Njoo south Africa uwasaidie watu wanateswa mno nauchawi nauchawi
@Dr.manyaunyau2 ай бұрын
Sawa
@amanmyolo5359Ай бұрын
Namba ya Dr tafadhali
@straightkonect16134 жыл бұрын
Kama umeona kwa Dokta lipo GYM hebu ongeza glass
@saidabdullah72734 жыл бұрын
Katika vitu ambavyo sina imani navyo ndio hivi siamini Kabisaaaaaaa imani yangu kwa mungu anatosha Kabisaaaaaaa.
@abdulrahmanhassan92544 жыл бұрын
Elimu hii akifanya mzungu tunasema sayance akifanya mwaafrica tunasema ushirikina. Waafrica sisi niwatu waajabu kweli
@carentemu91412 жыл бұрын
Wape erimu haoo Dr manyaungau
@sadyroger76244 жыл бұрын
Wcb nyie kiboko . Ila uyo manyau nyau Noma jamani. Uyo ana kipaji acheni masiala dah hongela Sana mkuh
@billionmaffia65624 жыл бұрын
Muhuni wakishua 😀😀😀
@twahamjanakheli4182 Жыл бұрын
Mi naamini kwasbabu kipaji hicho mungu kanipa kukamata majini mapembe vitu vyaajabu kutibia kwaiyo nashkuru na baada ya kumuamini Allah ila uchawi upo hicho naamini anae bisha mi kwasbb natibia pia na kuzuza namuamini manyau nyau namfahamu
Tumezoea waganga vibanda vya udongo leo mambo ya gym na blenda juu dahh
@sarahhamisi20704 жыл бұрын
sipendag/ mambo yanayousu/,ushirikina/ilahuyu kaka anajua/kujieleza
@fathiyaanwar45352 жыл бұрын
Namba ya simu basi sisi wengine tuko mbali na shida tunZo.
@ladyG2511 ай бұрын
❤❤
@wambokimani682 Жыл бұрын
Wueh.....noma sana
@hedayaabeid31963 жыл бұрын
Nakuja na mm nioge 😂😂😅😀
@joshuamuseti30182 жыл бұрын
abo sawa kabisa
@Dr.manyaunyau2 ай бұрын
😊😊😊
@merycheo43484 жыл бұрын
Uko vzr saana doctor sema tuko mbarii
@amourabdallah29784 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 2008 kuna mganga alikua anaitwa Kinyulikira yupo Tandika Azimio alishafanya sana hayo mambo mpaka kufunga mzigo wa kuni kwenye chupa ya soda '
@simonfilbert70084 жыл бұрын
Aisee manyaunyau anaongea point sna
@dianacheruto94083 жыл бұрын
kweli
@owlbig4 жыл бұрын
Nivizuri muwe mnatuletea watu kama awo watalaam kuliko kutuletea wenye hawajui kitu cocote kile wenye wanacukia ayo mambo ya uyo doctor niwatu wenye kujipenda wawo wenyewe tuu ndowanajiona wasafi wengine niwafanya mazambi na ilo sio vizuri kama unacukia ayo mambo kwanini uweke apa kwenye comment ujinga kwanini usibaki kimia ukumbuke uyo ni mtu kama weye ila tuu anakipaji cake nayeye pia anamuokopa Mungu kama wewe aca sasa kumu jugement kwasababu kumu jugement mtu nikosa kwa muumba kwasababu sio wewe ndo umemuumba
@asmajamani29674 жыл бұрын
SANTINO IRAKOZE..@upo sahihi wengine wanajiona mungu watu wakat wenyew ni wakosaji wanapenda kuwakosoa watu wanganga wakat na wao wanamuomba mungu.wengi walio comment wanamsema vby manyaunyau wakati ndio kipaji chake ila awajichangai wao wenyew wanakipaji cha udhinifu sasa sijui wanamfulaisha mungu yupi ety
@owlbig4 жыл бұрын
@@asmajamani2967 kabisa ilo ni kweli sipendi watu wenye wanajiona wawo ndo wasafi kuliko wengi
@asmajamani29674 жыл бұрын
@@owlbig ndio ivyo tena watu atufanani kila mtu anajiona yy ndio inamfaa pepo kuliko mwenzie...@tunajitowa ufahamu wakati sote hakimu wetu ni mungu yy ndio anajua kila kitu kuhusu sisi
@owlbig4 жыл бұрын
@@asmajamani2967 kabisaaa
@owlbig4 жыл бұрын
@Mafia Respect Studio unajuaje kama Mungu amepinga?nakama Mungu alipinga mwaaciyeni Mungu tuu ila sio wewe umu judge mtu mzenzako bro ilo ndokosa letu sisi wa Africa tunapenda kufatia maisha yawatu kuliko kujenga yetu
@bjzee19814 жыл бұрын
Huu ni ushirikina tu. Kwa comments hizi yaonyesha ni kiasi gani wa Tanzania wengi ni wa shirikina. We mganga hebu vuta noti zitoke BOT zikufuate.
