DIDA AELEZA UKWELI WOTE KUVUNJIKA NDOA YAKE - "KISA WEWE NI FLANI NDIO NINYANYASIKE?"

  Рет қаралды 168,237

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

DIDA AELEZA UKWELI WOTE KUVUNJIKA NDOA YAKE - "KISA WEWE NI FLANI NDIO NINYANYASIKE?"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 456
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 2 жыл бұрын
Dida. hiyo sio nyota ya ndoa hiyo ni mikosi. utuolewa marangapi mwanamke wewe mmmm.
@flavy_kipps4025
@flavy_kipps4025 2 жыл бұрын
hakika mwanamke unajisifia ndoa 4🤣🤣🤣
@hidayaamani7150
@hidayaamani7150 2 жыл бұрын
nilijua hakuna muolewaji hapo minilijua
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 2 жыл бұрын
Aliitaka ndowa kwa madaha ila ndowa inataka ustahamilivu mkubwa sana bila ya kusubiri utaolewa na wanaume 100
@hidayaamani7150
@hidayaamani7150 2 жыл бұрын
huyo asha kua kunguru
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Dada Dida nakupenda Amani ya moyo, furaha ya moyo ndiyo kilakitu,.
@bonywahab9565
@bonywahab9565 2 жыл бұрын
Huna akili... we unadhani Ndoa ni vitu... ndoa ni baina ya mtu na mtu sio vitu... we unadhan huo mkoba ndio ndoa eeeh! Unatuharibia dada zetu... akili huna...
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
km una nyota ya ndoa ungedumu kwenye ndoa wacha kusifia maovu . una nyota ya uzinifu wewe umekaa naye huyo jamaa miaka 9 munazini kuja kuolwa miezi 2 tu sasa nyota imeng'ara wapi hapo ?
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Hivi ile michango ya mamilion jaman yanayochangwa inakuaje? Mungu anahuruma kwakweri kwa binadam sisi tulio na pua zilizotazama chini🙏
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 жыл бұрын
Uzuri nikwamba Mzee alishakula mzigo alhamdulillah 🙏🙏🙏
@kisimachamovemixzadjmackdj1555
@kisimachamovemixzadjmackdj1555 2 жыл бұрын
😆😆😆
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 жыл бұрын
😅😅😅
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
😀😀😀😀
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣felister wewe
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
Didi habbty wangu hiyo siyo nyota ya ndoa hiyo nimikosi dada yangu ilaa ndiyo maisha nakupenda sana dida😘😘
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Mmmmmh Lakin ulituambia mnajuana miaka 3 hakuna jipya ambalo litakusumbua
@mkangaratz8640
@mkangaratz8640 2 жыл бұрын
Unajua ndoa nyingi zina vunjika kutokana Na maisha yamtu akishajiweza tu Bhas ukishaolewa inatakiwa Ubadilike sas mtu kaolewa lakini Habadiliki anataka awe sister duuh wabadilike hata kimavazi bado wana Usichana
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 2 жыл бұрын
Mnafki ww wanaume 4 wote wawe mamakosa fyuuuuu uchi au kisima ndoo kila mwanamme anasweka dudu lake hata aibu msenge we
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 2 жыл бұрын
Kwahiyo kila ndoa wanaume ndo wanashida mmmh jamani tumuogope Mungu ndoa ni ibada na siyo mapambo daima ukiingia kwenye ndoa bila ya Mungu matokeo yake ndo haya jamanini ndoa ni ibada tena nzito tumuogopeni Mungu
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Dida kama mimi tu...maisha hayana haja ya kujipa stress ili mradi watu waoneneti una furaha. Na mtu ukijua kutafuta pesa yako hakuna kitakachokufanya ukae katika mahusiano au ndoa zenye shida sana.
