo, kuielewa Biblia yake anayoitumia, ni kazi ngumu sana. Hata kama ni msomi wa hali ya juu. (Yeye hushikilia neno lililomo kichwani mwake tu, "la Yesu ni Mungu"😂😂😂)Hakika, 👉Huo ni Msiba kwao😭😭😭.
@African2TheWorld
@African2TheWorld 26 күн бұрын
Kazi nzuri na mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayofanya. Nilikua nahitaji Kitabu chako, napataje tafadhali?
@user-sr8nw7hs1w
@user-sr8nw7hs1w 2 ай бұрын
Namimi nataka kitambo Niko mumbasa
@molee2339
@molee2339 2 ай бұрын
The Word 'GOSPEL' is NOT a Greek Word! The word 'GOSPEL' is an OLDE ENGLISH abbreviated Word! And the ENGLISH Word 'GOSPEL' is DERIVED from TWO Olde ENGLISH Words known as: 'GOod+ SPEL'. AND the meaning of English words 'Good Spel' is a 'GOOD STORY'. Therefore, the 'GO+SPEL' in ENGLISH, is a GOOD STORY!. Therefore the SWAHILI meaning of the abbreviated word 'GO+SPEL' means POROJO NZURI! SIO 'Injeel', bali the CORRECT meaning ni POROJO NZURI!
@Sal.0
@Sal.0 2 ай бұрын
Swadakta. Neno 'Gospel' ni Neno la ENGLISH laku wekwa KIRAKA, inao ma'anisha STORY NZURI au Maneno zaku TUNGWA na WaPagani wa ANTIOCH, kama LUKE, John, Mark na Mathew aliye Copy 'Go+Spel' ya Mark! Na ANTIOCH ulikuwa MJI KUU wa Ma CRUSADERS wa 1200 to 1440 AD, walio ZAA hawa 'Go spel' WRITERS!
@isaa_ogutu
@isaa_ogutu 2 ай бұрын
Kipkemboi is just a dump student😂😂😂😂
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 14 күн бұрын
Ramadan . Asalamu aleykum. Inchi za wazungu. Ama Europe. Muki koşana na Forman . Kama Una Ona Ana fanya kibaya ama ubaguzi kumu achtati head man ka company. Wana tumianga sana . Misse understand . Between you and him. Sasa na iona hiyo tabiya wame fundhisha African. Ppl use in religion. Everything. Hu ifahanu they make a part of religion . Us defence. Waki Ona ukuweli. . Only proof they have in their religion is. U don understand.
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 ай бұрын
❤57, KWA NINI HAWAKUSAIDIA WAISLAMU? Watawala 57 walioshindwa (Waliokataa) kutetea Waislamu huko Gaza lakini hawakushindwa kuwasaidia mazayuni. Ulimwengu wa Magharibi ulibuni mataifa haya 57 ili kuwezesha ukoloni na uporaji wa rasilimali za Waislamu. Twapasa kujitahidi kufuta nchi 57 zisizo na faida kwenye ardhi ya Waislamu. Waislamu wanahitaji serikali kuu moja, Khilafah. Nayo haiji tu ila mpaka Waislamu wajipinde waufanyie kazi. #TurudisheniKhilafah
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 2 ай бұрын
Mtangoja sanaaaa.Kama Warabuni wenyewe hawana habari.Unafikiri itawezekana ulimwengu mzima? Wishful thinking
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 ай бұрын
hy5zd5rn6rhivndivyovMtumeivyo MtumeSAWhaliambiwa naiMakafiriakamaawewe kama wewe..... Halafu kurudi kwa swaitara ya kiislamu hakutegemei waarabu Ila ni AHADI YA ALLAH SW #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
@Jingajinga64
@Jingajinga64 2 ай бұрын
​​@@chiefmkalikibz1503achana nae huyo kabisa huyo nathan kama wanavyompuza wenzetu wengine humu na katika comments za video nyengine. Zake ni chuki na dharau na porojo tu hana jengine. Shukran bro
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 2 ай бұрын
@@chiefmkalikibz1503 Endelea kuota, Mohamed mwenyewe alijaribu kwao waarabu na akashindwa,unafikiri watu wamelala muachiwe Dunia mtawale? Hiyo jaribuni warabuni
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 ай бұрын
user-hy5zd5rn6rhy5zd5rn6r maskini kumbe you eve know nothing about history!!! SOMA JUU YA ISLAMIC EMPIRE (ottoman) utaona how many centuries tumetawala Dunia - 🇫🇷 and 🇪🇸..... HII SIO NDOTO NA MIPANGO BOYORO KAMA ILIVYO DINI NA IBADA ZENU. SISI TWAFUATA QURAN N SUNNAH BRO, N HIO NDIO SABABU WAMAGHARIBI HAWALALI ILA WANAENDA MBIO KUTANGAZA PROPAGANDA NA WAR ON TERROR. MIMI SIKULAUMU KAKA, ILA ILE SIKU IKIFIKA, UTATAMANI LAU HATA WAZEE WAKO WALISHUHUDIA KWA UTUKUFU NA BARAKA KATIKA MAISHA YA VIUMBE WOTE #wanyama #waislam mpaka wasiokua Waislamu. 😅 😅 HALAFU MTUME SAW ALIKIMBIA KWELI BUT ALIWAAHIDI MAKAFIRI KWAMBA ATAWARUDIA NA KICHINJO 🗡 #NA ALIRUDI MAKKAH NA JESHI KUBWA BRO...... KWA IMANI YAKO SASA TUANGALIE YESU AMBAE NI MUNGU WAKO🫢🫢🫢🫢🫢🫢🫢JAMAA WALIMSULUBU, SASA HAPO VIPI TENA
@justintabu7291
@justintabu7291 2 ай бұрын
Kurya mwalimu ndacha anakuita jacaranda mbona usifike uko na hii week umekua ukienda, ama unamuogopa
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Ndacha kazi yake ubishi ana miungu wawili lakini anakimbia ukweli baba mungu yesu mungu mungu wa ngap mmoja hii contradiction ni ya kiwango cha juu sana
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Ай бұрын
huyu mkale ni jeuri kiasi gani Quran 36:7-11 The decree ˹of torment˺ has already been justified against most of them, for they will never believe. ˹It is as if˺ We have put shackles around their necks up to their chins, so their heads are forced up, and have placed a barrier before them and a barrier behind them and covered them ˹all˺ up, so they fail to see ˹the truth˺. It is the same whether you warn them or not-they will never believe. You can only warn those who follow the Reminder1 and are in awe of the Most Compassionate without seeing Him.2 So give them good news of forgiveness and an honourable reward.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
PASTOR BENEDICTOR AMEANZA KUUPENDA UISLAMU
46:02
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,9 М.
ASKOFU ATOKWA NA JASHO NYEMBAMBA NA KUONEKANA KULEMEWA NA HOJA.
39:58
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
Mbarikiwa anaongea baada ya hukumu. Jumanne
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 98
MZEE DAUD AJENGA MSIKITI WA UDONGO BAADA YA KUSILIMU
47:10
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
WAKRISTO WAMSHANGAA YESU KUONGEA NA KUNDI LA MAJINI BAADA YA KUSINGIZIA QURAN
52:37
WAKRISTO WAKIRI KUWA KUNA KANISA ZA BIASHARA
1:31:23
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU
46:54
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
MCHUNGAJI AWAOMBEA WAISLAMU DUA NZURI KWA KAZI NGUMU YA DAWAH WANAYOIFANYA
1:11:32