@twahamjanakheli4182 Жыл бұрын
Ndugu yangu huwezi kuvuta hela kama hela ila tunavutaga makopela ambayo yanachukua hela kila siku ukilikamata ndo unatafuta dawa zake ili uzitoe izo hela unaweza kulipasua halafu.usione hata mia ila ukizipata dawa zake ndo utatoa izo hela na kuzitumia
@mtzhalisi22322 жыл бұрын
Mwambie aanze kuchovya mafuta kwanza kabla ajachovya hiyo dawa....uchaga og unashindwa kujiongeza?
@harunchilimba54274 жыл бұрын
Poza naikubali sana huku sisi tunatumia kukinga shamba na nyumba
@khamisallynaulidi24203 жыл бұрын
Ndungu zangu waislam kweli uchawi upo lakini manyau nyau ni,mshirikina! Tusi muamini mshirikina!
@selemanimsahani39194 жыл бұрын
Huu ni upepo wa kisulisuli
@benedictflorence28703 жыл бұрын
😂😂🤣🤣kumamae haya ni mazingaombwe/KiiniMacho
@hedayaabeid31963 жыл бұрын
Mm nasumbuka mno ucku silali naona watu ndani
@fayeezabdallah2217 Жыл бұрын
Natk nikusaidy upo tyr
@billionmaffia65624 жыл бұрын
Kumamae walahi 😀😀😀😀
@khamissebe90784 жыл бұрын
The guy resembles enock Bella of yamoto band😁😁😁
@mamlomalichela67004 жыл бұрын
Mganga anatumia blenda cku his baada ya kinu😋😋😋😋maendeleo ya uchaw
@NoLimitHD.4 жыл бұрын
Hehehe umeniua ndungu yangu 😂😂😂😂😂
@bellaabu57264 жыл бұрын
Kkkk wamekaa kidigitale zaidi
@mamlomalichela67004 жыл бұрын
Hamna mganga hapo
@griffinsomondi74224 жыл бұрын
Amerahisha tu.... But trust in God
@fatinaaman2414 жыл бұрын
Duh aisee yupo vzr
@gammygregy59554 жыл бұрын
Bwana dkt umejipanga vyema mazingira mazuri
@Dr.manyaunyau2 ай бұрын
Asante
@emmanuelmasemba76124 жыл бұрын
Dokta weka no zako ,Mimi nasumbuliwa na chumaulete kwenye biashara yangu
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Hatari
@KankuliNsumbu9 ай бұрын
Wewe ndo ungeaziwa ili tuamini
@abdulmalikngola92444 жыл бұрын
Dawa ya Corona vipi dokta
@mrjagenmuuz57044 жыл бұрын
Mganga wa dıgıtal duh
@muhammedkhamis4164 жыл бұрын
Mganga wa kwanza kumuona na utajiri 😂😂😂😂 mganga wa kidigitali
@bintiiddy70434 жыл бұрын
Haiwezekan kuaguwa watu wapate pesa afu wewe ufe maskin 😁😁
@muhammedkhamis4164 жыл бұрын
@@bintiiddy7043 umeona ee 😂😂kamaliza mbanda kaona magu anabana kaamua kuingia chimbo kutumia mlango wa kushoto
@ogenylaurent79612 жыл бұрын
Nina Ndugu yangu anapesa na majumba zaidi ya matano na ukienda nakutibia hata kama hauna pesa kikubwa vifaa vyako kuhusu pesa anazo za kutosha ila sadaka yoyote utatoa
@zainabukabura98764 жыл бұрын
Tia number yako ya simu plz
@amourabdallah29784 жыл бұрын
Hayo mazingaombwe sasa mbona hio kitu kitambo sana watu wanaweza ambao hata sio waganga
Iyo IPO kunamzee mmoja Yeye anatoa miogo yakukaanga Kwenye kalai ya bila kitoeo Kwetu tunatumia spoku yabaskel Yeye anatoa kwa mkono
@jirabison29742 жыл бұрын
Mawasiliano Plz
@shukurushanane63354 жыл бұрын
wewe mganga uko sawa kabisa, wazungu wameua sana tamaduni zetu
@beatricechristian92574 жыл бұрын
Shukuru Shanane kweli kabisa ndugu.