@emmanuelenock6310
@emmanuelenock6310 2 жыл бұрын
Hongera kuwa na nyota ya ndoa na talaka comrade🎉
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 2 жыл бұрын
Hahahah
@albs1448
@albs1448 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@messaabbas739
@messaabbas739 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@asiaa6573
@asiaa6573 2 жыл бұрын
Upo sahihi mpendwa dida, si wengine tulikumbuka kuachika tumeshapata ma presha na ubovu, mi nakuunga mkono mpendwa wangu
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Si Siri, kuvumilia ndo kunakofanya tunauana siku hizi lol
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Dida mwenye Sura huna Kunguru wew🤣😂 ukiona ndowa imefikia 4 wewe ni mzigo hubebeki
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 2 жыл бұрын
Umeona
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 2 жыл бұрын
Mm naoa hii harusi ilikuwa Ni dili la kujipatia fedha za zawadi na wasanii wengi Sana wanatumia hiyo system kujipatia kipato mm ndiyo Mana sichangagi harusi za mjini kuwapatia watu mitaji tu.
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 2 жыл бұрын
Shughuli za israfu au za gharama kubwa kujionesha na ufahari Allah hutia laana ndio maana hazidumu, dada etu ana shida na msipate taab kuna watu Mungu kashatia mihuri kwenye mioyo hayo ko Kweny uchafu anafurahia Kweny kheri huchukia na kuona haina maana hiv ndivyo mama etu Dida alivyo maana sio dada mama mkubwa huyo tumeanza msikia tuko la kwanza mpk leo na sis wazazi sio poa
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 жыл бұрын
Me nakupend Sana dida unamsimamo no kuzinguliwa kwani we nani? Yes 👏 ndo inavyotakiwa usiogope kusemwa usiogope aibu Kama mambo hayaendi sawa ondoka kichekwa si ujinga nakupend dida❤️❤️❤️
@mselemamsomba6561
@mselemamsomba6561 2 жыл бұрын
bibi huna lolote, tulijua tu mh lazima akupige chini! unajua kulalana tu. mwanamke gan ata kupika wali hujui! bibi ushazeeka nyota ya talaka, mazafanta ww
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Kweli dida you right kwani sh ngapi bwana ni kuhusu furaha yako asante
@ramak.9587
@ramak.9587 2 жыл бұрын
Nlisema awali uyu atamaliza limau na shaba haiwi dhahabu..Atalaumu na kubadilisha mafundi ilihali mgomba haufanyiki mbao. Kiburi na jeuri haitokupeleka mahali sura kama mku....
@nilykishiapinkshizya6606
@nilykishiapinkshizya6606 2 жыл бұрын
Ulichukua mume wa mtu ukidhani umedamshiii
@asiahassan7851
@asiahassan7851 2 жыл бұрын
Huna nyota ya ndoa,bali una nyota ya kuachika kwenye ndoa😂😂😂😂
@mikhitaryankombo9604
@mikhitaryankombo9604 2 жыл бұрын
Kustshamili kwenye ndoa ndio hekima nadhani kila wakati kuomba talaka unadhani ndio hekima ww umejichubua Kwan ww mwema acha tabia ya kuchunguliwa na kila mtu iyo ni laaana
@samirsaid7400
@samirsaid7400 2 жыл бұрын
MTIHAN UWO ULO NAO ILA FANYA TOOBA YA KWELI ALLAH AKUSAMEHE MAANA HUJUI ULITENDALO HAIWEZEKAN UMU KWENYE MTANDAO WATU ZAID YA HAMSIN WANA KUKATAA KWA TABIA ZAKO RUDI KWA ALLAH OMBA TOOBA PLZ🙏 WEWE NI MTOTO WA KISLAM KISIA MANENO YA KUONGEA MIDIA ISIKUPONZEE DADA ANGU KUMBUKA UMEUMBWA HUJAJIUMBA ,HUJUI MDA GANI ,NA WAPI ALLAH ATACHUKUA ROHO YAKE RUDI KWA ALLAH BADO NAFASI UNAYO DADA ANGU SISI BINADAM NI DHAIFU TUNAMAPUNGUFU YETU MKAMILIFU NI ALLAH TUU EM FIKIRIA WATU WOTE WAMEKUSEMA KWA MABAYA SO KAMA HAWAKUPENDI APANA WANAKUPENDA SANA ILA ULIMI WAKO UNAUTUMIA VIBAYA ,INAA LILLAH WAINA ILLAH RAJIUN.
