Oscar Nyerere atoa kali ya mwaka mbele ya viongozi washindwa kujizuia kwa kicheko

  Рет қаралды 161,320

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 103
@digitalworld5577
@digitalworld5577 2 жыл бұрын
Aieee this guy is so talented, sauti ya Baba wa Taifa kaipatia mulemule!👏🏾👏🏾
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 жыл бұрын
Duh watu na vipaji vyao kwakweli hongera sana
@digitalworld5577
@digitalworld5577 2 жыл бұрын
Wengi wameigiza sauti ya Baba Taifa, lkn huyu ndo kiongozi wao.
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 2 жыл бұрын
Uko vizuri sauti kama mwalimu Nyerere kabisa
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 7 ай бұрын
Oscar umepatia sauti ya mwalimu nyerere kabisa. Your talented. Mungu akutunzie kipaji chako 👍🏽
@HassanAlJabri
@HassanAlJabri 2 жыл бұрын
Aisee huyu....mwishoo...sauti khasaa ya baba wa Taifa. Nilikuwa sitoki kwenye radio kila hutuba zake......napenda sana...Mola amrehemu....
@mdentertainmenttz124
@mdentertainmenttz124 2 жыл бұрын
Talented boy
@marympemba6378
@marympemba6378 Жыл бұрын
Hongera sana oscar, sauti ya mwalimu nyerere, una kipaji kizuri sana.
@bibiusuni5067
@bibiusuni5067 Жыл бұрын
Good memory revisited. Rest in peace Mwalimu, your voice is still alive through such talents in Tanzania.
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 жыл бұрын
Yeah, amejitahidi!.
@enockkagomba1261
@enockkagomba1261 2 жыл бұрын
Vizuri sana
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Kweli Majaliwa tunampenda...anapendeka😍😍
@mrsilverclassic6785
@mrsilverclassic6785 2 жыл бұрын
😂😂😂😂namuona mama Maria analiwazika maskini dah ndomaisha yalivyo
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Mazoezi ni muhimu sana ,sasa hivi unapita mulemule kwa Mzee,hapo sawa👍
@mohdkhamis3857
@mohdkhamis3857 2 жыл бұрын
Hongera, unatukumbusha mbali kjana,
@saulimadale9080
@saulimadale9080 Жыл бұрын
Kweli majaliwa namuelewa sana huyu jembe Mungu wa mbinguni ampe maisha marefu aendelee kutuongoza
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 жыл бұрын
Da Safi sana Oscal
@ambwenesandersony1545
@ambwenesandersony1545 2 жыл бұрын
Jamaa anajua sana
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Jamaa pekee anaeweza kusema chochote
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 жыл бұрын
Wanajua sana
@marympemba3865
@marympemba3865 2 жыл бұрын
Nimesikia ya mwakimu nyerere kabisa, una kipaji kizuri sana, unaweza sana osca
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 жыл бұрын
Huyu ndo anampatiya mwalimu
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
thank you Mr Oscar for awesome speech!
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 2 жыл бұрын
Very talented figure
@samweltv2064
@samweltv2064 Жыл бұрын
what a kipaji mungu akujalie maisha marefu oscar🙌
@joachimmapunda4125
@joachimmapunda4125 2 жыл бұрын
Man, that's some talent.
@benjamingewe6943
@benjamingewe6943 Жыл бұрын
Uwe unaigiza sauti ya Nyerere zaidi ndio unapendezea zaidi.
@EmanueliBoi
@EmanueliBoi 2 ай бұрын
Hongera sana
@mdoticomkom3924
@mdoticomkom3924 2 жыл бұрын
Jamaa kampatia balaaa
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 2 жыл бұрын
A mso happy jamani tuna enjoy na sauti ya rais wa awamu ya kwanza complete jamani apumzike Kwa Amani
@pascalsamson4721
@pascalsamson4721 2 жыл бұрын
Amina
@silverman6930
@silverman6930 2 жыл бұрын
Talent … 🇬🇧❤️
@daudhenry6212
@daudhenry6212 2 жыл бұрын
Super!
@habibahabiba7128
@habibahabiba7128 2 жыл бұрын
Mabrouk
@user-kg3cr9gg1h
@user-kg3cr9gg1h 4 ай бұрын
Super💪
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Safi sana
@kimsamir965
@kimsamir965 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@hassanhhassan6309
@hassanhhassan6309 2 жыл бұрын
Talent
@eng.magesakhamis493
@eng.magesakhamis493 2 жыл бұрын
Kumtandika hoyeee??
@ARNOLDKASOMA
@ARNOLDKASOMA 6 ай бұрын
Duhhh!!!