@bjzee19814 жыл бұрын
Kuna tofauti ya Doctor na witch doctor . Nonsense . Hilo ni ua tu linalo itwa money plant
@ogenylaurent79612 жыл бұрын
Pole
@johannesmadembwe69324 жыл бұрын
mganga unasaga dawa na brenda hahahaa
@ogenylaurent79612 жыл бұрын
Ajabu nini sasa
@emilymideva87834 жыл бұрын
Woow l hp ningekua karibu huko TZ.
@rafiki34334 жыл бұрын
watanzania wote, wakenya, wa Africa wote nawakaribisha kwenye account yangu ya KZfaq. tafadhali SUBSCRIBE kwenye kituo changu cha youtube. Kama wewe ni mpenzi wakupenda kwangalia story Basi unaweza ku subscribe channel yetu ili usipitwe tafazali na asante kwa wale watakao subscribe
@jabirstevenn38054 жыл бұрын
Naomba namba yako 0717976132
@rafiki34334 жыл бұрын
Jabir Stevenn kwa nini
@jabirstevenn38054 жыл бұрын
@@rafiki3433 kawaida tu naomba namba yako nikupigie yangu mimi 0717976132
@jabirstevenn38054 жыл бұрын
Natatizo kidogo linanisumbua sana yani sina amani
@rafiki34334 жыл бұрын
Jabir Stevenn wende uka ni text kwenye instagram @ rafiki.2
@davidwalalason76304 жыл бұрын
Og hii tiba imekwenda shule am so much interested nayo since nimeskia inatibu stroke, my mom n dad are suffering from this shit
@blaiseally63064 жыл бұрын
🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️Where is mo-town-Sagna,
@salminkhan42674 жыл бұрын
Duh
@williamnyanda22954 жыл бұрын
Usgalud doctor wakati unamuona
@shanizyusuf82104 жыл бұрын
Jmn mm naomba namba ya manyau nyau nipeni jmn nina natizo namtafuta cku nyingi jmn naomba namba
@Dr.manyaunyau4 жыл бұрын
0712553169
@veronicanyakire98074 жыл бұрын
Hayo matawi kwetu ni mboga. Inautelezi ikishapikwa, naona utelezi umesaidia mafuta kuteleza asiungue
@willystv93644 жыл бұрын
Hebu jaribu nawewe
@nickisaack58584 жыл бұрын
Acha kukoment ujinga hauwezi kuzuia ungua kwa uterezi
@rhinaamiry85354 жыл бұрын
Tena inaitwa derega sio poza up km mlenda
@africansytravelandtours47294 жыл бұрын
ata bamia unatumia
@suleimanmuhammed71523 жыл бұрын
jinalake unaitwaje haswa
@idinado45242 жыл бұрын
Watanzania wezangu msiamini ata kidogo ata awafanyie miujiza gani msiamini atakee amini aende kitakacho mkuta atakuja aniambie😄😄😄😄😄😄
Mganga umeowa? Je kama umeowa umkeo anachpkaga Kweli? 😁😁😁
@ummuismail75974 жыл бұрын
hahaa uganga wa analog
@khamisjuma58634 жыл бұрын
Hatar napooza ilo uchaw umefundishwa na majin nahaohao wanatoa dawa inawezekana vp ya panya hyo kutafuna na kupulza
@merycheo43484 жыл бұрын
Pindi zur saan muhuni
@kevstv32894 жыл бұрын
naona mna2fundisha kurogq
@leonardflavour75334 жыл бұрын
Uganga namazoeziiiiiii!🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
@isayayetero25254 жыл бұрын
Vp
@zumbeshauri81144 жыл бұрын