@aminarajabu5795
@aminarajabu5795 2 жыл бұрын
Aaaah Dida jmn! Umeshakuwa mtu mzima mpaka sauti ni ya kizee!! Kwanini basi usipotezee tu hizo ndoa kama zima kushinda!!? Tafuta wapi unakosea urekebishe, lzm kuna sehemu unapwaya. REKEBISHA BIBI.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Cheeefuuuuuuuuu mtu mzima oooovyooooooooo
@hidayaamani7150
@hidayaamani7150 2 жыл бұрын
dida ww ni bibi usijione mtoto shavu limesha shuka kwishnehi nyampua we
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Ukiwa huwezi pika, kusafisha nyumba yako mwenyewe, kufanya vitu viwili vitatu, lakini unarudi saa sita usiku kisa hutaki uulizwe kuna muda ukifika uwe umeolewa au hujaolewa lazima uache kurudi usiku na ukiolewa lazima uwe na limit ya muda, aina ya marafiki, uvaaji ila ukijifanya uliumba mbingu na nchi ndio apo utajitia siogopi mtu hapana mwanamke huwezi shindwa ndoa zote huwezi kutana na wanaume wabaya kila siku wa kwanza anaweza kuwa sio au wapili ila watatu utakutana na anayejali jamani tusidanganyane si kila mwanamme ni pepo
@mamanmaria5888
@mamanmaria5888 2 жыл бұрын
Kweli dear umenena meneno mazito
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Hilo litakuwa bomu la nyuklia.
@apichitseso4481
@apichitseso4481 2 жыл бұрын
Huyu lazima Ana kasoro zake ndoa zote 4 😲😲😲
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@apichitseso4481 mtihan sana
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
Mola atufunze kunyamaza na kuandika vibaya
@maryamrajabu4972
@maryamrajabu4972 2 жыл бұрын
Ila amepoa maana aliwambia walimwengu hawatachana akasema watu wavute viti wakae wasubili kuachana kwao kabra viti havijakaliwa ndoa imevunjika😜😜
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 2 жыл бұрын
DIDA TATIZO LAKE KUBWA SANA UMAAARUFU,NA PIA HELA ,NA PIA HAPENDI KUHESHIMU MWANAUME NA KUTII KWAKE HAKUNA sIJUI HATA KAMA VYOMBO ANAOSHAGA HUYU
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
Nyota ya ndoa Nyota ya talaka Masha"Allah? Allah akupe ndoa ya 5?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Tatizo sio NYOTA YA NDOA....tatizo HADHI ya kuwa MKE..!
@safiaimran6455
@safiaimran6455 2 жыл бұрын
@@ismailmasoud6001 kabisa
@awavaxog5726
@awavaxog5726 2 жыл бұрын
Oya mdau wew sura yako kwani ikoje mbn kutwa mitandio
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 2 жыл бұрын
Ovyooo ndoa ustahamilivu bibi weee cjui anajikuta nani 😏😏😏😏
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
Yaani tena anaona sifa mwenyewe hapo 🤣🤣🤣
@rahimaan6481
@rahimaan6481 2 жыл бұрын
Anajikuta govinda wa kwenye kombolela 🤣🤣
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 2 жыл бұрын
@@rahimaan6481 🤣🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka
@Ms_meydon
@Ms_meydon 2 жыл бұрын
mim inaniuma ile michangooooo 💔😩wangenipa mim
@rosemzava5149
@rosemzava5149 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@EK-kp2np
@EK-kp2np 2 жыл бұрын
Dida nimekupenda bure, kila mtu lazima aishi kwa amani duniani humu, hakina aliyezaliwa kwa ajili ya mtu fulani bhana, eti kisa umeolewa basi uburuzwe kijinga, 😖Aku!