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Жыл бұрын
umetisha
@yuzotv458
@yuzotv458 Жыл бұрын
Good talent brother💪💪💪
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Namkubali sana😁😁
@pascalsamson4721
@pascalsamson4721 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@NdakamaMakoye
@NdakamaMakoye 9 ай бұрын
Hongeraaaaa stive
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 2 жыл бұрын
We ninoma sana aisee
@naslee1010
@naslee1010 2 жыл бұрын
eti na uzee huu unaweza ukatoa siri za serikali🤣
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
hongera oscar
@barakambasile2651
@barakambasile2651 2 жыл бұрын
Umemtaja majaliwa nikamkumbuka jpm ira kinana hamna hamna
@DolikasiYusufu
@DolikasiYusufu Ай бұрын
❤❤
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hatar
@martinmlewa445
@martinmlewa445 2 жыл бұрын
Uwo upuuzi hatuutaki! Wananchi wanateseka nyie mnachekesha watu
@eliamwakatobe4290
@eliamwakatobe4290 2 жыл бұрын
Sasa unataka nchi isimame? Cha msingi inabidi utambue ya kwamba nchi lazima iendelee hata kama kuna magumu. Lazima kazi iendelee ili kuweza rekebisha kwenye mapungufu
@tambuwenikahemelaofficial1916
@tambuwenikahemelaofficial1916 2 жыл бұрын
We jama nimiongoni mwa wajinga wa kitanzania ungekuwa kwenye nchi nyingine ungepigwa lisazi
@Kavandangulu9219
@Kavandangulu9219 2 жыл бұрын
We hujielewi walie ndio kila mtu aishi vizur kengee we
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Usituletee kisirani bwanawe
@innocent__tz
@innocent__tz 2 жыл бұрын
Acha makasiriko yako bhana we vp???
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Duuu anaweza sana
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 жыл бұрын
Bosi wezako hamulani
@hashamyusuphu1064
@hashamyusuphu1064 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 hongela sana
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Mama Maria jamani ana hamu!
@mathewedward9398
@mathewedward9398 2 жыл бұрын
Pumbavu wewe! Hahahaaa, ana hamu ya nini?
@mrishonasry4779
@mrishonasry4779 2 жыл бұрын
We ana hamu ya nn tena ha ha haaa
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
@@mrishonasry4779 Anakumbuka mbali akisikia sauti inayo fanana na mwalimu!
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Haaaa😄😄😄
@paschalmakondo7853
@paschalmakondo7853 2 жыл бұрын
Ieo umejitahidi sio kule Arusha ulikua masanja mkandamizaji
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Ni kweli Leo ameongeza jambo
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 2 жыл бұрын
Duh!!! Mule mulee
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Saaana tu.
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 2 жыл бұрын
umenikosha Sana kaka
@obadiamshana2518
@obadiamshana2518 Жыл бұрын
Uyo ndo anajuwa kukop staili ya nyerere steve alikuwa anatupiga kamba sauti ya nyerere haijui
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 2 жыл бұрын
NASEMA HIVI HAKUNA ANAYEMZIDI HUYU JAMAA KWA KUIGIZA SAUT NA MWALIMU JULIAS NYELELE
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Kabisa' eti alimtandika viboko makongoro eti bila viboko hawezi kwenda dhaa 😂😂
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Angekuwaaa marekani angepigwaaa kofi makofiiii na will smithhhhhh
@djfiremoto3429
@djfiremoto3429 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@marksanduki
@marksanduki Жыл бұрын
😂😂😂😂😂❤
@masoudrashid5480
@masoudrashid5480 2 жыл бұрын
We kiboko 😆😆😆
@Nufaila442
@Nufaila442 2 жыл бұрын
Watu hawa hawakuonekana miaka 5 Dah maisha mazuri yanakuja
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Poyoyoo🤣🤣🤣🤣🤣
@farijala1
@farijala1 2 жыл бұрын
wewe mwehu kweli. huyo yupo Muda Mrefu
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 2 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 poyoyo kweli😀
@ezeedi871
@ezeedi871 2 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 kwei jamaa poyoyo
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Kuna mtu nikimuona nashikwa asira bac tu
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Nani huyo?
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Muache tu mungu ndo anamjua
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
@@winifridakasibu2900 natamani kumjua maana hata mie kuna watu hapo nikiwaona hapo, dah!
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 utakuwa jk 🙄😅🤭
@henry1933
@henry1933 2 жыл бұрын
Dogo umetisha
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 2 жыл бұрын
Huyu anajua kuliko anaejiita Nyerere
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
We 😅
@LuganoMwamsojo-yt3zq
@LuganoMwamsojo-yt3zq 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@sheikhabdul-raufalmunaawiy3367
@sheikhabdul-raufalmunaawiy3367 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/bK6pgNp4yafXYas.html *SHEIKH ALHAD MUSSA, ALLAH HAOGOPI KITU CHOCHOTE.* SHEIKH ABDUL-RAUF KAGIMBO ALMUNAAWIY
@mikamwalimu9324
@mikamwalimu9324 2 жыл бұрын
Huyu sasa ndo nyerere make kwanza ncheke sio yule tiv jk wamchongo
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂🤭👊
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 2 жыл бұрын
Huyu sasa YUPO poa sana,,,c yule CHIZI anaeitwa stive bure kabisa
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Hahaha 🤣
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂🤭
@agnesswai7174
@agnesswai7174 Жыл бұрын
Safi sana...Kama sauti ya Nyerere kabisa Wala hakuna pingamizi
@sabatosabibi8791
@sabatosabibi8791 Жыл бұрын
Ingawa sikumwona nyerere unatosha uwe rais
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE
6:30
Global TV Online
Рет қаралды 492 М.
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН