"MAGUFULI ALIKIONA KIFO CHAKE, ALITAKA AKAFIE NYUMBANI KWAKE" MSTAAFU MABEYO

  Рет қаралды 62,067

Wasafi Media

Wasafi Media

4 ай бұрын

Пікірлер: 62
@user-tl4cy7br6v
@user-tl4cy7br6v 4 ай бұрын
Pumzika kwa amani our hero president jpm, pongezi kwa cdf mabeyo
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 ай бұрын
Dah kama naww imekugusa hii tujuane
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 4 ай бұрын
Kurudishwa nyumbani inaonekana kuna jambo aligundua sio zuri akachukizwa bora afie nyumbani kwake kuliko huduma aliyopewa hapo
@prophetjamesmzigaba4447
@prophetjamesmzigaba4447 4 ай бұрын
Nimejifunza jambo sana ,hadi anaumwa lakin bado anasimama na msimamo wake alikufa kishujaa sana mwamba huyu
@jaykule8197
@jaykule8197 4 ай бұрын
CDF kwanini mlificha ukweli mkasema Rais ni mzima na anaendelea na ziara zake hamkutaka Rais aombewe na wananchi wake kama kawaida yake
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 4 ай бұрын
Ndio swali! Usiri kwa mtu ambaye ni wa watu wengi...
@user-yi8pe8zz1t
@user-yi8pe8zz1t 4 ай бұрын
mngemrudisha kwao huenda angewaona ndugu zake angepona,maana damu ni nzito kuliko maji😢
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 4 ай бұрын
Yani tunajiulizaga maswali sana hero wetu nini kilimkuta lakini Mungu ajua yote tuntamkumbuka daima
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
😭😭 nimefarijika kusikia Kama alipata upako wa mwisho naamini alipata kitubio kabla ya sakramenti ya mwisho, walio wake Mungu amewachagua hata dakika ya mwisho atawaokoa. Amepumzika kwa amani mpendwa wetu.
@crispinakimaro3821
@crispinakimaro3821 4 ай бұрын
Why retired cdf ! we cried out again May our Lord God granted JPM eternal peace Amen 🙏😭😭😭
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 ай бұрын
Sasa ile watu wanasema ati kapelekwa Nairobi kumbe ulikuwa ni uongo tu. RIP Magufuri, umetuachia legacy kubwa sana nchini kwetu.
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 4 ай бұрын
Usiri unasababisha maneno
@amosmichael8986
@amosmichael8986 4 ай бұрын
Kwahiyo mkuu wa majeshi ulikataa kutii amri ya amiri wako jeshi mkuu au inakuaje ebu tufafanulieni
@abdullynasry2205
@abdullynasry2205 4 ай бұрын
Ndo najiuliza apa sipati majibu
@emanuelshine
@emanuelshine 3 ай бұрын
Ni katika jitihada za kuokoa uhai wake.
@ivangasper1709
@ivangasper1709 4 ай бұрын
Yaani napata hasira sana kuhusu kuondoka huyu baba, ila itoshe kwa kusema kila jambo ambalo Mungu ameruhusu litokee basi ni kwa ajiri ya utukufu wake🙏
@charlesyapuka4992
@charlesyapuka4992 4 ай бұрын
Daah CDF kukataa kumrejesha maskani ulizingua sqna...Kwahyo madaktari walikua huru kwa kila kitu?
@yomamausafi1137
@yomamausafi1137 4 ай бұрын
ipo sku mtasem ukweli
@JaphethKauno
@JaphethKauno 2 ай бұрын
Mbele yako nyuma yetu. Hakika tutakukumbuka kwa mengi ulliyo fanya. Daima tunakuombea mungu akuondolee na adhabu ya kaburi. Daima tunakuombea pumzika kwa aman amen.
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 ай бұрын
Duuuuuuuu Muna tuuumizaaaaaaaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@joharimillanga1587
@joharimillanga1587 3 ай бұрын
Yote kwa yote Mungu ndo anajua kuzaliwa na kufa kwa mwanadamu. Imeshatokea basi hatuna namna zaidi ya kutulia
@geofreymlingwa2914
@geofreymlingwa2914 4 ай бұрын
Maneno hayo yameniuma Sana. Anyway R.I. P JPM
@VeronicaVitus-rk5mf
@VeronicaVitus-rk5mf 4 ай бұрын
😢
@chuisayi754
@chuisayi754 4 ай бұрын
Ulikuwa wap zaman kuweka waz hayo maneno
@user-tl4cy7br6v
@user-tl4cy7br6v 4 ай бұрын
Wew hy mambo si ya kukurupuka kutangaza hivhiviiiii
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 4 ай бұрын
Nakwambia wanafik tuu hawa...!!
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh 4 ай бұрын
Nyinyi nyinyi semeni vizuri, yaan mhmhmh
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs Ай бұрын
Aliua watumie wengine sanaa hatuna mazombi yatamsaidia hukohuko kuzimu
@mrmiamiaclassic6492
@mrmiamiaclassic6492 4 ай бұрын
Duhuu kwa hayo maelezo CDF kuna kitu kipo nyuma ya paziaa
@joselinemwaki9665
@joselinemwaki9665 4 ай бұрын
Mwili unaongea mengi kuliko ya mdomoni, #ripmagufuli
@simasima8084
@simasima8084 4 ай бұрын
Asante kwa kugundua hilo😢😢
@JusteneAtilio
@JusteneAtilio 13 күн бұрын
Daaah
@user-ve1xm7gn9y
@user-ve1xm7gn9y 4 ай бұрын
Alichokifanya Harmonize kwa Diamond State House ilikua maagizo ya Wachawi wa Harmonize.... Popo kazini 🦇🦇🦇 🦇🦇🦇🦇🦇🦇😭🇹🇿
@jullia639
@jullia639 4 ай бұрын
Dah
@vitalgiddy04