@rosendile8235
@rosendile8235 2 жыл бұрын
Yap hakuna cha ndoa ndowana hata ukiwa Gold unaachwa, hakuna cha kuvumilia mwisho ni Ishi kwa unavyo penda mwenyewe siyo kurudhisha jamii 🎶🎼🎤
@lawmaina78
@lawmaina78 2 жыл бұрын
Tatizo unaparamia ndoa za watu na kuzivuruga, kama vipi kaolewe na vijana wakutafune waache waume za watu.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
umeonaee
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Wanaume mkae na wake zenu WA kwanza waache tamaa
@lawmaina78
@lawmaina78 2 жыл бұрын
@@MsAggie5 Wake tuko nao ndani, ila ukiona freshi kazi yako kuliwa na waume za watu, watakutafuna na kurudi kwa wake zao.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@lawmaina78 sijasemea hao mnaowatafuna sijui nimesema swala la kuoa wake WA pili ambao at the end hamdumu hata mwaka. Ona sifa kutafuna wanawake WA nje UKIMWI nao utakutafuna ndo utajua lol
@lawmaina78
@lawmaina78 2 жыл бұрын
@@MsAggie5 kufuata waume wa watu utaishia kutumiwa bure hatimaye utawaacha kwenye ndoa zao, mwishowe uishie kupoteza muda wako bure. Bora kujipatia mume wako muishi kwenye ndoa yenu. Halafu haitokuja siku wanaume waache kutafuna, hicho kitu kitamu sana, huwa kinachizisha akili zinamhama mwanaume.
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Asanteee dida
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 2 жыл бұрын
Hongera Dida
@christophermsekena616
@christophermsekena616 2 жыл бұрын
Kazi kweli kweli, una nyota ya ndoa au una nyota ya kuachika mama
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 2 жыл бұрын
Ana jini kuachwa😂
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄👊
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
@@sixbertmwakaluwa5665 kumbe umeliona hilo,na jini mahaba pia hakosi🤣🤣🤣🤣
@azzahavyarimana2613
@azzahavyarimana2613 Жыл бұрын
Didaaaa🥰🥰🥰
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
Ndowa ya 4 alafu wasema una bahati ya kuolewa jamani kweli hao walio kuowa wote wana makosa ww 2 ndio una makosa duuuh miezi 8 ndoa chaalii
@alexanthony5860
@alexanthony5860 2 жыл бұрын
Nakupenda jinsi unavojikubali
@alexanthony5860
@alexanthony5860 2 жыл бұрын
Big up double D
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 2 жыл бұрын
"nmezaliwa na nyota ya ndoa" ila nyau wewe semaga nna nyota ya UKIMWI
@rahimaan6481
@rahimaan6481 2 жыл бұрын
Hiyo sio nyota dada ni hila mwanamke asifiwi kuolewa na kuachwa
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Hata useme nn ushaliwa acha maneno mengi
@getwellsoon189
@getwellsoon189 2 жыл бұрын
UKIKUTANA NA MKOROFI MMOJA ASUBUHI, BASI HUYO MTU NI MKOROFI, LAKINI UKIWA UNAKUTANA NA WAKOROFI SIKU NZIMA UJUE WEWE NDO MKOROFI.
@elizabethmhinga4730
@elizabethmhinga4730 2 жыл бұрын
Ana nyota ya ndoa kisha ana nyota ya kuachika
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 жыл бұрын
Hata Hana nguvu maongezi yake muogope Allah wewe mwanamke hupumzi unakusubua
@alainlwesso8426
@alainlwesso8426 2 жыл бұрын
Mama wakufunga nakubomoa ndoa, umetuchosha sasa, inabidi kuvumilia na kudumu sio zarau
@aishajumanne2698
@aishajumanne2698 2 жыл бұрын
😀😃😄chezea kuvamia ndoa ya mume wa mtu wewee..miezi 3 chaliii...hongera bi mkubwa...haya mumeo karudi
@safiaimran6455
@safiaimran6455 2 жыл бұрын
😁😁
@miriamkwembe
@miriamkwembe 2 жыл бұрын
Wanaosema kupika oh kufua, hivi kuoa watu wanaoa ili wapikiwe? Majukumu ya ndoa moja na nyingine yanatofautiana. Na sio dhambi mwanaume kusema hataki kuhudumia familia peke yake na si dhambi mwanamke kusema hataki kupika. Chamsingi tafuta wa kuendana na wewe, ajue mapema yapi unamudu yapi huwezi, tusiishi maisha kwasababu ndio watu waishivyo, je wewe unapenda utaratibu huo? Ama tu, mimi mwanaume lazima nifanye.
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Mwanaume ni lazima ahudumie familia yake ila mwanamke sio lazima kwa mujibu wa dini ya ki islam
@hillaljnrkisunzu7737
@hillaljnrkisunzu7737 2 жыл бұрын
Wewe si mwanamke wa kuolewa wewe ni mwanamke wa starehe
@miriamkwembe
@miriamkwembe 2 жыл бұрын
@@hillaljnrkisunzu7737 Nimeolewa namshukuru Mungu
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 жыл бұрын
Jamn jamn,tujiandae kwa michango
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Yaan huyu dada angekuwa mzuri jmn sijui ingwkuwaje loh!
