Kiutu uzima ndio mistari yenyewe hiyo ishatoka,joke na ukweli humu humu lkn pia ni"Good sense of human"splendid RC!!
@evcloudjuma97902 жыл бұрын
this guy he makes me smile !
@simbascdailysimbasctanzani28352 жыл бұрын
Makongoro kwa kupenda chini na pombe za ubanda😄😄😄
@prosperkullaya6721 Жыл бұрын
Sijui kwa nini uku teuliwa miaka mingi unachekesha sana good blessing u so much
@goodlucknjau772 жыл бұрын
Dah nime Cheka Sana , ila kweli mama Yuko vizuri 🤣🤣🤣🤣
@nicholaskoech344711 ай бұрын
Truthful Man.
@kanyamagaraabdallah83002 жыл бұрын
President Nyerere arije zaa kabisa uyo Nibaba au papa wetu Nyere politics wise man same bravo often!
@emmanuelmnyonzi61432 жыл бұрын
I love the guy
@FRENKFRENK-ld8pp Жыл бұрын
Wewe mtu unachekesha sana nakupenda mpaka naumwa
@jacksonsaileni12192 жыл бұрын
Makongolo ni comedian wa kizaliwa
@ukweli2552 жыл бұрын
wadada wa zamani walikuwa hawatumii P2 na Shisha Mabinti wa saisi mjifunze kujitunza
@issakarem38862 жыл бұрын
Ndio bb siasa haitaji mtu.jina mama kasheelewa huyo,aah roseeeeeer
@dintazdintaz73112 жыл бұрын
Huyu mshikaj mm nahic ni bao la bafun
@SamsonMalisa2 жыл бұрын
Jamaa jinga kweli😂😂😂😂😂
@emmanuel_cs2 жыл бұрын
Kwa wale tulioelewa. Ashapiga mistari hapo
@user-uy8vp1fr7e4 ай бұрын
Mzee Mcheshi sana
@kikariantandi48332 жыл бұрын
VITU VIMEPANDA BEI SICHEKI NI HUZUNII 😢😢😢
@elishakayagwa93712 жыл бұрын
Duuh... hii serikali jmn kazi ipo
@Emmamusiccmb2 жыл бұрын
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO KUSHOTO 👈NAAMINI MTAUPENDA 💥*
@innocentnzovuyase83752 жыл бұрын
Kila kitu ukizidisha inakuwa mbaya ,Mheshimiwa makongoro jaribu upunguze joke sina ,hiyo sio nzuri kwa kinongozi.
@victormtani7170 Жыл бұрын
Fala wewe amekuumiza nini au amekuzidi sera na Mistari huna ndio maana unasema apunguze mizaha. Innocent Nzovuyase huna lolote lile la kutuambia juu ya Mh. Makongoro Nyerere. We ni sawa na teja la madawa ya kulevya na kulewa migongo.
@yuzoblack85232 жыл бұрын
Wazee wa busara 😆😆😆😆😆
@marksanduki Жыл бұрын
Makongoro hoyee 😆 🤣 😂
@talangekulwa73252 жыл бұрын
Now funny
@jumannemsengi21952 жыл бұрын
Makongoro ni Comedian kwelii!!!!!!!! Sasa huuu c uch.......zi. Nondo zinaibiwa ww unaleta comedy, fanya kazi.
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Hata mimi namshangaa! Yan kaz yake kuchekacheka tuuu hayuko seriously na kazi yake 😠😡ananikera basi tu
@husseinkazigo61892 жыл бұрын
Kakosea wapi sasa wivu huo
@jumannemsengi21952 жыл бұрын
Ww ndio naona unaleta upenzi kuliko uhalisia, nadhani hujui kuwekwa kweke hapo watu napiga kupitia yy
@rehemajuma22022 жыл бұрын
Sio wivu hayupo serious na kazi sasa mradi ataukagua SAA ngapi na kujua mapungufu
@jumakapilima56742 жыл бұрын
Mh!!!
@amanimoses1477 Жыл бұрын
Haaa
@jumannemsengi21952 жыл бұрын
Hakuna kazi awamu hiii ni sanaaaa tupu na mibei juuuuuu kama tupo jehanamu