wala sio fundi sana hayo majani yanatereza pia umeweka maji kwahiyo mafuta hayana ukali tena kwani mie mtu alie teguka mkono au mguu unachukua majani yakutereza unachoma jembe jikoni liungue kabisa kisha unachukua majani kisha unachukua mafuta kwenye tambaa kisha unachoma kwenyejembe unamkanda mtu lakini huungui
@asiliyakechuma43194 жыл бұрын
Zumbe Shauri mwenzako amexha tajirika
@zumbeshauri81144 жыл бұрын
asiliyake Chuma! wala sijakataa
@chafumirro56174 жыл бұрын
Kwani hana jiko la gesi??mpk atumie la mkaa
@dr.bilallymaster67844 жыл бұрын
Kwanini dawa yako ifanye kazi kwenye mafuta pekee. I think ni kutokana na uterezi wa majani hayo, ni usani umetumika
@zumbeshauri81144 жыл бұрын
Dr. Bilally Master umeonae ndugu yangu bilally hawajui kuwa uterezi unasaidia mafuta yasichome
@sirq1834 жыл бұрын
Lkn mafuta yakipataga moto saana haya topot uwa yanatuliaaa mbona hayo mafuta yanatopota km ya maharage
@ogenylaurent79612 жыл бұрын
Kwasababu kuna dawa imeingia
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Na nimafuta ya nazi na yana dawa
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Tapeli .acha vitisho wewe
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Sasa uyu anaitwa doctor kasomea wp????😂😂😂😂awa ni wachawi tupu mganga yyte yule lzm awe mchawi yan lzm haruke na wachawi wengine usiku...uyu ni mchawi amna kitu ..anawaibia watu tuu pesa zenu yan uyu na wachungaji fake awana tofauti yyte ile
@ogenylaurent79612 жыл бұрын
Watu km ninyi mnaongoza kwenda wa wachawi
@binthawa29734 жыл бұрын
Anapatikana wapi dokta... Yan anaongea kama dingi dah
@fathmasalim79344 жыл бұрын
Npo kenia naitaji No.
@rebekabarakakibangokibango65524 жыл бұрын
Mtangazaji usikubali kuingizwa chakike hapo kama anasema haungui wewe paka hilo boza halafu weka mkono kwenye chungu hauwezi kuungua huyo mzee mjanja sana
@bjzee19814 жыл бұрын
Si ange nyanyua hicho chungu am mwagie mbona ana paka
@nickisaack58584 жыл бұрын
We vipi. Kwa hiyo ndo unataka tusemeje
@charliechomba39534 жыл бұрын
Tupo Zambia tunaomba na namba yake
@Dr.manyaunyau4 жыл бұрын
+255712553169
@irenegudluck12144 жыл бұрын
Muongo🤣🤣🤣🤣
@bobxaiitommez81454 жыл бұрын
Number ya dokta 0712553169
@jabirstevenn38054 жыл бұрын
asante sana mimi naomba namba yake jamani namatatizo namba yangu hiyo 0717976132
@jabirstevenn38054 жыл бұрын
Mbona sikuoni kaka
@Dr.manyaunyau4 жыл бұрын
0712553169
@benedictflorence28703 жыл бұрын
Karibu Tanga uje Tukuroge na ww uone
@amanibakari50614 жыл бұрын
uyu mganga kama ndo wakwel coz sidhan kama wale waganga matapel wanaweza kkubal kafanya interview, so kuna waganga na matapel na matapel ni wengi ndomana raia hatuamin waganga