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Ila kumbi lamoto kama Jina lake tu nimoto kweli
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 жыл бұрын
Umri unaenda Sasa jmn,🤣🤣🤣
@hamisibakali9271
@hamisibakali9271 2 жыл бұрын
UYU NAE KAMA AJJI MANARA 😂😂😂
@anosiata8242
@anosiata8242 2 жыл бұрын
Huna lolote. . Wewe una matatizo ukiona mwanamuke anaolewa anaachika mala 5 Ujue yeye ndiye ana matatizo. Hovyo.
@sasharahma7360
@sasharahma7360 2 жыл бұрын
Kumbe nimejitahd has miaka 22 yaallah nipe subira yangu ilete heri inshaallah
@yazu3007
@yazu3007 2 жыл бұрын
Kinyago cha mpapure hiko
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 2 жыл бұрын
Anyamaze astiriwe ss😂😂😂😂
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 2 жыл бұрын
Ndoa ngumu sana
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 2 жыл бұрын
Nyota yanini? 😂😂😂😂😂😂 hivi husikii hata ayibu kweli ?nenda ujifunze ndowa ni nini lize hovyo
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Nyota ya NDOA anayo lkn HADHI ya kuwa MKE Hana...!...bora aende tu'..!
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 жыл бұрын
Sura mbovu kama mgongo wa kobe ,huna jipya .
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃Ashukuru kuwa anapesa tu maana sura mbaya kwelii
@neemashao5328
@neemashao5328 2 жыл бұрын
Sasa Dida unaenda kufanya nn huko kwa wanaume wakat huwez kumcare mwanaume? Lakin afadhali umemuachia mwenye mume wake mume wake..
@seifali992
@seifali992 2 жыл бұрын
Unazan ndoa masham sham.
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
unajua kuwasema wenzako tu hata aibu huna duuh ushakua bibi sasa 🖕🖕🖕
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
Anaona aibu sana tu sema anajikadha mpuzii uyu
@shanihamimu5288
@shanihamimu5288 2 жыл бұрын
Dida ni.mekupenda.sana
@saidizusan7446
@saidizusan7446 2 жыл бұрын
Nimependa hii dida safi sana
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 жыл бұрын
Point kabisa
@sadiamassage9589
@sadiamassage9589 2 жыл бұрын
Usiringe sana bibi kama hajakukula hapo umezalewa na nyota ya ndowa lakini hudumu nimepeleleza unamdomo kwa wanaume ulosema hamtoachana mueke viti muzubiri sikunyengine usiseme kwakujigamba nikuomba mungu tu ndiwa idumu
@raissaraiyannaas3249
@raissaraiyannaas3249 2 жыл бұрын
Mungu akuongoze upate kuongoka iyo sio nyota dada yang izo nishida utazion siku yakuhesabiliwa Jarib kumuogopa Mungu maan mbele kugumu jana tulikuepo leo tupo hakuna anae ijua kesho tutakua wapi? Ivoo jitulize upat kutulizwa . iyonyota utatamani ikuteteye mbele ya Muumba wako ila haitowezekana ,usisahau kua Dunian tunapita. 😒
@hamidakondo1283
@hamidakondo1283 Жыл бұрын
Nakukubali dida yani mm niko ivo na mm chrome.cha nne nimeachika na zilobaki hizo ndowa najaxa bot ya azam
@faisalmwinyi3744
@faisalmwinyi3744 2 жыл бұрын
Ngoja ufeeeee
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 2 жыл бұрын
Me bamuelewa sana dida 🤙🏻
@kennyalbert7777
@kennyalbert7777 2 жыл бұрын
😄😄😄😄mamae huyu dada pikipiki nni ndoa ya 4 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@monucamwambanje3128
@monucamwambanje3128 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Dida umeongea ukweli yann safii sana Dida amani na furaha ndo jambo la msingi bora ndoa ivunjike lakn nikae kwa amani
@yazu3007
@yazu3007 2 жыл бұрын
Wee panya hata hujuwi lolote unambiwa yupo mwenye na kher nawe na sio wapo tumbiri wa kunichubuwa hehehehehehe
@claudia1500
@claudia1500 2 жыл бұрын
I'la jamani she is right! Ni unwell mchungu kwa wanawake ila msg mmepata,mnataka tuzo au?