@vitalgiddy04 4 ай бұрын
Wengi wanaamini Magu alifia Kenya hospitali kuu la Agakhan jijini Nairobi
@user-yi8pe8zz1t
@user-yi8pe8zz1t 4 ай бұрын
hacheki huyu mzee ni askari jeshi sura yake haisomeki,unapo dhani anacheka ooh,mambo yanawezabadilika mara moja,askari huyo ohooo!
@joshuambilinyi6655
@joshuambilinyi6655 3 ай бұрын
Daah
@user-mortone
@user-mortone 4 ай бұрын
Kwa nini anapata kigugumizi sana katika kuongea
@ezekielmbazi.8687
@ezekielmbazi.8687 4 ай бұрын
Inswezekana angeenda Nyumbani angepona labda kuna kitu alishakigundua....... Mhhhh moyo unaniuma zaid
@MagingaJoseph-iw9nk
@MagingaJoseph-iw9nk 4 ай бұрын
😢rip
@deuslucas2256
@deuslucas2256 4 ай бұрын
Inauma sana
@justinjasson7070
@justinjasson7070 4 ай бұрын
Mzera kulikuwa na vifaa?
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l 4 ай бұрын
ni vigumu kumsahau mwamba, kipenzi cha watanzaia apumzike kwa amani baba.yetu.
@tegemeantenga102
@tegemeantenga102 4 ай бұрын
Kuna jambo halkuwa vzur ndio maana aliomba arudishwe nyumbn, huenda wazee wangemuwekea mikono ya baraka angepona,,,Kuna sku maelezo yatanyooka tu....najiulizaga kwann mzee aliumwa hivyo na serkal ilificha?
@user-wl8ok7zz5d
@user-wl8ok7zz5d 4 ай бұрын
rip
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 4 ай бұрын
Huyu kamanda mbona mwili wake unaongea mengi kuliko mdomo?? Anasema mda huo makamu hakuwa Dar alikuwa mbali,mbali ni Tanga??waziri alikuwa Dodoma, kamanda mdomo ni mzito,karuhusiwa kusema machache, anasema hadi Magufuli anakufa mkewe hakuwako, nyie watu
@RichardNyalucy
@RichardNyalucy 4 ай бұрын
Ccm wamemlambisha kisu chenye asali
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh 4 ай бұрын
Sjakuelewa kabisa
@JulianaMakunja-vr4jl
@JulianaMakunja-vr4jl 4 ай бұрын
Yaan Magu uliniumiza sana 😭 nakumbuka wakat mzee wng naye anakaribia kufarik nilimuota Magu yupo maeneo ya home Baba anamwangalia now wote hawapo😭😭😭
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
Sasa na wewe askari km ulikuwepo na alikuambia umrudishe kwao wewe ulikataa kwann? yeye alijua pengine angelishugulikiwa na ndugu zake angepona. hapo ulimkosea sana kumkatalìa.
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 4 ай бұрын
Daaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢R I P JPM
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kwa hiyo mkuu wewe ulimtii amili jeshi wako alipokuwa mzima ilikuwaje alipougua ukakaidi maagizo yake na kugoma kumludisha nyumbani ina maana amili jeshi anasthili utii anapokuwa mzima akiumwa hastahili utii jamani mbona hapo sijapaelewa ?
@abdullynasry2205
@abdullynasry2205 4 ай бұрын
Ndo najiuliza inakuaje kapinga kauli ya rais waongo walimua Yule mzee
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 4 ай бұрын
Umebadilisha aliomba madactari waondolewe kabla ya kutaka kurudishwa nyumbani
@user-tl4cy7br6v
@user-tl4cy7br6v 4 ай бұрын
Ulikuwepo syoooo????
@fortunendyamukama3906
@fortunendyamukama3906 4 ай бұрын
Mind your language inaweza kuku cost🙌🙌🙌🙌😷😷
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 4 ай бұрын
@@fortunendyamukama3906 tunasema mambo yaliyo sikika dunia nzima sio siri tunazungumza kutokana na mambo tulio sikia wakukamatwa ni yule alie tuelezea na hao walio kuwa kwenye mamlaka wamemsikia na wamemuacha tu azidi kutueleza na wanamjua na wala hajifichi sura wameheshimu freedom of speech nenda kwenye U-Tube andika hivi (kifo cha raisi magufuri generali mabeho kimeibua maswali 10,,,SK-Media on line)
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 4 ай бұрын
Hivi kwa nini cdf anacheka, na kutikisa miguu? yumkini naye anahusika.
@doiabel3793
@doiabel3793 4 ай бұрын
Cdf alimpenda sana magufuli hapo anamachungu mengi sana kisimlia hii story anaweza kuangua machozi gafra ndo maana anatikisa tu mguu
@Eng2460
@Eng2460 4 ай бұрын
😭😭
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
NANI ALIYETOA TAARIFA KWA MKE WA MAGUFULI?, MABEYO ASEMA YOTE
3:13
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
MkAPA alijitabiria kifo ?Maneno ya mwisho mbele ya Rais Magufuli
11:38
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 590 М.
🤣🤣❤️
0:26
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,9 МЛН
Смотреть до конца!
0:19
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 1,3 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 4,4 МЛН
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 39 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 810 М.