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 жыл бұрын
Bahati ya ndoa wa mpito? Kuwa na haya mwanamke
@tatungeni6937
@tatungeni6937 2 жыл бұрын
Ukweli
@janetahmed6948
@janetahmed6948 2 жыл бұрын
Dida mashamsham
@chrismaurus8075
@chrismaurus8075 2 жыл бұрын
Dida mhhhh
@oziljuma2503
@oziljuma2503 2 жыл бұрын
Zile zawadi na michango inakuwaje au ni mtaji
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe tele mitiani nanimetulia kwani subra huvuta Keri na Allah anapenda mja mwenye kusubiri
@sasharahma7360
@sasharahma7360 2 жыл бұрын
Mashaallah
@user-mn8dw5of8l
@user-mn8dw5of8l 5 ай бұрын
Yan wew dida unanipa elimu jaman mimi wanaume nawachukia kasoro baba yang t
@elmzitomohammad6268
@elmzitomohammad6268 2 жыл бұрын
Nyota ya ndoa na nyota ya talaka pia,kumaanisha huna busara mwanamke mdomo punguza na ukae single,siku hzi pia watu hufunga ndoa kwa kufanya ukahaba
@peggywanjiku9638
@peggywanjiku9638 2 жыл бұрын
Kwani lazima kuolewa
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 2 жыл бұрын
Kbs wanawake tutafute pesa ili tuwe namamuzi
@othumanikamilagwa1129
@othumanikamilagwa1129 2 жыл бұрын
Maamuz au upumbav tu ameshakuwa bibi sasa....🤔🤔😁
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Did a abaonekana anajuakupenda ilatu anawivu Sana pole Sana Allah akujaalie Mume wema lnshallah
@zenahdallactv1799
@zenahdallactv1799 2 жыл бұрын
Dida ni njaa ndio yamsumbua,anazulumu wanaume mahari zao
@yusufudongote6440
@yusufudongote6440 2 жыл бұрын
Huyu anajiona mzr😓😓😓
@farajagrant4660
@farajagrant4660 2 жыл бұрын
Nafwata nyayo zako dida mpaka kiereweke Mimi masikin jeur sitaki kijipa streess
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 2 жыл бұрын
Namkubali sana dida huwezi teseka eti kisa watu watakuonaje ndio maana wanaovumilia wanauliwa kwenye ndoa jiachie mwaya
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Nyota ya ndoa na talaka!
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 2 жыл бұрын
Asante
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Hataree kwa kweli ndoa za sasa hata mwaka bado mambo yamevurugika mhh inasikitisha
@azizamerere9859
@azizamerere9859 Жыл бұрын
Wajina😂
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Duh wanaume wote 4 ndio wenye makosa, anataka kuishi kwenye ndoa kwa matakwa yake! Non sense
@issakamangila4143
@issakamangila4143 2 жыл бұрын
Kiapo dida
@rayanaabdallah6580
@rayanaabdallah6580 2 жыл бұрын
Nashangaa wanawake wengine wakimsupport, ndoa ni kuridhia na kuvumilia, mtu kaachika na yuafurahiaaaaaa ASTAGHFIRULLAH!! Dada wewe ndio una Kasoro, uko binadamu wa vipi kila siku Mungu akupa mume mbaya?! Umrongo huenda ikawa ulizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi.
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 жыл бұрын
Khadija a.K.a dida mzungu wa roho yupo na rafiki yake anaitwa emmy care
MAZITO HAYA! DIDA AMJIBU EX WAKE ''SINA NDOA NAISHI MAISHA YANGU''
17:07
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
SHEKH ATOA NENO KUHUSU NDOA YA DIDA KUVUNJIKA!
5:13
Wasafi Media
Рет қаралды 78 М.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
MkasiTV
Рет қаралды 312 М.
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
0:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Слепой узнал о измене своей жены😳
1:00
Это реально работает?!
0:33
БРУНО
Рет қаралды 2,4 МЛН